Asante San PR. kwa somo zuri huwa napenda sana kufatilia mahubiri na mafundisho yako kwa ujumla nabarikiw San, BWANA akubariki sana uwendelee kutufundisha tusio ya juwa
Somo muhimu sana. Mungu asante sana ni kwa vile unanipenda ndio maana umenipa fursa ya kusikia somo hili. Nipe neema kuacha dhambi hii. Barikiwa Pastor wangu
pastor niukwel hili somo nimeliangalia mar mbili tofaut nasinzia usingzi mzito ila nimelilidia mara nyingi zaid mpk nimeelewa ni kwel mm nina kiburi n som hili limeenda kunisaidia niombee san ila pia ubalikiwe san pastor unatubaliki san🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante pr. Kwa somo la leo, kweli MUNGU atusaidie na atuondolee viburi na uongo,,, BWANA atusaidie,,, Asante mchungaji kwa neno zuri la leo, bwana asifiwe
Ninafuraha kuwafatilia natamanikusambaza mahubiri haya lkn sijui nifanyeje kwa kupitia simu yangu kwa watu wangu jinsi ninavyo sikia ni mm tu ndo nasikia nielekezeni
Asante San PR. kwa somo zuri huwa napenda sana kufatilia mahubiri na mafundisho yako kwa ujumla nabarikiw San, BWANA akubariki sana uwendelee kutufundisha tusio ya juwa
Ubarikiwe wengi unakuta wana kiburi pengine Karama au cheo ktk Iman Mungu atusaidie
Nimejifunza sana Ahsante Baba mchungaji somo zuri Ee mungu nisaidie niondolee kiburi nijaze roho ya unyenyekevu AMINA.
Asante Mungu kwakunitumia ujumbe huu. Hunaniusu lkn kwa jina la Yesu Kristo ninakemea
Amina. Barikiwa sana mchungaji Mungu na azidi kukutumia hakika somo limenigusa sana.
Amen ubarikiwe mtumishi wa Bwana.
Namushukuru Mungu kwa kunibadilisha maisha yangu kupitiya neno lake .Mungu akubariki mshungaji.
Amen pastor, nakupenda sana sio kwa kujua Bible tu, lakini wewe upo very intelligent yani mchungaji wa nyakati za Leo kweli, unagusa kila maisha 🙏
Barikiwa sana mtumishi kwa somo zuri sana,hakika limenibadikisha
Amen pastor naelewa sana masomo yako Mungu akupe afya njema uzidi kutuelewesha
Daaah Amina pr somo limenichoma sana, Mungu aniondolee kiburi anijalie unyenyekevu
Amen be blessed Pastor Mmbaga 🙏🙌
Asante mchungaji kwa Maana Mungu amekutumia nami katika somo LA imani nimepokea uponyagi sifa na utukufu ni kwa Mungu aliyeziumba Mbingu na nchi
Thanks pastor, May God bless you
Amen asante sana Mahubiri haya yamenigusa sana kwa kikubwa naomba Roho mtakatifu anisaidie sana aniondolee kiburi
ROHO MTAKATIFU naomba nipatie Moyo wa UNYENYEKEVU ,Naomba NISAMEHE SNA pale kiburi kilipojiinua na KUKUSONONESHA ,naomba haya ktkt JINA LA YESU AMEEN.
Amen Amen@pastor mmbaga asante kwa somo,Mungu nakuomba unipe unyenyekevu🙏🏻🙏🏻
Mungu akubariki sana pastor kwa somo mhimu na lenye maana sana kwa kwa binadamu tunaoishi nyati za mwisho
Ameeeeeeen mtumishi wa Mungu asanteee kwa neno nzuri Mungu akubariki sanaaaaaaa 🙏🙏🙏🙏
Amen, Barikiwa Mchungaji.Mungu niumbie moyo wa unyenyekevu maana hii ni tabia yako.
Nisaidie Mungu wangu nishinde dhambi ya kiburi🙏
Mungu akubariki Pastor kwa somo LA nguvu.Amen Amen
Nashukuru kupata chakula kutoka kwa Bwana.Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana.
Asante pr. Kwa somo zuri Bwana atusaidie sana kutambua jinsi tulivyo na atuondelee khouri. Amina.
Amen 🙏 Mungu niondolea kiburi dani yangu nitumia Kama thahabu ilio hai God
Somo muhimu sana. Mungu asante sana ni kwa vile unanipenda ndio maana umenipa fursa ya kusikia somo hili.
Nipe neema kuacha dhambi hii.
Barikiwa Pastor wangu
M
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Amen Asanti Pastor Kiburi nnayo Msamaha Baba🙏🙏
Ameen baba barikiwa sana somo zuri
Asante mchungaji kwa mafundisho yako yaliyojaa hekima. Ubarikiwe
Asante mchungaji wangu, somo zito sana kwa wengi, asante kutuamsha, Bwana Mungu atuhurumie. Amen
Somo nzuri Sana ubarikewe Pastor
Waa Mungu anisamehe sikukuwa nimejua ,,Mungu akubariki sana kwa neno lenye kiroho na akutie nguvu sana
Mungu nisaidie roho ya kiburi isiniingie 🙏🙏
Kiburi kinaleta mashindano, dharau, kumbe kiburi hakikai kwa walio wenye unyenyekevu.Mungu unijarie unyenyekevu ili nishaurike kwa rika zote, Amen.
pastor niukwel hili somo nimeliangalia mar mbili tofaut nasinzia usingzi mzito ila nimelilidia mara nyingi zaid mpk nimeelewa ni kwel mm nina kiburi n som hili limeenda kunisaidia niombee san ila pia ubalikiwe san pastor unatubaliki san🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki PR maana ninabarikiwa na mahubiri yako.
Napenda mafundisho yako God bless you Amen 🇰🇪
Tunyenyekee miguuni pa YEHOVA ,barikiwa sn pasta.
Amina.....Mungu atusaidie
Somo nzuri sana
Barikiwa Sana kwa huduma yako, somo Zuri, Amina
Asante sana mchungaji MUNGU atuajalie na atufunulie tuone makosa yetu,,, malindi Kenya
Ahsante mchungaji jambo hili huwaangusha maskini na matajiri. Wasomi na wasio wasomi
Asante sana mtumishi umenigusa sana
Asante pr. Kwa somo la leo, kweli MUNGU atusaidie na atuondolee viburi na uongo,,, BWANA atusaidie,,, Asante mchungaji kwa neno zuri la leo, bwana asifiwe
Mungu nifungue macho nione ili kama kuna kiburi ndani yangu kiondoke.
Habari mchungaji ubarikiwe sana kwa mafundisho haya.
Mchungaji asante nipo kenya jimbo la Uasin Gishu Eldret nmebarikiwa tena nmeelimika
Amen ubarikiwe
Mungu anisaidie niache kiburi.
Kiburi kibri kiburi x2 ni changamoto sana ni sehemu ya maisha yetu Mungu atunusuru na hili
Mungu atusaidie
Asante sanna God bless you man of God
Asante kwa somo mtumishi
Asante MUNGU kwa kunijulisha na uniondolee roho ya kiburi
Mungu atusaidie tuache kiburu.
Mbarikiwe sana kubadirika nilamaana
Amen 🙏🙏🙏
Eeeeh mungu wangu niondolee roho ya kiburi katika maisha
Amen be blessed
Mm pastor naomba uniombee sababu nilirudi nyuma kiimani.
Mungu akutie nguvu katika nyakati zote, omba naye Mungu atakuitikia.
Ubarikiwe mtumishi.
Amina mtumishi wa mungu.Naomba tu chat.
Mungu akubariki sana
Barikiwa
Kitendo cha kukataa kuamini neno la Mungu hicho ni kiburi
Asante mchungaji kwa fudisho hili
Mungu naomba uniongoze ni siwe na kiburi
Asante kwa somo zuri limenibariki
🙆♂️🙆♂️🙏🙏💞santee sana sana pastor somo zuri
Amina.Barikiwa Mchungaji
Amen nashukuru kwa neno.
Ubarikiwe sana kwa kuturekebisha
Ee mungu wangu nisaidie nikuwe mnyenyekevu
Be blessed Mtumishi
Kwa kweli nimekumbali ni ukweli kabisaa,, Mungu anisamehe sana
Somo zuri Mchungaji ubarikiwe
Eee Mungu nisamehe maana nina kiburi tena kile cha uzima huenda kuliko watu wote duniani
Amina
Amina last top pasta wengine siwaelewag kabisa
Uliza tu hapa
Amina..
DAVID MBAGA.
KRISTO YESU,ATAWAMBIA SIKU ILE SIKUWAJUA NINYI KAMWE,ONDOKENI KWANGU NINYI MTENDAO MAOVU.
Amen
Pastor naomba namba zako
Jaman naomba mwenye namba ya spar mbaga anisaidie plz
+255 755 932 283
Pastor Je Wewe Una Acount Teregrama kama Ipo nisaidie Link Niwe mwana family
Amina, Barikiwa sana pastor.
Naomba kupata link ya Telegram
Wema na fadhili zikufuate
Pastor uniombee MUNGU aniondolee uchafu wote rohoni.
Pastor nimebarikiwa na soma naomba namba zako
PIA AKASEMA OLE WENU MAFARISAYO WANAFIKI KWAKUWA MNAZUNGUKA-ZUNGUKA MJINI KUTAFUTA MTU NA AIKISHAONGOKA MNAMFANYA KUWA MWANA WA JEHANAMU MARA MBILI.
Ninafuraha kuwafatilia natamanikusambaza mahubiri haya lkn sijui nifanyeje kwa kupitia simu yangu kwa watu wangu jinsi ninavyo sikia ni mm tu ndo nasikia nielekezeni
Ndugu,msipende kuwa waalimu wengi hali mkijua,yakuwa mtapata hukumu iliyokubwa zaidi.
Uzinzi
kwenye makanisa hii dhambi imeshika kasi
AMINA MTUMISHI WA BABA KWA UJUMBE MZURI...
MAOMBI YANA NGUVU TUUNGANE KATIKA KUOMBA.
Amena
Kweli mchungaji kiburi kimetuthir Mungu atupe Neema yakuondokana nacho.Ila kuna mtu mnyenyekevu lkn ana kiburi.Hapa inakuaje Baba mchungaji.
Barikiwa kwa fundisho zuri, Pr
Aminaa Mungu atusaidie kuijua dhambi hii na kuitubia haswaa.
NIKODEMO HABARI ZAKE NI KATIKA YOHANA 3:1-3.
Yeye naye alikuwa kama wewe alikuwa mwalimu kama wewe.
Lakini hajazaliwa mara ya pili.
MUNGU AKUSAIDIE.
Mbna hatukelewi kaka
MUNGU nisaidie uniondoshee kiburi
nifungue macho yangu nione kama kuna kiburi ndani yangu
Unyenyekevu ndio tunda la Roho