Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
leyla Allah kakupamba vileuliv na busara zako unamafunzo mazuri masha Allah ya ni hiki kipindi nimawaidha tosha🥰🥰🥰
Aĺlah akubarik niseme tu ukweli nakupenda sana kwa ajili ya Allah
Allah subhanah wataala akujaalie kheri katika hii dunia na akhera, akujaalie janatul firdaus Allah aniongoze
Kunamijitu hainaakili hiv madam anajitahid kutupa vitu vyamoyon alhamdulilah lkn mibinadam mengne misugu yautambuz madam tunakupenda sanaa mungu akuweke uzd kutoa elim
Wee dada ninakupend hatar kwa mada Zak nzuri mashallah
Dah nimejifunza wallah acha nitoke kwenye huu mnuno 😂😂😂
We nicnun kisa nn nyoo hap mpak damu zitok
Nakupenda leila kwa ajili ya allah,...shukrn kwa darsa zako
Nipo kwenye ndoa decade yapili sasa lakn leo nimejifunza vitu vikibwa sana madam leyla Allah akuhifadhi
Amiin
Allah akutunze kipenzi
Mungefurahia kama mukewe ndiye amgelikuwa amepigwa
Assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh Kiukweli sasaivi wanaume wengi wamekua wanasema ya NDANI Je hao vipiiii
❤❤❤❤shukuran wajina kwa mafuzo
Baarakahllahu fiikum.
Maasha Allah nimejifunza mengi kutoka uk
Shukurani sawa kwako ujumbe mzuri ❤
Nimejifunz mengi xnaa Leo ahsnte mama
Asante madam leyla wetu sasaivi tutainjoi huku kwetu YOU TUBE ❤❤❤
Jazakallah khayran
Mimi siogopi kufa nnchokiopa ni maradhi yakukaa kitandani na nikifa naogopa moto
❤❤❤❤ madam leila na madazako pia
Alhamdullillah
Kama mm mwanaume namwanbia nahitaji mambo yetu anakujibu wewe kazi yako nikuwasa mapenzi tu nihalali maneno hayo
pamoja sana
Masingo mada wamekuwa wengi maana wanawake wamekuwa wakorofi
Asante sana madam🙏🙏🙏
🙏🏼
Kwani ameolewa huyuu???
Ndio
❤❤❤
Madam nipe namba ya huyo anaepiga mume wake anipe michongo 😂😂😂😂 hatari wallahi
😂😂
Mie naomba nambayako ninashida
😂😂😂😂😂😂
Naongezea tu hapo kwenye utunzaji wa siri:Katika kitabu cha mithali Mfalme Solomoni alisema hivi. " MWENYE UDAKU HUPITA PITA AKIFUNUA SIRI, BALI MWENYE ROHO YA UAMINIFU HUSITIRI MAMBO".
Wewe sio mwanasaikolojia ila msaidizi wa shetwani tunakuomba usijinisabishe saana na uislam kwani unauchafua.
Roho mbaya tu
😂😂😂😂😂😂@@AgnethaKapinga
Unajua dini kweli maana akuna kitabu Cha dini kinachosema mwanadam awe msaidiz wa shetani chunga ndimi Yako kujificha kwenye dini
@@Mariam-w9s3b wewe huyo mjinga na anafauatwa na wajinga
Wewe ambae mwanasaikolojia mbona hatukuoni RUclips
Jazakallah kheyran
Masingo mada wamekuwa wengi maana wanawake wamekuwa wakorofi mno
Pole sana kaka😂😂😂siyo wote
Wanaume wakorofisana
Moa susi wentę wtt wakuje tunaongopa Tuliszkiq Hizo kesi
leyla Allah kakupamba vileuliv na busara zako unamafunzo mazuri masha Allah ya ni hiki kipindi nimawaidha tosha🥰🥰🥰
Aĺlah akubarik niseme tu ukweli nakupenda sana kwa ajili ya Allah
Allah subhanah wataala akujaalie kheri katika hii dunia na akhera, akujaalie janatul firdaus Allah aniongoze
Kunamijitu hainaakili hiv madam anajitahid kutupa vitu vyamoyon alhamdulilah lkn mibinadam mengne misugu yautambuz madam tunakupenda sanaa mungu akuweke uzd kutoa elim
Wee dada ninakupend hatar kwa mada Zak nzuri mashallah
Dah nimejifunza wallah acha nitoke kwenye huu mnuno 😂😂😂
We nicnun kisa nn nyoo hap mpak damu zitok
Nakupenda leila kwa ajili ya allah,...shukrn kwa darsa zako
Nipo kwenye ndoa decade yapili sasa lakn leo nimejifunza vitu vikibwa sana madam leyla Allah akuhifadhi
Amiin
Allah akutunze kipenzi
Mungefurahia kama mukewe ndiye amgelikuwa amepigwa
Assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh
Kiukweli sasaivi wanaume wengi wamekua wanasema ya NDANI
Je hao vipiiii
❤❤❤❤shukuran wajina kwa mafuzo
Baarakahllahu fiikum.
Maasha Allah nimejifunza mengi kutoka uk
Shukurani sawa kwako ujumbe mzuri ❤
Nimejifunz mengi xnaa Leo ahsnte mama
Asante madam leyla wetu sasaivi tutainjoi huku kwetu YOU TUBE ❤❤❤
Jazakallah khayran
Mimi siogopi kufa nnchokiopa ni maradhi yakukaa kitandani na nikifa naogopa moto
❤❤❤❤ madam leila na madazako pia
Alhamdullillah
Kama mm mwanaume namwanbia nahitaji mambo yetu anakujibu wewe kazi yako nikuwasa mapenzi tu nihalali maneno hayo
pamoja sana
Masingo mada wamekuwa wengi maana wanawake wamekuwa wakorofi
Asante sana madam🙏🙏🙏
🙏🏼
Kwani ameolewa huyuu???
Ndio
❤❤❤
Madam nipe namba ya huyo anaepiga mume wake anipe michongo 😂😂😂😂 hatari wallahi
😂😂
Mie naomba nambayako ninashida
😂😂😂😂😂😂
Naongezea tu hapo kwenye utunzaji wa siri:
Katika kitabu cha mithali Mfalme Solomoni alisema hivi.
" MWENYE UDAKU HUPITA PITA AKIFUNUA SIRI, BALI MWENYE ROHO YA UAMINIFU HUSITIRI MAMBO".