Kweli shekh uko vizuri nimejifunza mengi kutoka kwako hakika elimu hii nizawadi kubwa sana kwa walio hai mm nimkristo rakini kwa elimu hii niko njiani nami niwe mtumishi wa Allah .mungu akubariki mtu wa mungu
Inshallah shehe mungu akupe maisha malefu nalie kusomesha din na ukifishwa mungu akuweke pepon namtume mhamad s,a,w nakama Zambia zako zikazid Amar njema bas mungu achukue amari zangu akuongezee weye ili tu uingie pepon ukakae namtume Muhammad nabii wetu mtukufu s,a,w
Musa Asuman Sheikh othman a perfect gift from Allah to HIS uma.May Allah bless him and him umri to continue with the good work assighned to him by Allah jalalu.
Allah akulipe kwa Waadhi huuu Kwa siku ya leo kwangu mm ni waadhi ulionifikia wakati nikiuhitaji sana., na Alhamdulillah Allah Azza wa Jalla akakutuma Unipe majibu Haya.
Mungu akujaalie umri mlefu wenye kheri juu yake Sheikh watu dawa zako zinatusaidia sana sisi vijana,mimi kilanapo pata majanga na kujihisi huzuni mawaidha yako ndio dawa yangu inshallah
Aslamu aleykumu Sheikh, Shukran kuwa mawaidha yko ya kusisimu na yenye faida nyingi na mafundisho nyingi. Sheikh jina langu ni Mohamad Ahmed kutoka Kenya,Suali yangu ni mume akamuwambia mke wake kuwa hasira wewe si mke wangu umewachika je talaka imefunlika shukran.
Sheikh Mimi ni Mkenya lakini nafarijika sana na Mawaidha yako khaswa ufasaha wa lugha na upanuzi wa maudhui ikawa ni rahisi sana kuelewa. Nakupenda kwa ajili ya Allah.
Maaaaasaallah Mimi niZainab (Zuyaynab) Ahmed Uthman Muhammad Kitongo. Kakangu ni Uthman(Uthayaamin) Ahmed Uthman Muhammad Kitongo 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naitwa seif chamade binafsi kutoka moyoni mwangu shekh Othman umenifanya nakuwa na hofu ya Allah popote pale mwenyezimungu akupe umrimlefu kwn wengi tumebadilika kuielekea haki kupita kwako
Alhamdulilah,Sheikh Othman Allah akupe maisha marefu ili uendelee kutufunza
Alhamdulilah najifunza mengi kupitia shekh Othman allah akulipe duniani na akhera na akupe umri mrefu tuendelee kujifunza zaidi 👏👏👏
L
Mwenyezi Mungu akupe afya insha allah ,uzidi kutufunza ya kheir
Mashallah Allah akuzidishie kilalakheri. Ninge furahi sana kukualika harusi yangu wewe uwe mmoja wapo mwenye kutoa hotuba, ishallah
Allahumma aamin
Inshaalah aamin kwa sote
Masha Allah mungu akufanyie wepesi insha Allah najifunza mengi Sana na tamani nikuone wallai
Mashaa llah shekhe othman maalim Allah bariik fii inshaa llah mungu akufanyie wepesi kwa kila hali
Nakupenda sana kwaajili ya Allah shekh othumani maalimu ,Allah akuhifadhi katka dunia na ahera
Alhamdulilah shekh othiman maalim Allah akulipe ujira mkubwa hapa dunian na akhera. Na akupe umr mref tuendelee kujifunza
Alla akulipe Kila lakheri
Mwenyezi.mungu akuhifadhi mwalim wetu Othman maalim tuzidi Kuneemeka sisi na walio tangulia mbele ya haki
Nimejifunza menge Sana Wallah
Allah akupe Afya njema
Allah akupe umri mrefu sheikh wetu othuman maalim
Nakupenda kwaajili Ya ALLAH,M/Mungu akuhifadhi Ili uzidi kutuelimisha🙏
Kweli shekh uko vizuri nimejifunza mengi kutoka kwako hakika elimu hii nizawadi kubwa sana kwa walio hai mm nimkristo rakini kwa elimu hii niko njiani nami niwe mtumishi wa Allah .mungu akubariki mtu wa mungu
Mungu akuongoze saana nduguangu,amin🙏🏾
Karibu kaka diini ya haki uislamu
Allah akuongoze katika haki karibu sana usikubali mtu akurudishe nyuma kwa maneno yao.
Karibu katika dini iliyo nyoka 😊
Karibu sana ndugu yetu
Mungu akujaze elimu na akupe umri mrefu wa mafanikio uzidi kutuelimisha,nasitupata manufaa yadunua na akhera🤲.
Mungu azidi akukuwek ishaalah utufundishe zaid ya hapo
Shekh huyu hatari Sana .mi hua yananitoa machozi mawaidha yake .Allah umuhifadhi shekh wetu na umpe umri mrefu
amin
Inshallah shehe mungu akupe maisha malefu nalie kusomesha din na ukifishwa mungu akuweke pepon namtume mhamad s,a,w nakama Zambia zako zikazid Amar njema bas mungu achukue amari zangu akuongezee weye ili tu uingie pepon ukakae namtume Muhammad nabii wetu mtukufu s,a,w
Alihamdulilar Allar Akuzidishiye kila la khery n Mohammad from Mombasa kenya
Sheikh Othman maalim Mola akupe umri na afya uzidi kutuelimisha
Alhamdulillaah thumma alhamdulillaah ALLAH sw akujaze jazaa zisizo na idadi Isha Allah sheikh Othman maalim
Sheikh Allah akupe umri mrefu zaidi ili undelee kutupa darasa pamoja na vizazi vyetu inshaallah you are so perfect
Alhamdulilah tunashukuru Mwenyezi mungu kwa ukumbusho mzuri
Musa Asuman
Sheikh othman a perfect gift from
Allah to HIS uma.May Allah bless him
and him umri to continue with the good
work assighned to him by Allah jalalu.
Allal akufanyie wepesi apa duniani kheeh otheman na ahela pia akuweke maali pema
Athuman, mungu akupe maisha mazuri na family yko hapa had ahera ! Umenitoa mbali n mawaidha yko .
Allah akulipe kwa Waadhi huuu Kwa siku ya leo kwangu mm ni waadhi ulionifikia wakati nikiuhitaji sana., na Alhamdulillah Allah Azza wa Jalla akakutuma Unipe majibu Haya.
Allah mjaaalie shehe wetu umuingize katiks people ya daraja ya juu kabisa
Nakupenda sana sheikh othman kwa ajili ya Allah.Najifunza mengi kwko maalim.shukran kwa elimu yako othman
Mungu akuweke Insha Allah
Mashaallah Sheh. Allah Akupe Afya Njema Ili Uzidi Kutukumbusha Na Allah Akujaalie Mwisho Mwema.
Mashaalah. Mwenyezi Mungu akuzidishie kutuelimisha kila hatua
Shekhe Othman maalim mungu akupe umli mrefu inshaalah
Allah akulinde mawaidha yako huwa yanaingia ndani ya moyo wangu nataman siku moja nikuone live au ningejua kwako ningefunga safari nije nikusalimie
Mashallah jazaka llahu kheri allah akupe afya uzidi kutuelmisha sheikh wetu❤❤❤
Jazakallah khayran
Mungu akujaalie umri mlefu wenye kheri juu yake Sheikh watu dawa zako zinatusaidia sana sisi vijana,mimi kilanapo pata majanga na kujihisi huzuni mawaidha yako ndio dawa yangu inshallah
Allah akbar .mjaaalie shehe wetu .mwisho mwema
Aaamin
Inshaallah Allah Sw akuaalie ziada ya elim unayoitoa nasi tufaidike na kufuata
Mashallah mungu kulipe Kwa kazi elimu unayotufundisha
Shukran Kwa ukumbusho mwalimu wetu🤲
Shukraan sanaa sheikh Allah(s.w) akuzidishie ilmu ya kutuelimisha ss zaidiii...ameen Ya Rab Alamiiiin
Aslamu aleykumu Sheikh, Shukran kuwa mawaidha yko ya kusisimu na yenye faida nyingi na mafundisho nyingi.
Sheikh jina langu ni Mohamad Ahmed kutoka Kenya,Suali yangu ni mume akamuwambia mke wake kuwa hasira wewe si mke wangu umewachika je talaka imefunlika shukran.
Ưjumbe mzito huu!!! All the way from Mombasa Kenya
Mashaallah mungu akuhufadhi ww pamoja nasisi
Allah akubaarik sheikh kwa uzuri wa unayo tupatia.
Masha Allah tupatie hizo dua maalium Othuman
Othman Allah akuondoshe adhabu ya kabur Asllam Allah qm
Alhamdhulilai Allah akupe uwezo ya kutupa elimu yakutuepusha na ya dhunia
Subhanallah! Ukisikiliza mawaidha yao husinzii
🍓🍓***shukran sh. 🍓🍓
🍓🍓***mungu akupe afya njema 🍓🍓
Mashaa Allah mungu akudishie sheikh
Alihamndlilah.mwenyezi.munguakuepushenakilashariii
Alhuma amiin shelk wetu mugu akupe umri
Mwenyezimungu atakusimamia na atakulipa shekh wetu
Allah akulipe kwa kher nyingi unatotufundìsha
Mâshaallah TabaarakaAllah mawaidha yako kuntu jazzakallah khair
Sheikh Mimi ni Mkenya lakini nafarijika sana na Mawaidha yako khaswa ufasaha wa lugha na upanuzi wa maudhui ikawa ni rahisi sana kuelewa. Nakupenda kwa ajili ya Allah.
Mashaallah tabarak rahman 🤲 tuwe makin kwenye maneno ya Allah
namuomba mwenyezi mungu akujalie umli mlefu
Annlah akibar, ewe mwenyezmung nakuomba unipe mwisho mwema'
Mungu akupe kila la kheir duniani na kexho akhera 🙌🙌🙌
Mashallah allah atulinde na stareh ya dunia
Allah akujalie umri mrefu tuzidi kukutumia
Aaamin
Maaaaasaallah Mimi niZainab (Zuyaynab) Ahmed Uthman Muhammad Kitongo. Kakangu ni Uthman(Uthayaamin) Ahmed Uthman Muhammad Kitongo 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jazakallahul kheyrr Shekhe langu
Tunashukuru kwagutupatiya mawayiza mazuri mwenyezimungu akuzidishiye ilimu naumli murefu tubaki tunajifunza kwako dufahamu mwenyezimungu atukutanishe katika janatu firidawusi
Mashaallah allah akulipe heri
Allah akuhifadhi inshaAllah
MashaAllah, jazakmllahuu kheyr sh Othman maalim.. watching from marsabit county Kenya
Shukara sheke Allah akupi umri mrefu
Alhamdulillah Allah akulipe na atujaalie atukutane kesho akhera inshaallah
Allah akulipe na akuhifadh
Alhamdulillah
Jazakallah kheir
Inshaallah Mashallah
Jazzaka Allah kheri
Shekhe wangu nalitakia kila lager unatuusia. Mazuri
Maisha marefu Ishaallah Maalim.Abdinasir Bashir, Dagoretti Nairobi.
Mashallah ❤❤
M/ mungu akulinde
Jazaka LLAAH LKHEIR
Mashallah
JazakaAllahu khaiyra
Masha'Allah,Allah akupe afya na akuzidishie umri mrefu
Allah akulipe heli
Mashallaah❤
Naitwa seif chamade binafsi kutoka moyoni mwangu shekh Othman umenifanya nakuwa na hofu ya Allah popote pale mwenyezimungu akupe umrimlefu kwn wengi tumebadilika kuielekea haki kupita kwako
استغفر الله العظيم واتوب اليه
Shukran
MASHAALLAH
Subhanallah❤
Mung akulinde
maashaallah
Sulaiman,, Alhamdulillah
Mashaalah
🤗🤗🤗🤗mashallah
Subhanallaah
Allaah apuke mwisho mwema inshallah
Mimi ni mkiristo ambaye ninamheshimu huyu shehe
Mola akupe hidaya na akujalie mwisho mwema
Unaonaje ungali silimu ndugu yangu
Mashallah
Masha Allah..lakini kumbuka kuna Sheria za Allah hazitekelezwi ilhali ni faradhi....vipi tutapata doula Thul Islam?
Mmungu akujaze kheri
Jazaqallah
52
Ahadurrah sheh mung akurinde
Jamani nauliza sheikh Othman na sheikh Waalid ni ndugu?
Hakikka
❤❤❤
Naaaaam naaaam. Naaaaaam
Mwenye namba tafadhali
Yaraby atujaaliye mwisho mwema
Asc acs