Asante Mungu kwa rehema na upendo kwangu. Roho wako Mtakatifu aendelee kunifundisha nipate kukuelewa Mungu wangu. Asante kwa somo hili pastor. Ubarikiwe
Barikiwa tena na tena, umeweka dhana Fulani katika maisha yangu tangu sasa ambayo sina lugha halisi ya kuifafanua, kumhusu Mungu na vile alivyo karibu nasi kuliko tujuavyo. "ABA" or a Dad to me.....
Bwana apewe sifa pastor mbaga.Napenda Sana mahubiri yako kwa kuwa nabarikiwa Sana na jinsi unavyotoa wasaa mbele za Mungu.Barikiwa sana na Bwana Yesu.amin
pastor I have loved your teaching I testify that you preach the gospel of true living DAD may we be blessed through your teachings may he give you strength n wisdom
Huwa Nakuelewa sawa, Japo mimi mwenye dhambi lakin namng'ang'ania Yesu hadi mwisho Aniokoe, Na huyo Movu, Nishakula ZAKA sana, sijui deni hilo hata ni Kiasi Gani
Hallelujah Amina yote tumwambie yesu atutendee tuaje huoga tuombe mzamaa tutashamehewa kwa imani mbarikiwa sana pastor Amina
Bwana ningome ya uzima wangu nimwogope nani sinahofu kamwe maana yeye yuko pamojanami maishani mwangu amina🙏🙏💕💕
Hili ni moja kati ya mahubiri ninayoyapenda saana, Yaani yamebadirisha 💯 ya maisha yangu! Mungu akubariki saanaa PR
Asante Mungu kwa rehema na upendo kwangu. Roho wako Mtakatifu aendelee kunifundisha nipate kukuelewa Mungu wangu.
Asante kwa somo hili pastor. Ubarikiwe
Barikiwa tena na tena, umeweka dhana Fulani katika maisha yangu tangu sasa ambayo sina lugha halisi ya kuifafanua, kumhusu Mungu na vile alivyo karibu nasi kuliko tujuavyo. "ABA" or a Dad to me.....
Bwana apewe sifa pastor mbaga.Napenda Sana mahubiri yako kwa kuwa nabarikiwa Sana na jinsi unavyotoa wasaa mbele za Mungu.Barikiwa sana na Bwana Yesu.amin
Amina kweli bila yesu ni anguko! nimefarijika sana mtumishi wa Mungu Ubarikiwe sana tuombee wote tuwe wanafunzi wa yesu na wenye kumhubiri Mungu!
Haleluyaaaaaaaaaaaaa
Amen kubwa ubarikiwe sana mwalimu nime penda mahubiri yako
Amen
Haya maombi yamenibariki, hakika nimeuona wema wa Yesu, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Naomba Mungu anibadirishe katika somo hili ni zuli
I like what the son of God teaching us God bless you
Kila wakati napitia siku ngumu maishani na nasikia niko mdhabi zaidi, huwa naza kutazama hili huburi. Asante David
Namwamini MUNGU wa mbinguni na hata wewe endelea kumwamini MUNGU maana majaribu huja kwa wanao mwamini MUNGU.Na endelea kumtanguliza yeye. AMEN
Nabarikiwa sana barikiwa katika jina la Bwana Yesu
pastor I have loved your teaching I testify that you preach the gospel of true living DAD may we be blessed through your teachings may he give you strength n wisdom
Amen! Thanks so much
May our almighty God reveals more msg to you
Nmebarikiwa Sana mungu ni mwemaa
Asante Yesu kwa hili neno sifa na shukurani n zako milele nimeguzwa sana
Amen 🙏 murumishi wa Mungu Mungu akumbaliki na Famly yako akupatiye ngufu za kumutumikiya
Amen 🙏🙏🙏🙏
Paster nmeguswa
Asante Mchungaji wangu, kweli Mungu ni pendo. Amina.
Somo zuri sana, ubarikiwe sana Pastor 🙏
Umesema vema Pastor, kweli nidhamu ya uoga sio nzuri maana inazaa Uongo. sasa Nathubutu kumuamin Mungu na kuwa Jasiri.
Napenda vile Mungu anakutumia kujenga imani yetu kwake Mungu aliye hai
Amina pastor nnejifunza barikiwa sana n family yko
Asate sana mutumishi wa mungu mafundisho mazuri 🙏🙏 i😊😊
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako, naamini kuokolewa kwa neema. Barikiwa Sana mchungaji
Ameen.barikiwa mtumishi wa mungu
Amen asante kwa Neno limenitoa sehemu moja kwenda nyingine
Nimebarikiwa sana kwa somo lako mchungaji. Mungu akubariki sana.
Listening march 2020
God bless you mtumishi nmebarikiwa sana na mahuburi let live humoo🙏🙏
ibarikiwe sana kwa jina la yesu kristo 😊najickia furaha sana
Bila Yesu mimi ni kitu buree eeeh Mungu nipokee jinsi nilivyo
Nakataa uoga katika jina la yesu
AMEN in the name of Jesus Christ Alfred Masongo from kenya kisumu
Amen Amen. Mungu akuinue zaidi mchungaji asante maana nimebarikiwa sana na neno hili
Mchangaji Mungu akubariki kwa kutufundisha neno la Mungu
Ubarikiwe mutumihi wa Mungu kwamaubiri uinanisaidiya kwaujarsiri
Amen mtumishi nimebarikiwa sana na somo asante.
Barikiwa sana pr unatufumbua macho mungu azidi kukusimamia
Niko Mozambique, umenigusa Kabisa , Mungu akupe nguvu. tuombee!!!
Nakuelewa SANA Mchungaji. Barikiwa SANA na YESU
Asante sana mjungai kwani nakuelewa visuri sana naparikiwa MUNGU akupe nguvu ya kueneza injili
Asante Mungu wangu nimefarijika 😭😭😭😭🙏🙏🙏
O God help me , ni weze kuzishinda siku hizi Maana siwzi bila wewe ,God bless you Pastor kwa mafundsho yako ya kutia moyo
Huwa Nakuelewa sawa, Japo mimi mwenye dhambi lakin namng'ang'ania Yesu hadi mwisho Aniokoe, Na huyo Movu, Nishakula ZAKA sana, sijui deni hilo hata ni Kiasi Gani
Mahubiri mazuri sana mchungaji
Barikiwa sana pastor
Mchungaji nitajuaje Kama nimesamehewa dhambi
Wounderful message. Am so blessed Pastor Mbaga. God bless you
Nikuelewa, nimekubali, nimeamini.
Barikiwa sana mtumishi, maana kuna mambo unayaongea hapa yananidusa moja kwa moja
Asante sana mchunga kwa masomo
Mungu akubariki sana
Hakika Mungu amekuinua kuwabariki mataifa kwa wakati wako, Mungu akubariki sana
Ameen nimebarikwa sana na huh ujumbe
Bwana akubariki
Powerful! l'm raised.God bless you Pastor Mmbaga.
Mungu anisaidie nisiwe na hofu wala woga
Mungu akukuzidishie maarifa nimebarikiwa sana na mahubiri yako pamoja na mafunzo 🙏
Barikiwa Mtumishi was mungu.
Asante mtumishi mungu azidi kukutumia
Jamani mungu akubariki sana
pastor mungu azindi kukuinua na azindi kukupa imani uzidi kutufunza nano lake
2024 nafuatilia hili neno la uzima la miaka 6 iliyopita 🙏🙏🙏
Asante Yesu kwa kunifia
Ni kweli mchungaji msamaha huondoa majeraha Mungu atusaidie tusameheane
Ahsante Sana pr karibu tena informatics Udom.
Amen from Arabia nabarikiwa
Ahsante Sana. Mungu amekutumia kunibariki. Mungu aendelee kukubariki
Asante Yesu
Balikiwa sana mtumishi wa Mungu
Kuna meseji nilikuandikia facebook ila Leo umenijibu hapa amina
Amen,ubarikiwe mchungaji nmeguswa na somo
Ukiwa na Yesu ni raha sana
Mungu ni mwema hakika kilakitu hutoka kwa wakati wake hii ya mitume ni zaidi eee!!naomba unipe ujasili kama was mathayo Balikiwa mchungaji
Upalikiwe mchungaji nimeguzwa sana,hapali njema nmeisikia nakubalikwa nayo,Amen
ABA.... ni ukaribu kiasi gani tumepewa kupitia jina hili LA Mungu.... tunapaswa kujivuna maana yu karibu kuliko tunavyodhani.
Amenii...!
Amen!!! Mungu aendelee kukubariki Mchungaji
AMINA
N9 hgokhhhno
Amen Mtumish Ujumbe una Mafundisho
Amen amen mtumishi mungu akubariki sana
Uko sahihi sana mtumishi umenifundisha sana
Asante sana kwa somo zuri.
Be Blessed with pr mmbaga
Nimebarikiwa Sana mchungaji mungu akubariki.
Amina Mungu akubariki mtumishi
pasta mmbanga Mungu akubariki niko Congo (DRC)
Mungu akubariki kwa kunibariki kiasi hichi...
Songa mbele Pastor
Mungu mkubwa atutangulie
Mchungaj nisadie kuniombea niwez kujtambua ili niwez kuwka ukrb Na mung Na kumtmikia Kwa karma alionipa Barlows San mchunaj
Neno hili linajenga Imani kupitia mahubri yako Mtumishi wa Bwana nikiwa Oman najifunza kuishi kwa imani kupitia mtandao
Amen,I'm always blessed by this powerful sermons.
Bwana akubariki sana mchungaji.
May God bless you
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mungu azidi kukutumia vyema pastor
nazidi barikiwa kila siku, neno halitapita
rebecca mpeta
Ubarikiwe sana mchungaji kwa ujumbe wa matumaini
Somo zuri sana, ubarikiwe sana
MUNGU akubariki mchungaji. Nmebarikiwa na hubiri lako.
God bless you
Aminaa aminaa
A men God bless you pt David