Othman wewe ni mtu wa kipekee sana Mmungu akuweke na aendelee kukitunza kinywa chako kila kitaposema basi kiseme kile ambacho tutajifunza . nakusikiliza niko nje y a Tz 🇺🇸
Kuna kitu naomba nikufahamishe. Kuna tofauti kati ya kusema "in shaa Allah" na kusema "Amiin". Ukiwa unaomba Dua Sema Amiin na ıkiwa unatak kusema jambo litakalokuja sema İn shaa Allah .

Aminnnnn
Amiin yaa Rabb
Sheikh nashukuru sana kwa mafunzo Allah akuhifadhi InshaAllah Ameen
Kuna kitu naomba nikufahamishe. Kuna tofauti kati ya kusema "in shaa Allah" na kusema "Amiin". Ukiwa unaomba Dua Sema Amiin na ıkiwa unatak kusema jambo litakalokuja sema İn shaa Allah .
Mfano kama hapo ww umeomba Dua kumuombea Sheikhe Allah amhifadhi , hivyo hapo itatumika Amiin
Mashallah