Habari za Kiama ,vitimbi vya Bedui kwa Mtume na Tabia njema za Mtume - Shekh Othman Maalim

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 64

  • @balkisamisi2131
    @balkisamisi2131 2 года назад +3

    Nakupenda piya kwa ajili ya Allah ❤sheikh wetu

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 года назад +6

    Sheik Allah amueke hana sifa za kugombana wala kujibishAna Allah akueke sheikh wetu

  • @allymasuke1543
    @allymasuke1543 2 года назад +11

    Wallah Shekh Othuman Allah Akutunze Daahh, Alhamdulillah Unatupa Elim kubwa mno!

  • @aishaabbas4869
    @aishaabbas4869 Год назад

    Mashaallah mashaallah tabarakallah Allahu Akbar

  • @mohamedyadamu888
    @mohamedyadamu888 2 года назад +8

    Masha Allah mungu hakupe umri mrefu ili tuendelee kupata faida kwako

  • @abdullwasafi836
    @abdullwasafi836 2 года назад +5

    Ramadhn kareem

  • @mtigabwebwe9238
    @mtigabwebwe9238 2 года назад +1

    Mungu akupe upeo zaidi

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 16 дней назад

    Sheikh othman maalim nakupenda Kwa ajili ya Allah
    Allah akupe umri mrefu uzidi kutupa elim 🤲🤲🤲

  • @fitness8330
    @fitness8330 2 года назад +6

    ManshaAlla sheikh wetu

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 2 года назад +5

    Masha Allah tabaraqallah Mwenyezi mungu akuzidishie daima ameen, mawaidha na ukumbusho mzuri sana kwa sote

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 года назад +3

    JazakaAllahu kheir. Twakupenda kwaajili ya allah

  • @jumahaineni2496
    @jumahaineni2496 2 года назад +3

    Shukran

  • @naseemmajid4286
    @naseemmajid4286 2 года назад +3

    Allah akujazi mema na sisi tunakusikiza Allah atujaalie kufata na aya zako kuzifanyia kazi yaraaab

  • @KhadijaKhadija-zs9wb
    @KhadijaKhadija-zs9wb 2 года назад +5

    Maashaallah

    • @ashaaweis4516
      @ashaaweis4516 2 года назад

      MashaAllah .Allah akupe umri mrefu wa kheiri hapa dunia na Akhera 😘😘

  • @alimuchiri6151
    @alimuchiri6151 2 года назад +7

    MashaAllah tunapata elimu, hekma na faida nyingi sana sheikh othman. Allah akulipe kheri

  • @mwapondawilliam2435
    @mwapondawilliam2435 2 года назад +3

    Masha allah Allah akuifadhi inshaallah akupe umri

  • @domykimata5768
    @domykimata5768 2 года назад +4

    Masha Allah

  • @abdulbakari8737
    @abdulbakari8737 2 года назад +1

    Innshaalla MUNGU akure umri mrefu tunufaike kupiti kwako

  • @azizaathumani1617
    @azizaathumani1617 2 года назад

    Wallah jazakallah khayr Allah akuhifadhi sheikh wetu.

  • @saumuyahaya8789
    @saumuyahaya8789 2 года назад +5

    Shukran kwa ukumbusho

  • @abbymtei3979
    @abbymtei3979 2 года назад +1

    Allah akupe afya njema

  • @fetyfarahan6363
    @fetyfarahan6363 Год назад

    Mashallah mashallah shekh Othman allah akupe umri mrefu inshallah 🙏

  • @andrewmoi2186
    @andrewmoi2186 2 года назад +1

    Asalamu alaikum waramatulaih wabarakatuh .dugu angu kwa kweli tunafaidika Sana na elimu yako tukiwa apa kenya

  • @rhakhesharjan9565
    @rhakhesharjan9565 2 года назад +1

    Shukran kwa ukumbusho✓

  • @shinayzashiraaz4588
    @shinayzashiraaz4588 2 года назад +1

    Jazakumullah kheir

  • @alisuleiman7698
    @alisuleiman7698 2 года назад +3

    Jazak Allahu feeq.Arahman akuongeze umri ili tuzidikupata faida

  • @maryammussa8838
    @maryammussa8838 2 года назад +1

    Mashaalh

  • @asfyoo5405
    @asfyoo5405 2 года назад

    Mashaa allah Shekh wetu kipenzi chake allah wallah huwa nakupenda mno allah akujalie mwisho mwema wenye nuru Tele 🤲🤲

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 Год назад

    MashaAllah Allah akuzidishie umri shekh wetu

  • @aishaabdi2059
    @aishaabdi2059 2 года назад +3

    Mashaallah nawapenda kwajili ya Allah

  • @جمیلهعلی-ذ6ظ
    @جمیلهعلی-ذ6ظ 2 года назад

    Allah akuhifadhi uzidi kutuelimisha shekhe wetu ٱحيبك في الله

  • @odetteuwimana4251
    @odetteuwimana4251 2 года назад +3

    Masha Allah mungu akujariye kutufundisha

    • @khaleedahmed9396
      @khaleedahmed9396 Год назад

      Huyu c jamaa wa wakati huu..........Allah Amrehemu

  • @arenaibrahim2794
    @arenaibrahim2794 2 года назад +1

    Ma Shaa Allah Sheikh Mungu akupe umri mrefu Aamiin

  • @ummuramadhan1842
    @ummuramadhan1842 2 года назад +3

    Ma shaa Allah...👌💯💯💯

  • @salimaalharthy6473
    @salimaalharthy6473 2 года назад

    Allah akuzidishie umuri bora

  • @simbadume1694
    @simbadume1694 2 года назад

    Shukran sheikh kupitia mawaidha yako najivunza vitu vingi...

  • @andrewmoi2186
    @andrewmoi2186 2 года назад +1

    Asalamu alaikum waramatulaih wabarakatuh pia mimi nakupeda kwa ajili ya mwenyezi mungu na mtume

  • @SeluSelu-lc8rp
    @SeluSelu-lc8rp 2 года назад

    Allah atujalie tuwe miongoni mwa anaowapenda

  • @mariamahmed8586
    @mariamahmed8586 2 года назад +3

    ❤️

  • @khalafmohammed7457
    @khalafmohammed7457 2 года назад +2

    Sheikh Othman barakallahu feek.

  • @zuberiomar4125
    @zuberiomar4125 2 года назад

    Maa shaa Allah Sheikh wetu

  • @kousaroman471
    @kousaroman471 2 года назад +1

    Mashallah

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 2 года назад +3

    Masha Allaah. Nimemkumbuka mwenyewe 🏃🤣🤣🤣

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 Год назад

    Alahmdhulilah Rabbily Alamin

  • @sharifrajab1166
    @sharifrajab1166 2 года назад

    Jazakallahu khayr

  • @fadhilimnalale2742
    @fadhilimnalale2742 2 года назад

    Jazakallahu kheir, sheikh Othman maalim,🙏

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 2 года назад +2

    MashaaAllah walhadulilah ❤️😘

  • @omaryally3489
    @omaryally3489 11 месяцев назад

    Marshall Allah

  • @rhakhesharjan9565
    @rhakhesharjan9565 2 года назад +3

    Nimejikuta natoka machozi ustadhi othman malumu bdaa ya kusema siku io tutaangaika na kufuata mitume ili kutuombea na izo shangwee na mitihani ya siku ya kiama ✓ Nina marafiki wengi sio waislam najikuta natoka machozi nikiona bdo wapo kwenye dini ambao sio sahihi kwao

  • @mzirahiramadhani3175
    @mzirahiramadhani3175 2 года назад +5

    Maàshallah

  • @hamzarajabu9201
    @hamzarajabu9201 2 года назад +4

    Maasha Allah

  • @salumnakauka5355
    @salumnakauka5355 2 года назад +4

    Masha Allah.

  • @NiyongereAmidou
    @NiyongereAmidou Год назад

    Allah akuzidishie umri mlefu

  • @binbaya923
    @binbaya923 2 года назад +1

    Maa shaa Allah

  • @abdouljabbar9835
    @abdouljabbar9835 Год назад

    Manshaallah