I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
Ukisikiliza haya majibu yake, kuna sehemu anasema hela zilikosekana za kumlipa mkandarasi ndo maana ujenzi ukasimama kwa muda. Saa hizi chini ya uongozi wake hakuna hicho kisingizio ndio maana mkandarasi akizingua tu kinawaka. Hongera sana JPM
Daaaa jamani nimefika hapa baada ya kufariki R..I.P baba tulikupenda sana lkn Mungu kakupenda zaidi heri wafu wafao ktk Bwana na matendo yao huwafuata.Hakika matendo yako yamekufuata.
Huyu jamaa hata hapo alipokuwa akiongea yaani unaona Kama cheo hicho kilikuwa kidogo kwake yaani alishauvaa uraisi muda mrefu tu hapo ni Waziri lakini Kama vile raisi
Ukiona unasifiwa sana baada ya kufa .....jua huyu mtu alikuwa mzuri na haki inadhihirika mara nyingi mara baada ya kufa ....watu wengi wazuri uzuri wao hujulikana na kusifiwa baada ya kufa mfano Ruge mutahaba, Gaddafi , ss magufuli
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Kumbe barabara ya Mpwampwa ilianza kujengwa toka 2013, Dada yangu nataka utambue mpaka Leo 2021 bado haijakamilika,,,,,,,,na hakuna dalili ya kumalizika mwaka huu!
Kuna Watu Tumerudi Kumkumbuka JPM RIP Mzee Baba
Mungu mkubwa sana, tunakushukuru mungu kwa kutuletea mtu huyu walau nasi tumemtumia kwa kuasi kilichokupendeza, Amina mpokee muweke mahali pema peponi
Nimefika hapaa baada ya kifo 😭😭
Hata mm
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
We citizen live his dreams forever
Mungu akupokee akusamehe dhambi zako na akuweke mahali pema peponi🙏🙏🙏
Ukisikiliza haya majibu yake, kuna sehemu anasema hela zilikosekana za kumlipa mkandarasi ndo maana ujenzi ukasimama kwa muda. Saa hizi chini ya uongozi wake hakuna hicho kisingizio ndio maana mkandarasi akizingua tu kinawaka. Hongera sana JPM
Knowledge gives you a confidence.
Greatest Of All Time (G.O.A.T) ❤️💪
Daaaa jamani nimefika hapa baada ya kufariki R..I.P baba tulikupenda sana lkn Mungu kakupenda zaidi heri wafu wafao ktk
Bwana na matendo yao huwafuata.Hakika matendo yako yamekufuata.
Huyu jamaa hata hapo alipokuwa akiongea yaani unaona Kama cheo hicho kilikuwa kidogo kwake yaani alishauvaa uraisi muda mrefu tu hapo ni Waziri lakini Kama vile raisi
Sauti ya mamlaka
Yahni
Uko sahihi kabsa
Dahh.. Noma Sana. RIP
RIP John pombe magufuli
Fallen hero, son of the land
Pumzika kwaamani baba yetu😭😭😭😭😭🤲🙏🙏🙏🙏
Mungu akulaze mahala pema pepponi,tulikupenda lkn Mungu kakupenda zaidi,
Daaah, tumebaki na videos zake tu 😒😒😒, RIP Magufuli
huyu jamaa kweli ni mchapa kazi tangu zamani
Buriani mzee magufuri
Ukiona unasifiwa sana baada ya kufa .....jua huyu mtu alikuwa mzuri na haki inadhihirika mara nyingi mara baada ya kufa ....watu wengi wazuri uzuri wao hujulikana na kusifiwa baada ya kufa mfano Ruge mutahaba, Gaddafi , ss magufuli
Mungu akulinde mh. Dkt JPM HAPA KAZI 2
Big up Mzee baba
Nakupenda kwa kuwa unaipenda lugha yetu ila plz chukuwa juuhudi ya maksudi kukuza kiswahili
Majid Omar the first place to
RIP
RIP MWAMBA
Apokelewe ktk makao ya milele
upumzike dr JPM
Sijui bona m2 akifa tuna Anza kufutilia nikiwa mmonja wao napitia video zake 😭😭Rip
Wanasema ishi upondwe kufa usifiwe
@@junioryasin5306 kabisa Aki
Huyo saivi ni muheshimiwa Raisi
Saivi ni Buriani 😭😭😭😭
Naam
Akik mungu ana makusudi yke
Pumzika kwa amani JPM wew sio kiongoz tu pia ulikuwa mtumishi mwema
Mwamba way back
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Badilisha sasa
noma nomaa
Daaah
Mueshimiwa magu
Hogera Sana
Kumbe barabara ya Mpwampwa ilianza kujengwa toka 2013, Dada yangu nataka utambue mpaka Leo 2021 bado haijakamilika,,,,,,,,na hakuna dalili ya kumalizika mwaka huu!
Hii ni 2024 na bado haijamalizika😮
Mpaka reo haijaisha jpm hayupo kira kitu hovyo busy kuiba pesa
Buriani kamanda pumzika kwa amani
Wengine tulimjua mapema na kwa maana hiyo hatushangai kwa kilichotokea maana alia mini katika ukweli.
RIP #JPM.bye #Daddy
Rip magufuli
Jamaaa alikuwa anasoma sana yani
Professional killer na mtesaji mkuu
Hili jembe kweli kweli ndomana Rais wetu
chuuumaaa
R.i.p jpm
Laaah JPM
Am after the death
john pombe joseph ulale salama umetuacha imara
RlP magu
Mpaka leo bado
Ni kweli, basi ni Ngasere na Al sayed tu kwakuwa hakuna barabara Mpwapwa
r i p
Failing to prepare is preparing to fail.
Nimemmis JPM nimeona nirudie speech za uwaziri za uraisi nimemaliza
Alikuwa jembe
RIP