Dk Bashiru aibua shangwe Bungeni, amtaja Magufuli akieleza UDSM kilivyotoa viongozi wakubwa Afrika

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024
  • Mbunge wa Kuteuliwa, Dk Bashiru Kakurwa ameibua shangwe miongoni mwa wabunge baada ya kueleza jinsi ambavyo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimekuwa na mchango mkubwa kwenye maendeleo ya sekta ya elimu ikiwemo kuzalisha viongozi wakubwa akiwemo Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson, Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Hayari Rais John Garang aliyekuwa Rais wa kwanza wa Sudan Kusini na Hayati Dk John Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania.
    Dk Bashiru ameyasema hayo wakati akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, jijini Dodoma leo Mei 8, 2024.

Комментарии • 49

  • @williummaroseck7366
    @williummaroseck7366 23 дня назад +1

    Hongera Sana father Dr bashiru watalaam wanamna hiyo ndiyo tunaowahitaji safiiii

  • @user-jj7qv7kh2s
    @user-jj7qv7kh2s Месяц назад +6

    Bashiru Ally kakurwa ni kiongozi mzalendo kwelikweli. Namkubali mnooooo.

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 23 дня назад

      Hamumjui

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 23 дня назад

      Mzalendo aliekuwa anatoa roho za watu

    • @geey7893
      @geey7893 23 дня назад

      Baba yako amemtoa roho akiwa anafanya nn​@@kellyngogo3319

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 21 день назад +1

    Hapo ndipo unapoona shule ipoje, Yani unapandishwa cheo hafu mshahara uleule wa zamani

  • @MedardMushobozi
    @MedardMushobozi Месяц назад +4

    MUNGU akupe Maisha marefu sana Dk

  • @Jal210
    @Jal210 Месяц назад +8

    Mama SAMIA uliufyata wapambe huyu ni Jembe ambaye angeweka Mambo mazuri kwenye chama na serikali

  • @daudinyanda2499
    @daudinyanda2499 24 дня назад +1

    Huyu jamaa ni Genious sanaa kama hujaenda shule kumuelewa ni ngumu sana.

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 24 дня назад +1

    Hiyo sheria ya utumishi ibadilishwe haraka sana inaua taasisi za umma zinazojitegemea, utumishi wanaharibu hizi taasisi kwa kuchelewesha mipango yao na pia kuajiri kwa niaba ya hizi taasisi wafanyakazi wa hovyo kwa maslahi yao binafsi. Hatua ichukuliwe sasa kuwa poka hayo mamlaka haraka sana

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 Месяц назад +7

    Kuna mpango mzuri unakuja naona magwiji sasa wanaongea

  • @neddon5822
    @neddon5822 Месяц назад +7

    Dr Bashiru umeongea point muhimu. Unao uzoefu mkubwa sana

  • @PauloJhon-qv8cx
    @PauloJhon-qv8cx Месяц назад +6

    Hongera sana bashiru

  • @user-ey2oe8zx6z
    @user-ey2oe8zx6z 17 дней назад

    Muhuza ndizi wa zaman na msomi aliyebobea anatema cheche zake

  • @dr.philpojohn4800
    @dr.philpojohn4800 Месяц назад +5

    Huu mchango mzuri sana.Dkt.Bashiru umeongea vema sana!

  • @edwarddaniel7459
    @edwarddaniel7459 27 дней назад +2

    Critical. Thinker wanaongea

  • @billyrique
    @billyrique 27 дней назад +1

    Hili ni tatizo kwa kada mbalimbali serikalini. Wananapanda cheo kilichopaswa mfanyakazi kuwa nacho miaka 7 iliopita. Hakika hili ni tatizo. Hope watabadili hizi sheria ili iwanufaishe watu wote hasa wafanyakazi wa vyuo vyoote vya serikali.

  • @JUMAOMARI-pp8fe
    @JUMAOMARI-pp8fe 24 дня назад

    Facts one🤝🏻🤝🏻

  • @paulrwechungura4284
    @paulrwechungura4284 23 дня назад

    Hatari

  • @EdiphonceNdibarema
    @EdiphonceNdibarema 28 дней назад +2

    Wewe ni raisi ujae makonda ni waziri mkuu ajae

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 28 дней назад

    Mbunge baada ya kuzunguzia jamii anazungumziati

  • @geey7893
    @geey7893 23 дня назад

    Watu wenye akili wakiongea nchi inatulia

  • @lweganwatilubuzya8183
    @lweganwatilubuzya8183 24 дня назад

    Huyu mwamba namkubali sana

  • @hamisiizadini3938
    @hamisiizadini3938 Месяц назад

    😢

  • @nurumligo4862
    @nurumligo4862 23 дня назад

    Mwanga hauzibiki

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 18 дней назад

    Afadhali umemutaja jpm

  • @wazirishipula5040
    @wazirishipula5040 28 дней назад

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 25 дней назад

    Jembe.

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si Месяц назад +1

    H
    Kongole kwako omwana wo omuka

  • @user-mg7jj1hm2t
    @user-mg7jj1hm2t 15 дней назад

    Dr.Bashir ni KADA MAHILI NA JEMBE WA C.C.M (HONGERA)

  • @AndreaAmbros-kw2he
    @AndreaAmbros-kw2he Месяц назад +1

    Hatutaki historia ya mtu leta hoja zinazomnufaisha watanzania

    • @samkitwima7933
      @samkitwima7933 22 дня назад

      Wajinga pekee ndio hawathamini wala kujifunza kutokana na yaliyopita. Kama hujui unapotoka utajuaje unapokwenda?? Kuna mda ni bora kukaa kimya kuliko kudhihirisha uwaki ulionao.

  • @boneventuremweya3673
    @boneventuremweya3673 25 дней назад +1

    Huyu jamaa alikuwa smart kipindi yuko Udsm akipewa media kuongea Baada ya kupewa mrija wake kufyonza asari ya taifa ubongo akaushusha tumboni akawa mtu wa kejeri na kutukuza utawala wa kibabe na kidikiteta ndo mana anataja hadi majina ya madikiteta waliosoma Udsm akina m7 na mtetezi wa wanyonge ni sifa za chuo chetu ni muhumini mtiifu wa tawala za kiimla.

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 Месяц назад +3

    Bunge la kupiga makofi tu hawana lolote.

    • @LovelyBrain-wz7si
      @LovelyBrain-wz7si Месяц назад +4

      Anaongea mwana taaluma makofi lazima wewe ubaki na roho mbaya tu

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 29 дней назад

    Sasa mchango gani kama sio kunukuu tuuu basi

  • @user-mi3bi3fj3s
    @user-mi3bi3fj3s Месяц назад +2

    Tunamis saut hizo na maneno yenye mwelekeo ya uzalendo

  • @mauamkamba4906
    @mauamkamba4906 Месяц назад

    Ningeshangaa amalize hotuba bila kumtaja

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 Месяц назад +3

    JPM mzalendo alitamani atuvushe

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 Месяц назад

    Mbona mijinga inapiga makofi bila hata kujua mtu ataongea Nini !. Naona Kama Bunge limejaa mijinga

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Месяц назад +1

    HIVI MUSEVEN NAYE KASOMA CHUO KIKUU?

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 Месяц назад

    Nchii inaelekea Pazuri huoni huko Kusini gari haziendi Barabara zimesombwa na Maji

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 29 дней назад

      Ni janga na majanga ya mvua hakuna nchi duniani inayoweza zuia mvua.