Unapomchukia mtu wewe ndie unayeumia zaidi kuliko yeye

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 22

  • @mayisarakarire7104
    @mayisarakarire7104 2 месяца назад +7

    Jamani nani mwengine alikuwa amewamisi hawa waja wa Allah ❤

    • @bakarirajabu8305
      @bakarirajabu8305 2 месяца назад +2

      Kila mara nilikuwa naangalia habar mpya, halafu holaaa😂😂

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 месяца назад +1

    Subhanallah, Alhamdulillah tunapata faraja sana kwa elimu zenu.

  • @ummuhassan2356
    @ummuhassan2356 2 месяца назад +2

    Kuachwa ni experience nimeipenda

  • @isrimussa7208
    @isrimussa7208 Месяц назад

    Hii ya sura ya mbuzi nayo bi Laila 😅

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 месяца назад +1

    Madam Kwa maamuzi hayo inaonyesha kuwa umekomaa kihisia..na mtu wa ivyo anakuwa positive zaidi.. nimeipenda iyo madam..kuwa hata kama tukigombana sikasiliki Wala sikublok sawa kabisa wenye d mbili tushaelewa...kwel kabisa madam

    • @fatmakombo9793
      @fatmakombo9793 2 месяца назад

      Layla nakufatilia from sweden unatuponya watu wengi saaanaaaa❤

  • @salamashabani1210
    @salamashabani1210 2 месяца назад

    Wallah madam Leila umenichekesha sana naumwa mie sitaki kupuuzwa mie

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 месяца назад +1

    Yan madam kama ukiwa hukasilishwi na watu na unaweza kujizuia kihisia Yan ni ukomavu na machuad ya hali ya juu..kabisa .. nimeipenda iyo akil nataka niichukue iyo madam..mala nyingi watu hawawezi kujizuia kihisia na kujizuia..inabidi mtu akikuuzi usimblok ndio Wala usifute namba ya uyo mtu safiiiiiiiiiiiiiiiiii madam

  • @LutfiaMohammed-q3k
    @LutfiaMohammed-q3k 2 месяца назад

    Hii mada mm nikisema nihadithie Kisa kilichotokea mtafunga kipindi wallah na nitawashangaza Sema tunyamaze maana wazazi wetu wanaheshimika na nimaarufu

  • @SalmaKugula-ne5sf
    @SalmaKugula-ne5sf 2 месяца назад

    Alhamdhulilahi imefika😅

  • @nkurunzizaabdul-aziz7211
    @nkurunzizaabdul-aziz7211 2 месяца назад

    Ongeleni bwana hatimu na madam leila

  • @maammsenior5338
    @maammsenior5338 2 месяца назад

    Allah atufanyie wepesi

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 2 месяца назад

    Madam leilah mm nilimuacha mtoto akiwa na miaka 2 kwasababu babake ndo alitaka kunikomoa watu walinisema sanaah lkn hawakujua kwannnimeamua vile

  • @AhmedItea-w4s
    @AhmedItea-w4s 2 месяца назад

    Mola akuhifadhin nyote

  • @AminaMansour-g5z
    @AminaMansour-g5z 2 месяца назад

  • @maammsenior5338
    @maammsenior5338 2 месяца назад

    Long wait ... finally😶‍🌫

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 2 месяца назад +1

    Assalamu alaykum warahmatuLlah
    Madam naomba namba yako ya WhatsApp
    Nna matatizo nahitaji Tiba yako

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 2 месяца назад +1

    Mada nzuri sana, shukran sana

  • @MinahMinah-x4r
    @MinahMinah-x4r 2 месяца назад

    Jamani samahanini kuna wanaume wanakataa mimba utampaje mtoto