Mwenyezi Mungu na asifiwe kupitia mahubiri tv na mtumishi wa Mwenyezi Mungu mchungaji wetu, Mwenyezi Mungu na azidi kukushindia na kukupa nguvu. Bila shaka pamoja tutavuka Mwenyezi Mungu yuko upande wetu Amina.
Mungu akubariki sana pastor mmbaga, nabarikiwa Sana Sana na mafundisho yako ya neno la Mungu na yamemibadilisha Sana Imani juu ya Yesu kristo nasema imeongezeka kwani Nina amani moyoni.
Nabarikiwa sana na mafundisho yako. Nakufatilia sana hakika naona mabadiliko sana katika maisha yangu ya kiroho. Mungu aendelee kukuweka na kukupa vipawa. Nami namsihi Mungu anipe imani na nguvu ya kuishi katika neno lake.
Naomba unisaidie kunipa tafsiri ya lile Neno LA Yesu alisema katika kitabu cha Mathayo yule mwanafunzi anamwomba ruhusa aende kuzika Yesu akamwambia wache wafu wazike wafu wao naomba tafsiri mchungaji ubarikiwe
Napenda nikikuona na huwa kuna mvuto flani kwasababu huwa unawaona unaowahubiri na Sisi tunaosikia huwa upo Nasi kihisia SASA ukitumia sauti kuna vitu huwa vinapungua katika kufikisha ujumbe Ila kwakuwa una muhubiri kristo ngoja twende.
Nimepokea mafunzo na MUNGU akuzidishie ufahamu wa maandiko matakatifu ya Bibilia,,, Asante na MUNGU akutangulie,, mimi naomba uponyaji mchungaji uniombee, niko na shida ya pressure na madaktari wananiambia wameshindwa kuithibiti maana hawajawahi ona pressure aina hii,, huu mwezi ni wa Sita mchungaji niko kwa kitanda nikiugua, niko Kenya, malindi.
Mungu akubariki sana pastor, umekuwa msaada mkubwa sana kwangu kwenye mambo Ya kiroho, Mungu nakuomba mzidishie Neema hii ya neno lako na kumuimarisha afya yake azidi kufumbua watu macho Juu yako ukuu wako yehova,
@@MahubiriPrMmbaga Ubarikiwe Sana Mchungaji Mungu akurinde katika utumishi wako Pia naomba uniadd kwa group lako 0756926971 pia naomba mawasiliano yako Mchungaji
Mahubiri Tv Ubarikiwe Sana Mchungaji Mungu akurinde katika utumishi wako Pia naomba uniadd kwa group lako 0756926971 pia naomba mawasiliano yako Mchungaji
Mtu wa Mungu download application ya telegram halafu utaifungua utafuataaagizo na utaomba kuungunganishwa kwenye group inafanya kazi Kama WhatsApp. Ni rahisi utafuata maelekezo . Ni lazima u install telegram kwenye Simu yako . Ubarikiwe sana
@@bobog9732 Ooh sorry you can contact Pastor Mbaga directly through his phone # +255 755 93 2283. He will add you or share your number to ye group admin.
Amina, mchungaji naendelea kubalikiwa na masomo yako tafadhali naweza kuongea na wewe kwa njia ya simu ninashida binafsi inayonisumbua namba yangu 0756616317
Shetani umefanya Vita sana na Walimu wa Maandiko,ukiwawekea mawe wasiinuke,lakini Nina habari njema kwako..you are a looser!!! Ni saa ya Mungu kujifunua kwa watu wake katika maarifa sahihi ya Ufalme wa Mbinguni.. Atukuzwe Yesu..namba yangu 0784891999 telegram plz nipate kunywa Maji ya chemchem.
Mwenyezi Mungu na asifiwe kupitia mahubiri tv na mtumishi wa Mwenyezi Mungu mchungaji wetu, Mwenyezi Mungu na azidi kukushindia na kukupa nguvu. Bila shaka pamoja tutavuka Mwenyezi Mungu yuko upande wetu Amina.
Asante Mchungaji, nimewatumia watu 500 somo hili, kusambaza NENO la matumaini kwetu sote, a
ubarikiwe sana
Hakika sijajuta kusikiliza ujumbe huu, be blessed man of God!
Pastor barikiwa sana kwa kazi ya mahubiri ya kuguza na kuokoa mtu.Mm nakufuatilia sana na mahubiri yako yananiguza.Am frm Kenya.
Amina pastor, nimebarikiwa mno Mungu naomba unibadilishe nikupendeze wewe
Barikiwa sana pr Mmbaga mahubiri yako yananibariki sana
Amina Mchungaji nmesaidika Sana na NENO hili Mungu akubariki Sana napatikana Oman
Huwa nakuelewa sana,mungu akuinue zaid sawa sawa na fadhila zake
Amen be blessed Pastor
Mungu akubariki sana pastor mmbaga, nabarikiwa Sana Sana na mafundisho yako ya neno la Mungu na yamemibadilisha Sana Imani juu ya Yesu kristo nasema imeongezeka kwani Nina amani moyoni.
Nabarikiwa sana na mafundisho yako. Nakufatilia sana hakika naona mabadiliko sana katika maisha yangu ya kiroho. Mungu aendelee kukuweka na kukupa vipawa. Nami namsihi Mungu anipe imani na nguvu ya kuishi katika neno lake.
AMEN, Mungu akubariki sana pastor
Asante sana Mchungaji wangu, Bwana Mungu tunamomba atubadilishe na atuokoe na watoto wetu pia .Amen
Be blessed pastor Mmbaga.. God be with u wherever u are.🙏
Mm niwamakanisa aya ya jumapili lakin kupitia jumbe zako pamoja na mtu wa Mungu mwalim walter veith ama hakika nawaelewaga sana
Am blessed a lot thank you the man of God for good lesson 👏👏👏👏👏👏👏
Asante pastor kwa maombi mazuri MUNGU azidi kukupa nguvu za kuendelea na kazi yake🙏🙏🙏
Ahsante sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa saaaana namafundisho yako na Mungu akubariki
Ubarikiwe sana kwa Powerful Message
Barikiwa .Somo limenibariki sana
thank you pastor, special prayer for please
Mungu akubariki sana pastor.
Pr nimebarikiwa sana asubuhi hii asante kwa kututia moyo.
Amen barikiwa sana p
Be blessed mmbaga
mtumishi barikiwa sana baba
Hongera sana mchungaji kwa mahubiri mazuri
Mchungaji nabarikiwa Sana na ujumbe wa MUNGU kwangu kupitia wewe nakuombea ubarikiwe sana na Bwana wetu Yesu Kristo
Mungu wa mbinguni akupiganie pastor wetu tunakuombea sana
Ameen sana pastor somo zuri
Ubarikiwe kabisa pasta kila siku napenda mahubiri yako hata kama Mimi niwa dini lengine lakini inanifariji saaaana mungu akubariki pasta mmbanga
Ameen nimepata kitu ubarikiwe Mtumishi
Nashukuru mchungaji nakusikiya kutoka qatar mungu akubariki
Ndiyo maan huwa napenda mahubir yako sema nilichelew kuyasikiliz lkn saa ya Bwana ilipotimia Mungu alinifunulia
Aminaaa Aminaaaa
Hongera kwa ujumba pst mbaga
Ubarikiwe mtumishi kwa neno hili
Amina ubarikiwe sana and Asante sana Mungu akuinuwe sana❤❤
Amina, BWANA aendelee kukutumia tena na tena
Be blessed Pastor
Akili za MUNGU hazichunguziki,nafarijika na huyu MUNGU
Ubarikiwe pastor
Naomba unisaidie kunipa tafsiri ya lile Neno LA Yesu alisema katika kitabu cha Mathayo yule mwanafunzi anamwomba ruhusa aende kuzika Yesu akamwambia wache wafu wazike wafu wao naomba tafsiri mchungaji ubarikiwe
Mtu akihitaji kukiunga kwenye group la maombi telegram unafanyaje mchungani au vigezo??
Napenda nikikuona na huwa kuna mvuto flani kwasababu huwa unawaona unaowahubiri na Sisi tunaosikia huwa upo Nasi kihisia SASA ukitumia sauti kuna vitu huwa vinapungua katika kufikisha ujumbe
Ila kwakuwa una muhubiri kristo ngoja twende.
Ubarikiwe sana
Habari ya uzima mtu wa mungu ubalikiwe sana kwa mafundisho haya.
Amen thanks you for your prayers
Barikiwa Mchungaji
Nime barikiwa
Nimepokea mafunzo na MUNGU akuzidishie ufahamu wa maandiko matakatifu ya Bibilia,,, Asante na MUNGU akutangulie,, mimi naomba uponyaji mchungaji uniombee, niko na shida ya pressure na madaktari wananiambia wameshindwa kuithibiti maana hawajawahi ona pressure aina hii,, huu mwezi ni wa Sita mchungaji niko kwa kitanda nikiugua, niko Kenya, malindi.
Be blessed
Amen asante
fupi kali. mungu atubariki
Amina pastor
Mungu akubariki sana pastor, umekuwa msaada mkubwa sana kwangu kwenye mambo Ya kiroho, Mungu nakuomba mzidishie Neema hii ya neno lako na kumuimarisha afya yake azidi kufumbua watu macho Juu yako ukuu wako yehova,
Barikiwa sana pastor. Naomba uniadd telegram kwa namba 0769 071749
Amen
Be blessed pastor naomba niwe napata CD zako
@@MahubiriPrMmbaga Ubarikiwe Sana Mchungaji Mungu akurinde katika utumishi wako Pia naomba uniadd kwa group lako 0756926971 pia naomba mawasiliano yako Mchungaji
Amina sana mchungaji
Asante sana mwalimu
Amina mtumishi
Amen Amen
Amina kaka
AMEN
Ameen🙏
Amen Amen 🇰🇪
Pr ubarikiwe
Amina
Amina amina.
Mahubiri Tv Ubarikiwe Sana Mchungaji Mungu akurinde katika utumishi wako Pia naomba uniadd kwa group lako 0756926971 pia naomba mawasiliano yako Mchungaji
niadd kwa telegram
mimi telegram imenishinda ku use what can I do? Please
Pole sana
Mtu wa Mungu download application ya telegram halafu utaifungua utafuataaagizo na utaomba kuungunganishwa kwenye group inafanya kazi Kama WhatsApp. Ni rahisi utafuata maelekezo . Ni lazima u install telegram kwenye Simu yako . Ubarikiwe sana
@@subiralendaiga5791 kama inawezakana ungenitumia link please
@@bobog9732 Ooh sorry you can contact Pastor Mbaga directly through his phone # +255 755 93 2283. He will add you or share your number to ye group admin.
Amen
God is good naomba kuunganishwa telegram kwa namba9553302791 nimependa program nzur Kama hii
Amen!
Bwana Yesu asiwe mtumishi nabarikiwa sana na mahubiri yako sana naomba uniunge kwenye group tafadhali +255713928117
Nimebarikiwa Sana Pastor niadd Kwa group ya telegram 0796696812
Niadd mchungaji telegram 0787739418
Amina, mchungaji naendelea kubalikiwa na masomo yako tafadhali naweza kuongea na wewe kwa njia ya simu ninashida binafsi inayonisumbua namba yangu 0756616317
Asante sana kwa somo mchungaji naitaji unirudishe nyumbani nilikuwa nimepotea njia 0735843305
Naomba uniunge telegram namba 0625769231
Naomba kuungwanishwa WhatsApp 0768515670
Amen byta unaendelea kuniinua ni add kua telegram +966536007189
Naomba ni add tllegrm group,0763898560 nitashukuru
Ni add kwa Telegram no 0713678556
Ni add telegram mchungaji 254794215356
Ni add mchungaji 0743651322
Shetani umefanya Vita sana na Walimu wa Maandiko,ukiwawekea mawe wasiinuke,lakini Nina habari njema kwako..you are a looser!!!
Ni saa ya Mungu kujifunua kwa watu wake katika maarifa sahihi ya Ufalme wa Mbinguni.. Atukuzwe Yesu..namba yangu 0784891999 telegram plz nipate kunywa Maji ya chemchem.
fupi kali. mungu atubariki
Amina pastor
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen