HISTORIYA YA KUSISIMUA YA KUUMBWA MWANAADAMU WA KWANZA | SHEIKH MSELEM BIN ALY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 5

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 Месяц назад +3

    Utukufu ni wake Allah kawaumba watu wenye sura tofauti ili tupate kutambuana kwa tabia zetu na hila zetu na uchamungu wetu, lakini Allah kaonesha mfano wa watu alio wafanya mapacha wanao fanana sura na maumbo, lau kama Allah ange taka basi tunge ubwa wote mfano wa mapacha au sura ya baba yetu adamu yule wa kwanza lakini kwa utukufu na daraja katumba kila moja na sura yake mpaka alama za vidole ni tofauti..
    Tazama majabu haya, tazama wanyama sura zao ni aina moja na muonekano wao, na tazama wanadamu muonekano ni moja ila sura ni tofauti hakika kuna miujiza sana kwenye hili..

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Месяц назад +4

    Jamani mmeshindwa nini kuandika sura gani na aya namba ngapi? Kisha mkaandika kichwa mlichotaka? Tusaidieni sie tunafuatilia kwa ajili ya kusoma

    • @othmanhamad6991
      @othmanhamad6991 Месяц назад

      Hawamfanyii haki sheikh na hawawafanyii haki wafuatiliaji wa darsa. pia hawawafanyii haki kizazaji kijacho.
      Ndio mimi nikaamua kufatilia darsa za Kenya
      ruclips.net/user/live22okPjDNDM0?si=H7fs-EnaC-symW7e

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 29 дней назад

    mbona wengine wasema mke wa kwanza wa adam alikuwa lilith

    • @dakxirdakxir5897
      @dakxirdakxir5897 27 дней назад

      ushahid wa maneno hayo umetowa wapi.ikiwa qur'an ktbu kitukufu na kisicho na shaka ndani yake..wewe hizo habar umeztolea wapi..au twitter kule unakodanganywa?