MAPYA YA MCHUNGAJI AMUOMBA RAIS SAMIA KUANZISHA UKAGUZI HURU DHIDI YA WABADHIRIFU WA FEDHA KANISANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 544

  • @evacharles360
    @evacharles360 Месяц назад +20

    Kanisa la Mungu halisaidiwi na serikali,, Yesu kristo aliyelifia Yuko kazini ,,analitunza kanisa lake ,kushitaki serikalini ni kwenda tofauti na Mungu,,ninachojua ni kutoa zaka na sadaka kwa uaminifu. ,mengine siyo yetu,,,pole mzee

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 Месяц назад +1

      Daah

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u Месяц назад +1

      Kama wewe hapo nyumbani ukiacha hela unaweza kuuliza imetumikaje Kwa nini huwa haumwachii Mungu? unataka kusema inapokuwa kanisani sadaka hazipaswi kuratibiwa matumizi yake? Huyo ni MUNGU au ni kitu gani?

    • @musamwaifwani
      @musamwaifwani Месяц назад +1

      Yesu ndiye kaweka hizo serikali..

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 Месяц назад +2

      Amka ndugu na ukumbuke bila ridhaa ya serikali kanisa linafutwa chap na hautomuona Yesu kuwafanya chochote hao serikali. Kanisa limeruhusiwa kuwepo na serikali ili kulainisha jamii itawalike na likienda kinyume na serikali ambayo sio "Mungu" linafutwa mapema mnooo 😂😂😂

    • @eliassabbath2480
      @eliassabbath2480 Месяц назад

      Akili huna

  • @niwagwenemayeye972
    @niwagwenemayeye972 Месяц назад +5

    Wizi ni mbaya sana baadhi ya viongozi hawamwelewi Mungu wanayemwabudu wala kile wanachohubiri.

  • @MichaelGilasi
    @MichaelGilasi Месяц назад +3

    Lolote lifanyike ukweli ujulikane, kama kuna wezi watambulike na hatua stahiki zichukuliwe dhidi yao, hakuna haja yakumuachia Mungu wakati wezi tunaweza kuwafahamu na kudili nao. @external auditing is a best option, i strongly agree with you Pr Mwasomola.

  • @Bahati-v4m
    @Bahati-v4m Месяц назад +15

    Daah kama tumefika uko basi siyo muda yesu anarudi kweli kama unaamini like

  • @masumbikazi5163
    @masumbikazi5163 Месяц назад +3

    Kanisa hili ni la Mungu pr ungeshitakinkwa Mungu Moja kwa Moja angejibu kabisa na angejidhihirisha lakini Sasa umelidhalilisha jina la Mungu katubu kabla hujashughulikiwa na Mungu mwenye kanisa

  • @Bambagatz
    @Bambagatz Месяц назад +5

    Hapo ndo tuelewe kwamba
    Watu badala ya kuweka Hazina zao mbinguni wanaweka Hazina zao Kwa wanadamu,Watu wa Mshahara Yesu alishasema Habari zao
    Yohana 10:12.

  • @TimotheoSimtowe
    @TimotheoSimtowe Месяц назад +7

    Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu. Hizi dini na madhehebu ya sasa ni mzigo na vikwazo vya kwenda mbinguni.

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 Месяц назад

      @@TimotheoSimtowe dini ilibidi zifutwe taifa lianze upya maana hizi dini zimetumika na zitaendelea kutumika kama silaha za kisaikolojia kuendelea kulainisha watu wawe watumwa for eternity. Kabla haujaitrash hii comment take your time to think tunapambana kushika njia ya mbinguni waliointroduce dini wanapambana kushika njia kuja Africa kuendelea kuchota mali na ukuu wa mwafrika hadi tutapobaki empty headed waanze kutimiza malengo yao makubwa

  • @Juliusmganga4734
    @Juliusmganga4734 Месяц назад +29

    Pia Biblia inaelekeza kuwa mambo wa waamini yatatuliwe na waamini wenyewe sio nje yao, "Nasema hayo nipate kuwatahayarisha. Je! Ndivyo, kwamba kwenu hakuna hata mtu mmoja mwenye hekima, awezaye kukata maneno ya ndugu zake?
    6 Bali mwashitakiana, ndugu kwa ndugu, tena mbele yao wasioamini.
    7 Basi imekuwa upungufu kwenu kabisa kwamba mnashitakiana ninyi kwa ninyi. Maana si afadhali kudhulumiwa? Maana si afadhali kunyang'anywa mali zenu?" 1 Wakorintho. 6:5 - 7

    • @Ally-i4f
      @Ally-i4f Месяц назад +1

      Amezingua kweli Pr

    • @MkJj-m7g
      @MkJj-m7g Месяц назад +2

      Mzee huyu ana msongo wa mawazo, asaidiwe.

    • @isayasimwinga2854
      @isayasimwinga2854 Месяц назад +1

      Anayekata maneno hajapatikana kwa zaidi ya miaka 5, GC kama kweli hawawezi kuwa wazi ila kuficha uovu nao ni waovu! Kuna mahali lazima serekali ihusike, hili sio suala la msongo wa Pr. kwani hujui Pr. Kuyenga karudishwa juzi mtaani? Sababu za kusimamishwa uchungaji ilikuwa ni kukemea matumizi mabaya ya fedha

    • @EvarestllMmbaga
      @EvarestllMmbaga Месяц назад

      Naomba heshima kwa mchungaji mstaafu. Tumpe heshima hata kama kateleza kidogo. Siungi mkono kumtewika mama mzigo wa kanisa. Yakwake yanamtosha tutamuua ya serikali yanamtosha Kuna matatizo yaliyosababishwa na mfumo wa feza Kutoka kanisani kwenda ngazo za juu bila kurudi makanisani tangu miaka ya 85kuja 2024 kunahitajika mikadala mipana kwenye mabaraza ya kanisa kuwahoji na kuwawajibisha wachafuzi wa kanuni miaka ya nyuma magomeni enzi za mzee Bundala lazaro Nkinda tulikuwa tunazuia zaka mpaka viongozi watoke jimboni kuja kujibu hoja zetu Askofu akiwa Marehemu mch Kuyenga mabaraza ya kanisa yalijua kutunza heshima yake. Kibaha tulipokuwa kanisa. Baraza la kanisa liligoma kipeleka zaka na sadaka baada ya mchungaji wake kutolewa kwenye nyumba ya vyumba vitatu na kupelekwa chumba na sebule. Kama mzee kiongozi nilikataa
      Bado tunaweza kuwawajibisha wachafuzi wakanisa bila msaada wa Raisi

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 Месяц назад

      Nilikua nalitafuta hili andiko Sasa yeye ni mchungaji na anashitaki kanisa serikalini woooiiiyyyy sijui wanatupeleka wapi jamanii

  • @PAULMASUNGA-t5u
    @PAULMASUNGA-t5u 20 дней назад +1

    Mwasomola hawezi kuhukumiwa na Mungu wakati amesema kweli si wanaiba.

  • @benardchacha5590
    @benardchacha5590 Месяц назад +7

    Bwana Yesu asifiwe Wapendwa mm niwatie moyo kwamba Mungu wetu hapiganiwi na mtu au Taasisi yoyote Dunian Mungu anajipigania mwenyewe kwahivyo Mchungaji Kenan Mwasomola kwahili ukatubu Mtu wa Mungu umekosea Serikali inasaidiwa na Mungu na sio Serikali kumsaidia Mungu na nikuombe Mheshimiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana Hili ni la ndani la Mungu Mwenyewe Tafadhali sana asikuchonganishe na Mungu Wewe mama Yesu simamia Sehemu yako aliokupatia Mungu kuliongoza Taifa tu hayo mengine liachie kanisa na Mungu mwenyewe atajua nininicha kufanya.

    • @AmosiTimoteo
      @AmosiTimoteo Месяц назад

      Unatetea nini,kwani anasema uongo

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 Месяц назад +1

      Yan hadi kunamaandiko kuwa watakatifu hawapaswi kushitaki watakatifu wao kwa wamataifa

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u Месяц назад

      ​@@joycehaule9717 Maandiko hayohayo yanasema Mtu asipolisikiliza kanisa na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru( mathayo 18:17),.mzee amesema hatua zote walishafuata. Imefika hatua ya kuchukuliana kama wamataifa na watoza ushuru au wewe unaonaje ndugu?

    • @abbasmkambara5815
      @abbasmkambara5815 Месяц назад

      Hizo serikali nazo za duniani zimewekwa na huyo huyo Mungu

    • @SelenatusMarwa
      @SelenatusMarwa Месяц назад

      ​Nadhan hapa hatuihitaji serikali kulisimamia kanisa,je mwenye kanisa kasemaje...je kasema atetewe tu hapo maana mwenyewe hakuona kinachoendelea...

  • @tumainmase2119
    @tumainmase2119 Месяц назад +4

    Najua kabisa Pr Mwasomola ni kiongozi ndani ya kanisa ,kanuni la kanisa la Mungu unalifahamu kabisa ya nini ulalamikee wewe ndo wasaidie usisubili serikali ikusaidie na itasaidia nini? Kanisa hili ni la Mungu usitumie nguvu nyingi mzee Mungu atalipigania kanisa lake hata hao unaosema wamepora pesa ya kanisa wajue wanamuibia Mungu na Mungu atajipigania yeye mwenyewe usihofu mzee kenani
    Nyie ndo mnaotaka washiriki wasipelekane mahakamani kabla kanisa kusuluhisha sasa wewe ukija na hoja Rais aingilie kati nakushangaa sana

    • @stewardlwimbo3944
      @stewardlwimbo3944 18 дней назад

      Huyu Mzee ndo kaharibu kabisa kulikuwa na haja gani ya kuropoka hivyo wakati taratibu za Kanisa zinajulikana wazi?

  • @LugongoDispensary
    @LugongoDispensary 4 дня назад

    Cc tumtegemee Mungu pekee Kama wanakula pesa
    Mungu mwenyew atahukumu atakaporudi mara ya pili

  • @danielthomasmsigwa31
    @danielthomasmsigwa31 Месяц назад +5

    Mungu alitumia njia rahisi kurekebisha taifa teule, manabii n.k njia Za makafiri ilikuwa the last option, Proverbs 17:11
    Huu ni mwanzo wa pepeto kuu uovu ukishafika hadharani unashughulikiwa hivyo 1tim. 5:20!

  • @DanielPaulo-c4p
    @DanielPaulo-c4p Месяц назад +1

    Pastor barikiwa na washugulikiwe Hawa, hata mwongozo unaluhusu, na hao wahusika waondoke maofisini

  • @ganizaluketa3232
    @ganizaluketa3232 Месяц назад +3

    Kwa taarifa yenu naming kabisa serikali inajua kwa undani hili tatizo !! Mimi nimesikia Dr Mpango akilionya na kulitaja kanisa la Wasabato !! Hicho siyo kitu cha kawaida kwa viongozi wa serikali!! Mungu aingilie kati maana mgogoro ukizidi linaweza kufutwa kwa sababu limeandikishwa kama NGO!! Kama kanisa tulishindwaje kulimaliza mpaka tunakemewa na serikali!! Ni kweli kanisa halikujua hili tatizo !! Kwa hakika naamini Mu ngu amelifunua hili tatizo kwa watu wake lakini tumeweka pamba masikioni!!! MUNGU WETU ATUREHEMU NA KUTUSHINDIA!

  • @mako331
    @mako331 Месяц назад +24

    Mungu ndiye ajuaye yote, jukumu letu Kama washiriki ni kutoa kwa uaminifu, mengine tumwachie Mungu, Anania na Safira hawakuhitaji serikali au media Mungu mwemyewe ali deal nao.

    • @deussasi9285
      @deussasi9285 Месяц назад

      Nondo watakula

    • @mathiasduduru628
      @mathiasduduru628 Месяц назад +1

      Zamani hapakuwepo na technology yakujua hayo yote.
      Nadhani hata ungekuwa wewe unajinyima kwa ajili ya kanisa halafu unasikia hela haijafanya ulichokusudia ifanye lazima uvunjike moyo Mwasomola yuko sahihi

    • @bintimwakisombole8010
      @bintimwakisombole8010 Месяц назад

      Kabisa maana Mungu si mwanadamu , yupo anaona .

    • @simeonmazigo5918
      @simeonmazigo5918 Месяц назад

      Point 🤝

    • @danielmboje8751
      @danielmboje8751 Месяц назад

      Hili swala lifanyiwe kazi,walio kuwa wakilalamika waliwadharau wakati wanasema ukweli.

  • @richardzakaria9939
    @richardzakaria9939 18 дней назад

    Yesu alilipa kodi, Yesu alishiriki Sensa, aliwakemea watu waliofanya biashara ndani ya hekalu, alijua Wizi wa zakayo ndiyo maana alimsaidia, kwa kweli huwezi Mtenganisha Mungu na Uadilifu, haya maneno ya watu kuiba fedha yamesemwa sana, nadhani ni sahihi hili lifanyike.
    Mungu anatumia watu, kama anakutumia wewe kuleta zaka anaweza watumia wengine kuhakiki kama zaka inatumika ipasavyo.
    Naunga mkono hoja.

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula Месяц назад +13

    Ingekuwa Rwanda tayari Kanisa lishafungwa ,Kagame kanyooka kama rula😂😂

  • @emmanuelmororo7420
    @emmanuelmororo7420 Месяц назад +17

    Amuwezi muelewa uyu baba ila iposiku mtamuelewa kasema ukweli kabisaa watu wamekuwa wezi sanaaa wachunguzwe uko sawaaa baba ubarikiwe

    • @misperambogo
      @misperambogo Месяц назад

      @@emmanuelmororo7420 kabisa yan

  • @BongoCryptos
    @BongoCryptos Месяц назад +1

    Barikiwa sanaaaa

  • @Narudi-NyumbaniTV
    @Narudi-NyumbaniTV Месяц назад +6

    Wapendwa, mimi nadhani hii taarifa itupe tu overview ya wapi tunaenda, binafsi ninashauri kuandaa na kuzisafisha njia zetu ili tukae tayari kumlaki Mwokozi mawinguni. Guswa kubadili mwenendo wa maisha yako mpendwa ndipo usalama ulipo. Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi nyote. Amina.

  • @GervasLyimo-f7p
    @GervasLyimo-f7p Месяц назад +1

    Poleni Wasabato.

  • @LoyceLoyceMwainyekule
    @LoyceLoyceMwainyekule Месяц назад

    Mnh kazi kweli

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml 13 дней назад

    MCHUNGAJI WANGU HAPO UMEYUMBA SANA MAMBO YA KANISA YANATAKIWA KUMALIZWA NA KANISA LENYEWE UINJIRIST WETU UTAHARIBIKA

  • @imma_billy
    @imma_billy Месяц назад +2

    Ila Maaskofu wanapiga pesa waziwazi, kanisa linakuwa halina maendeleo yoyote. Na ukisema kweli unatengwa kanisani, hata wachungaji wanaokataa huo ufisadi wanapelekwa kwenye parish zilizo mbali na mji (vijijini) ambako watapata maisha magumu. Kanisa linapoteza mvuto kabisa, mwisho wa siku watu wanakata tamaa na kuamua kukaa nyumbani bila kwenda kuabudu kwenye makanisa hayo.
    Tunajua Mungu ndiye muhukumu lakini kuna muda kibinadamu hayo mambo ya ufisadi kanisani yanakera mpaka mtu anafikia hatua ya kutoka mbele kama huyu mchungaji mstaafu.

  • @HenriettaMkandya
    @HenriettaMkandya Месяц назад

    Mungu hadhihakiwi kila mtu atavuna anachokipanda,Mungu hatakaa kimya iko siku atalishughulikia hili kikamilifu,anawapa muda wahusika kusahihisha njia zao,wasipobadilika hakika Mungu mwenyewe atashughulika!

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 Месяц назад +1

    Ana hoja, asikilizwe. Kushughulikia udhalimu wa viongozi wa juu kwenye hili kanisa si jambo jepesi, ni jambo la kujitoa Muhanga kama alijitoa Marehemu Magufuli enzi zake. Nawa mikono mzee wa watu, hujakurupuka, wasabato wanakujua ulivyo huna mchezo sikuzote kwenye mambo ya uwakili au maadili ya kanisa na wengi hukuchukia kwa hilo. Yanaweza kuwepo mapungufu kwako kwani ni binadamu lakini yasiwe sababu ya kupuuza hoja zako za msingi na za kujenga. Mungu akutangulie.

  • @fredgonga
    @fredgonga Месяц назад +1

    Kiufupi watumishi wa Mungu siku hizi hawana upako, We si umwite Mungu awaumbue wezi!! Sasa Mungu na mama samia nani unamwamini.. we mwenyewe rudi ukamtafute Mungu vizuri.

    • @yustosassi1625
      @yustosassi1625 Месяц назад

      Huo upako ndo ujinga mtupu na watu wanapigwa, eti upako, wewe unasema upako ushawahi kupewa ripoti ya mapato na matumizi juu ya fedha zenu za upako?

  • @barakantalwila1756
    @barakantalwila1756 Месяц назад +16

    Wanaomponda Mwasomola hawajielewi,kuna watu wanatumia nyadhifa ya uongozi Kwa faida binafsi,hakuna kitu mnachosema Ukiroho,acha awape makavu,kuna watu wanautetea ufisadi na rushwa kwa mgongo wa injili, Mwasomola wapige nyundo hadi Wahusika wajirekebishe.

    • @epimackoscar25
      @epimackoscar25 Месяц назад

      @@barakantalwila1756 Mungu atetewi ata siku Moja ndugu yangu ilo jambo limekaa kiimani kukemea sio vibaya kama anafahamu lakini iwe ndani ya kanisa ila kuihusisha setikali ingie kati hilo ndio tatizo kwani hapo unaingilia uhuru wa dini na pia kazi tuliyotumwa ni injili Wacha walawi wale kanisani wakienda kinyume Mungu atadili nao tu , swali linakuja una uhakika srkli ni safi kiasi Cha kuaminika kukagua makanisa ? Chunguza vizuri Kuna roho za uhasi zinanyemelea Imani hizi nyakati za mwisho

    • @KashindeDonard
      @KashindeDonard Месяц назад

      Mtenda kazi usiyekuwa na faida. Ww unaweza kumpigania Mungu

    • @abbasmkambara5815
      @abbasmkambara5815 Месяц назад +1

      Ni kweli wizi ni wizi tu maana hakuna wizi mtakatifu wapelekwe mahakamani

    • @VictorNshala
      @VictorNshala Месяц назад

      Mbona huko ndo kumeoza zaidi?kama taarifa za CAG wameshindwa kuzifanyia kazi...utekaji ndo usiseme na wao wameingia kwa rushwa..!! Huku ni kufilisika kwa kiwango cha juu!!
      Mwenye mali ni Mungu mwenye uwezo wote,anaona kila kitu...kikombe kikijaaa atachukua hatua!!

  • @GodliverCharles-g4f
    @GodliverCharles-g4f Месяц назад +2

    Mzee umeongea point vzr watu sio waandirifu

  • @vincentvitalius9346
    @vincentvitalius9346 Месяц назад +5

    1.Hatushitakii mamlaka bali Mungu.
    2.Audit ni kwa ajili ya Kanisa sio serikali.
    3.Ulikuwa Kiongozi ilikuwaje hadi utolewe
    4.Maisha yako yote kanisani wewe unaona ubaya tu,
    mahubiri yako ni only negative.
    5.ungeitisha maombi ya kufunga na kuomba, au huna imani na Mungu.
    6.EGW “Tusiwe na shaka Mungu atasimamia na kuweka yote sawa”
    7.Kwenu viongozi, huyo Pastor muwekeni pembeni kama mtu asie na nidhamu na mchukulieni hatua, utashangaa anakuwa muhudumu next camp

    • @kelvinsanga2907
      @kelvinsanga2907 Месяц назад +1

      Wew hujui tu kilichopo ndani huyo mpaka amefikia hapo Kuna mengi ameyaona

    • @IbrahimSadalla
      @IbrahimSadalla Месяц назад

      ​@@kelvinsanga2907kajichanganya huyu wewe

    • @Burner_Acc
      @Burner_Acc Месяц назад

      Namba 4 umepiga kwenye mshono. Huyu pastor kwake kila kitu kibaya yeye tu ndo anajionaga mkamilifu kila anapoenda analeta sheria zake za hovyo. Kanisa limpuuze.

    • @ibrahimedgarlisso8100
      @ibrahimedgarlisso8100 Месяц назад +3

      True protestantism involves hating sin whether it is in SDA church or in Sunday churches. Unafiki ni kitu kibaya sana. Kila kitu lazima kiwekwe wazi....pastor Mwasomola anaweka vitu wazi Kuna shida gani kulalamika??? Angekuwa anaweka wazi kuhusu ukatoliki ndiyo wasabato wengi wanapenda ila wao/ sisi tukiwekwa wazi tunataka kukasirika.
      Uprotestanti wa kweli ni kuweka wazi pande zote sio upande mmoja. Dhambi ipingwe popote ilipo. Asante pastor mstaafu

    • @danielthomasmsigwa31
      @danielthomasmsigwa31 Месяц назад

      Ilikuwa ukaidi uliomlazimisha Mungu kutumia makafiri kuirekebisha Israeli; dharau na kutokujali kunafanya Siri itoke

  • @MATHAYOKIMWAGA-m7f
    @MATHAYOKIMWAGA-m7f Месяц назад

    Ahsante kwa Ushauri mzuri

    • @SelenatusMarwa
      @SelenatusMarwa Месяц назад

      Je mwanadamu Atakuwa muhukumu mwenye haki kuliko Mungu

  • @NBTVIEW
    @NBTVIEW Месяц назад

    Mzee upo sahihi kabisa serikali isaidie wasabato tumechoka na huu uhuni kanisa limegeuka lavibaka

  • @piussogoye
    @piussogoye Месяц назад

    so wonderful and sad, my God": how this happen within our church

  • @Juliusmganga4734
    @Juliusmganga4734 Месяц назад +17

    Pia mtu anapotoa sadaka, je, anatoa kwa Mungu au kwa binadamu. Je, ni utaratibu kanisa kuruhusu ukaguzi wa matoleo aliyopewa Mungu ? Bora basi kuwashauri waumini wasitoe kama wanaona hawatoi kwa Mungu bali kwa binadamu. Ningekubalina na wewe kukagua kama ingekuwa ni michango kwa ajili ya kusudi maalum kama vile ujenzi wa kanisa na mambo yanayofanana na hayo. Vinginevyo ushauri wangu Serikali iachwe ishughulikie mambo ya muhimu ya maendeleo ya wananchi. Serikali ilishafanya kazi ya kuwakubalia maombi yenu ya kusajili kanisa ili mu mwabudu Mungu.

  • @hosenishani6418
    @hosenishani6418 Месяц назад +1

    Mzeee kawa mwanaharakati badala ya Kwenda kuhubiri watu wamjue Mungu na kuomba

  • @epimackoscar25
    @epimackoscar25 Месяц назад +17

    Nilikuwa nakuheshimu sana mchungaki na hasa kwenye upande wa hamasa za kufanya kazi kuliko kuwa goigoi ila kwa hili nimekutoa nyota zote tena nina mashaka kwa sasa na akili yako kama Iko sawa Kwa sbb mpaka umri huo na uchungaji wako unawezaje kuiomba serikali ingilie mambo ya kanisa umesahau historia zinasemaje kuhusu athari zilizowai kutokea hilo , kanisa la Mungu linasimama na Mungu , tumia muda huo kuongoa roho watu waache dhambi haya unayoyatafuta ni Mungu mwenyewe atashughurika na kanisa lake

    • @annafredinandmatandiko8438
      @annafredinandmatandiko8438 Месяц назад

      Wee nae ndio wale wale chawa wa ccm

    • @misperambogo
      @misperambogo Месяц назад

      @@epimackoscar25 kwamba umeacha kumuheshimu shauri ya kukemea uovu?
      Serikali imeingilia migogoro mingi tu ya kanisa na ikapewa utatuzi.

    • @emmanuelmororo7420
      @emmanuelmororo7420 Месяц назад +3

      Nikweli kabisa kanisa lina taratibu zake za kushughulikia changamoto zake ..lakini kwa hatua ambayo kanisa limefikia naungana na mch serikali iingilie kati mafisadi ndani ya kanisa washughulikiwe.

    • @hamenyayohanakasase5836
      @hamenyayohanakasase5836 Месяц назад

      Serikali itatoa utatuzi gani?
      Je, mambo ya Serikali ni nani huwa anayatatua?
      Je, katika historia ya biblia, kuna kumbukumbu yoyote au kielelezo cha masuala ya kiimani kukatiwa rufaa kwa watawala wa kiserikali? ​@@emmanuelmororo7420

    • @malamlaaj9852
      @malamlaaj9852 Месяц назад +1

      Wewe unaonekana ni miongoni mwao. Mbona uko kinyume na kweli anayoongea mtaafu huyu? Wewe tumekushtukia....

  • @revocatusbusia
    @revocatusbusia Месяц назад +3

    Natamani nichangie chochote but nashindwa....lakin nitasimama na NENO LA MUNGU.

  • @AnnaMchomvu-cx7rb
    @AnnaMchomvu-cx7rb Месяц назад +3

    Kweli yesu anarudi

  • @BlessStanley-x4p
    @BlessStanley-x4p Месяц назад +1

    Mungu atusaidie tunapo elekea mbigu hatutaiona

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 Месяц назад

      @@BlessStanley-x4p mimi nitaiyona kwakweli acha nijitamkie mema mie

  • @jescamkwaya
    @jescamkwaya Месяц назад

    Kumsikia Mungu kwa maagizo yake ndio ushindi na maendeleo ya kanisa tumtii Mungu

  • @erickmalamsha6938
    @erickmalamsha6938 Месяц назад +14

    Makosa ya watu wachache huwezi kusema kanisa zima limekosa muelekeo ni kulichafua kanisa.

    • @mathiasduduru628
      @mathiasduduru628 Месяц назад +1

      Hajalichafua isipokuwa anataka nikae sawa

    • @princepaschal9963
      @princepaschal9963 Месяц назад +1

      ​@@mathiasduduru628Kanisa halisaidiwi na serikali, kanisa linasaidiwa na Mungu. Na kusafishwa na Mungu. Iweje kanisa lisaidiwe na serikali wakati serikali inatakiwa kusaidiwa na kanisa? Kama ukinibishia nakupa maandiko ya Neno la Mungu na ukweli wote.

    • @princepaschal9963
      @princepaschal9963 Месяц назад

      Uku ndiko kushindwa, kanisa ni mwili wa Kristo, alafu unaenda kuushitaki mwili wa Kristo serikalini? Wakati serikali inatakiwa ionywe na kurekebishwa na kanisa?

    • @mathiasduduru628
      @mathiasduduru628 Месяц назад +3

      Nadhani mpaka ameamua kujilipua yameshapita maonyo mengi sana lakini hakuna kinachoendelea

    • @benjaminmathias2653
      @benjaminmathias2653 Месяц назад

      Muachieni Mungu atafanya. Yeye

  • @ezekielshija9251
    @ezekielshija9251 Месяц назад

    Serikali ikitenda Mungu ametenda

  • @Bambagatz
    @Bambagatz Месяц назад

    Kwenye Maandiko watawala walikua wanawafwata watumishi Kwa msaada wa maono kutoka Kwa Mungu, Lakini sasa hivi watumishi wanawafwata watawala kutatua matatizo yao, wakati Mungu ndo mwenye misingi ya mambo yote,
    Something is wrong somewhere,
    Mungu ndo mwenye mamlaka ya mambo yote.

  • @ChrisOrganic-p2g
    @ChrisOrganic-p2g Месяц назад

    Well done mzee

  • @lucasmanyama4677
    @lucasmanyama4677 Месяц назад

    Mambo ya kanisa inapaswa kuyamaliza ndani kwa ndani tena kimya kimya bila ulimwengu kutambua lakin tulipofikia viongoz wameondokewa na Roho wa Mungu that why haya mambo yanatokeza nje kanisa leo uaminifu kwa Mali ya Mungu ni Dhabi kwa watu wa Mungu na viongoz wao lkn Mungu anaowatu waaminifu bado wasio msujudia baal. Tunatoa kwa Mungu na sio kwa wanadam kaz ya Hukum tumwachie Mungu aonaye siring.

  • @fastonsambo-du4rd
    @fastonsambo-du4rd Месяц назад

    Amestaafu akiwa na nguvu nyingi za kumtumikia Mungu ,Hilo ni kosa mbele za Mungu ndio maana yote hayo yanatokea

  • @aniseth14cyprian80
    @aniseth14cyprian80 Месяц назад +6

    Mmmmhh, Acha kupotosha na kuchafua Kanisa lakoo.

  • @BarakaMashimba-sr9ow
    @BarakaMashimba-sr9ow Месяц назад

    Axante Sana mzee

  • @ALLYKAARE
    @ALLYKAARE Месяц назад +12

    Kwa mara ya kwanza Pastor amezungumza tangu nimfaham bila nukuu ya Roho ya Unabii au Biblia wala kusema it's written. Kuna kitu hakipo sawa

    • @BongoCryptos
      @BongoCryptos Месяц назад +1

      Kwani wewe hujui kuwa imeandikwa Usiibe? Acha kujitoa akili

    • @misperambogo
      @misperambogo Месяц назад

      @@ALLYKAARE ulitaka aje na amri za Mungu akusomee ndo ujue kwamba imeandikwa usiibe
      Mbona mnatetea majizi yanayojitajirisha kwa pesa za utume 🤣🤣🤣

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 Месяц назад

      Yuko Sahihi KBS, inaumiza sn, huwezi peleka kesi ya tumbili kwà nyani, wanatakiwa wakaguzi wabobezi watuhumiwa wawe nje ya kanisa. Kanisa lilikuwa zmn ss hv n michongo kila Kona, zahanati shule, ziko hoi, hata NDEGE waliuza pesa walifanyia Nini???

    • @ALLYKAARE
      @ALLYKAARE Месяц назад

      'Nasema hivi ili mwone aibu. Je, inawezekana kuwa miongoni mwenu hakuna mtu mwenye hekima ya kutosha kuamua ugomvi kati ya waumini? Badala yake ndugu mmoja anampeleka mwenzake mahakamani, tena mbele ya watu wasioamini! Huko kuwa na mashtaka miongoni mwenu ina maana kwamba tayari ni kushindwa kabisa. Kwa nini msikubali kutendewa mabaya? Kwa nini msikubali kunyang’anywa? '
      1 Wakorintho 6:5-7​@@BongoCryptos

    • @ALLYKAARE
      @ALLYKAARE Месяц назад

      'Nasema hivi ili mwone aibu. Je, inawezekana kuwa miongoni mwenu hakuna mtu mwenye hekima ya kutosha kuamua ugomvi kati ya waumini? Badala yake ndugu mmoja anampeleka mwenzake mahakamani, tena mbele ya watu wasioamini! Huko kuwa na mashtaka miongoni mwenu ina maana kwamba tayari ni kushindwa kabisa. Kwa nini msikubali kutendewa mabaya? Kwa nini msikubali kunyang’anywa? '
      1 Wakorintho 6:5-7

  • @bicrosonmwakamele19
    @bicrosonmwakamele19 26 дней назад +1

    Askofu mstaafu mbona una nishangaza sana wewe mtu wa imeandikwa sasa hiki unafanya hujasoma kwamba Mungu katoa utaratibu wa kuonyana sisi kwa sisi badala ya hiki unafanya je Umewahi kusoma kwamba Mungu anasaidiwa na selikali
    Na ile nukuu maalufu. Kanisa litaonekana kama linaanguka lakini litasimama hada mwisho wa dahari wewe umeisahau Mchungaji aha
    Huenda ni kweli usemalo ila uliposemea Askofu si mahari sahihi

  • @davidsonnyakire2838
    @davidsonnyakire2838 Месяц назад +1

    Mchungaji Mwasomola umesema unayajua hayo kwa muda mrefu, ili uaminike ulipashwa kuanza hizi harakati tangu zamani hizo,siyo mpaka ustaafu.

  • @LugongoDispensary
    @LugongoDispensary 4 дня назад

    Pastor mwasomola unazingua Yani kanisa lisaidiwe na mama kizimkazi😂

  • @innocentfortunatus725
    @innocentfortunatus725 25 дней назад

    Ata kama huyu mzee amekosea kushitaki viongozi wa Kanisa kwa serikali Mungu apiganiwi na mwanadamu anajipigania

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 Месяц назад +4

    Hapana mchungaji hapa sasa naona haiko sawa kwasababu haya mambo yalipaswa kushughulikiwa kidini kwa tatizo ni kwamba siku hizi viongozi wa kanisa hofu inatoweka wanakua wapenda fedha ila kanisa kuanza kuchunguzwa na serikal ni matokeo ya kushindwa

    • @edwardmugendi1190
      @edwardmugendi1190 Месяц назад +1

      Jaman mweleweni mzee, anasema kushugulikiwa kidini imeshindikana maana waliptakiwa kushugulikia ndiyo wezi, ndiyo maana imenyamaziwa maana wangekuwepo wa kushugulikia lisingefika serikalini

    • @SelenatusMarwa
      @SelenatusMarwa Месяц назад

      Mwenyekanisa ambaye ni Mungu huitazama nia ilio wasukuma watu kusema yote hayo kama si upendo bas katubu

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 Месяц назад

      @@edwardmugendi1190 basi miaka yote hio mbona alikua hajasimama kukemea namna hii mpaka amestaafu

  • @AmosMalakyese-dc9qr
    @AmosMalakyese-dc9qr Месяц назад

    Kanisa limeiacha njia kuna uozo mwingi sana, viongozi wanafichiana udhalimu na uizi, wanaongoza kanisa kama mali yao binafsi. Inakatisha tamaa sana....

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 Месяц назад +2

    Mchungaji hayo hayana budi kutokea,Wateule tuinueni macho juu tumekaribia nyumbani.Muda si mrefu hizo fedha na mali hazitakuwa na thamani kwa watakatifu wa MUNGU.Tutakapo ingia kwenye cashless vituvyote vitakuwa undercotral so hapo ndipo watajulikana washika amri za MUNGU na Imani ya yesu.Ingawa bado pepeto linaendelea kimyakimya.

  • @VictorNshala
    @VictorNshala Месяц назад

    Mtumishi wa Mungu, hivi jambo hili umelifikisha kwa mwenye mali(Mungu YEHOVA)? Kama ndivyo,halafu hajawachukulia hatua..sasa unaona utafute msaada wa selikari,ambao nao taarifa za CAG kila zikitoka zinaeleza uozo,na hakuna hatua!!!
    Kinachonitia wasiwasi ni rugha ya kujipendekeza kwa serikari .."selikari imetuvumilia sana" mara "hongera mama kwa kazi kubwa ya kuendeleza miradi"..!!!
    Mabaya yatokeapo nyumbani mwa Mungu...piga magoti,mweleze mwenye nyumba (YEHOVA)!!

  • @JosefNgulinzila
    @JosefNgulinzila Месяц назад

    Nyie wote hamuelewi Sjui dini mnahisi nikitu halisi dini sio za mungu ni uelewa wenu mdogo2

  • @benjaminmathias2653
    @benjaminmathias2653 Месяц назад

    Mzee wangu mwasamola nakupenda sana ila mambo haya ni ya Mungu acha Mungu ajipiganie usimsaidie cha kufanya waombeeni wanaowaudhi kanisa ni la kristo me binafisi stochoka kutoa maana biblia imenena kama unaiba Mungu atawasaidi au kuwashughulikia so tuwaombee halafu tuwe na imani kuwa Mungu anayo majibu sahihi kuliko serikali

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u Месяц назад

      Pengine hujawahi kuwa kiongozi ndio maana unachukulia poa sana au huenda huifahamu mifumo ya fedha au hata mgogoro unaoelezwa huufahamu au hujamsikiliza makamu wa Rais.
      Hadi hapo Mungu ameshajipigania tayari au aliyezungumza hajazungumza Kwa msukumo wa dhamiri njema ambayo Mungu ndiye humpa Mtu?

  • @enockjoseph9435
    @enockjoseph9435 Месяц назад +5

    Ombi kwako Raisi zingatia maneno ya mzee wetu mwasomora kasema ilio kweli kbsa na mimi nashuhudia🙏🙏🙏

    • @erastomwambeje9920
      @erastomwambeje9920 Месяц назад

      HAPANA, serikali haihusiki na dini

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 Месяц назад

      ​@@erastomwambeje9920point

    • @mahendekaramadhan2948
      @mahendekaramadhan2948 Месяц назад

      ​@@erastomwambeje9920Nani msajili wa makanisa yote? Kama ni serikali basi ndiye anaruhusiwa kuregulate taasisi zote za kidini.

  • @yohanalukwaro5322
    @yohanalukwaro5322 Месяц назад +1

    Time will tell

  • @pambacharles8149
    @pambacharles8149 Месяц назад

    Hivi ? Mtoa haki ni Mungu mwenyewe, kisa hiking Cha hanania na safila alishughulika nao, si tumwambie tu Mungu, kufika hatua ya serikali kuingilia kati, hivi Mungu huyu tunayemwabudu hatumjui,hatumwamini na hatujawahi hata kidogo kuona uwezo na miujiza yake,Kama alifufua wafu hili kweli limemshida HAPANA, naona tumwachie Mungu wetu ashugulike nao, Mungu wetu tuhurumie sana

  • @ukweliwaleotv1515
    @ukweliwaleotv1515 Месяц назад

    Ni Muda wa Kutiwa Munhuri watu wa Mungu Duniani kote.
    "Bwana akamwambia, Pita kati ya mji, kati ya Yerusalemu, ukatie alama katika vipaji vya nyuso vya watu wanaougua na kulia kwa sababu ya machukizo yote yanayofanyika kati yake".Ezekiel 9:4

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 Месяц назад

      Kwakweli ni Muda wa muhuri . Yesu yu mlangoni anakuja

    • @daudimdee6175
      @daudimdee6175 14 дней назад

      Kiongozi syo Mungu tumieni kanuni maandiko matakatifu ww ushastaafu acha kulichafua kanisa la Mungu

  • @LisheEndelevu
    @LisheEndelevu Месяц назад

    Mhh kuruhusu serikali kuingilia mambo ya kanisa! Mungu atuhurumie na kuingilia kati,

  • @dribrahimchenza
    @dribrahimchenza Месяц назад +16

    Mkiwa vijana Mjipange ili mkistaafu msiwe wanaharakati😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @delilahtanda9989
      @delilahtanda9989 Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @sylvestersamwel8210
      @sylvestersamwel8210 Месяц назад

      Ninamashaka makubwa na akili zako na uaminifu wako!!

    • @misperambogo
      @misperambogo Месяц назад +1

      @@dribrahimchenza kukemea uovu sio harakati
      Stefano alipigwa mawe kwa kukemea uovu
      Yohana alikatwa kichwa kwa kukemea uovu
      Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu

    • @augustinondola7698
      @augustinondola7698 Месяц назад

      ahahahaha Dr. umetisha angekuwa ana miradi kama ya Oviedo asingekuwa bize kufanya uchunguzi🤣😂😂

    • @emmanuelsimon545
      @emmanuelsimon545 Месяц назад +2

      Huyu mzee hana njaa ndugu we inaonekana humfahamu na c watamaa yuko vzr kiuchumi

  • @joshuanyamaiswe4327
    @joshuanyamaiswe4327 Месяц назад

    Mmebadilishiwa Mungu na kupewa Mungu mgeni kanisani (Mungu wa utatu mtakatifu) hatimaye Mungu amewaacha sasa shetani anatawala. Limekuwa pango la wanyang'anyi sasa. Tokeni kwake enyi watu wangu wala msishiriki dhambi zake.

    • @komandowainjiliyayesu
      @komandowainjiliyayesu Месяц назад

      Hapana wasitoke

    • @joshuanyamaiswe4327
      @joshuanyamaiswe4327 Месяц назад

      @komandowainjiliyayesu hata wakati wa maangamizi ya yerusalemu viongozi waliwaambia washiriki wasitoke maana hakuna baya lolote litakalo tokea. Matokeo yake wakaangamia na majeshi ya warumi.
      Ukisikia watoke, maana yake watoke kwenye mfumo ulio asi. SDA GC.

  • @NDEMBELASDACHOIR
    @NDEMBELASDACHOIR Месяц назад

    Mzee mwasomola ww ulikuwa kwenye uongoz ulichukua hatua gani acha kuchafua kanisa la mungu hata kidogo ww mzee kanisa halitayumba kwa ajili yako hata kidgo tafadhali jitazame vizur mzee zeeka vzr

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u Месяц назад +1

      Kwamba amekosea Kwa sababu anazeeka? Angekuwa kijana ilikuwa sawa? Uzuri ameanzia alipoishia Makamu wa Rais , je wewe ulimuelewaje makamu wa Rais Kwa mfano? Kwa hiyo huyu mzee anaongea uzushi ambao haupo au sisi ndio hatuelewi?
      Na hata hivyo hamjamsikiliza vizuri, kasema alishafuatilia halafu wewe bado unahoji eti alifanya nini huoni unaunga mkono upande wa pili ndugu?
      Tujitafakari sana

  • @kitulatv5998
    @kitulatv5998 Месяц назад +3

    Ambia na selikali ikague biti na midundo maana ni ya shetani.

  • @makollonkunujr1198
    @makollonkunujr1198 Месяц назад +8

    Je ni kweli kwamba njia hii ni sahihi katika kutibu tatizo hilo, au ni mpango wa kuhafifisha injili? Mbona tunayoambiana na kufundishana kwamba haya yanawapasa Wakiristo kufanya hayafanyiwi kazi katika vitendo ila tunayaimba midomoni tu, tuamini kwamba kanisa limekengeuka au ? Hapana huku mlikofika mnalitukanisha kanisa na Kristo, acheni na rudini katika msitari

  • @jescamkwaya
    @jescamkwaya Месяц назад

    Ni muda wa kujiokoa nafsi Mungu wangu tusaidie

  • @sarahbwile1159
    @sarahbwile1159 29 дней назад

    Kanisa la wasabato,lilisha kuwa tajiri sana Shule nyingi Mahospitali,vyuo na miradi mingi tu bado sadaka,Zaka tena zaka yenyewe sikuizi hawataki moja ya kumi ni mbili ya kumi bado Kwenye makambi wanatoa magori makubwa ili utoe waibe ifike atua serikali itoze Kodi.

  • @NDEMBELASDACHOIR
    @NDEMBELASDACHOIR Месяц назад +1

    Umemaliza vbaya mzee tena ushindwe

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 Месяц назад +2

    Wewe mchungaji, ebu ufike mahali ujitathimini, kama serikali yenye imeshindwa kudhibiti kwa rushwa leo ije kanisani, ukumbe serikali kwa taasisi za dini huwezi iingiza sera kama za serikali kanisani kanisa linaaminika kama watumishi wanafanya hayo ujue hata kwa Yesu alikuwako Yuda Iskariote hivyo magugu na ngao yapo shamba moja pia hao wanaoiba hela za kanisa wanajiibia wao.

  • @josemtataofficial
    @josemtataofficial Месяц назад +1

    Kwanza kabisa unaishukulu selekeali ya Tanzania 😂😂😂😂 mambo ya kanisa na selekali wapi na wapi okokeni nyie wasabato

  • @bongatv25
    @bongatv25 Месяц назад +1

    Mbona ulikaa kimya miaka 42 yote unasema leo tena baada ya ku stafu mzee umechelewa sana

    • @jescabwimbo8112
      @jescabwimbo8112 Месяц назад

      Hakika alipaswa kusema akiwa katika utumishi ili kuonesha uzalendo

    • @bongatv25
      @bongatv25 Месяц назад

      @jescabwimbo8112 eeeh kusema kwa sasa wenda alikuwa anapata chochote kitu wenda mlija unekata wapesa ndo kutusema

    • @happinessezekiel4101
      @happinessezekiel4101 Месяц назад +1

      And by the way hapakuwa na haja yakuomba msaada serikalini kwan nn maana ya uongozi,angekaa kmya kusubir majibu ya GC na oditing yao

    • @laurentkassala3865
      @laurentkassala3865 29 дней назад

      Anaweza kua Ana hoja lakin as long as anasema anayajua toka zaman it means kwa namna moja au nyngn alikubaliana nayo au alishiriki kwa namna moja au nyingine
      Ameongea FACTS lakini illogical

  • @silasbisanda4037
    @silasbisanda4037 Месяц назад +3

    Uzuri umesema wakaguzi walioletwa ni WABOBEZI and I agree with you ni wabobevu. Kinachofuata ni taratibu za ukaguzi kuna maadili na taratibu za ukaguzi duniani ambazo Tanzania kupitia Bodi ya Wahasibu National Board of Accountants and Auditors of Tanzania (NBAA) imeridhia na inazifuata na hicho ndo chombo kinachosajili wakaguzi na wahasibu na kampuni za ukaguzi.

  • @laurentkassala3865
    @laurentkassala3865 29 дней назад

    Nadhani ifikie mahala wanaotoa hzo ela waache kwa muda kwanza, mchungaji au mtumish mwngin yeyt ajitegemee kiuchumi
    Cheo kikubwa kanisan kisiwe na uhusiano wa mshahara mkubwa ... atakae kua na wito ataendelea team masilahi wataach uongozi kanisani

  • @gilbertmagafu9929
    @gilbertmagafu9929 19 дней назад

    Huku ni kuzalilisha kanisa la Mungu. Kama ulikuwa kiongozi wa ngazi za juu na haya uliyajua . Je ,ulichukuwa hatua gani. Au ulikuwa unasubiri ustaafu ndo useme?

  • @Njombeinforchannel
    @Njombeinforchannel Месяц назад

    Wasabato wanajionaga wanajuwaaaa onasasa wanavo jidhalilisha😢😢😢😢

  • @MetuselaEphraimu
    @MetuselaEphraimu Месяц назад

    Mwishapo kuyaona hayo viinieni vichwa vyenu mumtazame alie juu maana wokovu wenu umekaribia

  • @lameckmikembo9001
    @lameckmikembo9001 26 дней назад

    Umefika mda wa kumwelewa yesu ni nan kuliko dini. Sina mengi

  • @onesmobombile9749
    @onesmobombile9749 29 дней назад

    Kanuni ya kimbingu ya kushughulikia migogoro ni hii peke yake.
    Mathayo 18:15 - 17
    Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo. Kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike. Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.
    Yakobo 4:12
    Mtoa sheria na mwenye kuhukumu ni mmoja tu, ndiye awezaye kuokoa na kuangamiza. U nani wewe umhukumuye mtu mwingine?

  • @BarakaMashimba-sr9ow
    @BarakaMashimba-sr9ow Месяц назад

    Hatuwezi kunyamaza eti tumuachie Mungu tumepewa akiri lazima tuipiganie kazi ya Mungu

    • @SelenatusMarwa
      @SelenatusMarwa Месяц назад

      Unaipigani pasipo maelekezo yake 😂

  • @MishiYakubu-e5z
    @MishiYakubu-e5z 26 дней назад

    😅😅😅😅😅 yani dah sio poa

  • @OnesmoTembe
    @OnesmoTembe Месяц назад

    Wengi wetu tutamuona huyu mzee kuwa ni muasi,anaowasema kuhusika na hayo maovu tutaona kuwa wako sawa na tutaona hayo wanayoyafanya kuwa ya kawaida kwa vile ndiko ibilisi alikoufikisha ulimwengu.Naamin mpaka kufikia hapo,jitihada nyingi za kibiblia na za kikanuni zimepitiwa lakini zimekanyagwa na wahusika.Lakini Mungu pia ananjia nyingi za kuokoa na kuponya,hiyo inaweza kuwa mojawapo.

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c Месяц назад +6

    Huyu litakuwa dishi limeyumba sasa anataja anaomba serekali mara wirara ya mambo ya ndani wakati huko ndiko uzembe n maovu ya kila aina watu wanalalamikia kila siku 😅😅😅

  • @fabrianjr9163
    @fabrianjr9163 Месяц назад +1

    Mzee.kanyookaa 😢😢 ...ila wakat yeye ni kiongoz matumiz yalikua mazur na hzo dosar hazikuwepo najarb kuwaza ?

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u Месяц назад +1

      Endelea kuwaza . Waliomaliza kuwaza wanafahamu kinachoendelea

    • @fabrianjr9163
      @fabrianjr9163 Месяц назад

      @JameM-l1u mliomaliza mtujuze

  • @josephatLeonard
    @josephatLeonard 17 дней назад

    Napata wasiwasi Kwa mchungaji huyo Kwa maelezo yake, amesema zaid ya Miaka 42 amekuwa akiona viongoz wakitumia masilahi yao kuchukua sadaka (Maokoto) Kwa matakwa yao ya uongozi. Kwann alikaa kimya na kushindwa kulisaidia kanisan kama kiongoz msitafu. Hali alidumu kuyaona Kwa nyanja tofauti tofaut za viongoz kuanzia juu had chini..! Au Kwa vile alikuwa kwenye uongoz kipindi hicho nae Kuna kitu alikuwa akikipata so baada ya kustafu Hana chake tena akaona ni vyema kutoa Siri ambayo washiriki watoa zaka na sadaka hatujui wayatendayo

  • @abigailkibonge202
    @abigailkibonge202 Месяц назад

    Huyu Baba sijui kama havuti bangi sijui!!!

  • @mwinjilistiaristidesmeja1834
    @mwinjilistiaristidesmeja1834 Месяц назад

    Yaani hizo za Serikali mmezila weee mmeona haitoshi mnataka kufauatilia na yasiwahusu, kwanza malizeni ya kwenu ndio muanze kwa Kanisa

  • @alexmduma6278
    @alexmduma6278 Месяц назад +1

    Kanisa la Mungu haliwezi kwenda hivyo mzee

  • @EmmanuelMikael-in1ej
    @EmmanuelMikael-in1ej Месяц назад +2

    Huyu mzee yuko sahihi!! Kabisa na mzee kwa ukweli huo jiandae kufutwa ushilika baba!! Viongozi wamekuwa israel

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u Месяц назад

      Nani atanyosha huo mkono wa kumfuta? Kwa kosa gani halafu?

    • @SuzanIkwabe
      @SuzanIkwabe Месяц назад

      Bora lkn kaongea ukweli wake pastor ht wakimfuta ushirika hawa ni wanadamu sio Mungu tunaemwamini

  • @PiusswaiRaphael-mz5tu
    @PiusswaiRaphael-mz5tu Месяц назад

    Ila tusiache kutoa zaka na sadaka Kwa uaminifu maana baraka zangu zinaanzia ninapotoa. Ila pia tusiache kukemea pale pesa zetu zinapotumika vibaya.

  • @GraysonMunassa
    @GraysonMunassa 27 дней назад

    We nae si mchungaji si mgejadili kanisani mpaka utangaze hakuna kitu hapo

  • @BarakaMashimba-sr9ow
    @BarakaMashimba-sr9ow Месяц назад +1

    Nakukubali Sana maana kuna viongozi wamefanya kanisa Kama lao

  • @naomikilonzo6898
    @naomikilonzo6898 Месяц назад +3

    Pastor Jamani neno linasema tumalizani sisi wenyewe.

    • @IbrahimSadalla
      @IbrahimSadalla Месяц назад

      Ana stress😢

    • @frankalphayo1294
      @frankalphayo1294 Месяц назад

      ​@@IbrahimSadallatumeshindwa sasa kumaliza

    • @JameM-l1u
      @JameM-l1u Месяц назад

      ​​@@IbrahimSadalla Kama huyu mzee ana stress wewe uliyewaza hivyo unaweza kuwa na STRAIN kabisa. Huenda hata strain huifahamu

    • @SelenatusMarwa
      @SelenatusMarwa Месяц назад

      ​​@@frankalphayo1294 serikali itamaliza kweli ee😅

    • @danielthomasmsigwa31
      @danielthomasmsigwa31 Месяц назад

      Kumalizana wenyewe kumeshindikana, Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha! Aliwahi kutoa kitabu miaka ya nyuma mwongozo WA muziki WA kikristo viongozi walikipiga marufuku ili waendelee na muziki WA kidunia!

  • @bulubamagambo4360
    @bulubamagambo4360 Месяц назад +1

    Mathayo 18 imetumika? Golden Rule inasema " yale upendayo utendewe watendee wengine vivyo

  • @georgeahadi-zg2fn
    @georgeahadi-zg2fn 10 дней назад

    Ninasikitika kusikia ukisema kuwa tume ya ukaguzi kutoka General conference wamekagua na wewe una taarifa kuwa wanakuja kuwasafisha. Ina maana huna imani na kanisa ngazi zote hata General conference. Na bado unajiita mchungaji mstaafu wa kanisa hilo. Hata serikali ikikagua ikikosa ushahidi utasema imewasafisha. Umesema ukiwa kiongozi ulikuwa unajua yanayoendelea kuanzia chini hadi juu. Kwanini hukusimama kwenye zamu yako ukarekebisha hao waliokuwa chini yako? Au kunna aliyekuwa amekufuna mikono? Kwanini umeacha kwanza ustaafu ndio useme?

  • @ThomasMmoka
    @ThomasMmoka Месяц назад

    Mzee kila kanisa limetekwa na Shetani wa kupiga pesa za Kanisa.Njia pekee ni kila kanisa kuunda taasisi yake ya ukaguzi wa fedha za Kanisa na Sheria za uwajibikaji na uwajibishwaji wa matumizi mabaya ya fedha.