Ukiona Shemeji anakutongoza sio bure ni mumeo ndio sababu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 53

  • @hamisisamuli6055
    @hamisisamuli6055 25 дней назад

    MaShaAllah, Madam Leila nimejifunza mengi kutoka kwako, keep it up.❤

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 2 месяца назад +3

    Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri madam

  • @MesaidiAli
    @MesaidiAli Месяц назад +1

    ❤❤❤❤nimekuelewa kipenzi ubarikiwe mno❤❤

  • @WTC492
    @WTC492 2 месяца назад +13

    Waislamu mmeokota dodo
    Huyu dada ni Lulu
    Mpeni support ya Hali na Mali.

    • @halimamghana2293
      @halimamghana2293 Месяц назад

      Inshaallah

    • @LutfiaRashid
      @LutfiaRashid Месяц назад +1

      Huyu sio kwa waislamu tu ni kwa mtu wa dini yoyote

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 Месяц назад +1

      Hii ni elimu ya kitaifa ndio saikolojia inaweza kuzungumzwa na yeyote. Kwa mfano mimi kuna mmoja namfatilia ana Elie vid wamilian. Anapatikana kwenye channel ya cloud media chomoza a hub of hop

    • @LuluAquai
      @LuluAquai Месяц назад

      Shukran

  • @nuruthomas673
    @nuruthomas673 Месяц назад +1

    Thanks madame leyla

  • @AshuraRashidi-m8o
    @AshuraRashidi-m8o 2 месяца назад +1

    Asante sana madamu mungu akuweke kwa ajir yetu maneno yako ni dawa❤❤

  • @mchinaaanavoijuwaadiniikiu7823
    @mchinaaanavoijuwaadiniikiu7823 2 месяца назад +1

    ❤mashaallah Allah akubrkii madmu

  • @Mohammedyasia
    @Mohammedyasia Месяц назад

    Napata Elim sn Allah akuhifadhi ❤❤❤

  • @LutfiaMohammed-q3k
    @LutfiaMohammed-q3k 2 месяца назад +5

    Duh mada ya leo km nilikua nasemwa mimi 😂😂😂

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Месяц назад

    Asante studio 🎙️🎙️🎙️🎙️

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 Месяц назад

    A alaikum warahmatullah wabarakatu mashallah somo zuri lenye mazingatio Allah akubarik shukran madam

  • @allyrashid1085
    @allyrashid1085 Месяц назад

    Asalamu alaykumu warahmatullah wabarakatuh
    Mdm hapo kwenye kuchek maskio umegonga penyewe 🎉

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 13 дней назад

    ❤❤❤❤😂🎉

  • @a.856
    @a.856 2 месяца назад +1

    Jazaka Allah khayran

  • @SamiaIbrahim-b3k
    @SamiaIbrahim-b3k 2 месяца назад +1

    Nakupenda sana da leila

  • @MesaidiAli
    @MesaidiAli Месяц назад

    asante dadaaa niliwahi yatumia haya maneno kwa mtu wakaribu sana aliniona kiburi mno

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 2 месяца назад +1

    MASHAA Allah

  • @jaysteppers2274
    @jaysteppers2274 2 месяца назад

    Shukran kwamadini Allah akuongezeeni umri wenye kheir nanyi❤

  • @mahmoudidriss7230
    @mahmoudidriss7230 2 месяца назад

    Swadakta madam....kauli sahihi.

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 месяца назад

    Salamghaikum madam laila nimependa habari zako mungu akuzidishiye ishaaalah upo vizur unaongeya ukweli mashaalah mimi wifi yangu hataki nifanywe kazi omam o o 35:29 niolewe kujenga nishijenge nisubir mume siwezi kwenda kudhalishwa sahivi niache jengo langu nilinguke kwa nisikilize yeye hawezekani

  • @abusaeedmwaloumah2418
    @abusaeedmwaloumah2418 2 месяца назад

    Mashallah

  • @BinAbass-b1p
    @BinAbass-b1p Месяц назад

    Madam Leila Allah azidi kuwa pamoja na wewe, kwa kweli maneno yako yanagonga hisia za ukarimu na upendo wako kwetu kwani UNAKOSOA, UNAELIMISHA, UNAKUMBUSHA, UNA..., UNAA..., UNAAA..., kiufupi na kiurefu vyote ALLAHA AKUBARIKI na azidi kuitunza na kuiboresha HESHIMA YAKO WEWE NA MANENO YAKO MAZURI, nakukubali sana ILA na mimi natamani unikaribishe TANGA nije kuonja ukarimu wenu kwa maneno yako mazuri, ILA sisahau kauli yako "UKIJA LEO, WAONDOKA LEO LEO" ila sisi tunakwambia NUKIA KWA MARASHI na UDI wa ZANZIBAR"🤗

  • @BinAbass-b1p
    @BinAbass-b1p Месяц назад +1

    Pia madam kwa maneno yako Mazuri, yagongayo na kuzishituwa nyoyo za waliolala nakuomba unijibu hapo kwa sms za kawaida walau nipate kusalimiana na wewe, Madam kisha ni Dada yangu wa faida mwenye kujiheshimu na kuwaheshimu wengine

  • @rehemaomarsaid
    @rehemaomarsaid 2 месяца назад +2

    Ma shaa Allah tabarraka Allah,allah awazidishie

  • @SammyLee-er5fg
    @SammyLee-er5fg Месяц назад

    Zima au punguza
    sauti ya muziki

  • @mayisarakarire7104
    @mayisarakarire7104 2 месяца назад

    ❤❤❤❤

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 месяца назад +2

    Da lela mimi ni mke mkubwa nishaekwa sana tu hayo maisha tokea na umri mdogo wa miaka 20 tumepoteana tumekutana nikiwa na 26 na kashakuwa na mke mdogo na hapo hatukuu kaa pamoja nimeekwa kama exra wife tokea na mtt mmoja mpaka wa 4 lakini akija anasema nakupenda na mpaka sasa tunazeeka tunaishi hivo na mimi nilijitenga nipo na wanangu akija sawa hakuja simuulizi

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 месяца назад +1

    Dada hizo ndoa za wanaume kutujia mara moja moja ni nyingi sana kule kwa mke mdogo ndo kuna kazi zamu za kila siku wakati mwingine mwezi mzima mwanaume anakuja moja ana kaa siku moja ya pili anaondoka mimi naona mwanaume anakuonesha ndio hakutaki anajifanya yupo busy na kazi

  • @Siasia209
    @Siasia209 2 месяца назад +1

    Madam leyla umeongea kweli kbs apo uyo mume kamchoka tuu mkewe mkubwa

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 27 дней назад

    Kwanilivyomuelewa madam leila mapenzi yakupendana kwake sio kipaombele yake..hana hisia ya mapenzi ..saikolojia yake mapenzi yake yeye kaweka kwenye kazi..hayupo romantic yupo kisheria zaidi na akil yake kashaiweka sistim yakutopenda ovyo nakumuamini mtu kwenye mapenzi...yan mambo yake mengi anatumia akili zaidi sio hisia mdomana hayupo romantic...iyo ndo madhara yakutumia akili sana kwenye kila kitu...yani haijabalansi ..inabidi utumie hisia na akili yani ibalanci

  • @nadiaali9147
    @nadiaali9147 2 месяца назад

    Mie napend maswali ya leila😂

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 27 дней назад

    Kwa uzili tu..madam leila kwenye mapenzi yakijinsia tofauti kwake kayaweka asilia labda ishilini tu kama sio salasini..madam leila mambo yake mengi sana anatumia akili zaidi na nimpuuzaji wa mambo yake kwenye mapenzi yakijinsia tofauti ..yani kajitengenezea ngome yake mwenyewe ubinafsi wa nafsi yake..yan kakomaa kihisia haswa ..mala nyingi anatumia akili yake zaidi ya hisia..na mala nyingi ni mpuuziaji wa mambo yake kama yanakuwa negative...yani haruhusu kitu au mtu kumpa furaha au uzun...yan madam mala nyingi anajikontroo mwenyewe tu

  • @ZuhuraMuharam
    @ZuhuraMuharam 2 месяца назад

    Madam umenigusa kabisa❤❤❤

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 месяца назад

    Kuacha kula hapana mimi ndo naanza kupunguza mapenzi kwake kidogo kidogo yy mwenyewe atajiuliza kulikoni kama nilikuwa namuuliza kutwa mara 3 naacha

  • @AlSalim-x1c
    @AlSalim-x1c Месяц назад

    Tafadhali msitongozane

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 месяца назад

    Yashatukuta hayo lakini rafiki wa mume

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Месяц назад

      Alikukula

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh Месяц назад

      @josephlorri431
      Kuliwa mpaka ukubali wewe mwenyewe majaribu yapo hakuna anaebakwa

  • @shaknuragenciez309
    @shaknuragenciez309 2 месяца назад

    Na kama ushamuambia mara sio moja wala hataki kubadilika je....?

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Месяц назад

    Aslaam aleikum Warahmatulahi please Quran mngezima kabisa wakati mnaongea

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 месяца назад

    Dada ndo kama huku tunaamka asubuhi kuenda kazini tunarudi jioni kila mmoja kachoka kule kupika unajikuta unaumia unataka urudi ukoge usali ulale lakini wapi unatakiwa kupika unachoka hoi

  • @SamiaIbrahim-b3k
    @SamiaIbrahim-b3k 2 месяца назад +1

    Leo nimecheka sana eti nikose kula sababu ya mapenzi acha nifanye kazi za warabu

  • @AbduRaheem-k8u
    @AbduRaheem-k8u 2 месяца назад

    Shukran madam haya sasa kama ni bamkwe wako Jee itakuaje

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 27 дней назад

    Kwanilivyomuelewa madam leila mapenzi yakupendana kwake sio kipaombele yake..hana hisia ya mapenzi ..saikolojia yake mapenzi yake yeye kaweka kwenye kazi..hayupo romantic yupo kisheria zaidi na akil yake kashaiweka sistim yakutopenda ovyo nakumuamini mtu kwenye mapenzi...yan mambo yake mengi anatumia akili zaidi sio hisia mdomana hayupo romantic...iyo ndo madhara yakutumia akili sana kwenye kila kitu...yani haijabalansi ..inabidi utumie hisia na akili yani ibalanci