KOSA HILI LIMELETA LAANA KWA WENGI (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 112

  • @callenonderi1708
    @callenonderi1708 2 года назад +1

    Asante kwa somo zuri naona nikipiga hatua katika maisha yangu

  • @costernyamba3752
    @costernyamba3752 9 месяцев назад +1

    Nabarikiwa sana na somo hiri ninapitia hayo katika familia yangu nahitaji kubadirika kupitia somo hili

  • @eustina0
    @eustina0 Год назад

    Mungu anisamehe kwa kunungunika niliona nikawaida Mungu ahimidiwe siku zote🙏🙏🙏🙏

  • @lilianlima8609
    @lilianlima8609 3 года назад +2

    Ni kweli na hakika Jina la Bwana lihimidiwe, ukitembea kwa imani mambo yote yanawezekana katika jina la Yesu, tubarikiwe sote.

  • @kelvingallo8262
    @kelvingallo8262 5 лет назад +3

    Ninakushukuru sana kwasomo hili maana najiona nami nimiongoni mwahaya manung'uniko kuanzia sasa yashindwe kwajina la YESU

  • @mercynyanchoka6283
    @mercynyanchoka6283 3 года назад

    Hapo kwa kunungunika pastor umenena nami, na nimepadilika mungu aniweseshe kabisa

  • @princiadeborah5270
    @princiadeborah5270 4 года назад

    nakufuatilia makundisho yako saaaana nikiwa canada najengwaga sana Mungu akuongeze upako mtumishi Mbagwa

  • @neemangere1168
    @neemangere1168 2 года назад

    aasante sana kwa somo zuri Pr

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 5 лет назад +15

    Kuanzia leo naacha manu'guniko kwa jina la yesu nahitaji baraka kutoka kwako🙏🙏🙏🙏

  • @priscalmichael8579
    @priscalmichael8579 5 лет назад +1

    Umebadilisha maisha yangu Mungu anisamehe maake hata mimi huwa nalalamika sana Mungu akubariki Pr kwa ujumbe huu

  • @maureenjovial6237
    @maureenjovial6237 4 года назад

    Amen asante kwa hili Mungu wangu nifundishe kunyamasa kutolalamika Mungu akuinue sana mchungaji

  • @justinreponse834
    @justinreponse834 4 года назад +1

    Master mbaga ninatamani sikmoja nije nikuone kwasababu yakuniongezeya Mimi namushukuru Mungu kwakukulinda kwasababu afunzoyako yananiokowasana ilamungu akubaliki

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 года назад

      Amen

    • @justinreponse834
      @justinreponse834 4 года назад +1

      @@MahubiriPrMmbaga pasteur naendbatizwa kupitiya mafunzoyako naomba maombiyakokusudinaminikomaekirohokamkimwili Saidi yako jusiezinikajilinganishanawe Bali Mungu tu kwamusahadawake

  • @chloecallie3619
    @chloecallie3619 Год назад

    Amen Amen Amen. Be blessed Pastor

  • @edithmakwakwa9489
    @edithmakwakwa9489 4 года назад

    Kumbe manung'uniko siyo mazuri pastor nimekusoma sana

  • @asheriniyongabo2385
    @asheriniyongabo2385 5 лет назад +3

    Mchungaji Mungu na Akubarikisana tena sana, Umenifungua macho. Mimi si msabato, ila Mungu akinisaidia sa sa na ahidi kuwa adivantista, je? Nimeona kwenye video hii, je,nihalari kuva kofiakwenyekutataniko la wakristo?

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 года назад

    Amen mchungaji wangu, Mungu akubariki, nahitaji neema za Baba

  • @mauricemainga7923
    @mauricemainga7923 4 года назад

    Mungu nisaidie kuyaacha malalamishi kwenye maisha yangu

    • @reginamwacha7361
      @reginamwacha7361 4 года назад

      kwanzia leo sitaki kumunungunikia tena Mungu .Mungu wangu ninayekuabudu kwanzia leo nimevua sanda ya manunguniko naomba Neema yako ya kushinda aya manunguniko Mungu wangu

  • @mmungamleci4876
    @mmungamleci4876 2 года назад

    Je suis béni , et que l'Éternel vous bénisse notre cher pasteur
    Merci pour un bon message édifiant

  • @rwasamanzikanyindi6319
    @rwasamanzikanyindi6319 4 года назад

    Najifunza vitu vingi sana kupitia mahubiri yako,Mungu akubariki sana.

  • @markongatunga4520
    @markongatunga4520 3 года назад

    Amina sana mtumishi wa Bwana Yesu

  • @herip4300
    @herip4300 2 года назад

    Leo Kwa mala ya kwanza nalipanda jukwaa hili la comment kiukweli mungu anaowatu maalumu anaowatumia ili kuwafikia watu Wa wenye kila aina ya mitazamo na mapokeo mbalimbali " binafsi Mimi natamani kuwa na imani pia elimu ya kiroho kama wewe 🤓🤓

  • @rwasamanzikanyindi6319
    @rwasamanzikanyindi6319 4 года назад +1

    Kuanzia leo naacha tabia ya manung'uniko,Mungu anisaidie.

  • @bobog9732
    @bobog9732 5 лет назад +2

    napenda mahubiri Tv sana Mungu azidi kuwabariki kwa mahubiri ya kila siku

  • @dicksonwambura9840
    @dicksonwambura9840 4 года назад +1

    Nimemruhusu yesu atawale maisha yangu kuanzia leo nimeelewa kuwa yesu alikufa kwaajili yangu , dhambi zngu namuachia yeye nimeazimia kumrudia mungu wangu

  • @hellenbarnaba9069
    @hellenbarnaba9069 3 года назад

    Ee Mungu wangu utupe moyo wa unyenyekevu.

    • @hellenbarnaba9069
      @hellenbarnaba9069 3 года назад

      Kwa jina la Yesu Mimi na Nyumba yangu naomba badiliko katika ulimi na ndimi zetu ziwe Baraka, Ee Yesu mwana wa Daud unirehemu Uturehemu.

  • @gloriatoo22
    @gloriatoo22 3 года назад

    Mungu niondelee manunguniko,nimekushuhudia

  • @dicksonwambura9840
    @dicksonwambura9840 4 года назад

    Nimeenda kibada sda church naanza na bwana katika maisha yangu

  • @shishshikoh4979
    @shishshikoh4979 5 лет назад

    .nimekupata vizuri Sana pastor..Mungu nisaidie niache manunguniko

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 5 лет назад +1

    Ili koza pastor tutafanyaje akituaje na ndio dhambi kubwa sana kunungunika☺☺

  • @alitechsolutions8864
    @alitechsolutions8864 5 лет назад +2

    napenda mahubirio yako pastor mungu akubariki yvon night kutoka kenya

  • @joyestherbagarura954
    @joyestherbagarura954 4 года назад +5

    I tell you; this man isnt only blessed with the word; he must be born a very bright en brilliant person!!!

    • @namsijonathan8156
      @namsijonathan8156 4 года назад +2

      Kabisa ..He knows a lot of things out of spiritual things anafuatilia kila nyanja ya maisha halisi of which ni vizuri kufundisha ukiwa unajua uhalisia ukoje

    • @florarose1626
      @florarose1626 4 года назад

      True ❤️

    • @Neemav-c5i
      @Neemav-c5i Год назад

      Indeed

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 5 лет назад +3

    Amina nahisi na moyo umetulia sana huku mwisho Mungu akubariki sana.

  • @josephinelusambo4593
    @josephinelusambo4593 5 лет назад

    Mungu akuzidishie pastor maumbiri yako nimazuri good bless you

  • @konkmaster6354
    @konkmaster6354 5 лет назад +3

    Asante pastor kwa kuliweka vizuri hili somo muhimu

  • @robartmwangomalecharnel7860
    @robartmwangomalecharnel7860 4 года назад

    Amina tunabarikiwa

  • @janetmassawe8447
    @janetmassawe8447 5 лет назад +1

    MUNGU ni wa ajabu...Kweli anatenda....japo ni muda umepita, BWANA amenitendea na mimi.JINA LAKE Litukuzwe

  • @jamesmedard5538
    @jamesmedard5538 4 года назад

    Amina kaka. Somo hili limenigusa moja kwa moja.

  • @lilianikerubo7909
    @lilianikerubo7909 4 года назад

    Amen Ewe mungu nizaidie niaje kunungunika.

  • @mbiutv
    @mbiutv 5 лет назад +1

    Amen pastor mbaga

  • @moniquenimbabazi4528
    @moniquenimbabazi4528 5 лет назад +2

    Naelewa Mungu hutujali sana ila ikiwa tunashida twamwangalia yeye ndie msaada kwetu kwayote

  • @josephshikuku8775
    @josephshikuku8775 4 года назад

    Barikiwa sana Pastor

  • @moniquenimbabazi4528
    @moniquenimbabazi4528 5 лет назад

    Asante kwa somo ila sojaelewa
    Unasema kulalamika sio vizuri na Mungu huchukia
    Swali nihili Ayubu mwenyewe alilaani kwanini alizaliwa
    Kingine ikiwa unakutana na shida ukararamika kosa niipi au kuwuliza Mungu ikiwa umefanya uovu koza liko wapi ?
    Kulalamika nivibaya namna ngani naomba majibu

    • @damianlugendo9161
      @damianlugendo9161 5 лет назад

      Ayubu hakunung'unika bali alishukuru na kusema Mungu ni wamirere lknpia hamanishi kunung'unika juu ya maovu uyafanyayo balinikwa magumu yakufikayo kumbuka Paulo alimnung'unikia Mungu juu mapito yake lkn baada yakugundua alikosea alisema nitageuka nyuma nitazame wap ni mekosea huo nimtizamo wang!

    • @stephanoamos9457
      @stephanoamos9457 5 лет назад

      Kulalamika kumlaumu Mungu kwa shida unazopitia kwa lugha nyepesi ni kusema kwani magumu yananipata je Mungu hunioni? Unamaanisha Mungu ni kipofu

    • @stephanoamos9457
      @stephanoamos9457 5 лет назад

      Unatakiwa kumwambia akusaidie ili magumu yakuondoke na sio kusema mbona mimi tu hizi shida ukisema hivo kesho tu unakutana na shida nyingine tena

  • @angel-y
    @angel-y 5 лет назад +3

    Amen. Barikiwa Pastor.

  • @georgemoshi7642
    @georgemoshi7642 5 лет назад +3

    Amen, nimebarikiwa sana from Shenyang,China.

  • @allennzota4868
    @allennzota4868 4 года назад

    Barikiwa saaan Pr...

  • @labanmatoke
    @labanmatoke 6 месяцев назад

    Baraka tu

  • @emmanueljoseph8018
    @emmanueljoseph8018 3 года назад

    Ts amazing

  • @julianapetro3897
    @julianapetro3897 5 лет назад +3

    Asante nimebarikiwa umeniokoa mchungaji

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 4 года назад

    Somo hili hamna sauti

  • @dennisontita4752
    @dennisontita4752 5 лет назад +1

    Mungu nizaidie niache kunungunika
    Amen

  • @edwardadam2794
    @edwardadam2794 5 лет назад +2

    amina pastor

  • @farajilyambafu1953
    @farajilyambafu1953 5 лет назад +2

    pastor injili nimeielewa

  • @paschalcassianoriginal9411
    @paschalcassianoriginal9411 5 лет назад +2

    Aaamen pastar

    • @eunicelovey
      @eunicelovey 5 лет назад +1

      Amen kwanza leo silalamiki tena barikiwa mchungaji

    • @agnessshabani9283
      @agnessshabani9283 5 лет назад +1

      Àsante sana

    • @sheilaombongi8086
      @sheilaombongi8086 5 лет назад

      Eunice nyandiko,amen pastor kwa neno zuri nimebarikiwa sana aminaa

    • @saturikinubi5019
      @saturikinubi5019 4 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @danielmatengamaranda8307
    @danielmatengamaranda8307 5 лет назад +1

    Amina sana

  • @florarose1626
    @florarose1626 4 года назад +1

    Amen Sana 🙏🏾❤️

  • @subiralendaiga5791
    @subiralendaiga5791 5 лет назад +2

    Amen! This is amazing and blessing to all!

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 5 лет назад +2

    Nimebarikiwa sana

  • @ezromnobety3715
    @ezromnobety3715 5 лет назад

    Mungu ahsante kwa somo hili maana mie ndo mhanga wa ugonjwa huu. Mchungaji naomba namba yako coz naihitaji ushauri wako.

  • @emmanuelmbwambo6571
    @emmanuelmbwambo6571 3 года назад

    Two years ago still on fire 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

  • @davidogamba160
    @davidogamba160 5 лет назад

    Asante pastor kwamafundisho mazuri naomba namba yako kwamaana naitaji maombi kutoka kwako thafathari

  • @gracejoel3245
    @gracejoel3245 5 лет назад +1

    Amina Pr

    • @nipaelmsuya5261
      @nipaelmsuya5261 5 лет назад

      Amen.....nimebarikiwa.Mungu azidi kukubariki pia mchungaji

  • @janethmalenja
    @janethmalenja Год назад

    Aminaa

  • @perismoraa6013
    @perismoraa6013 5 лет назад +4

    Amen

  • @killystardwank6738
    @killystardwank6738 5 лет назад +4

    amina

  • @salamaizungo4644
    @salamaizungo4644 5 лет назад +4

    kuanzia leo hii naazimia kutolalamika kwa JINA LA YESU NITAYAACHA ONDOA YESU LAANA ZOTE AMAN ITAWALE MOYONI MWANGU NA KATIKA KIZAZI CHANGU TAKASA YOTE

  • @moniquenimbabazi4528
    @moniquenimbabazi4528 5 лет назад +1

    Naomba nisaidiwe hili somo la Zaburi:13;14;15 iyo sio malaumu na lalamiko ? Nisaidie

  • @salamaizungo4644
    @salamaizungo4644 5 лет назад +5

    kati ya watu waliobarikiwa ni mm

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 5 лет назад +4

    Amen leo umeubiri kweli points to

  • @jeanclauderukundo6351
    @jeanclauderukundo6351 5 лет назад +1

    Amina

  • @imangregory8392
    @imangregory8392 5 лет назад +1

    Amina!

  • @stephentasani4608
    @stephentasani4608 5 месяцев назад

    Mch, we watafata ili wakufikie levo yako bado utakua juu ukiziditu kuwavuta nasio kukufikia.

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 5 лет назад

    Blessings

  • @wegesaelias9568
    @wegesaelias9568 4 года назад

    Santeee

  • @vinapple6055
    @vinapple6055 5 лет назад

    🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ameenadxd9509
    @ameenadxd9509 4 года назад

    Sitarudia kunung'unika tena,

    • @celinalyimo1870
      @celinalyimo1870 4 года назад

      Mungu naomba weka mngozi kinywani mwangu azue nisije nung'unika tena hususni tulioko U.S.A TUNALALAMIKA SANA

  • @nyamweyaisaiah450
    @nyamweyaisaiah450 5 лет назад +1

    A men

  • @josephinelusambo4593
    @josephinelusambo4593 5 лет назад

    Mungu akuzidishie pastor maumbiri yako nimazuri good bless you

  • @msafirimhehe
    @msafirimhehe 5 лет назад +1

    Amina...

  • @ekelaalex534
    @ekelaalex534 4 года назад

    Amen

  • @salomekibabi599
    @salomekibabi599 5 лет назад +1

    amina

  • @josephinelusambo4593
    @josephinelusambo4593 5 лет назад

    Mungu akuzidishie pastor maumbiri yako nimazuri good bless you

  • @amossamwel2266
    @amossamwel2266 5 лет назад +2

    amina

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 2 года назад

    Amen

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 8 месяцев назад

    Amen