Rais Magufuli atinga kanisani kwa Wasabato Magomeni, awapa pesa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 157

  • @habelkalume9011
    @habelkalume9011 6 лет назад +16

    Raisi Magufuli nambari moja Africa...ingekuwa wengine wangejipigia kura hapo kanisani....Respect for TZ from kenya

  • @isaiahstadius2383
    @isaiahstadius2383 5 лет назад +16

    Mimi nimekuwa Msabato tangu jumamosi iliyopita tarehe30, hiyo ni baada ya kugundua Injili ya kweli isiyo na mapokeo ya Mwanadamu ipo SDA,sasa MUNGU ananiongoza kujua kweli ya neno lake kupitia SDA kwa kupewa mafundisho kwa njia ya kusoma Neno na kujibu maswali, Halleluiah!

    • @raphaelnkoswe3517
      @raphaelnkoswe3517 4 года назад

      Isaiah Stadius chaguo lawatanzania

    • @charlesmiyoro8912
      @charlesmiyoro8912 4 года назад

      Amina sana isaiah, sasa twasoma kitabu cha Isaiah mwaka huu,karibu sana Mungu akubariki.

    • @charlesmiyoro8912
      @charlesmiyoro8912 4 года назад

      Natazama kutoka marekani.

  • @nenolakristomaisha.5611
    @nenolakristomaisha.5611 5 лет назад +10

    NAMPENDA SANA MH RAISI ANAHESHIM WATU WOTE UBARIKIWE BABA

  • @latefalatefa5594
    @latefalatefa5594 4 года назад +5

    Hata mimi nawapenda sana wasabato wanamuonekano wakipekee namafundisho yao ni original mubarikiwe na bwana Ameen

  • @robertmajinge
    @robertmajinge 4 года назад +9

    Hata Mimi nilikuwa katoriki lkn kwa sasa ni msabato
    Sabato ndio njia sahihi kwa kweli..!

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 года назад

      Amini ukiaminicho mwisho uweze kumfikia Mungu maana dini na ibada zenu ni upuuzi mtupu kama mwisho sio kumfikia Mungu🙏🙏

  • @estherjoseph134
    @estherjoseph134 7 лет назад +46

    Nawapenda sana wasabato maana wanamafundisho mazul na yenye kufundisha ata mionekano yao ya kiroho na kimwili wako vizuli,mbalikiwe sana na mm nipo njian naja kuwa kondoo wakwel

    • @planethakunamatata5254
      @planethakunamatata5254 7 лет назад

      Esther Joseph kumbe u kondoo wa uwongo kwa sasa.....ha ha haaaa... Joking

    • @mbularose1525
      @mbularose1525 6 лет назад

      Ni kweli Easter wasabato huhubiri Biblia lakini hawafuati mapokeo ya mwanandamu.Mimi nilikiwa mkatoriki lakini niliskiza mahubili ya wasabato ya kaniguza.

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 6 лет назад

      Esther Joseph karbu sana zizin mama unapatkan wap?

    • @neemazabron8473
      @neemazabron8473 6 лет назад

      Esther Joseph karbu

    • @habelkalume9011
      @habelkalume9011 6 лет назад

      Mungu akuimarishe dadangu .. ...from kenya

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 4 года назад +3

    Mungu amfanye Rais wetu jua la asubuhi.Amen!

  • @mukankubanaperpetue4840
    @mukankubanaperpetue4840 3 года назад +1

    Wewe tutakumbuka kwa vitu mingi sana aba wa taifa TZ
    Mungu aendelee kuwabariki wa Tz na mke wako pia, familia.mzima wote Mungu wabarikiwe na Mungu awacunge.

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 года назад

      Huyu baba jamani kweli mungu Kaku Ali tuishi naye siku chache? jamani ukimtafisili kama YESU maisha yake mateja kanywa nao kahawa machinga kapiga nao SITORI kutuonyesha nao watu mama ntilie? Amesimama kwenye hekalu kukusanya pesa za Zinagogi na amesimama kwenye Sina gogi kukusanya pesa za hekalu baba wa Dini zote kweli kweli jamani MUNGU WANGU MOYO WANGU UNA UNGUA KUMPOTEZA BABA HUYU AMESIMAMA HATA SIHEMU ZISIZO ENDA A NA CHEO CHAKE KUWASIKILIZA WA HALI YA CHINI DADDY ANAUMA JAMANI 😭😭😭😭😭

  • @catherinemnkeni8357
    @catherinemnkeni8357 4 года назад +1

    Waoo we thnk GOD kwa hili be blessd my Président on time

  • @paulinajosiah4525
    @paulinajosiah4525 6 лет назад +4

    amina jina lake yesu lisonge mbele

  • @charlesmiyoro8912
    @charlesmiyoro8912 4 года назад +1

    Amina sana mtumishi maghufuli mungu akubariki uendelee kulitetea neno la mungu hata imedhiirika wazi hata wakati huu wa pandemia hakuna kuathirika Tanzania hata chembe dunia yote imekumbwa lakini sio Tanzania,sababu , kumcha Mungu ndio dawa, uongozi sio rahisi omba na wananchi nao pia limeandikwa kitabu cha waraka wa kwanza wa Timotheo 2: 1-4, Wananchi mwombee mtumishi.natazama kutoka marekani.sabato njema.

  • @selemussa9745
    @selemussa9745 4 года назад +1

    Asante Sana Mungu kutupatia kiongozi aliye na hofu na wewe.

  • @victornyoni6200
    @victornyoni6200 7 лет назад +5

    Magufuli Hongera kwa moyo wa Kumcha Mungu

  • @jackmajaliwa8265
    @jackmajaliwa8265 7 лет назад +18

    hadi kikwete ashawahi kusali hapo kanisani so wanapenda kusali kwa nyimbo za wasabato zilivyokuwa nzuri

    • @halfaniland3850
      @halfaniland3850 5 лет назад

      Duh! Kumbe kikwete ni mkristo.

    • @musasabu6969
      @musasabu6969 4 года назад

      @@halfaniland3850 ni mwislam lakn ukiwa kiongozi mkbwa wa nchi htakiw kbezi upande mmoja

    • @halfaniland3850
      @halfaniland3850 4 года назад

      Ukienda kuabudu kanisani, we kafiri.

    • @josiahlusona4918
      @josiahlusona4918 3 года назад

      Mungu ni mwema kwakwel

  • @selenganyagawa1358
    @selenganyagawa1358 3 года назад

    Amina present, Mungu wetu Kwanza rais wetu, akusimamie kwenye shughuli za kuisimamia Tanzania,🖤

  • @musagodfrey6400
    @musagodfrey6400 6 лет назад +3

    Vitu vyote vitapita lakn neno la mungu litasimama milele Ee mungu ibariki Tanzania,Mbariki Raisi

  • @reginandege7196
    @reginandege7196 4 года назад +1

    Mungu akubaliki Baba

  • @dicksonkibuti8569
    @dicksonkibuti8569 8 месяцев назад +2

    Ameen

  • @inocentjapheti254
    @inocentjapheti254 4 года назад +1

    Thanks god for spreads the Truth to up leaders

  • @bihimomasemo4482
    @bihimomasemo4482 7 лет назад +2

    Ubarikiwe sana mtumishi Wa mungu ndio Mungu anataka waminifu wa kweli ni neno la mungu to 17 January 2018 time 10:11pm

    • @neemamisai3598
      @neemamisai3598 5 лет назад

      huwezi kufanya lililo jema kila mtu akalifurahia piga kazi magu MUNGU atakulipa sawsaw nausafi wamikono yako ubarikiwe

  • @godfreyjulius536
    @godfreyjulius536 6 лет назад +2

    Mungu akubariki sana

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 3 года назад +3

    R.I.P DR MAGUFULI WEWE ULIKUWA ZAIDI YA KIONGOZI KATIKA TAIFA HILI NITAKUKUMBUKA MILELE YOTE

  • @iharewisura7972
    @iharewisura7972 Год назад

    Kazi yako Haina makosa.mungu alikua na mpango na wewe hayati John magufuli.

  • @regginaaman5032
    @regginaaman5032 6 лет назад +4

    Mungu ibaliki Tanzania

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 3 года назад

    Tabasamu lako tu brother.

  • @ericknkonya5682
    @ericknkonya5682 2 года назад

    i still cant believe he is gone. Ama kweli GOD is the ultimate one

  • @alfachaula2406
    @alfachaula2406 4 года назад +3

    MUNGU AIBARIKI TANZANIA YETU IENDELEE KUWA ZAWADI NZURI KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU

  • @rechonasry560
    @rechonasry560 6 лет назад

    Ubarikiw rais wetu exactly

  • @jacobmugeta5954
    @jacobmugeta5954 4 года назад

    Asante kwa kuja

  • @danielstephano6291
    @danielstephano6291 7 лет назад +3

    Asante rais nimekupenda zaid kumbe unaroho njema hiv

  • @maximiliannestor5358
    @maximiliannestor5358 7 лет назад +4

    ubalikie mungu nimwema

  • @eliasathurnas5165
    @eliasathurnas5165 7 лет назад +3

    Yes ndio rais tunayemtaka

  • @NeemaMasunga-vn8oy
    @NeemaMasunga-vn8oy Год назад

    Tutakukumbuka magufuli mungu akusamehe pale alikosea umfufue siku ya mwisho

  • @bebefranck6834
    @bebefranck6834 3 года назад +1

    Mwuheshimiwa Magufuli yuko Mbunguni

  • @robertndongo789
    @robertndongo789 4 года назад +1

    kweli mungu ni mwema yote yataendelea kufunuliwa

  • @omonogerimbaka1846
    @omonogerimbaka1846 4 года назад +1

    Excellent

  • @sunshinekamnina6312
    @sunshinekamnina6312 7 лет назад +4

    Safi sana

  • @simuyangu1356
    @simuyangu1356 4 года назад +1

    Rais ni mnyenyekevu..nakupenda saaana rais wangu..naomba nikuone walao dk moja tuu

  • @selemussa9745
    @selemussa9745 4 года назад

    Nzur hiyo

  • @veronikmohamed3741
    @veronikmohamed3741 4 года назад

    Bwana awabarik

  • @uwezohekima-qk8ss
    @uwezohekima-qk8ss Год назад

    SO SAD TO SEE SUNRISE DIE!...

  • @skolaamos402
    @skolaamos402 5 лет назад +1

    Mungu a ku bali

  • @agneskushoka2903
    @agneskushoka2903 6 лет назад +6

    natamani kuwa msabato

  • @atwendakondo9264
    @atwendakondo9264 2 года назад

    Acheni unafiki damu zawatu zinaangamia watu wanapotezwa kila siku kilatendo litatolewa hesabu siku yamwisho!

  • @carolineowino-si3ik
    @carolineowino-si3ik Год назад

    Baba kweli umeenda?,siamini hadi leo, basi tu

  • @josephpetermaganga2907
    @josephpetermaganga2907 4 года назад

    Hatari

  • @edwinkaris9602
    @edwinkaris9602 2 года назад

    Hata kenya inawahitaji @12:07

  • @danielmarko8120
    @danielmarko8120 7 лет назад +1

    Magufuli mungu akubariki kwakujuwa umuimu wako.

  • @melkizedeckabel6610
    @melkizedeckabel6610 6 лет назад +1

    Amina

  • @kevmarick973
    @kevmarick973 4 года назад

    Barkiwa cna raisi

  • @AliMohamed-kd1uc
    @AliMohamed-kd1uc 7 лет назад +1

    ubarikiwe sana

  • @agnesngailo4354
    @agnesngailo4354 4 года назад

    Ubarikiwe baba

  • @seifkassim5872
    @seifkassim5872 2 года назад

    Mi bado siamini kama uyu mwamba amefaliki dar.kweli magu umekufa au kunaseem upo? Si tunafanywa vigoda uku

  • @oraionsabibi5497
    @oraionsabibi5497 4 года назад

    Niliona niliona ushirikiano huo hata herode mtawala wa rumi alitia dhahabu na marumaru ktk kanisa LA Jerusalem ci geni hilo

  • @daudimaguha9447
    @daudimaguha9447 7 лет назад +3

    Kumbe Tyson ni msabato

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 5 лет назад

    Pesa pesa pesa!! Tembeza kama yoweri vile!!!!

  • @samsonmwijage5301
    @samsonmwijage5301 7 лет назад +4

    Abdulaziz can you justify your allegations. Avoid personal hates and don't mix political affiliations where does not work.

    • @charlesmiyoro8912
      @charlesmiyoro8912 4 года назад

      Asante sana Mwijage,mwombee mwenzetu, ndipo tofauti ionekane .natazama toka marekani.

  • @amosisamwelikisinza6473
    @amosisamwelikisinza6473 6 лет назад +1

    Mchungaji upo sawasawa kabisaaaaaaaaaa mungu mwema

  • @imitekererezeihabanye8681
    @imitekererezeihabanye8681 2 года назад

    ruclips.net/video/UboEMJ6BR2I/видео.html
    Msimamo wa Kanisa la Waadventista Wasabato kuhusu chanjo umebatilishwa

  • @jamesmethuselafredrick6064
    @jamesmethuselafredrick6064 7 лет назад +1

    Swala sio kutinga kanisani tu,Sisi tunataka ayaishi hayo anayoyazungumza kwa kufuata Utawala wa Sheria,Vinginevyo itakuwa ni unafiki tu.

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 7 лет назад +2

    Hahahaa wanaoshindikana kwa neno la MUNGU.Dora!kabisaaa!

  • @samweljaphet6687
    @samweljaphet6687 7 лет назад +1

    Tofaut kati ya askof na mchungaj

    • @happnessmarcko3527
      @happnessmarcko3527 6 лет назад

      Samwel Japhet asikofu anafanya kazi ya kichungaji but sisi tunatumia Mchungaji kwa mm nqvyoelewa

    • @ovidiokibuga1086
      @ovidiokibuga1086 4 года назад

      Ni msimamizi wa wachungaji wenzake katika ngazi za juu.
      Ni sawa na Kiranja na Mwanafunzi,au Mwl mkuu na mwalimu,Askofu na Mchungaji ni kitu kimoja ila mmoja anamsimamia mwezake.Askofu ni mlezi mkuu

  • @imitekererezeihabanye8681
    @imitekererezeihabanye8681 2 года назад

    Mahubiri haya yanabatilisha maamuzi kuhusa chanjo yaliyochukuliwa na makundi ya uongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato ambao waliyaamua maamuzi hayo bila mamlaka ya kuyaamua.
    Maamuzi hayo yanabatilishwa, washiriki wakapewa rufaa ili kuwa wa kipekee.
    ruclips.net/video/UboEMJ6BR2I/видео.html

  • @bihimomasemo4482
    @bihimomasemo4482 7 лет назад

    God bless you

  • @ramadhaniomarishauri9905
    @ramadhaniomarishauri9905 6 лет назад

    Pesa ngapi mbona hasemi, kibundaaa

  • @mosessteven1570
    @mosessteven1570 7 лет назад +2

    mahubir yote ayo kwa saabu ya mifuko minne na million tano njaa zita wauwa ungepewa zaid unge mkufulu ata Mungu

    • @abelimalifedha1762
      @abelimalifedha1762 6 лет назад +1

      Moses Steven "kuwa mpole, ni masihi wa Bwana huyu. Usimnyoshee kidole. Acha kabisa.
      Pili;
      neno hili linamtia moyo raisi, pia limeelekezwa kwako wewe na kwangu ili tuwe waadilifu au je??. Mungu hakupendezwa na Yusufu.?? Angeliingia chini ya Dari yako kwa fadhili kama hii usingelishukuru??

    • @simonezekiel1328
      @simonezekiel1328 6 лет назад

      Wewe pimbi shetani anatawala maisha yko

    • @mosesagwena.ndioulikuwahuj3005
      @mosesagwena.ndioulikuwahuj3005 6 лет назад +1

      Moses Steven ulitaka atoe ngapi?

    • @alrubetoluzuwa2762
      @alrubetoluzuwa2762 6 лет назад +1

      Moses Steven sijakuelewa ulitaka afanye nini

    • @joycemeshack2570
      @joycemeshack2570 5 лет назад +1

      ubarikiw na mungu

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 7 лет назад

    Aaa kanisa hilo tushalifelisha

  • @mwenyehamisimsata7368
    @mwenyehamisimsata7368 6 лет назад

    Marukio

  • @famffamf40
    @famffamf40 7 лет назад +3

    Hahaha

    • @shynejiskaka3643
      @shynejiskaka3643 7 лет назад

      Famf Famf Mungu akubariki Rais Wetu kwa Upendo wako Mungu akupe hekima zaid

  • @ramambongo4069
    @ramambongo4069 6 лет назад +1

    Aachane ushamba makofi ya nn sasa amesema kipi cha maana

  • @stevenmaingu2839
    @stevenmaingu2839 6 лет назад

    amen

  • @Amuka_SaSA
    @Amuka_SaSA 7 лет назад

    Why his he acting humble ?Its shows pettiness

    • @fx-farm6888
      @fx-farm6888 3 года назад

      He was in the Sabbath church

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 лет назад +1

    Sabato ni siku wala sio din

    • @rafoursamiol5244
      @rafoursamiol5244 5 лет назад

      Hupingani na mwanadamu unapingana na mtoa maelekezo Mungu mwenyew kutoka 20:8

    • @ovidiokibuga1086
      @ovidiokibuga1086 4 года назад

      Soma Kutoka20:8-11,Ezekiel20:12,20 unamtii nani Mungu au Binadamu,Mungu ni msabato
      Luka4:16

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 года назад

      Ovidio Kibuga hahaaaa wanafunzi wa yesu walikuwa wasabato ? Soma luka 6:1_5 aya ya 5 inasema mwana wa Adam ndiye mungu wa siku ya kupumzika ( sabato ni siku ya kupumzika )

  • @abdulazizharthy5627
    @abdulazizharthy5627 7 лет назад +1

    God almighty don't have a partner and prophet Essa peace be upon him is not son of God or God please remove this nonsense thinking, God cannot compare with any human God always will remain as a God prophet Essa will remain as prophet if you want or you don't want

    • @mbularose1525
      @mbularose1525 6 лет назад +1

      Abdulaziz Harthy waislamu matusi ya nini..ridhika kwa uislamu ukristo wakuwasha nini.No wonder that's why I hate Islam coz of this behaviours of using insults wherever they see Christians

    • @mutasingwajosephat1793
      @mutasingwajosephat1793 6 лет назад

      Kila ulimi utakiri kuwa Kristo ni Bwana wa majeshi.

    • @stidy4r167
      @stidy4r167 4 года назад +1

      Abdulaziz harthy..hear this today, The GOD we worship is not affected by time,space and matter(is a limitless GOD),the greatest deception human has ever been in is to put a limit to GOD,...he can not do this,he can not do that...he can not.....so many he can not......and trying to forget the largest part that our GOD has no limit. May Almighty GOD help you to understand what i mean from these words.

  • @lameckmmassi6327
    @lameckmmassi6327 7 лет назад

    We Daudi maguha wewe acha kauli yako hii.

  • @winfredcanaan582
    @winfredcanaan582 7 лет назад +1

    Ni Nini hiki!!?

    • @joshuamasunga5354
      @joshuamasunga5354 6 лет назад

      wapumbavu wamekasrika ila walokole waanglikana waislamu wapagani Na wasabato wanaompenda MUNGU watasema jina la MUNGU litukuzwe

  • @jamesmethuselafredrick6064
    @jamesmethuselafredrick6064 7 лет назад

    Mzee fuata tu Utawala wa Sheria bila ubaguzi,Sisi hatutakuwa na tatizo na wewe maana Mwanzo ulianza vizuri wengi tulikupenda sana,Lakini kwa mwendo huu unatuvunja imani na wewe,tenda haki kwa Usawa kama kweli wewe ni mpenzi wa Mungu.

  • @abdulazizharthy5627
    @abdulazizharthy5627 7 лет назад +1

    JPM Please Don't use public fund to contribute for your sabato church

    • @dadileonard2392
      @dadileonard2392 7 лет назад +1

      fikira za kipumbavu kusema katumia public fund for Sabbath church!kama ungejua maana Ya "Public" Usingeropoka Huenda lkn una mtindi wa Ubongo(Intellectual laziness).

    • @frankmwaipyana6021
      @frankmwaipyana6021 7 лет назад +1

      Tumekuelewa mtumishi wa mungu

    • @ntulimwaihola7085
      @ntulimwaihola7085 7 лет назад

      Rais wangu,Mungu akubariki saba kwa mchango wako wa kujengea kanisa

    • @simonezekiel1328
      @simonezekiel1328 6 лет назад

      Abdulaziz Harthy we ibirisi anakutafuna sio wewe

    • @tituskorir6602
      @tituskorir6602 6 лет назад +1

      Abdulaziz Harthy kwani wasabato Sio wananchi...

  • @rechonasry560
    @rechonasry560 6 лет назад

    Ubarikiw rais wetu exactly

  • @BantuTegemeo
    @BantuTegemeo 4 года назад +2

    Amina

  • @neemapaul4062
    @neemapaul4062 6 лет назад +3

    Amen

  • @priscamaige1612
    @priscamaige1612 6 лет назад +2

    Amen

  • @erickditimo7845
    @erickditimo7845 4 года назад +2

    Amen