Hawa wameachiwa wakajitawala kupita kiasi, wanafunga Barbara na niwachokozi ukikutana nao Wakati wanaandamana wanakuharibia hata gari lako usipoangalia. Hawa wakitandikwa bakora sawa sawa hicho kitu Cha Araaa kitaisha kabisa chenyewe huko kichwani.
yani machali zng wa rara jitaidini kuwa2 makini mkiwa road 7bu toyo zinawapoteza sana wengi na c mara moja kuona machali wakitoka moshi kununua rara badae ndo kama iyo maajali tena
Msiba sikia kwa mwezako ndg yng uwezi kuja kuongea hv wakati wezako wako kwenye majozi makubwa wewe unakuja kuwaita wahuni mwenyez mungu akusamehe sana maan ujui unachokiongea
Maswali ni mengi sana kuhusu malezi, elimu na maadili ya hawa watoto wetu. Sasa tuwaze mbele zaidi kama jamii ya watanzania : WATOTO WA VIJANA HAWA NA WAJUKUU ZAO WATAKUWAJE? binafsi naiona Tanzania ya ajabu na ya ovyo sana baada ya miaka 10 au 20 ijayo. Tunapaswa kuangalia sana Mtaala wetu wa elimu Mafunzo ya kidini yanayotolewa na viongozi wa kiimani Malezi yanayotolewa na wazazi hasa hasa watoto kulelewa na single mamas ni hatari sana kwa taifa letu kuliko tunavyofikiri. Kwa maelekezo zaidi na ufafanuzi nitafuteni nitatoa mchango wangu maana jamii ya namna hii sidhani hata kama Mungu anapendewa nayo. MUNGU IBARIKI TANZANIA
@@NuruRajabu-pf5vb single mothers siyo mpango wa Mungu kabisa. Naomba nitajie andiko la dini yeyote linaloelekeza mwanamke kubeba mimba na kuzaa watoto na kuwalea peke yake. Kuna athari sana katika makuzi ya watoto na ndiyo kunapelekea haya tunayoyashuhudia
Shida hawa jamaaa mara nyingi sana wanakosa adabu kwenye misiba Utadhani sherehe ya kihuni Hawajui kuwa wanaenda kwenye jambo la huzuni na majonzi makubwa.
@@thomasmallya2972 KULILEA NI KULE KUWAACHA WAKIENDESHA MAISHA YAO KTK AINA INAYOONEKANA KAMA NI VIJANA WALIOKATA TAMAA WANAWEZA KUFANYA CHOCHOTE, HIVI HAO WADUDU MKIONANA NAO USIKU KICHOCHORONI KWELI KUTAKUWA NA USALAMA? LAKINI MIMI NINAMWAMINI MAKONDAVATAWABADILISHIA MWONEKANO HAWATAKUWA WADUDU BALI WATU WENYE HESHIMA ZAO.
Dodoma watu wanafungiwa Barbara hata saa Zima kisa mweshimiwa anapita, 😅 mweshimiwa akifunga road fresh, ila wadudu inakuwa nae mbaya
Wadudu aisee...hata aliyefariki hana hayo maumivu.....😮😮😮
Eti hata aliyefariki hana ayo maumivu wao ndo wana maumiv makal 😅 ila chuga 🙌
Kwa kweli mji umeharibiwa na wenye pikipiki 😮
Si enyewe apa tuna machule mbaya mbovu yaaani... hamna wa kutuzuia Wadudu OG hapa.. huyu mbajo niqqa wetu RIP niqqa
Yuuuh subhaanalaah
Arusha wajuaji sana na mabike yao inabidi pikipiki arusha zifungiwe😂😂
Aweeeeeeee
Anza kufunga Yako jombaa
Kweli hawa ni wadudu ng'aaaàa
Lema anasemaga ebu jarb kumuita mtt wa kiongz mdudu uone moto wake 😹😹🔥🔥
Anasemaga ndio lugha gani
@@h.alshidhani8971 kwan we umeelewaje
😢so sad r.i.p life is gone 😭💔🫶
Hawa jamaaa kila mtu ana AKA 😂😂😂
Hv mmekos kupost vit vy maana kila sik hawa jmaa wavuta bangi
chuma yangu,niga,moja na mbili,machenji,machuli duh!!
Kazi ipo😂😂😂😂
Akili zao mmmh. Maji ya Arusha mmmmmh yana kitu 😢😢
Iyo kitu uliiweka wewe..
@@totonata5384iyo kitu umeweka wewe..
2sha waambiya chuga ni nchi wa2 hawaelewi... Wa dar ha2wz 3lewa hii😊
Ni mkoa acha kujiendesha wewe
Kila jambo na zama zake.muishi kulingana na nyakati nyie watu.hakunaa anayeleta mazoea mbele ya sheria.
Hii nchi ina upuuzi sana
Hawa wameachiwa wakajitawala kupita kiasi, wanafunga Barbara na niwachokozi ukikutana nao Wakati wanaandamana wanakuharibia hata gari lako usipoangalia. Hawa wakitandikwa bakora sawa sawa hicho kitu Cha Araaa kitaisha kabisa chenyewe huko kichwani.
Yaani AYO mm nitakuozesha dada yangu unaandika kilichopo ila hao wengine mmmm😂😂
😩😩
Wadudu ni wadudu kweli
🤣😭🤣
Makonda yuko wapi siku hizi😂au ameishiwa.
Nadhani yuko kwenye maandalizi ya uchaguzi
Mh kuwa na macho ya rohoni utajuwa mengi
@@jonasimwanzisijui kama kakuelewa
Kama Hana D hawezi elewa
D sijakuelewa ndugu😊@@Prettygirlhatib
yani machali zng wa rara jitaidini kuwa2 makini mkiwa road 7bu toyo zinawapoteza sana wengi na c mara moja kuona machali wakitoka moshi kununua rara badae ndo kama iyo maajali tena
Sasa wanazuia barabara ili iweje? Wahuni tu, sikia hata kiswahili chao cha kihuni.
Ndo wanaongea hvyo
Msiba sikia kwa mwezako ndg yng uwezi kuja kuongea hv wakati wezako wako kwenye majozi makubwa wewe unakuja kuwaita wahuni mwenyez mungu akusamehe sana maan ujui unachokiongea
Mbona asilimia kubwa wa Arusha wanaongea hivyo ndio ongea Yao,labda kama umgeni nao kuwasikia
Muhuni Baba ako chaliiii
Wauni kabisa,,wacha izo pikipiki ziwamalize kabisa washenzi awa wanataharisha maisha ya watu
aisee
Polisi awakosi sababu
MDA KAMA UNA AKILI HUWEZI OLEWA NA WADUDU NI MTIHANI UTAFIKIRI HAWAJAZALIWA NA WANAWAKE JAMANI.MIRAA,BANGI,PARIK NK KILA AINA YA KILEVI WANATUMIA
Kuna utekaji unaendelea uraiani huku😢
Masifa tuu hamn kitu wadudu mavi
Makei tu hawa hamna lolote wasengerema tu hawa
Washamba sana hawa.
Mshamba mwenye jombaaa..
Manfongo hana macho au😢😮😂
Cha arusha banaaaa ss ndio nn
Jmn arusha
Kumekucha ilapoleni.na msiba
Wajidai wadudu na pikipiki zao wataisha😂
Washamba tu hawa😅
HAWA NI WALEVI AU ???
Hawo wanakufiraga mkunduu
Enyee ni mbaya tu mbajo.
Tuna machuli sana ani. Ni kwere kwerekwinyo jombaa
Maswali ni mengi sana kuhusu malezi, elimu na maadili ya hawa watoto wetu. Sasa tuwaze mbele zaidi kama jamii ya watanzania : WATOTO WA VIJANA HAWA NA WAJUKUU ZAO WATAKUWAJE?
binafsi naiona Tanzania ya ajabu na ya ovyo sana baada ya miaka 10 au 20 ijayo. Tunapaswa kuangalia sana
Mtaala wetu wa elimu
Mafunzo ya kidini yanayotolewa na viongozi wa kiimani
Malezi yanayotolewa na wazazi hasa hasa watoto kulelewa na single mamas ni hatari sana kwa taifa letu kuliko tunavyofikiri. Kwa maelekezo zaidi na ufafanuzi nitafuteni nitatoa mchango wangu maana jamii ya namna hii sidhani hata kama Mungu anapendewa nayo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Are you Alphonce Isack Kidyala?
@@st.jamese.r6941 yes
Sasa watoto kulelewa na single mother inahusu nn? Basi watafutie wanawake waume
@@NuruRajabu-pf5vb single mothers siyo mpango wa Mungu kabisa. Naomba nitajie andiko la dini yeyote linaloelekeza mwanamke kubeba mimba na kuzaa watoto na kuwalea peke yake.
Kuna athari sana katika makuzi ya watoto na ndiyo kunapelekea haya tunayoyashuhudia
Arusha mnaendesha piki piki vibaya sana, vyombo vya moto havitaki uhuni 😮😮😮
Wasenge nyie
Kwel Arusha Ina vijana wenye mchango mdogo wa taifa
Ujana ushamba mwingi ujinga mwingi na kuto jitambuwa vijana hawa
Chuga vichaa😂kambaalii
Haya ndomadhara yakuida binadam mdudu,hata viongozi kweli mnakubali Hawa wanaitwa wadudu kweli,kaziipo hikikizazi,tunakizazi legelege Sana.
Mbona kuna wanao jiita tembo chui mbuzi hau uwaoni .....tumia akili mr boniface
Arusha yao wadudu waitunie wanavyotaka
Afisa Usafiri ....
Shida hawa jamaaa mara nyingi sana wanakosa adabu kwenye misiba
Utadhani sherehe ya kihuni
Hawajui kuwa wanaenda kwenye jambo la huzuni na majonzi makubwa.
CCM MNALILEA HILO KUNDI NA JINA LAO (WADUDU) MWISHO WATATUSUMBUA MAANA NI KAMA AKILI ZAO ZINAFANANA VILE.
😂😂😂
Ondoa siasa uchwara apa CCM apo wanausika kwa lip
@@thomasmallya2972 KULILEA NI KULE KUWAACHA WAKIENDESHA MAISHA YAO KTK AINA INAYOONEKANA KAMA NI VIJANA WALIOKATA TAMAA WANAWEZA KUFANYA CHOCHOTE, HIVI HAO WADUDU MKIONANA NAO USIKU KICHOCHORONI KWELI KUTAKUWA NA USALAMA? LAKINI MIMI NINAMWAMINI MAKONDAVATAWABADILISHIA MWONEKANO HAWATAKUWA WADUDU BALI WATU WENYE HESHIMA ZAO.
Simuongee vizuri mnaongeaje ivo
Vizuri ndio vipi?!😮
kila mtu na lafudhi yake mfano wa sukuma
Usipange namnagani yachonga
Mbona wewe unanuka mdomo kama mavi hatusemi
,🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiii
Chuga 😂😂
😅😅😅
😂😂😂
Wajinga wajinga ndo mana mnadafanja kingeke
Acha ukuma unatombwa hufuti nini
@@MdogooMdogoo mbona unaongelea tabia zako