WADUDU MAARUFU NANE ARUSHA WABURUTWA MAHAKAMANI, WADAIWA KUCHEZA KAMARI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 280

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 5 месяцев назад +15

    Hawa tuwachukulie kama waathirika wa madawa ya kulevya...wapelekwe sobber house au milembe...tutawaokoa watapona.
    Bangi haijawai mwacha mtu salama..maneno Bangi, mavazi Bangi, mwondoko Bangi....majina Bangi....tuwaombee sana. Serikali kamatwa wote peleka milembe...tutawaponya watoto wetu hawa

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 5 месяцев назад +27

    Yatazuka makundi Kila wilaya km haya ndio serikali ishutuke wapeleke mahali wapewe mashamba walime

  • @florencemseja530
    @florencemseja530 5 месяцев назад +27

    Naishi arusha ila sipo proud kabisa na hii mambo nikizazi gani hiki cha baadae tunategemea niliona wakiwa wamekamatwa lakini nilijua nisawa tu

    • @MassangaMaulidi
      @MassangaMaulidi 5 месяцев назад +4

      Hawatunawaona wako Sawa Lakin hichokizazi baada ya miaka 3 kutakuja tokea kizazi hatar sana kwakweli

  • @bensonmongi996
    @bensonmongi996 5 месяцев назад +7

    Wako sawa jeshi la polisi lazima lifuate sheria katika ukamataji, hayo ni maisha yao walio chagua na wanapata riziki. Nyie mnao sema wakalime watu wote hawazi kulima. Haki ya mtu ni ya mtu

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 5 месяцев назад +26

    Wazazi fungueni macho huu sio ujanja ni jambo baya sana linazaliwa hapo kama hatujui. Hizi sio sifa ni jambo la kuogopeka

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 5 месяцев назад +13

    Mungu tunaomba ulirehemu Taifa letu uzao wetu hata hizi lugha zinazotumika hapa jamani kweli hiki kizazi kinaenda wapi sasa

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 5 месяцев назад +30

    Hawa tunawachekea lakini ni kikundi cha hatari kuna siku tutavuna majuto. Mnakumbuka kile kikundi hatari kule Kenya "MUNGIKI" kilivyo fanya mambo ya ugaidi.

    • @willsonmsuya9261
      @willsonmsuya9261 5 месяцев назад +4

      Hujui kitu kuhusu mongiki

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 5 месяцев назад

      ​@@willsonmsuya9261tueleweshe wewe unaejua sasa

    • @rosemtwaki
      @rosemtwaki 5 месяцев назад +4

      Mimi nawapendaa saanaa saanaa nyie mnaosema vbya je nyie niwasaf

    • @DeruDeru-p4t
      @DeruDeru-p4t 5 месяцев назад +4

      Itabidi Makonda au serikali idhibiti mapema maana hawa wanaonekana mateja kabisa vuta bangi Makonda dhibiti hawa watu itareta hatali badae

    • @meryamabdullah2081
      @meryamabdullah2081 5 месяцев назад +3

      Usitishwe na ongea yao watu wa arusha ndo wanavoongea

  • @WaziriKibado
    @WaziriKibado 2 месяца назад +1

    Nakubali kwa sababu wadudu wa chuga ni wastaarabu sana pia hawana baya wako peace sana mbn🎉🎉🎉🎉

  • @ChristinaKisarika-ju8rt
    @ChristinaKisarika-ju8rt 5 месяцев назад +10

    Mbona watu mnawasema sana,tjis people are really cool minding their own business,Am from Arusha this people are really good and peace
    Stop cursing them .its life they have ,let them live .

    • @Lilmbunah
      @Lilmbunah 5 месяцев назад +1

      Haya ni magenge ya wa huni vijana wa hovyo kabisa kizazi hiki hakina feature yoyote nonsense

    • @AloyseMafuru-z6b
      @AloyseMafuru-z6b 5 месяцев назад

      Big up Santa dada umesema point

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 5 месяцев назад +20

    ila ganja mnavuta Nahizo kamali mnacheza acheni uongo Yani police wawasingizie nyinyi ili wapate Nini

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 5 месяцев назад +10

    Angalieni kwa makini haya makundi ya ajabu ajabu😊

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 5 месяцев назад +9

    😢😢Yaani wote bangi sijui kwann arusha jamn😢😢

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 5 месяцев назад +4

    usemaji waotu,wanaonyesha kuwa ni wala madawa ya kulevya😮mimi ni laiya 🇲🇿

  • @juniorsonofgod5675
    @juniorsonofgod5675 5 месяцев назад +2

    Sema watu wachuga mi nawakubali sana wallah😂😂😂. Wanaongea slow motion hadi raha😂😂

  • @BilhaLaizer
    @BilhaLaizer 5 месяцев назад +1

    Mungu awasaidie vijana hawa wapo vizuri sana na hatujawahi kusikia wamegombana na mtu yeyote au kuchukua cha mtu,hawa wadudu wasiozuri ni hakika hawana baya lolote,hivyo kupitia kilio chao cha kudhalilishwa tunaomba mahakama itoe hukumu kwa haki,mimi ni jirani yao na nikiongozi Moivo nasema tena wadudu hawana baya,pia naomba nijue ni mahakama gani ili tuende SK ya trh 3

  • @WaziriOmari-f3h
    @WaziriOmari-f3h 5 месяцев назад +3

    Huyu chalii alievaa kofia nyeus ameongea point sana tunampenda anaetupenda ila hawa machalii hawana shida bana wazoee tu uhalisia wao

  • @SalamaAkilimali-ly3bu
    @SalamaAkilimali-ly3bu 5 месяцев назад +7

    Jamani hawa watoto mmh m mungu awaondoshee huo mitihani wallah hawajielewi kama wendawazimu mungu awatuwe huo mzigo mlioubebe😭😭

    • @ruthmuja7792
      @ruthmuja7792 5 месяцев назад +2

      Kweli kabisa ni masikitiko😮

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 5 месяцев назад +7

    Ukiangalia sura zao tu utawajua kama watu hatari wachunguzeni vizur

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 5 месяцев назад +5

    Hawa watoto wanasha inaleta aiba acheni makundi 😢mbona vichwa vyao kama vinafanana utafikiri wazalwa mama mmoja😢 watanyishwe wakafanye kazi

  • @hawaa341
    @hawaa341 5 месяцев назад +7

    Hicho Kiswahili tu kama sio watanzani

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 5 месяцев назад +9

    Hiyo lafudhi ni hatari sn, ila Hawa jamaa wanakula mmea, wanapiga gambe Kali , Kuna mdudu anaitwa smoker

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 5 месяцев назад +19

    mnatengeneza utawala ambao baadae watawaendwsha nyie sio kuwaendesha watuu wanafanya vituu vyaa ajabu mnawasapoti wakienda kuzika wanateka bara bara kama vile serekali hamnaa wanapiga makelele watuu wanashangaa wanvunja sheria wanabebana watatu watatu yani shida sana

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 5 месяцев назад +4

      Vijana wa hovyo sana mungu atusaidie vizazi vyetu😢😢

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 5 месяцев назад +7

      Ni kweli itafika point watashindwa kuwacontrol kumbuka Kuna watoto wataiga ni hatari sana hatuwezi usapoti uhuni ,

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 5 месяцев назад +4

      Kuna katrend kakuanza kubariki uhuni ndo Yale wanakamatwa machangudoa wanatoka watu kuwatetea kunakautrend ka ujinga flani hivi

    • @CasmirKiwale
      @CasmirKiwale 5 месяцев назад

      Haiwezi tokea😂😂​@@FahadAbubakari

  • @DotoOmary-i9q
    @DotoOmary-i9q 4 месяца назад

    Wapenii ajiraa hao vijana mtaanii kugumu jamniii 😢😢

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 5 месяцев назад +24

    Mbona HAWA kama walevi JAMANI au macho yangu

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji 5 месяцев назад +7

      Sio walevi tu machiz kbs

    • @DeruDeru-p4t
      @DeruDeru-p4t 5 месяцев назад +4

      Sio wewe tu hata mm naona bangi tupu hapo

    • @faithstephen3690
      @faithstephen3690 5 месяцев назад +4

      Hawa bangi nyingi

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 5 месяцев назад +2

      Kweli kabisa wataharibu vizazi vijavyo wakifumbiwa macho, hawa wavuta ugoro bangi,wawekwe gerezani walime bustani, wakitoka huko watakuwa wamepata ujuzi, wezi hawa hawana maadili kabisa hata heshma hamna, Mie sipendi ujinga ,kunguni hawa

  • @laizakimalokileli8560
    @laizakimalokileli8560 5 месяцев назад +23

    Yaani binadamu mwenye akili unaenda kujiita mdudu 😱

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 5 месяцев назад +9

    Hawa ni wasanii kama wasanii wengine sema na ongea yao ndo lafudhi ya kiarusha

    • @rahema1992
      @rahema1992 5 месяцев назад +3

      Yan tunapata tabu sana huku mikoani kwa ajili ya hii lafudhi kama mm najitahidi kubadilisha lkn cwez hata kidogo mana nimezaliwa Arusha nimekulia Arusha

    • @bakarikisuda4948
      @bakarikisuda4948 5 месяцев назад +4

      Bangi avute konde wakivuta wadudu bangimbaya,,, mijitumingine,bahna!

  • @sbkide8624
    @sbkide8624 5 месяцев назад +1

    Hadi mwenye komwe ana machuri kinyama

  • @edsonipaulo
    @edsonipaulo 5 месяцев назад +2

    MUONEKANO WA NNJE UNAWEZA KUKUFANYA UWE MTUMWA ningumu kuwaelewa lazma waumie😢

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 5 месяцев назад +2

    😂😂😂 Ayo kula 5 yani umewatembezea Mike wote ili tu mtuvunje mbavu

  • @georgekimario228
    @georgekimario228 5 месяцев назад +11

    Bangi So sifa

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 5 месяцев назад +3

    Nendeni ivyo ivyo mahakamani na maneno yenu ya kihuni muone kama mtatoka 😂😂

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 5 месяцев назад +11

    Bange nyingi

  • @halimamremi5375
    @halimamremi5375 5 месяцев назад +1

    NA HUYO ALIOVAA KIISLA NI MBAYA SAANA MKRISTO KUVAA NGUO ZA KIISLAM NA KUFANYIA MAMBO YA MABAYA HP MT ANAWEZA SEMA MUISLAM JAMANI SIO VIZURY KABISAA

    • @JULIUSNCHAGWA
      @JULIUSNCHAGWA 5 месяцев назад

      Acha ulimbukeni hamnaga nguo za kiislam ww zoba

    • @RosemaryShilla-dr6kp
      @RosemaryShilla-dr6kp 5 месяцев назад

      Kunakiwanda changuo zakiislam wapi nawe. Nahao niwasanii kama wasanii wengine.

  • @LeiyoLaizer
    @LeiyoLaizer 2 дня назад

    😂😂😂😂😂 kama ni mbaya mbaya

  • @JosephSix-d9m
    @JosephSix-d9m 15 часов назад

    Hao hawana baya na nzii yeyote na wanatafut ridhiki tu kwa mtindo wa kuact kihuni,mbona joti hawamkamati

  • @WaziriOmari-f3h
    @WaziriOmari-f3h 5 месяцев назад +1

    Mpaka mahali walikoficha ligari lao nimecheka 😂😂

  • @zitongwang6278
    @zitongwang6278 5 месяцев назад +2

    Wanavoongea Tu na hayo majina wanayojipa mara vandisel , mara nin huu NI uhuni utupu afu NI machalii Tu , they need to change for real

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 5 месяцев назад +2

    Wadudu mbwa nyie 😂 mnatishwaje na wanadam😅

  • @DerickSiara-dy7xo
    @DerickSiara-dy7xo 5 месяцев назад +2

    Mijitu mizima mnajiita wadudu😵

  • @EmanuelAllan
    @EmanuelAllan 5 месяцев назад +1

    Watoto wanavuta sana Bangii hao

  • @machakuroger7068
    @machakuroger7068 5 месяцев назад +1

    Hivi hawa wadudu wa Arusha sio sawa na watoto wa ibarisi wa Tanga au Panyaroad wa dar, wanaweka kuwapa sio wazuri usiku kafanya uhalifu

    • @OmaryZuberi-o3b
      @OmaryZuberi-o3b 5 месяцев назад

      Bangi ukiitumia lazima uibe yaani inakutum ujaribu jaribu vitu

  • @RosemaryShilla-dr6kp
    @RosemaryShilla-dr6kp 5 месяцев назад

    Yani kweli nyie hamjui kula na vipofu mheshimiwa Makonda ndio jembe anaeweza kuishi ata na vichaa. Ivi hamjui mkiwatumia vizuri hao mtajua mengi yavichochoroni msioyajua leo mnawanyanyasa.

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 5 месяцев назад +2

    Naheshimu hili jina la ayo tv ila wapuuzi hawa hawafai hata kuwaskiliza

  • @emanuelwakawenga4023
    @emanuelwakawenga4023 5 месяцев назад

    Malaika alikuwa mmeru kaachia baridi 😂😂😂😂

  • @brucardkomba616
    @brucardkomba616 5 месяцев назад +2

    Hawa ni marafiki wa RC AU sio

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 5 месяцев назад +1

    Unaweza kuta police waliwamaindi2 cjui maana mimi pia police siwaaminigi kabisaa.

  • @TheChapakazi
    @TheChapakazi 5 месяцев назад

    Huyu mwenye kofia nyeusi namfahamu nilimwacha shule alikuwa mpole sana ,akitoka unamwona n direct home aongeagi na watu ,sa hizi ndio uyu

  • @RosemaryShilla-dr6kp
    @RosemaryShilla-dr6kp 5 месяцев назад

    Akuna bange jamani niajira yao wamejitengenezea. Kwaiyo mnataka wavunje miji yawatu? Ebu waacheni wadudu

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 5 месяцев назад +6

    bangi tupu hao peleka jela

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 5 месяцев назад

    😂😂😂 Yani unahitaji sayansi ya darasa la IV tu kutambua kuwa wadudu ni wadudu kweli

  • @gilbertasenga9352
    @gilbertasenga9352 5 месяцев назад +6

    MACHULE ni MACHUNGU(Maumivu+Hasira) 😂😂 Kwa ambao hamjui

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 5 месяцев назад +7

    Dakika za mwisho wametoa kibwagizo jinsi walivyo gala gazwa😂😂

    • @DeruDeru-p4t
      @DeruDeru-p4t 5 месяцев назад +2

      Kumbe umeona nimecheka jaman dunia inamambo hii hatali

    • @beatricekatunzi3721
      @beatricekatunzi3721 5 месяцев назад +2

      Igizo igizoni..Mchezo mchezoni..Kumbe Wana na Manager wao😂😂😂😂..ILa Arachuga jamani Nimecheka sana aisee

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc 5 месяцев назад

    Hivi hawa viumbe ndo waliokaa na Rc na kula nao kiapo na kuwapa nafasi ya kuwa sehemu ya walinzi wa jiji la Arusha. Aah mbona nahisi kizunguzungu jamani nchi yangu.

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 5 месяцев назад +2

    Badiliikeni acheni bangi na mirungi hata kuongea tu inaonyesha mna matatizo makubwa

  • @Mzalendo14
    @Mzalendo14 5 месяцев назад +4

    WATOTO WA MAMA SAMIA 😂😂😂😂😂 WANA MACHULE NKINYAMA BABLAH😂😂😂😂😂

  • @YusuphMarcOgaga
    @YusuphMarcOgaga 5 месяцев назад

    Haaaaaaaa ety iyo winter...alafu malaika alikuwa mmeru

  • @simonmelita-sy2cl
    @simonmelita-sy2cl 5 месяцев назад

    Poleni dana wadudu waungu

  • @omaryshabani3480
    @omaryshabani3480 5 месяцев назад

    United State of Arusha..

  • @ukweli255
    @ukweli255 5 месяцев назад +3

    wadudu wanatukanwa na kukashifiwa sana na watu wa DAR...wakati Dar ndio kuna makundi mengi ya ovyoooo
    Mungu awalinde vijana,hata Wabunge wetu wamekaaaa Kiduduuu

  • @immaknight4414
    @immaknight4414 5 месяцев назад

    WADUDU FULL OF COMEDY ATA WAWE SIRIAC😅😅😅😅😅😅

  • @halimamremi5375
    @halimamremi5375 5 месяцев назад

    YARABBY TUSAIDIE NA HAWA WATOTO HIYO KUONGEA YAOO TUU INATISHAA SI JUI WAVUTA MABANGI MUNGU WASAIDIEE JAMANI!!! 😢

  • @affaanothmaan6287
    @affaanothmaan6287 5 месяцев назад

    Wazazi amkeni! Kizazi kinaangamia hiki!
    Na nahisi hawa wapuuzi wakija kushika Nchi Kamusi zitabadilishwa..
    Eti Machule,,,!!

  • @EwaldAntony
    @EwaldAntony 5 месяцев назад +4

    Machaliii wame onewa

  • @NeemaMartin-om1cz
    @NeemaMartin-om1cz 5 месяцев назад

    😂😂😂Eti wadudu wa Mungu

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 5 месяцев назад

    Hawa wavhukulieni waathirika wa madawa yakulevya bangi nyingi vibaka pia hawa ni hawa vibaka waa arusha

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 5 месяцев назад +6

    Kujiita wadudu ni sifa,au ni ujinga.

  • @wisemaliva5376
    @wisemaliva5376 5 месяцев назад

    Mshojiano ya Nini Kila wakati mnawapa jeuri wanafanya makosa kwa kujiamini Kama wamekutwa wanatenda kosa kwa Nini wasiadhibiwe. Au basi

  • @davidrweyemamu938
    @davidrweyemamu938 5 месяцев назад

    Kenya inasumbuliwa na vijana kama hawa maana hata hawa wanaiga kutoka huko.

  • @jacobmwalituke8981
    @jacobmwalituke8981 5 месяцев назад +1

    Mmepapaswa tu nyie,bado hamjasema mamae

  • @shikuhata
    @shikuhata 5 месяцев назад

    😂😂😂😂 we fikia tu maneno ya mwisho na kibwagizo walivyokula mbata

  • @sammychansa1797
    @sammychansa1797 5 месяцев назад

    Hapo hamna mwizi ata moja km hujawahi kaa arusha huwez elewa

  • @GeorgeKayamba
    @GeorgeKayamba 2 месяца назад

    Hawa mbna wapo fresh tuuuu

  • @FakihiNapunda
    @FakihiNapunda 5 месяцев назад

    Mnatamka maneno vibaya! Hamna adabu hamvutii kabisa badilikeni huu sio ujanja ni ujinga! Sio nidhamu hii mnatengeneza kizazi cha ovyo na cha kihuni. Bure kabisa!

  • @jacksonmacha.8613
    @jacksonmacha.8613 5 месяцев назад

    Ilaaa we jamaaa...

  • @Magreth-f2j
    @Magreth-f2j 5 месяцев назад

    Yaani haya ni madudu ndani ya wadudu wa Arusha hyo lugha ya kipumbavu hawa kila aina ya uchafu wanafanya

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 5 месяцев назад +3

    Sasa Hawa wanatoa ujumbe gani kwa vijana mbona maadili amna

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 5 месяцев назад

    Haya si mambo ya kuwashangilia , tunatengeneza kizazi gani

  • @magrethmichael7344
    @magrethmichael7344 5 месяцев назад

    Ati wadudu wa Mungu😂😂

  • @omarybacary3303
    @omarybacary3303 5 месяцев назад +1

    Afu mwandishi ukikosa habari ya kuripoti tulia tumeshawachoka hao wavuta bangi

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 5 месяцев назад

      Mwandishi koma acha kabisa kutuletea upuuzi, mambo ni mengi yamaendeleo leta hayo, achana na hizo kunguni bangi ugoro

  • @Magreth-f2j
    @Magreth-f2j 5 месяцев назад

    Wadudu jsmani yaani hvi kweli tunafugs watu kama hawa hawaeleweki wakalime mashamba

  • @BakariMakame-j5f
    @BakariMakame-j5f 5 месяцев назад

    Huku Zanzibar bangi kawaida izo lugha ndo tatizo kifaransa itali kiarabu kama hao hawaeleweki

  • @kingmsanya3524
    @kingmsanya3524 5 месяцев назад

    Naomba ni fikishie salamu kwa pastor golani

  • @marcoenock4596
    @marcoenock4596 5 месяцев назад

    Wanataka kumchafua RC Makonda Ila wamefeli Wadudu pigeni Kaz Mwanzo Mwisho haogopw mtu Tunampenda anae tupenda,,,tuendelee kutafta Maokowizeee

  • @bongo39
    @bongo39 5 месяцев назад +4

    Makonda hao wadudu unawapa uhuru mkubwa wa kufanya watakacho tumeona ktk boda walivyopewa uhuru sasa hawakamatiki wala hawaambiliki wamekua kundi ambalo kila kukicha wanatia vilema watanzania na wauwaji wakubwa wa wananchi na wamekuwa wahalifu wakubwa uelewe kuwa unatengeneza bomu kwa wananchi na mkuu mwengine atakae kuja hapo arusha utakapo chaguliwa kiti au mkoa mwengine ni ushauri

    • @samwa9496
      @samwa9496 5 месяцев назад

      HIYO RAFUDHI NA UONGEAJI NDIO LUGHA YA ARUSHA SIO HAO HATA AMBAO HAWAVUTI NDIO LUGHA ZAO

  • @isabujoisabujo1214
    @isabujoisabujo1214 5 месяцев назад

    Hawajachezea kipigo Hao Mbona wataropoka Yote tuu

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 5 месяцев назад

    Mwandishi jaribu kuangalia mtu wa kumhoji make hata huyo dogo yupo ndwiii anachokuongea hakieleweki

  • @PatrinusSanga
    @PatrinusSanga 5 месяцев назад

    Kweli kizazi hiki ni hatari

  • @jameschaulema8222
    @jameschaulema8222 5 месяцев назад

    Somba wote wakufilie jela hamna kazi hapo zaidi ya kuhalibu vijana wengine😂

  • @JosephM.meiliari
    @JosephM.meiliari 5 месяцев назад

    Hii milard ayo imeacha mambo ya msingi Sasa imehamia kutuletea habari za kipuuzi

  • @truthnafact9081
    @truthnafact9081 5 месяцев назад

    Van dizel mdudu ndani ya mbanyu....Rasta man

    • @SalumManondo
      @SalumManondo 5 месяцев назад +1

      Arusha.ni.sayari.ingine.wa.dudu.hawana.kwere😂😂😂

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 5 месяцев назад

    Mimi nipo arusha lakini siwafurahii kabisa hawa vijana sipendi kabisaaaa

  • @RoseKimath
    @RoseKimath 5 месяцев назад +2

    Hawa wamezidi sasa tatizo wanalewa sifaa dawa yako wafungwe ata mwaka mmoja kila siku wawe wanachapwa bakora kumi kumi asubui mchana na jioni tuoke kama hawatabadilikaa mapuuzi haooo

  • @Mkemia..Kirigiti
    @Mkemia..Kirigiti 5 месяцев назад

    Waacheni hao machalii bana😅

  • @janemushi850
    @janemushi850 5 месяцев назад

    Ee Mungu jmn vizazi vyetu hivi serikali msilifumbue macho hili ndo baadae linakuwa kundi kubwa

  • @remytory8001
    @remytory8001 5 месяцев назад

    Na nyie nao mmezidi kuwapa airtime sana hawa wapuuzi

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 5 месяцев назад +1

    Kwanini msibadilishe muonekano nauomgeaji kama vibaka wakutshia amani

  • @evaristjoseph8151
    @evaristjoseph8151 5 месяцев назад

    Ni kiswahili Gani hiki

  • @JacobMavika
    @JacobMavika 5 месяцев назад

    Hawa wapumbavu serikali isiwaache waendelee kuvuta mabange watakukuja kua vichaa kbs makuma hawa

  • @stanleygeorge-lg8et
    @stanleygeorge-lg8et 5 месяцев назад

    Ata mimi enyewe nina machule kintama

  • @realswahilicultural8140
    @realswahilicultural8140 5 месяцев назад +1

    Huu ni uduazi hamna Cha kipaji hapo