Assalam alaykm warahmatullah wabarakatu Mashallah tupo hapa ndunguzo wa kenya Na kupenda kwajili ya Allah na pata furaha ninapo sikiza mawaidha yako Mashallah
Mashaallah shekhe othumani malim Mimi uwaga nakuelewaga sana kuliko wengi wao kiufupi mm ni mdau wako wakufatili mawaza Yako tangu katika kipindi Cha redio mungu akuweke sana na akupe fadhila njema za janati yake Allah.
MashAllah..,huyu sheikh mm humpendaga mawaidha yake...,Tena Hana mda wa kuteta na masheikh wengine katika mambo ya kupingana ki elmu,hadithi na mengineo.mawaidha yake swafi MashAllah.Allah atiik Al aafiyah !
Masha Allah shekhe othumani malim mm Abdul Ally Agostinho nakk Bali Sana Sana shekhe wangu sija jinsi nipo mbali na Tanzania ila Nita kuja mwenhez mungu Ani fanyie wepes lNsha Allah

Amina ya Rabbi
Amiina
Ameen ya Rabi
Amiin🤲🤲
Maashallah
Best sheikh in Africa may the almighty grant him and us jannatul Firdaus al aala
Ameen
AMIIN
Amin
MashAllah..,huyu sheikh mm humpendaga mawaidha yake...,Tena Hana mda wa kuteta na masheikh wengine katika mambo ya kupingana ki elmu,hadithi na mengineo.mawaidha yake swafi MashAllah.Allah atiik Al aafiyah !
Mashallah ,,napenda jinsi unavyoisoma Quran kareem
Mashaalla shekh Othman Maalim Allaa akulipe hapa duniani na akhera
Masha’Allah Allah awape jannah shekh na kalamu tv
I really LoVe U bcoz of Allah ❤💯❤from Kenya 🇰🇪....Jazakallahu Kheiran 🤲
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲 mwenhez mungu mkubwa akujhalie Atu jhalie waisllam wote tupendane lNsha Allah wabila wataufq
Mungu akupe maisha marefu Kama bahari uelimishe vizazi na vizazi
MashaAllah Allah Akubariki kwa afya umri twawil maisha mazuri ya dunia na akhera, Akulinde Akubariki kwa furaha daima
shekh mbona unasauti nzur ya kusoma quran mashallah nakupenda kwa ajili ya allah na mtume❤
Wallahi sheikh huyu Hana Mbwembwe ... Anaetaka kujua Athari ya Elimu .. basi Na Amtazame Othmaan Maalim
Few kiswahili speaking shiekhs i learneda lot from JazaakAllah shiekh
❤from Kenya jazakallahu kheiran
Alhamdulilah Kwa Mawahidha
Sheikh othman.umemtaja haroon zakharia kwa sasa keshafariki sio huo msikiti tu katusaidia wengi.allah amjaalie kheri.
Masha Allah shekhe othumani malim mm Abdul Ally Agostinho nakk Bali Sana Sana shekhe wangu sija jinsi nipo mbali na Tanzania ila Nita kuja mwenhez mungu Ani fanyie wepes lNsha Allah
Allah atufanyie wepes
Shukran wajazaakallahu kheiral jazaa sheikh wetu mpendwa
Twa shukuru maalimu wetu
MaashaAllah tabarakallah nakupenda snaa kwa ajili ya Allah
Mashallah sheikh othman maalim
Mashallah. Allah barik fik
Aslm alkm ww... Jazakallah kheir 🙏
Mash Allah shukrani kwa mawaidha Shekhe wetu.
Mashalaah jazakhalakheri
Allah atupe mioyo ya kutoa Mali zetu Allah akitujaalia kutupa ili zikatufae huko tutakwenda Akhera inshaalla
MashaAllah❤❤❤❤❤
Scw
maashallah
MashaAllah sheikh wangu
Mashaallah shek
Shukran sheikh. JAZAKALLAH KHEIR.
Shukran jazilliah shekh maalim ameen thumma amiin yarabh
Shukran sheqh🙏🙏
Alhandulilai sheki 🇲🇿🇲🇿🇹🇿🕌🤲
Maa shaa Allah
Mashaallah
Mashallah
Assalam alaykum..... kwa anaejua sauti sheikh Othman anatumia kusoma Quran naomba msaada. Anatumia sauti gani au niseme anasoma kwa usomaji gani
Na mm naipenda sanaaaaaaa
Punguza advertisements kwa video.