RAIS SAMIA AKASIRIKA - "WAMEOTA MKIA - TUTASHUGHULIKA NAO - UKIMYA WANGU SIYO UJINGA"....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 месяца назад +8

    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @suleimansalym7537
    @suleimansalym7537 3 месяца назад +109

    Intelligence inayotumika kujua Siri za mikutano pia itumike ktk kuwatambua watekaji na wauwaji wa watu sio tu kujua Siri za mikutano ya vyama vya siasa

    • @ZariaAbdullah-r5t
      @ZariaAbdullah-r5t 3 месяца назад +2

      Wana juli kana wanatoka chadema

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад

      Kuwajua siyo sababu tunataka wakamatwe wapewe hazabu​@@ZariaAbdullah-r5t

    • @ashamkesa979
      @ashamkesa979 3 месяца назад +4

      Wakipewa nchi hao tumekwisha

    • @CostansiaKimaro
      @CostansiaKimaro 3 месяца назад

      C
      My,.!à❤❤❤❤❤​@@ashamkesa979

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 3 месяца назад +5

      Mwanachama wa Chadema akifa ni mtu ila wengine wakifa sio watu husikii kelele zozote

  • @fatumapedersen193
    @fatumapedersen193 Месяц назад

    Mungu hakubarikie sana raisi wetu samia na Mungu ibariki Tanzania na watu wote na chama cha mapiduzi hoje.

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 3 месяца назад +13

    ..NCHI hii Ina intalgensia kubwa....MAMA🙏Tunakuomba tuskie ,tione wauaji,watekaji kwa kutumia intelgensia ya NCHI yetu kukamatwa kwao kwa haraka MAMA YETU TUNAKUOMBA😢😢😭😭🪖🪖🪖

  • @lucaskiswizah7097
    @lucaskiswizah7097 3 месяца назад +112

    Kama mnaweza kubaini vikao vya Siri vya wengine,mnashindwaje kubaini wanaotekwa na kuuawa,Nani anafanya

    • @tobiaspaul9203
      @tobiaspaul9203 3 месяца назад +16

      Wanawatuma wao watawabaini vip

    • @abdulabdul6370
      @abdulabdul6370 3 месяца назад +8

      nenda kawe rais wa nchi uajiri polisi mmoja awe analinda raia mmoja, kila raia awe na polisi wake

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 3 месяца назад +15

      hapo Sasa,hiyo inathihiri kuwa CCM ni wahusika wakuu wa haya mambo ya utekaji.

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 3 месяца назад +6

      nitanzaniatu,inchi zingine wanashika na kuwajibisha wahalifu lakini wewe umeshindwa.

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 месяца назад +5

      Wanao tekwa ndio wahusika Wakuu wa kuvuruga amani Nchini, sikiliza hotuba kwa makini na Uwe na busara, Rais Ni Taasisi na akiamua jambo huwa kapata maelekezo ya kina na ya kutosha, waache mipango yao ya uvunjifu wa Amani

  • @KabeahHaruna
    @KabeahHaruna 3 месяца назад +42

    Pole mama hujui nn Cha kufanya na jeshi lako la ccm Hilo sio jeshi la police mama

    • @NeemakimathKimath
      @NeemakimathKimath 3 месяца назад +2

      Kwetu ayakuwepo kwetu mama yakanye Aya Kwa polic wanaoteka watu ovyo na kuwauwa

    • @juliusnyerere5393
      @juliusnyerere5393 3 месяца назад

      Mwite msms yako na baba yako aongoze. Yeyey

    • @makoromaregesi4891
      @makoromaregesi4891 3 месяца назад

      Kama SII jeshi la police la nchi yetu Unda la kwako hiyo ndiyo mama anabusara zote

  • @AmraniRamadhani
    @AmraniRamadhani 3 месяца назад +44

    Kifo sio kifo, Kuna tofauti kati ya kufa na kuuawa

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 месяца назад

      Chote ni kifo chatofautian na mazingira tu mwengin atakufa kwa kuuliwa au vyenginevyo

    • @AmraniRamadhani
      @AmraniRamadhani 3 месяца назад +5

      @@AmourAmour-ux3nm unaposema kifo ni kifo, ni kutaka kuwafanya watu waone ni kawaida tu hata mtu akiuliwa ,waone ni sawa tu

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 3 месяца назад

      Kifo=kitu chochote ambacho kinasababisha kiumbe kuacha mwili. Kama ni kisu mimemuua, kisu hicho ndo kifo

    • @AwesaMtiningu
      @AwesaMtiningu 3 месяца назад

      Kifo ni kifo mbona yeye na watoto wake hawajauwawa wangeuliwa hata wajukuu zake basi alaf leo aje aseme kifo ni kifo!maisha magum tunapigwa jua tumekubal hata kuuliwa tukubal jaman,kifo na kuuliwa ni vit viwil t0faut,alaf nipen kura zenu sie tukae njaa na kuuliwa Tanzania hakuna aman tunaogopa kuwapeleka madras kusoma.

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 3 месяца назад +6

    MH. RAIS SAMIA....HAKI...HAKI....HAKI....HULETA AMANI YA KWELI POPOTE DUNIANI.

  • @thetruth8979
    @thetruth8979 3 месяца назад

    sema mama sema❤❤❤❤ Allah atakulinda amiin

  • @hamisiHamza-q8l
    @hamisiHamza-q8l 3 месяца назад +39

    Ww unatuletea siasa, watu wanakufa

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 3 месяца назад

      Wewe kufa tu hujakatazwa

    • @matalo0551
      @matalo0551 3 месяца назад +2

      ​@@maalimhamad1297duuuuuuuh....are you a beast or a human being?

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 3 месяца назад

      @@maalimhamad1297 Aisee

    • @AGM19697
      @AGM19697 3 месяца назад

      ​@@matalo0551Unatia mashaka, Mwenyezi Mungu azioonye fahamu zako

    • @ABDULRAHMANIDAS
      @ABDULRAHMANIDAS 3 месяца назад

      Kapambane uvunjwe miguu pumbavu ww

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 месяца назад +25

    Unapaswa kuwa na taarifa za wauaji wanaoua pia taarifa zake unapaswa kuwa nazo kama watu wanaoua pia taarifa za watekaji uwe nazo taarifa zao kama interejensia unazo inakuwaje hupewi taarifa za hao watekaji na wauaji hiyo interejensia yako inafanyaje kazi

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 3 месяца назад

      Peleka wewe taarifa za vifo vyao 😂😂😂😂😂

    • @saidisaidi4502
      @saidisaidi4502 3 месяца назад

      Ulitakiwa uwe kuzimu ukamwambie baba yako magufuli

  • @FredMhango-zj7gz
    @FredMhango-zj7gz 3 месяца назад +6

    Hata sijui anazungumza ugoro gn huwez kupamba na wananchi

  • @AliVuai-cv8xv
    @AliVuai-cv8xv 3 месяца назад +2

    Endelea kubarikiwa mama🎉🎉🎉

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 месяца назад +26

    Mmekwisha lewa madaraka siyooo 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @johnisaac9749
    @johnisaac9749 2 месяца назад

    Mungu aingilie kati mana nahisi kuna kitu hakipo sawa katika nchi yetu

  • @MylaJoel-h2p
    @MylaJoel-h2p 3 месяца назад +36

    Wanafiki wanapiga makofi....SAMIA MUST GO

    • @shabaniduduma8885
      @shabaniduduma8885 3 месяца назад

      you gay go first

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 3 месяца назад

      How did you know that ? Gay??? Mmmg

    • @Ambwene
      @Ambwene 3 месяца назад +1

      ​@@shabaniduduma8885Mpe tako akufire mbwa wewe

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 3 месяца назад

      Go where tulia ww tafuta kipata chako

    • @paulrwechungura4284
      @paulrwechungura4284 3 месяца назад

      Acha ujinga ,nenda wewe mwenyewe achana na Rais wetu Rais mzalendo,

  • @MlanjaAngel
    @MlanjaAngel 3 месяца назад

    Mama Mungu akubariki tutazidi kukutegemeza kwa maombi Mungu akupe roho yahekima

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 3 месяца назад +36

    MIMI NAAMINI INTERENSIA NCHINI NI YA NKULINDA VIONGOZI NA VIEO VYAO, SI YA KULINDA RAIA NA MALI ZAO!!! NDIVYO NINAVYO AMINI.

    • @barakamachard1944
      @barakamachard1944 3 месяца назад +3

      Na hivyo ndivyo ilivyo.

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 месяца назад

      Eeeeeeh na kam ingekuwa hivyo wew na familia yako ingekuwa matatizoni bal nchi nzima utakuf kwa chuki ndugu kuw mkweli

    • @ericksimon3899
      @ericksimon3899 3 месяца назад +1

      ​@@AmourAmour-ux3nmkwahiyo unataka kumuuambia kuwa waliotekwa nakuuawa walikuwa na chuki?

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 3 месяца назад

      Ahahha aibu naona mm

    • @salehpandu2250
      @salehpandu2250 3 месяца назад

      Inaelekea huna Mali ndomana unahisi hivyo

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 3 месяца назад +1

    Pole Sana mheshimiwa rais na jeshi letu kwa ujumla kazi iendeleee na wavunjifu wa amani washughulikiwe kuliko wezi na vibaka

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq 3 месяца назад +20

    Ukali huo ungeutumia kuonya watekaji

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 месяца назад

      Tumia jina lako halisi kenge wewe.

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 3 месяца назад

      ​@@rayisadesigns2646Huna akiri wewe unafikiri kila Muislamu ni Mpumbavu Taahira kama wewe !!!! Waislam wa Tanzania bara wanazo akiri kichwani wewe hujitambuwi na wewe siyo Mtanzania bara wazi umejionyesha.

    • @RamseykingGenius
      @RamseykingGenius 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂 kwanza kijasho kimemtoka🎉🎉🎉🤪😋😋

  • @EdwardMashauri-e7e
    @EdwardMashauri-e7e 2 месяца назад

    Safi sana safi sana Mkuu wa nchi yetu.

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 3 месяца назад +9

    Jipe moyo mama,siku Mungu akisema baaasi hakuna wa kuzuia

  • @rashidlwengo6940
    @rashidlwengo6940 3 месяца назад +2

    Asante Sana mama nimependa

  • @Jeremiahlukumay
    @Jeremiahlukumay 3 месяца назад +26

    Uwongo uwongo Tena uwongo,hatujashikamana,umetubagua kwa kuuza Tanganyika yetu na kujenga Zanzibar.

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 месяца назад +1

      Ndugu hem kuw mkweli linganisha miradi ya bara na Zanzibar halafu ndio useme

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 3 месяца назад +1

      Acha kutafuta kiki ktk mitandao nguruwe poli wew

    • @shabaniduduma8885
      @shabaniduduma8885 3 месяца назад

      kanawe we unaechamba kwa makaratas

    • @KalicKaguz
      @KalicKaguz 3 месяца назад

      Acha mambo yako hayo

    • @ABDULRAHMANIDAS
      @ABDULRAHMANIDAS 3 месяца назад

      Na huyu pumbavu nae katoka wapi? mnatuletea hoja ya tanganyika leo, hawa watu wapumbavu sana, yaani mnaturudisha miaka ta 47 hakuna nchi inayoitwa tanganyika tuna nchi inayoitwa tanzania.

  • @chikukazumba6768
    @chikukazumba6768 3 месяца назад +1

    Ma shaallaah mwenyezi mungu akuweke🙏🤲🏻❤️ kwa jili yetu sisi wamam na watoto sie ndio tutaokuja kuteseka sana nchi ikingia kwenye machafuko

    • @MackMustafa
      @MackMustafa 3 месяца назад

      Wewe ni m,binafsi akuna anae taka vita ila tuna taka amani ya kweli na haki Ayaja kukuta watu wanakufa kisa siyo ndungu yako ndiyo mana una mpongeza shoga yako pole sana😂😂😂😂

  • @AbdallahHamisi-c6x
    @AbdallahHamisi-c6x 3 месяца назад +3

    Piga kazi mama tupo pamoja na wewe❤

  • @duasaidi6676
    @duasaidi6676 3 месяца назад

    Nakupenda mamayangu😊❤❤❤

  • @catherinefaney948
    @catherinefaney948 3 месяца назад +6

    Mungu atawashinda maadui wote wa nchi yetu, ee Mungu mlinde Rais wetu,tulinde na sisi na maovu yote.

  • @RamseykingGenius
    @RamseykingGenius 3 месяца назад

    Mbona kama amepaniki😂😂😂😂au sijasikia vizuri😊😊dawa ishawaingia na bado💪🏿serikali ya jamuhuri ya samaki dah😔😔😏📌

  • @sarahkadugu4367
    @sarahkadugu4367 3 месяца назад +9

    Aminaaaaaa! Mkuuu , piga kazi tusonge mbele. Mwenyezi Mungu atusaidie sanaaa❤

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 3 месяца назад +2

      Watu wanakufa kibwege huko mtaani wewe unashukuru nini sasa hapo!

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 месяца назад +2

      Siku ukitekwa ww au ndugu yako ndio utaacha kusifia sifia ovyo

    • @mariaalenge2106
      @mariaalenge2106 3 месяца назад +1

      huyo mama ana ona na ana juwa nili wambia wa Tanzania acheni ushabiki Tanzania uchaguzi ukifika ndipo tuna sikia utekaji mbona siku nyingine za nyuma atuku sikia kutekwa kwa watu fungu keni macho

    • @VedastusMtesigwa
      @VedastusMtesigwa 3 месяца назад

      Mhuuuuuu ! Makofi hayo yanaashiria nini ! Hatuhitaji Kuelekezwa KWELI wakati sisi si kisiwa na hatuna LA kwetu labda kiburi chetu tu ! Tutafakari upya

    • @matalo0551
      @matalo0551 3 месяца назад

      Watanzania wanaangamia kwa kukosa maarifa

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 3 месяца назад +1

    Asante Sana Mama wewe ni Mama wa kipekeee Sana Simama Imara usiyumbishwe kabisa najivunia sana Nchi YANGU ya Tanzania sema Mama usikike

    • @reginas1832
      @reginas1832 Месяц назад

      Killer Mungu akutane nae

  • @mwanaishadaudi6168
    @mwanaishadaudi6168 3 месяца назад +14

    Asante mama Mungu akuzidishie hekima

  • @OmaryAlly-z7q
    @OmaryAlly-z7q 3 месяца назад

    Mm nakuita bibi munguvakuweke Dua nying tunakuombea hutum imeelewek Allah akup subra

  • @AmbakisyeMbwaga
    @AmbakisyeMbwaga 3 месяца назад +24

    Hatuna kiongozi

    • @matalo0551
      @matalo0551 3 месяца назад +1

      Exactly 💯

    • @ABDULRAHMANIDAS
      @ABDULRAHMANIDAS 3 месяца назад

      kamlete baba yako aongoze pumbavu na nusu wewe

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 3 месяца назад

      Nenda uongoze ww mjinga ww

    • @EricMhongole
      @EricMhongole 3 месяца назад

      Unafikir kuongoza nchi ni kama familia yako, huna akili wewe. Hebu tumwache mama yetu afanye kazi yake.

    • @johnShirima-q8p
      @johnShirima-q8p 3 месяца назад

      Hii nchi sijui nan alituloga!! Ukiongea ukwel unatfiriwa vibaya tena kwa makusud, na mnanikumbusha maneno ya maguful, tumelogwa na nani bas mtuombee mashekhe na mapadri.😢

  • @SesiliaCheyo-t6w
    @SesiliaCheyo-t6w 3 месяца назад +1

    Mungu akupe nguvu mama

  • @benardkinde8496
    @benardkinde8496 3 месяца назад +15

    Tumekwisha tumekwisha Mungu wa mbinguni aingilie kati atusaidie maana mimi nilijua kabisa mama amekuja kukata mzizi wasiojulikana wajulikane watekaji watesaji na wanaoua watu wasio na hatia wajulikane na shelia kali zidi yao zichukuliwe oooooo tumekwisha Mungu wa mbinguni okoa Tanzania tunaomba uokoe Tanzania na watu wake

    • @AGM19697
      @AGM19697 3 месяца назад

      Hakika tunamwitaji Mungu kama taifa

  • @MonicaMushi-z8s
    @MonicaMushi-z8s 3 месяца назад

    Daa! Hii nchi imekuwa noma sanaa.Mungu aingilie kati.

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 3 месяца назад +18

    Watz tunahitaji police service siyo police force

  • @kokutonakogile7605
    @kokutonakogile7605 3 месяца назад

    Asante mama yetu kwa hotuba nzuri yenye maneno ya kututia moyo hakika Amani ya nchi yetu tuilinde sisi wenyewe,wapelekeeni Moto wale wotewanaotaka kuvuruga amani ya nchi yetu

  • @FruitfulMpanduji
    @FruitfulMpanduji 3 месяца назад +3

    Jamani kuuwana sio utamaduni wetu .. Amani idimishwe

  • @duasaidi6676
    @duasaidi6676 3 месяца назад +1

    Asante mama❤❤❤❤❤❤

  • @JoyceGeremier
    @JoyceGeremier 3 месяца назад +13

    Hamna nchinii hapaaa

  • @MkudeSimba-p3f
    @MkudeSimba-p3f 3 месяца назад +2

    Hongera mama

  • @rostandunguru2010
    @rostandunguru2010 3 месяца назад +13

    Mh. Mama samia ss tuna imani na wewe mungu Akurinde daima Amani yetu ni mhimu sana

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 3 месяца назад +1

    Safi bi mkubwa 🇹🇿👏🇹🇿💯🇹🇿🇹🇿

  • @MaryMwamwezi-xm3iz
    @MaryMwamwezi-xm3iz 3 месяца назад +16

    Yaani mama nakupenda bureee. Huna makuu mama yangu wewe. Ee mwenyezi mungu .mkumbatie rais wetu. Mitano tenaaaa

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 3 месяца назад +1

      Mama haya uliyataka mwenyewe baada ya kuwapa Uhuru wa kurudi na kuzungumza sasa wanakutukana enzi ya magu walikimbiya wote hawa inchi ikawa burudani sasa umewapa ruhusa leo kila cku kelele kutwa maandamano kazi watu hawafanyi hawa ni wahuni mama. hebu shughulika nao kwanza.

    • @efrempeter4991
      @efrempeter4991 3 месяца назад

      Mwongeze mitano utekwe😅

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 3 месяца назад

      Na ​alie taka kuwauwa leo hii si ndo mwendazake na huyu mama yatamkuta ya yule yesu wa chato

    • @StevenGendo-vx9jo
      @StevenGendo-vx9jo 3 месяца назад

      Kampe mitano atawale nyumban kwenu

    • @Gerrald-j4h
      @Gerrald-j4h 3 месяца назад

      Umelaaniwa wewe na mama Yako mawakala wa mashetani😢

  • @abubakaranwar337
    @abubakaranwar337 3 месяца назад

    Asante mama dumisha amani

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 3 месяца назад +35

    Mnashindwaje kubain watekaji kama hiyo mnaipata

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 3 месяца назад

      SACCOOS NA MAPALOKO NDIO WABAKAJI NA WATEKAJI SOON TUNAJUA HILO 😢😢😢😢😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад +2

    Tunakupenda mama unafanyakaxi. Nzuri wanaokuangusha wengine wachachetu. Allah akulinde mama yetu. Kikubwa watekaji wakamatwe wauliwe na wao. Mama mitano5 tenaaaaaaa🤲

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 месяца назад +8

    Kwa kauli zako umeruhusu mauaji yaendelee siyo Mungu atashughulika na wewe

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 3 месяца назад

    Wasikuchukulie wewe ni mwanamke ni Kweli wewe ni mwanamke lalini ni mwanamke Wa shoka kongole nyingi Sana kwako raisi wetu mpendwa mungu Akubariki sana Tena sana endelea kudumisha amani na Upendo walio tuachia wazee wetu hapo ata Mimi nimependa

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 3 месяца назад +3

    SAFI SANA MAMA MIMI NAKUOMBEA MUNGU AENDELEE KUKUPA UJASILI WA KUHAKIKISHA MABEBERU HAWATUVULUGII AMANI YETU

  • @AnnaPaul-n6r
    @AnnaPaul-n6r 3 месяца назад

    mama muogope mungu tenda haki uku ukijuwa mungu anakuwona

  • @MARIAMUBAJUTA
    @MARIAMUBAJUTA 3 месяца назад +4

    Nakupenda Raisi wangu

  • @geofreymbilinyi8023
    @geofreymbilinyi8023 3 месяца назад

    Good speach my president vivaaaaa SAMIA WE LOVE YOUUUU

  • @rizikiminga3010
    @rizikiminga3010 3 месяца назад +27

    Inteligence kwenye kuwanyanyasa chadema, ila inteligence kwenye kuchunguza haki za watu hamuwezi, shame to you mrs. President😂

    • @AbdallaJuma-tx5ck
      @AbdallaJuma-tx5ck 3 месяца назад +1

      Watanganyika wengi wao ni tamaa wanatoa watoto wako ili wapate hela kutekana Tanganyika ni jambo la kawaida Sababu akili ya mtanganyika katika maisha yake ni HELLA.kitu hela Kwa mtanganyika yupo tayari kuuwa watu wote.

    • @OmaryAlly-z7q
      @OmaryAlly-z7q 3 месяца назад

      Ww mjing zinduka

  • @duniakidogo8516
    @duniakidogo8516 3 месяца назад +1

    Zungumzia HAKI zaidi. Vitisho si sahihi

  • @Joycejerad
    @Joycejerad 3 месяца назад +8

    Ndio maana nasemaga msiwalaumu polisi wanachikifanya......wanafata maagizo kutoka juu......so watu waendelee kutekwa na kuuwawa....hakuna kulalamikia polisi

  • @BeninaNgimbudzi
    @BeninaNgimbudzi 3 месяца назад +1

    Mungu aendelee kukutunza

  • @modestalois2535
    @modestalois2535 3 месяца назад +13

    Intelligencia inatambua maovu na maamuzi ya vikao upinzani lakini Intelligencia imeshindwa kutambua wauaji na watekaji wa raia wanatoa maoni.😢😢😢

  • @hamidamussa-x6i
    @hamidamussa-x6i 3 месяца назад +2

    Hongera Mama watakuelewa tuu

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 3 месяца назад +12

    Vikao vya cri vinajulikana,ila watekaji huwajui,duuuuh mungu tusaidie

  • @awadhisheketo5452
    @awadhisheketo5452 3 месяца назад

    Hii hutuba nimeielewa xn kazi iendelee Rais wetu

  • @Sam-h9d
    @Sam-h9d 3 месяца назад +33

    Sasa mama kwanini intelejensia hiyo isitumike kubaini watekaji na wauaji???

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 месяца назад +1

      Ndio hapo sasa

    • @stevenjackson4985
      @stevenjackson4985 3 месяца назад

      Wameshajulikana na serikali inashugulika nao.

    • @herybertsabai6503
      @herybertsabai6503 3 месяца назад

      Si chadema kwani Kuna mwingine

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 месяца назад

      @@herybertsabai6503 😂😂

    • @AGM19697
      @AGM19697 3 месяца назад

      ​@@stevenjackson4985Haya tuone

  • @KaghuvaMsuya
    @KaghuvaMsuya 3 месяца назад

    Hongera sana mama yangu mungu asimame nasisi

  • @josephatkaroli9706
    @josephatkaroli9706 3 месяца назад +23

    Mama shughulika zaidi na hao wasiojulikana ili ubora wako ujidhihirishe.

  • @Almashkurahchannel
    @Almashkurahchannel 3 месяца назад

    Love ❤ mom samia

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 3 месяца назад +13

    Allah aku hifadhi na kazi iendelee

  • @RashidMakame
    @RashidMakame 3 месяца назад

    Pole sana mama hizo ndochagamoto

  • @Ezim2445
    @Ezim2445 3 месяца назад +14

    Hongera sana Rais wangu nakuunga mkono una hekima sana

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 3 месяца назад +5

      UNAUNGA MKONO KUTEKA WATU SUBIRI ZAMU YAKO

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 месяца назад +3

      Mtekaji anakuwaje na hekima?

    • @mariaalenge2106
      @mariaalenge2106 3 месяца назад

      una huwa kika na unacho kiropoka tafakari kwanza kisha uropoke ushabiki una kusumbua

    • @AGM19697
      @AGM19697 3 месяца назад

      ​@@hashimuuhehwa4252Yaani hajui tu, ni mambo ya kuomba toba na rehema kwa Mungu, laana ya damu za watu inapiga mpaka kwa wanaounga mkono na kutetea

  • @jiranisalumu3629
    @jiranisalumu3629 3 месяца назад +2

    Tunakuamini sana Rais wetu tupo pamoja nawe daima na katu hatutamsiliza na kumfuata kiongozi yoyote wa chama chochote ambaye anavuruga amani yetu. HADI SASA NIMEFANYA TATHIMINI YA UONGOZI WAKO UPO VIZURI

  • @nurumwene4421
    @nurumwene4421 3 месяца назад +10

    Uko sahihi mh. Rais SAMIA 👏👏👏

  • @AminiMsellem-gk3yy
    @AminiMsellem-gk3yy 3 месяца назад +2

    HATUKO HAPA KUELEKEZWA NINI CHA KUFANYA KTK NCHI YETU MUKAE KWA KUTULIA 😂😂😂😂

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 3 месяца назад +13

    Ngoja ninyamaze maana kutekwa bado kupo tu

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 3 месяца назад

      Mama mitano tena wanamfanyia vimbwenga ajiuzulu aaahhh wapi wasahau😂😂😂😂

    • @AGM19697
      @AGM19697 3 месяца назад

      ​@@AminiMsellem-gk3yy😂😂😂

    • @rosejohn8494
      @rosejohn8494 3 месяца назад

      😂😂😂😂

  • @EzekielKandonga
    @EzekielKandonga 3 месяца назад +1

    Wewe Mama Nchi imekushinda😮

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 3 месяца назад +7

    Allah akuongoze mama DR Samia

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 3 месяца назад

      Kweli inahtajika msaada WA Mungu maana mhhhhh

  • @ercafoya6088
    @ercafoya6088 3 месяца назад

    Tuchukuru Mama yetu kwa msimamo Ulionao Mungu Skype Manisha Marefu

  • @DavidJohn-d7i
    @DavidJohn-d7i 3 месяца назад +3

    Heko mama Sasa nimeanza kukuelewa.wakati nasoma nilifundishwa kuwa Kuna nguvu ya hoja na hoja ya nguvu.heko heko mama.ada ya Muja hunena muungwana ni vitendo.👍👏👏👏

  • @lil-masougee7388
    @lil-masougee7388 3 месяца назад +2

    Hizo ndo kauli za za kirais Safi sana mh Samia binaadamu anakawaida ya kupimia kina cha maji kwa mguu

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 3 месяца назад +16

    😂😂😂😂 Asante sana Mama Asante sana Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Mungu Mbariki Raisi wetu Pomaja 👍

    • @zaitunirashidi5532
      @zaitunirashidi5532 3 месяца назад

      Makalio yako 😂😂😂😂

    • @amsiabbas3809
      @amsiabbas3809 3 месяца назад

      @@zaitunirashidi5532 tatizo Niuwelewa ndio tatizo lilipo anzia Yani ungekua nauwelewa japo Chembe tu ungenielewa Asante sana Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Mungu Mbariki Raisi wetu

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 3 месяца назад

    Very Big up Mama

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 3 месяца назад +3

    Asante mamq.kazi iendelee

  • @justinkababa
    @justinkababa 3 месяца назад

    Mungu aliyeumba mbingu ni nchi akubariki , tunakuombea katika kutekeleza majukumu yako ya kujenga nchi yetu ya Tanzania , tuko pamoja

  • @HaruniEriasi-fb8yy
    @HaruniEriasi-fb8yy 3 месяца назад +7

    Sioni ponti ata Moja kwani ayo yaliyokua mabaya nani alisababisha kwani wanaotekwa na wanaokufa sio watanzania

  • @Saidi-x4h
    @Saidi-x4h 3 месяца назад +1

    Hi ndio nchi hisiostaimili kukosolewa

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 месяца назад +3

    Mungu yupo na anaona yote mnayofanya CCM

    • @AGM19697
      @AGM19697 3 месяца назад

      Kwani ni wao?

  • @saluhilya8465
    @saluhilya8465 3 месяца назад

    Mungu yupo katika damu za watu zonapotea bila makosa

    • @AGM19697
      @AGM19697 3 месяца назад

      WaTZ tufumbue macho na kujiepusha na hizi laana. Kumwaga damu ya asiye na hatia ni kijilaani wewe na uzao wako.
      Hiyo insenda mpaka kwa waliosaidina na wanaounga mkono hata km hukujua

  • @lucksonsikaona505
    @lucksonsikaona505 3 месяца назад +4

    Hapo utelejesia igunduwe na watekaji hapo ndipo tutakuelewa

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 3 месяца назад +1

    Massage send and delivery mwana kulitaka mwana kulipata. Kama alitekwa na kuliwa alikua mkufunzi wa vijana chadema alikua anafundisha nini jibu serekali ina intelegensia kubwa ime dakua alichokua akifundisha inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata its clear jiribu uone makucha ya samia wanaomchukulia poa ni mama dhaifu imekula kwao

  • @EvaristKway
    @EvaristKway 3 месяца назад +5

    Intelejensia GN haiwezi kuwajua wasiojulikana

  • @saidkilima6485
    @saidkilima6485 3 месяца назад +1

    Nakuelewa mh.RAIS WANGU kweli wameota mapembe

  • @MwamtoSelemani
    @MwamtoSelemani 3 месяца назад +38

    Kama umemuelewa mama kama mimi gonga like ap tujuane

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 3 месяца назад +2

    Hii ndiyo hasara ya kuongozwa na wanawake yaan watu wanatekwa na watu wanakufa hovyo raisi anasifia police inshallah tupo dunian One day yes

  • @MasungaNekwa
    @MasungaNekwa 3 месяца назад +6

    Mbona wanaotekwa na kuuwawa ni vyama vya upinzani tu nchi imekuwa ya ubaguzi kuliko kawaida

  • @HabibuSaid-up5sn
    @HabibuSaid-up5sn 3 месяца назад

    Mungu akupe afya na nguvu na usitamilivu

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 3 месяца назад +13

    Raisi ww huwez kuongoza nchi hata kidogo kama unajuwa kikao Cha Siri mbona wanaouwa hamwakamati?

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 3 месяца назад

      Mmoja niwewe

    • @Ambwene
      @Ambwene 3 месяца назад

      Anazingua tuu

    • @AGM19697
      @AGM19697 3 месяца назад

      ​@@maalimhamad1297Badi mkamate maana tumeshayachoka hayo

  • @Nadir_Abdullah
    @Nadir_Abdullah 3 месяца назад

    Pole sana raisi na hasante sana kwa maneno yako❤❤

  • @AmosiSisangu
    @AmosiSisangu 3 месяца назад +12

    Mama Leo umekuwa jasiri kama mfano wa Debora, ndani ya bibilia Asante sana mama

  • @MwangaPhilbert
    @MwangaPhilbert 3 месяца назад

    Mama yetu umepiga mwingi leo safi kabisa mungu akujalie

  • @emtonboyofficial1134
    @emtonboyofficial1134 3 месяца назад +5

    Huyu mama chenga kwel😂😂 alafu bado mnampigia makofi

    • @herybertsabai6503
      @herybertsabai6503 3 месяца назад

      Una adabu kabisa, alafu ndio mpewe nchi labda nchi ya adili sahau kabisa kuhusu ilo

    • @KalicKaguz
      @KalicKaguz 3 месяца назад

      Siyo maneno hayo