WAZIRI BASHUNGWA ATINGA NYUMBANI KWA MZEE ALIYEMPA MAGUFULI KUKU "ALISEMA NIKAMUOE MAMA YAKE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 май 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 202

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 Месяц назад +27

    Mh bashungwa hongera sana,kwa kumkumbuka huyo mzee , mungu akubariki sana

  • @anandemungure2500
    @anandemungure2500 Месяц назад +15

    Mhe. Bashungwa Mungu akubariki sana. I am so overwhelmed indeed. Ukigusa maisha ya wahitaji basi Mungu naye hushughulika na maisha yako pia. Glory to God 🙏

    • @boscokikoti
      @boscokikoti Месяц назад

      Bashungwa anafaa kuwa raisi baada ya mama Samia kumaliza muda wake

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 26 дней назад

      Na haonekani kama anaigiza yupo real ndo nachompendea hapo…..

  • @user-fk4st8qj2k
    @user-fk4st8qj2k Месяц назад +12

    Mh.Bashungwa Tunza hiyohekima ambayo mwenyezi Mungu kakutunuku. Ubarikiwe sana, na abarikiwe Mh.Dr.Samia Suluhu Hssan kwa kukuteua kuwa waziri.

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 Месяц назад +18

    Nitafurahi sana huyu mzee akijengewa nyumba ana moyo wa kipekee sana

  • @HowardKitamkanga
    @HowardKitamkanga Месяц назад +17

    Ety katamiwa mingi lete hapa😂😂😂 very humble na ndo utanzania wety haswa😂

  • @kinasaba
    @kinasaba Месяц назад +8

    Mh. Bashungwa na Mzee wa Jogoo Hongereni sana. Mnasaidia sana kutuunganisha wananchi na serikali yetu. Mh. Bashungwa Mungu azidi kukulinda, na kukuongezea hekima na busara katika utendaji wako.

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 Месяц назад +12

    Mzeee Mwenyezi Mungu akutunze mno ,japo una cacomedy ndani nimekupenda mama Amina imba kdg hapo

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho Месяц назад +23

    Aaaah aaah! Mama adija jiandae 😂😂😂.Huyu Mzee namkubali sana muongeaji na mcheshi. Lakini wafanye mpango wamuwezeshe mzee hata basi wamjengee nyumba nzuri hata ya chumba kimoja maana anajari sana maendeleo ya wengi kuliko ya kwake mwenyewe.Mungu amjalie sana mzee na mtani wangu Waziri Bashungwa 🎉🎉🎉

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 Месяц назад +7

    🇹🇿Yeah!kazi nzuri mhe.waziri hongera sana tuendelee kuijenga Tanzania kila kona ipendeze.

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 Месяц назад +3

    Alhamdulilah 🙏 Kuna watu Wana roho na wamezaliwa na vizazi vya Mungu na sio vya nyoka! Hongera sana waziri kwa kujali Hali za watu wengine!

  • @christfamilychurch-cfctanz4270
    @christfamilychurch-cfctanz4270 Месяц назад +10

    Tuna watu wazuri sana katika hili Taifa ila wamefungwa mikono!!!
    May the Living God bless you Hon. Innoocent Bashungwa.
    Nimebarikiwa sana kwa kuona Makazi ya Mzee wetu!!!

  • @user-ye4qx9py6x
    @user-ye4qx9py6x Месяц назад +6

    Mzee mchesh ady raha me nimependa sana mama adija jiandae

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 Месяц назад +10

    Mzee mstalabu sana ❤ muenyezi Mungu akulinde kuakila jambo

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Месяц назад +9

    BABA MAGUFULI TUTAKUKUMBUKA DAIMA MUNGU AKULAZE MAHALA PEMA PEPONI AMINA

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад +3

    Mungu akubaliki sana mzee kwa moyo wako na Waziri safi sana. Kweli na kuku tulimuona ❤❤❤❤👍👍👍👍🙏🙏kwa kumbuka mzee huyu.

  • @stephanojmafumbira5369
    @stephanojmafumbira5369 Месяц назад +7

    Mama Khadija jiaandaee😂😂

  • @RobartShello-qj4vr
    @RobartShello-qj4vr Месяц назад +9

    Haya yote tunayoyaona ni matunda j.p.m ameliacha Taifa na viongozi wenye upendo,nahuruma, bashungwa, na makonda mungu awalinde sana endeleeni nahuo moyo matunda mutayaona

  • @benatusmarwa8360
    @benatusmarwa8360 19 дней назад +2

    Damu ya Magufuli ina inatembea ndani ya vijana wake hawa. Asante Bashungwa.

  • @user-fl3yl4or3e
    @user-fl3yl4or3e Месяц назад +2

    Dah mzee yuko vizuri namkubali na Bashungwa Mwenyezi Mungu akubariki ubadilishe maisha ya huyu mzee hiyo dua sio ndogo imemfikia Mwenyezi Mungu haina unafiki wowote imetoka moyoni haswaaa

  • @rukizatv1421
    @rukizatv1421 Месяц назад +10

    I real like this minister!

  • @alfeshhassan4181
    @alfeshhassan4181 Месяц назад +6

    Masha allah nmeisklza hii video hadi namhisi huyu mzee natamn angepew nyumba nzuri tu apo apo na sio kujengew tu kw sbb utachlewa ujenzi kutokana umri wake...allah amhifadh na amjaalie umri mrefu aamn ya rabbal almn❤

  • @misanjolivigha2396
    @misanjolivigha2396 Месяц назад +7

    MHE. BASHUNGWA nakupongeza sana kwa kumtembelea Mzee KIMBWEMBWE a.k.a. Mzee wa Jogoo wa Somanga- Kilwa huko mkoani Lindi.Hakika Mhe. Waziri BASHUNGWA nakuombea kwa MWENYEZI Mungu akubariki sana kwa kujitolea kutaka kumfanyia "JAMBO" la "UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI" baba yake "RAIS".

  • @saranduruma7990
    @saranduruma7990 Месяц назад +3

    Jmn daah Mungu akupe raha ya milele huko ulko magufuli tunakukumbuka sana

  • @salhaomar5382
    @salhaomar5382 Месяц назад +6

    Mjeengeeni nyumba nzuri sasa. Anajitoa kwa upendo wake

  • @markmushi8940
    @markmushi8940 Месяц назад +5

    Nimependezwa sana na uyu babu mungu amtimizie ndoto zake

  • @user-ob9nu5dp1s
    @user-ob9nu5dp1s Месяц назад +2

    Ma shaa Allah Alhamdulillah mwenyezi mungu akuzidishie wepesi Ameen Mzee wangu

  • @shaban6644
    @shaban6644 Месяц назад +11

    Hapo tumepata funzo la Subra Kwa mze wetu. Hakika Allah yupo pamoja na wenye kusubiri.

  • @athumanmsuya2688
    @athumanmsuya2688 Месяц назад +9

    Mzee huyu ana upeo mkubwa angekua kijana angekua chawa mzuri sana,Kwa kweli nimependa sana,bashungwa mwambie mama nyumba itajengwa fasta

  • @bryanmuoki6250
    @bryanmuoki6250 Месяц назад +1

    Watching from Kenya. Asanteni kwa kumheshimu mzee

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад +7

    ❤❤ Kweli hiyo nyumba sio nyumba.Mungu akujalie waziri.👍👍🙏🙏

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 Месяц назад +4

    Ni faraja sana kukumbuka wazee hawa, hongera mh, Bashungwa ubarikiwe sana

  • @jumakinonono-jj4zy
    @jumakinonono-jj4zy Месяц назад +2

    Hongera mzee kwamoyo mzr nimefurah sana pale uliposema nilimuomba magufuli ajenge hospital ingawa mm maisha yng sio mazur ila achana nayo

  • @user-es7jx9vx4v
    @user-es7jx9vx4v Месяц назад +8

    Hongera sana, mh waziri

  • @grationkato7658
    @grationkato7658 22 дня назад +1

    Safi sana bashungwa ndio maana nakuelewa kijana wa watu.hauna bayaaaaaa mungu akupe nguvu.

  • @frankthadeo1679
    @frankthadeo1679 Месяц назад +3

    Nafurahi sana kuona vijana wa humri wangu wakiwakilisha vema kama huyu bashungwa Mungu ampe afya njema kwa kuwakumbuka wazee

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад +3

    Mungu akulaze mahali pema peponi ndugu Magufuli

  • @mohamedlugongo
    @mohamedlugongo 29 дней назад +1

    Mashallah mheshimiwa bashungwa Allah akuongezee palipo pungua insha-Allah 🙏🙏

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 Месяц назад +16

    😢😢😢😢😢😢😢😢nimemiss magu jaman

  • @soudsoud7330
    @soudsoud7330 Месяц назад +3

    Mzee wa jongoo yuko vizuri sanaa..eti tuishie hapa hapa tuombe dua sasa😂

  • @EagerBirthdayCake-zh8xb
    @EagerBirthdayCake-zh8xb Месяц назад +1

    Bashungwa nakupenda sanaa...
    Mdogo Wangu uko makini mnoo Mungu akuzidishie Inshallah.

  • @henrymruma9260
    @henrymruma9260 Месяц назад +9

    Huyu mzee ni hazina ya nchi ana madini ya kutosha

  • @mahendekaramadhan2948
    @mahendekaramadhan2948 Месяц назад +4

    Mhe Bashungwa mwana(mzee kimbwembwe) kasema siku akitangulia mbele ya haki hakikisha unaenda kumzika , kumbuka umeweka ahadi hutakiwi kuivunja. Kwa kutekeleza ahadi hio utapata baraka zake.

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 Месяц назад +4

    MashaAllah Muheshimiwa Bashungwa ALLAH akulinde kwa kila Baya Amin Amin Amin
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JohnSebuge
    @JohnSebuge 29 дней назад +2

    Mama Khadija jiandae.

  • @JosephatMushi-ne9hn
    @JosephatMushi-ne9hn Месяц назад +6

    Hizo BARAKA ulizozichota hapo Mzee kubwa mno.

  • @user-ex9sd8wm4l
    @user-ex9sd8wm4l Месяц назад +4

    Dah!!! Ninoma mzeee yuko vizuri

  • @evaristmakanza8305
    @evaristmakanza8305 26 дней назад +1

    Hongera sna Mh Mashungwa kwa Moyo wako mzurii

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 Месяц назад +3

    Waziri Mungu akulinde ktk Wizara hii hudumu

  • @anandemungure2500
    @anandemungure2500 Месяц назад +5

    Bashungwa kazi nzito mwanao kakupa itunze hiyo imepigwa muhuri tayari

  • @erastokweka3010
    @erastokweka3010 Месяц назад +8

    Mzee ana busara sana

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Месяц назад +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 kazi nzuli wazili, fanya kitu kwa uyu mzee itakua falaja kwa watanzania😪😪😪😪

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Месяц назад +6

    Huyu mzee anaupendo sana

  • @mandomediasolutions7045
    @mandomediasolutions7045 Месяц назад +3

    Mh Bashungwa Hongera sana

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Месяц назад +7

    Mze ana roho Nzuri kweli kila anapo kutana na viongozi anaombea jami na hajiombee yeye.
    Nimependa Mze wangu 😢😢

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 13 дней назад

    Amiin yarabily liallamina Allah takabalin duaa yarabiy
    Allah awafanyie wepes ujenz wa nyimba yake uishe kwa haraka innshaa'Allah

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t Месяц назад +5

    Mama Yangu Samia tambua unamajembe Yafuatayo: Jerry Silaha, Bashungwa, Biteko. Hii ni Kwa Mawaziri.Sifamu kama Kuna mawaziri wengine. Ila kama itakupendeza. Dorothy Gwajima arudi afya. Madudu ni mengi mama yangu.

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 Месяц назад +1

      Bado tunao watu wema na huruma kwa jamii makonda ali hapi jerry silaa biteko majaliwa bashungwa doròthi alikuwa anajali sana MUNGU awainue zaidi katika kulitumikia taifa lenye viongozi wenye ubinafsi

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 Месяц назад +1

      Hata yule mpina na kabudi wako fresh. Sema kabudi hatuoni mkazo wake Madini yake anaishi nayo, lakini huyu biteko namuona kama ni raisi ajaye

  • @SalumonEustace-cl4mk
    @SalumonEustace-cl4mk Месяц назад +2

    Nimeipenda sana ziara ya namna hiii
    Mh. Waziri pongezi kwako kwa kumtembeleaa mzee huyu na kumjulia hali nyumban kwakee na kujionea mazingra anavyoishi pamoja na familia yake.., viongozi wengine igeni mfano wa namna hiii msipite barabarani na misafara yenu hiyo haitoshii watembeleeni hata wananchi majumbani mwao mwone maisha halisi

  • @daudpius130
    @daudpius130 11 дней назад

    Hongera sana waziri bashungwa kwa kuwakumbuka hao wazazi wetu

  • @anethkasase
    @anethkasase 25 дней назад

    Waoo safi kuwagusa wahitaju umenena jambo la kuhusa moyo wa mzee Mungu akuwezeshe mh bashugwa

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Месяц назад +8

    Makamanda wanatafuta miwa 😅😅😅😅😅💪

  • @ibrahimkasim922
    @ibrahimkasim922 Месяц назад +2

    Kazi nzuri ❤❤

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад +1

    Tena daraja liwe refu na kubwa. Mama Hadija jiandaae😁😁😁👍👍❤❤

  • @UjenziTv_
    @UjenziTv_ Месяц назад +4

    Kazi Iendelee..

  • @shabanidaruweshi-jw5jy
    @shabanidaruweshi-jw5jy 22 дня назад

    Huyu Bashungwa jamaa Mcheshi sana utadhani sio Waziri ajashtuka madaraka mungu aepushie mbali ata kama anakua uraiani anaweza kusavaival safi sana

  • @BENALDKILEO
    @BENALDKILEO Месяц назад +8

    We mzee kimbwembwe umegonga palepale nilipokuwa napaona

    • @baloz8974
      @baloz8974 Месяц назад

      Hebu mm sijapona kaka nifahamishe

  • @patrickmuvendi142
    @patrickmuvendi142 Месяц назад +3

    Hongera sana wazuri!

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +3

    Huyu mzee anaroho njema sana na anaupendo na watu wake wa karbu maana pindi alipoonana na magu angeliomba ajengewe nyumba ila aliomba hospitali

  • @muury9723
    @muury9723 Месяц назад +1

    nmeangalia nmeskia furaha sana asant sana Bashungwa

  • @user-ng9ps3lo4u
    @user-ng9ps3lo4u 28 дней назад +1

    Good job waziri

  • @ISSA-up3zq
    @ISSA-up3zq Месяц назад +2

    Amina

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 Месяц назад +3

    Mzee...kibwebwe.....uko na IMANI..... MUNGU amekukumbuka
    Iwe heri kwako

  • @mohammedibakiri5335
    @mohammedibakiri5335 Месяц назад +4

    Mzee anachangamka huyu manshallah

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so Месяц назад

    I like the style

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat Месяц назад

    Mungu akuzidishie waziri bushungwa umefanya kitendo cha kiungwana sana na mzee mbwembwe ni mmoja wa wazee wenye busara sana mungu akuweke inshala ntafunga safari kuja kukusalimia kunako na majaaliwa sisemi lini lkn ntakjja inshala

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 Месяц назад +5

    I love you bashungwaaaa❤❤❤❤

  • @anselmimarandu2293
    @anselmimarandu2293 Месяц назад +1

    Amina. Kweli bashungwa una hekima mnoo. Na huyu mzee busara tele. Mungu atangulie kila kona. Amina.

  • @kispotm787
    @kispotm787 Месяц назад +2

    Maamini raisi magufuli na baba wa taifa mwalim Nyerere Bado wopo hai Bado mii

  • @Juliusmganga4734
    @Juliusmganga4734 Месяц назад

    Mheshimiwa Bashungwa ni kiongozi wa aina yake, ana unyenyekevu wa hali ya juu, hana majivuno, haweki cheo mbele. Ubinadamu uko mbele. Mungu amjalie uzima, hekima na uzima.

  • @StelaJohn-nj5yf
    @StelaJohn-nj5yf Месяц назад +2

    R. I. P Papa Magufuli

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 26 дней назад +1

    Kimbwembwe naomba tu alete miwa watu wale jamani mpaka mzee kasema kuna makamanda huku😂😂😂

  • @sarahkadugu4367
    @sarahkadugu4367 Месяц назад +1

    Omukama akwebembele, kumkumbuka huyo Mzee. Mbarikiwe sanaaaa

  • @user-br7sf6ey9t
    @user-br7sf6ey9t Месяц назад

    Mungu akutunze daima milere mweshimiwa kaka angu bashungwa umetenda vizuri sana

  • @machasofficialsite6221
    @machasofficialsite6221 Месяц назад

    Mzee wangu ni mcheshi mno mzee wa somanga....hongera sana

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 Месяц назад +6

    Babu amechangamka🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-ek8bh6xb2i
    @user-ek8bh6xb2i 26 дней назад

    Mungu akujaze kher inshaallah

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 Месяц назад

    Mungu akupe mema mengi Mh. Bashungwa.

  • @amedeusmmanga8043
    @amedeusmmanga8043 Месяц назад

    Good better best

  • @user-wq8kw7wb1n
    @user-wq8kw7wb1n Месяц назад +1

    Hongera waziri

  • @nelsabugo3613
    @nelsabugo3613 27 дней назад

    Bashungwa Mungu akubariki

  • @eliambowe2576
    @eliambowe2576 Месяц назад +1

    Mama dija jiandae ❤

  • @Veni584
    @Veni584 Месяц назад +6

    Mjengeeni nyumba huyo ni historia tayari

  • @geofreythomasi2710
    @geofreythomasi2710 Месяц назад +2

    Swahiba wangu kimbwembwe usinisahau Jamaa yangu

  • @AdamMohamedi
    @AdamMohamedi 26 дней назад

    Inshaalah mh. Waziri huo ndio uadilifu anaoutaka alah tabaraka wataala kuwafanyia kher watu mnao watawala Alah akupe malipo mazur Dunian na akhera

  • @hadisalum8658
    @hadisalum8658 Месяц назад

    ❤❤❤nawapenda sana viongozi wetu

  • @user13375
    @user13375 Месяц назад +2

    Si vyema ,tukawa tunafurahia uhuru wa inchi hii mbila kukumbuka mikoa na maeneo yaliyo pigania uhuru kama vita vya majimaji maeneo hayo yanahitaji kuboreshwa sana.

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 Месяц назад +1

    Ndio mjue hela mnazoiba muone hayo ndio maisha wanayoishi watanzania. Acheni wizi kuweni waadirifu.

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Месяц назад +1

    Hapo sawa

  • @abdullahmhina2207
    @abdullahmhina2207 Месяц назад +2

    mzee anasema ulijuaje mama adija jiandae 😅😅😅

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 13 дней назад

    Nimeipenda story hii

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 Месяц назад +2

    Sala nzuri nimeipenda. Umewaombea viongozi