shukran sheikh Othman Allah akuzidishie kwa hii madaa nzuri kuhusu jinsi ya kumchagua mke mzuri.sheikh shida inatokea kwa wazazi coz wao ndio wanachangia zinna kukithiri kwa wingi.unakuta kma kijana hana pesa na akona elimu ya dini hawezi ozwa bt ule mlevi ambaye akona uwezo wa kifedha ataozwa bila hta kulizwa chochote so tumetanguliza pesa mbele na kupuza Yale ambaye Allah ameamrisha,subhanaAllah.
Hakika hili ni swala zito sana. Hakika katika kuchagua mke or mume ndio watu wengi tunapotea na laiti Allah akakupa mke or mume bora basi una nafasi ya kua katika njia sahihi. Sababu mwenza bora na mwenye tabia Zinazompendeza Allah ni dira na atakurudisha katika mstari. Mungu tuongoze maana sisi vijana tunaangalia Mizigo na kusahau mzigo hautakukumbusha kusali.
Mashaallh mawaidha n mazury xana lakin me bado npo njiapanda ikiwa na taka kuoa mwenye dini pekee vpi kuhucu kwa yule ambae si muislam na ninataka kumuoa ili nimuingize katika uislam sasa hapo vp nifanyaje kama tataka kuoa mwenye dini pekee
Maashaallah 🙏🙏🙏🙏🙏mwenyezi mungu akupe maisha marefu yenye furaha❤❤❤❤❤na amani
shukran sheikh Othman Allah akuzidishie kwa hii madaa nzuri kuhusu jinsi ya kumchagua mke mzuri.sheikh shida inatokea kwa wazazi coz wao ndio wanachangia zinna kukithiri kwa wingi.unakuta kma kijana hana pesa na akona elimu ya dini hawezi ozwa bt ule mlevi ambaye akona uwezo wa kifedha ataozwa bila hta kulizwa chochote so tumetanguliza pesa mbele na kupuza Yale ambaye Allah ameamrisha,subhanaAllah.
Nakupenda kwa ajili ya Alah mungu akujalie mwisho ulio mwema pamoja na waisilamu wote duniani 🤲
Allah awake until mrefu leave kusiliza mawadha leave ajili y'all allah
Mashallahh Allah akupe maisha maref shekh othman maalim🤲🤲
Shukran kwa Elmu hii sheikh wetu Mungu Atufanyie wepesi ummaty Muhammad in Sha Allah
ALLAH akupe umri shekh wetu IN SHA ALLAH Amiin
Sheikh Wangu nakupenda kwa Ajili Ya Allah,Allah akuongoze hadi firdaus pamoja n familiayko ,Aamiiin
Nimeipenda sana darsa, binafsi nipo katika harakati za kutafuta mke na umenifumbua macho sana, Allah akubarik sana.
Masha Allah shukran sheikh othman elimu nzuri hii jazakallah
Hakika hili ni swala zito sana. Hakika katika kuchagua mke or mume ndio watu wengi tunapotea na laiti Allah akakupa mke or mume bora basi una nafasi ya kua katika njia sahihi. Sababu mwenza bora na mwenye tabia Zinazompendeza Allah ni dira na atakurudisha katika mstari. Mungu tuongoze maana sisi vijana tunaangalia Mizigo na kusahau mzigo hautakukumbusha kusali.
Allah akupe wepes katika kutupa elimu Inshaallah
Jazakallah khayr kwa nasiha nzuri muhim kwa vijana
Alah akupe umri mlefu maalim..nimejifunza vingi kupitia ww
Maasha allah kwa nasaha nzuri jazaakallaahu khayra
Mashaallah mungu akupe umri mrefu wenye manufaa
sheikhe maallimu umenigusa sana katika mada yako allah akuongezee illimu ishallaah
Nikweli 🤦♀️mimimwenyewe naona kwawazaziwangu allah awape kheri wallahi 🤦♀️🤲mana ukienda nyumbani kwaugomvi hukai mpaka uwende namumeoo sitochoka kuwaombea wazazi wangu🤲 jamani nikweli tuwemakin nandoa zetu
Mwenyezi mungu akupe umri mrefu shekhe wetu
Jazak'Allaahu khayran
Allah atubariki na wanawake (bibi) ama mume (bwana) wazuri kitabia
Jazak'Allah Kheir Akhui
ماشاءالله شكرا يا شيخ Allah akujalie umri wenye afya njema popote ulipo
Amiiiin
@@naamohamed9964 Allahumma amin
@@zayyatiyussuf9566 mm nimepata mume mwenzenu lkn yuataka niwache kazi nipe ushauri ama nitapataje namba ya sheikh anipe ushauri
@@AishaAli-lk7gh Kwaza mashaallah hongera Alla aibarikie ndoa yako iwe ya kheri husuda na hasadi Allah akuepushie
@@AishaAli-lk7gh Mtafute Nakushauri omba namba za sheikh yoyote ktk hizi CHANNAL utapewa
Allah ukuhifadh sheikh
Shukran Jazeeran kwa mawaidha Allah akuzidishie Sheikh Othuman Maalim
Jazakar allahu kher
Ahsante kwa maelezo ya ndoa naomba uandae kipindi Cha wanandoa kupitia mtandaoni
MASHAA ALLAAH
Mashallah Allah akupe umri mref uzidi kutup daghawa
Ameen ameen thumma ameen
Mashallh
Ma sha Allah
Shukran
Maashallah
Mashallah
Shukrani kwa mawaidha mazuri shekhe
Othman maalim nakupenda sana tena sana mawaidha yako nakuomba japo siku moja nikuone nakuomba japo siku moja nikuone raivu me nipo chamanzi complex
shukran sheikh
Shukran sana Allah akulipe kheir.
Wewe acha uongo hata sisi tunajiuliza wanaume wema wapo kweli??
@@maryamnestory7788 wapo Mungu akujaalie upate mume mwemaa
MAA shaa Allah
Mashaallah
Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatuhu shukran
Waalaykum Salaam
Osumani marim
Salim msuya
Mashaallh mawaidha n mazury xana lakin me bado npo njiapanda ikiwa na taka kuoa mwenye dini pekee vpi kuhucu kwa yule ambae si muislam na ninataka kumuoa ili nimuingize katika uislam sasa hapo vp nifanyaje kama tataka kuoa mwenye dini pekee
W
🙏🙏🙏🙏🙏
Vvv. ‚
Wake wema siku hii wapo kweli? Nimetafuta mpaka nimechoka 😡
Kila mtu ataka mke mwemaa, swali nijee wewe wewe waeza kua mume mwema kwa mke wako
@@salimsaid5817 naam inshaAllah naweza kwa ajili ya Allah
@@rayanjoseck4458 A/alykum ushaoa?
@@shamamkea784 walaykum mussalam bado nangoja Covid 19 imalizike inshaAllah
Masha Allah shukran sheikh othman elimu nzuri hii jazakallah
Mashaala
Allah awake until mrefu leave kusiliza mawadha leave ajili y'all allah
MaashaAllah