SIRI NZITO NDANI YA MBINGU SABA | SHEIKH MSELEM BIN ALY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 53

  • @AbdiNdayishimiye
    @AbdiNdayishimiye Месяц назад +5

    Uyu sheikh ni bingwa kwa dawa kweli Allah akuhifadhi scheikh wetu

  • @ALIHASSAN-dx7ie
    @ALIHASSAN-dx7ie Месяц назад +2

    Allah Akbar Sheikh wetu mungu azidi kukupa ufunuo utuelimishe Insha Allah 🤲

  • @angle3600
    @angle3600 Месяц назад +5

    Mimi hujiangalia mimi mwenyewe vile nilivyo kutoka kichwani hadi kwenye ukucha wa kidole cha mguun, nikajua kweli uwezo wa Mungu niwa ajabu.

  • @bakariomari9778
    @bakariomari9778 27 дней назад +4

    Sheikh afuan. Allah akupe afya njema na umri kwa kutuelimisha .amiin amiin

  • @ALIHASSAN-dx7ie
    @ALIHASSAN-dx7ie Месяц назад +2

    Mashallah Sheikh mchambuzi mzuri sana Mungu Amuifadhi Amiin 🤲

  • @LatifaAley
    @LatifaAley 27 дней назад +3

    Allah akuridhie insha Allah Sh Msellem...Aameen

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 Месяц назад +7

    My favourite 1 all the time be blessed❤❤❤

  • @AbdallahMbena-t5k
    @AbdallahMbena-t5k 26 дней назад +4

    Barakallaah fiQ.

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 26 дней назад +2

    Asante sana kwa Darssa Shekh. Nimejifunza 🙏

  • @athumaniUmbwinde
    @athumaniUmbwinde Месяц назад +5

    Allah azidi kukuhifaz na atuepushe na husda uzidi kutupa darsa

  • @KisakaShimbo
    @KisakaShimbo Месяц назад +5

    Yaaa allah nakuomba umuhifadhi mzee wetu mwali mu wetu na shari za viumbe wabaya

  • @MwanaidiKarenzo
    @MwanaidiKarenzo 23 дня назад +2

    Asalamualaykum kutokaburundi shekhe munguakuhifadhi akupeafyanyema aamin

  • @abiomar1652
    @abiomar1652 22 дня назад +2

    Mashaallah shukran sheich

  • @hamisially-c4x
    @hamisially-c4x 27 дней назад +3

    Mselem ndiye shekh bingwa na anaeleweka zaidi

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 17 дней назад +1

    Mashaa allah sheh

  • @fikirigenda4044
    @fikirigenda4044 28 дней назад +2

    Tabaraka llah Ahsan lkhaaliqina

  • @stellahmungure
    @stellahmungure Месяц назад +3

    Mashaallah jazakallah kheir

  • @IbnHaroun
    @IbnHaroun 11 дней назад

    Allah Akbar Allah akuhifadh san

  • @RashidiIddi-nl3ep
    @RashidiIddi-nl3ep 19 дней назад

    Shekh Allah kampa ufasaa sana akulipe mwema.

  • @AbdullahisaBongole
    @AbdullahisaBongole Месяц назад +1

    ALLAHUAKBARU MWENYEZI MUNGU ATUNUSURU

  • @NassormohamedNassor
    @NassormohamedNassor Месяц назад

    Mungu ambarik sheikh wetu ni hazina yetu iliyobakia

  • @najmayahya21
    @najmayahya21 6 дней назад

    SubhanaAllah

  • @butoyimariambutoyi1903
    @butoyimariambutoyi1903 Месяц назад +1

    Allah akuzidishiye ilmu ya kheir tuzidi kupata faika
    Na Allah akujaliye mwisho mwema na waislam wote
    Aamyn ya Rabilalamin

  • @KisakaShimbo
    @KisakaShimbo Месяц назад +2

    Semeni aamin

  • @KhamisAbdallah-n3e
    @KhamisAbdallah-n3e 6 дней назад

    Aamiin kwa sote

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d Месяц назад

    Mashaallah lahaula walaquwata ila bilaaa 😢

  • @JumaSaidy-d5n
    @JumaSaidy-d5n Месяц назад

    Alhamndullhah /alha akupe umr mref

  • @fikirigenda4044
    @fikirigenda4044 28 дней назад

    Aamin 🤲🤲🤲

  • @MussaBakil
    @MussaBakil Месяц назад

    Mungu akujalie

  • @zamilmohammed2297
    @zamilmohammed2297 Месяц назад +1

    ALLAH hu Akbar

  • @MohdOmar-j3p
    @MohdOmar-j3p 4 дня назад

    Ni kweli kabisa ni hakika maneno yako

  • @MwakaMosi
    @MwakaMosi День назад

    Mja wa Allah huyu

  • @Juma-qd5eq
    @Juma-qd5eq Месяц назад +16

    Fundi ,, usipomuelew huyu shekh bac huend ukapat tabu sana ,,shekh mselem fundi haswa wa kuifafanua Qurani ,, Ya alwah mpe pepo ck ya kiama inshallah

    • @FernandesPaul-v4u
      @FernandesPaul-v4u 26 дней назад +1

      Amin

    • @HusseinKibwana-y7f
      @HusseinKibwana-y7f 11 дней назад

      Sanaaa yan anaemchukia sheikh mselem bc akapimwe akili

    • @MwakaMosi
      @MwakaMosi День назад

      Yaani huyu shekhe nimejifunza mambo meng kutoka kwake alhamdulillah

  • @UmmyLubna-rp6rv
    @UmmyLubna-rp6rv Месяц назад

    Tabaraka Llah

  • @idrissansereko6403
    @idrissansereko6403 23 дня назад

    Sheikh Mselem nilikua sijakufatilia sana Japo nilikua nakuona nakuona kwenye RUclips
    Shukran sana Sheikh wangu umetupa elimu mkubwa Allah akujaze heri
    Mimi Nipo Rwanda nakuomba namba Yako ya WhatsApp tuna mswali tunaomba utuelemisheWabillah taufiq

  • @HassanSaid-p2l
    @HassanSaid-p2l 27 дней назад

    Huyu shekh anajua

  • @LovelyEucalyptusTree-ui1cp
    @LovelyEucalyptusTree-ui1cp Месяц назад

    Allah

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua Месяц назад +2

    Swali lngu wale wanaoenda mwezini je kweli halafu mwezi na mbingu ipi iko mbali hapo bado sipati picha

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 27 дней назад

      In Shaa Allah fatilia kisa cha Miaaraj unaweza ongeza kitu

    • @HassanRamadhanPashua
      @HassanRamadhanPashua 27 дней назад

      @jaffjeff6912 nauliza kuhusu Hawa wazungu ni kweli mwezini wanafika

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 27 дней назад

      @HassanRamadhan ungeuliza hivi Mwezi upo mbingu ya ngapi na jua lipo mbingu ya ngapi

    • @WentExtinct
      @WentExtinct 17 дней назад

      Kasome suratul maarij Aya ya kwanza hadi ya nne utafahamu​@@jaffjeff6912

    • @AyoubMeja
      @AyoubMeja 7 дней назад

      Hakuna chombo chchte kitachoweza fika japo mbingu ya kwanza mpka kiama

  • @MustafaMagala
    @MustafaMagala Месяц назад

    Naflai san mwalim

  • @AbdiNdayishimiye
    @AbdiNdayishimiye Месяц назад +1

    Uyu sheikh ni bingwa kwa dawa kweli Allah akuhifadhi scheikh wetu

  • @zamilmohammed2297
    @zamilmohammed2297 Месяц назад

    ALLAH hu Akbar