HOTUBA YA DKT JOHN POMBE MAGUFULI UWANJA WA MAZAINA WILAYA YA CHATO JULAI 10,2017

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 июл 2017
  • HOTUBA YA DKT JOHN POMBE MAGUFULI UWANJA WA MAZAINA WILAYA YA CHATO JULAI 10,2017

Комментарии • 109

  • @aymalabdulmalick2876
    @aymalabdulmalick2876 7 лет назад +13

    Ni watu wachache sana wanaoweza kutoa neno la shukrani mbele ya hadhara kama ilivyo kwa Mh Rais Dr JPM! Mungu ambariki sana Sir JPM ktk kutambua wazi wazi walio mfikisha hapo .
    Hakika neno la shikrani ni kauli stahiki kwa muungwana yeyote yule. Mungu ibariki Tanzania.

  • @amosimnyili2165
    @amosimnyili2165 3 года назад +10

    Shujaaa wetu,mpambanaji wetu mtetezi wetu tunakushukuru mwenyezi munngu kwa kutupa Zawad ya magufuli asante sana

  • @stephanokigosi656
    @stephanokigosi656 3 года назад +11

    nitakupenda DAIMA Rais wangu

  • @patricklembeli8523
    @patricklembeli8523 3 года назад +6

    Maraika arieko mbinguni anaishi ila mlohusika mungu anawajua cc hatuwajui ila 🇹🇿 tutaiacha

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 года назад +6

    Acha nilie tu naimis hii sauti😭😭😭😭😢😢😢

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 3 года назад +8

    Magufur ametoka chin ndiomana anajali anajali wanyonge maana alieyajua maisha

  • @ngarabaibrahimmzee5107
    @ngarabaibrahimmzee5107 3 года назад +12

    He was a great leader in Tanzania

  • @shindapapaya9194
    @shindapapaya9194 7 лет назад +10

    Shikamoooo JPM hapa kazi 2 💪 💪 💪

  • @bennybenard2202
    @bennybenard2202 2 года назад +1

    Mwenyezi Mungu akulinde uko uliko, Watanza tunasema Tunashukuru kwayale mema uliyo tufanyia akika we ndie mfano wakuigwa Africa na dunia nzima kiujumla Mungu akulaze mahali pema peponi Ameeni.

  • @godfreybikukana7727
    @godfreybikukana7727 3 года назад +15

    Mungu mwenye upendo nakuombea akupokee kwenye ufalme wake Kama kunasehemu ulijikwaa akusamehe Sana

  • @AbuuShaymaa
    @AbuuShaymaa 3 года назад +13

    Atakumbukwa JPM

  • @christophermedau9955
    @christophermedau9955 3 года назад +8

    Dah Rip jpm

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 года назад +6

    Asante kwa yote Mungu,sisi wote tunapita, magufuli lala Salama

    • @jackson-ly7ci
      @jackson-ly7ci 3 года назад +1

      Waliohusika wapo

    • @ashamwandu6572
      @ashamwandu6572 3 года назад +1

      Watamkuta Hilo ni deni mbele ya Mungu.unazani watatoka salama???

  • @aishamwinyi5048
    @aishamwinyi5048 3 года назад +7

    Tutakukumbuka sana jembe la Tanzania 🇹🇿 😭

  • @teophilkayaula7335
    @teophilkayaula7335 7 лет назад +5

    hongera sanaaaa RAIS wangu piga kazi

  • @mkwindamussa1336
    @mkwindamussa1336 2 года назад +1

    Tunakukumbuka Sana lais wetu,mungu akupumzishe,

  • @stevensimtowe4511
    @stevensimtowe4511 3 года назад +18

    Apa nimejifunza kuwa Alie toka kwenye Umasikini Ndo mtu Anae jua shida ya Umasikini,Waelewa wataelewa

  • @mwarabubahatliezer624
    @mwarabubahatliezer624 3 года назад +1

    Dah kweli mimi binafsi nakukumbka sana na sitawahi kukusahau maishani wangu wote hakika ulikuwa shujaa wa ukweli na ulitumwa kuwa mfano kwa marais wote duniani

  • @henerkojuma2230
    @henerkojuma2230 3 года назад +3

    I love you dady

  • @rashidmohamedi1495
    @rashidmohamedi1495 2 года назад +1

    Nilichojifunza kitu ni kwamba Duniani tunapita hawa ote mungu kawachuka dah mungu awaweke mahali pema

  • @johnmathenge3406
    @johnmathenge3406 3 года назад +5

    Najua kitu kimoja kuwa Hayati Mzee Benjamin William Mkapa alikuwa rais mzuri kwa WaTanzania na wakati alipostaafu alikuja nchini Kenya baada ya machakufo ya ghasia 2007/2008 pamoja na Mzee Jakaya Mrisho Kikwete rais wa awamu ya nne. Kweli WaTanzania ni majirani wema na wakati mulipoteza rais JPM mwezi Machi ilikuwa huzuni kubwa lakini Mungu amewapa Mama Samia Suluhu Hassan.

    • @nickodemsimchimba594
      @nickodemsimchimba594 3 года назад

      Samia hatumpendu

    • @johnmathenge3406
      @johnmathenge3406 3 года назад

      Najua kama JPM angekuwa uhai bado angechukiwa sana maanake shida yetu kama Wafrika kiongozi akifanya maendeleo tunasema yeye ni mbaya, dikteta. Kwa mfano nchi kama Libya, Syria, Iraki, Yemen zilikuwa nchi nzuri na kulikuwa na amani lakini watu walidanganywa angalia sasa. Angalia ndungu yangu huku kwetu Kenya watu wanasema heri rais Mwai Kibaki kuliko rais Uhuru Kenyatta maanake tumeumia kiuchumi, ukabila umezidi na ufisadi inatutafuna kila siku kama jinsi ambavyo rais wenu wa awamu ya kwanza Mwalimu Julius Nyerere alisema. Shukuru mwenyezi Mungu kuwa muna rais mwanamke ambaye amefanya kazi nzuri hadi uchumi yenu iko nzuri kuliko yetu. Nitamalizia na msemo wa rais wenu wa awamu ya nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete Akili za kuambiwa changanya na za kwako.

    • @nickodemsimchimba594
      @nickodemsimchimba594 3 года назад

      @@johnmathenge3406 Tanzania Rais Magufuri ndio Nembo ya taifa,na ni kiongoz Pekee tutakae mkumbuka vizazi vyote,huyo mwanamke achana nae wew humjui,saivi anahangaika na barakoa, kuleta Chanjo za Corona vitu ambavyo mtangulizi wake hayati JPM alikua anapinga lakn yeye ndie ameanza kushikilia saivi.....huyu mama mbaya Sana,wizi ufisadi umeanza kurudi kama ulivyokua ktk utawala wa kikwete.... Tunashukuru kutambua utendaji kazi wa Hayati JPM lakn usije ukafikiri huyu mama kuna jambo jipya anafanya hakuna kabisa!

  • @lugembefabianfabian7745
    @lugembefabianfabian7745 2 года назад +1

    Mungu akupumzishe kwa amani jembe letu

  • @anamayala8896
    @anamayala8896 3 года назад +1

    Umebaki ndani ya nafsi yangu na ya wayanzania wote kama nebo hatuwezi kukusahau tulalapo tusimamapo tukaapo kamwe hauwezi ukatutoka ndani ya fikira zetu na mionyo yetu daima tutakukumbuka milele

  • @happydionice355
    @happydionice355 3 года назад +4

    RIP baba yetu mpendwa

  • @mussaisaac
    @mussaisaac 2 года назад +2

    Baba maneno yako yananitia huzuni sana.nakulilia mimi

  • @christinamabula416
    @christinamabula416 2 года назад +1

    Tutakukumbuka daima

  • @ezekielnjau8830
    @ezekielnjau8830 3 года назад +1

    Pumzika kwa amani baba, chumaa, mwamba wa Africa, will miss you kwakweli, mzalendo wa kweli

  • @dicksonilugakingilamtalemw3944
    @dicksonilugakingilamtalemw3944 2 года назад +1

    Mungu akulaze maala pema peponi

  • @josephmsabila2592
    @josephmsabila2592 3 года назад +3

    Rip DK magufuli

  • @rugaziabaisi6199
    @rugaziabaisi6199 3 года назад +1

    Love you always

  • @josephkuyela2608
    @josephkuyela2608 3 года назад +4

    😭😭😭

  • @kalolijuma3582
    @kalolijuma3582 3 года назад +2

    daaaa😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @andrymilanzi4720
    @andrymilanzi4720 2 года назад +2

    Never forget him

  • @mossymtwana6422
    @mossymtwana6422 3 года назад +3

    Upumzike kwa Amani

  • @Kingnelbo
    @Kingnelbo 5 лет назад +2

    Mr president 🇹🇿

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 8 месяцев назад +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @youngblack3203
    @youngblack3203 3 года назад +5

    Tuna kukumbuka rais wetu mungu akusamehe pale ulipo jikwaa

  • @emmanuelpastory6074
    @emmanuelpastory6074 3 года назад +7

    Jembe Kama jembe

  • @mohamedingori8799
    @mohamedingori8799 6 лет назад +3

    tunyoshe baba magufuri

  • @mayaltv9441
    @mayaltv9441 7 лет назад +2

    potential speech

  • @ezzyphilipo4357
    @ezzyphilipo4357 3 года назад +3

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @emmanuelmashishanga5057
    @emmanuelmashishanga5057 3 года назад +2

    😭

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 3 года назад +1

    Milele tutakukumbuka mzee wetu

  • @zakayondaturu3149
    @zakayondaturu3149 2 года назад +2

    Baba ye2 kwa heri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @faithhumble3780
    @faithhumble3780 2 года назад +1

    Duuuh Pumzika kwa Amani Mzee wetu JPM

  • @mbarikiwalazarowatisa2086
    @mbarikiwalazarowatisa2086 7 лет назад +5

    my president

    • @nellhaule303
      @nellhaule303 3 года назад

      Yes

    • @emmamataru5059
      @emmamataru5059 3 года назад

      daaaaaaaaa babaaaa

    • @mashallamazoya5080
      @mashallamazoya5080 3 года назад

      My leader ever happened in in dz times

    • @pitachales1914
      @pitachales1914 3 года назад

      Hautasahaulika kamwe daima tutakukumbuka mkombozi m beba maono we we umeletwa namungu sio wananchi vyetifeki mishahara hewa watanzanzania walikua hajuikui kua nchi inaliwa

  • @donimitwango3056
    @donimitwango3056 2 года назад +1

    Pumzika kwa amani baba

  • @davidjanta2799
    @davidjanta2799 2 года назад +1

    Kipenzi cha wengi umeachà pengo kubwa, kwa wazalendo, ,,kifo chako kimeamsha furaha kubwa kwa majambazi ya kitaifa na kimataifa, upigaji wa kupinukia utaendelea

  • @burudatv751
    @burudatv751 3 года назад +7

    Chuma endelea kupumzika kwa amani

    • @hamiarseif7299
      @hamiarseif7299 3 года назад

      APUMZIKE KWA AMANI AMANI IYO AIPATE WAPII MUWAJI YULE

    • @zenaabdallah3797
      @zenaabdallah3797 3 года назад

      @@hamiarseif7299 MUUAJI NI WW ULIOKOSA SHUKRANI ALIMUUA NANA ACHA UNAFIKI WW C MTOA HUKUMU.KILA MJA ANAMAPUNGUFU YAKE ILA C KWAWAPINGA MAENDELEO.MMEZOEA RUSHWA.

    • @hamiarseif7299
      @hamiarseif7299 3 года назад

      @@zenaabdallah3797 WE NIMJINGA HUJUI ALO WAUWA AU UNA UPENZI TU NIKUHESABIE WAMEULIWA KWA ARI YANANI WALE WALO UWA WA

    • @zenaabdallah3797
      @zenaabdallah3797 3 года назад

      @@hamiarseif7299 UCMHUKUMU MTU KWA VITU AMBAVYO HUNA UHAKIKAWALA USHAHIDI.ACHA NIWE MJINGA LAKINI NINAIMANI NA JPM HAKUWAHI KUFIKIRIA KUUA ACHA UNAFIKI

    • @hamiarseif7299
      @hamiarseif7299 3 года назад

      @@zenaabdallah3797 NINA UHAKIKA KAUWA YE NIAMBIE KUNA UCHAGUZI GANI WATU WATU WALOKUFA KAMA HUU AU KUPOKONYWA MAJIMBO YAO YOTE KAMA MWAKA HUU. NIAMBIE AU HUKUONA. MIMI BINAFS KAKAANGU KSHINDA KWENYE JIMBO LAKE HAKUPEWA KAPEWA MTU KWA KURA 17 IYO NI. HAKI. WE VIPI NI MUUAJI

  • @heribandwa8028
    @heribandwa8028 3 года назад +1

    Heri

  • @harunarashid6404
    @harunarashid6404 2 года назад +1

    Huyu ndiye alikuwa rais😭😭😭

  • @user-nk5rq9fc6j
    @user-nk5rq9fc6j 9 месяцев назад +1

    Pumzika Kwa amani jembe latu

  • @nicodemussalala8638
    @nicodemussalala8638 2 года назад +1

    Jembe letu pumzika kwa amani baba yetu

  • @lazarousabraham9801
    @lazarousabraham9801 9 месяцев назад

    Ngorongoro

  • @magulufamily177
    @magulufamily177 2 года назад +1

    Nenda lakini mipango yako sasa inahujumiwa na wakaribu yako

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 7 лет назад +2

    Kwenye tukio la kitaifa kama hili sare za chama niza nini? huu umbumbumbu sijui utaisha lini

    • @ramadhanikaita9672
      @ramadhanikaita9672 5 лет назад

      Sasa ndugu yangu hizo sare walizovaa zinakuuma nini kwani wewe shida yako nini unakwama wapi fata maneno yake usifate matendo yake

    • @maxiwellndeleman4975
      @maxiwellndeleman4975 4 года назад

      Chama kinachoongoza ndo hicho..

  • @priscahaule4523
    @priscahaule4523 3 года назад +1

    Wewe ndie rais wawanyonge

  • @bashiteentertainment3298
    @bashiteentertainment3298 2 года назад +2

    Ulale pema yako mema daima tutayaenzi katika kuyafikia maemdelea ya nchi nawananchi pia

  • @YamunguYb
    @YamunguYb 7 лет назад +2

    Mungu azidi kukupa Ulinzi Rais wetu

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 года назад +2

    Sasa bongo mambo shwar.

    • @zenaabdallah3797
      @zenaabdallah3797 3 года назад

      USHWARI UNAUPATA WW MWENYE ROHO YA MKAANGA SUM USIEPENDA KUONA MAENDELEO YA NCHI YAKO KILA MTU KWAKO NI ADUI KINACHOKUFURAHISHA NI NN?YATAFIKA MAJUTO NDIO UTAPATA TAFISIRI YA SHWARI MUNGU YUPO

    • @charleskazimily2452
      @charleskazimily2452 2 года назад

      Nyau wew

  • @MussaBudeba-sj7eb
    @MussaBudeba-sj7eb Год назад +1

    Magufuli abananisha muchina

  • @AllyIssya-cy9yg
    @AllyIssya-cy9yg 8 дней назад

    akika tinga tinga lime zimika, tuta kuku mbuka sana

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 7 лет назад +1

    heshima kwako

  • @focusdaily2742
    @focusdaily2742 2 года назад +4

    From this speech I can confirm that Magafuli was not a dictator, but a discipline servants

    • @JayrosKidaga
      @JayrosKidaga 10 месяцев назад

      ¹111¹¹¹¹¹1¹111q

  • @hamiarseif7299
    @hamiarseif7299 3 года назад

    KUONDOKA KWAKO NIFARAJA KUBWA KWA WATANZANIA IMEONDOKA ZULUMA

    • @awezaejohn4893
      @awezaejohn4893 3 года назад +1

      Kila nafs itaonja mauti jichanganye sasa

    • @hamiarseif7299
      @hamiarseif7299 3 года назад

      @@awezaejohn4893 NIJICHANGANYE NA NINI NA HUYU MTU ALIKUWA MBAYA SANAAA

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 3 года назад +1

      @@hamiarseif7299 Kama wewe ulivyo mbaya na mchawi wa mchana uchawi uliotumia kumloga jembe letu unakutafuna mpaka unaongea hadharani jifiche basi tusijue km Ni kundi kigogo

    • @hamiarseif7299
      @hamiarseif7299 3 года назад

      @@beatricehenry6776 HILI NI JEMBE LAKINI LAKUZOLEA MAFI. HUKUMBUKI ALIVOTUUWA KWA MADARAKA TU UMESAHAU AU HUKUONA UBAYA ALOUFANYA KWENYE UCHAGUZI IMEWAHI KUTOKEA KAMA VILE JEMBE GANI MUUWAJI AFE TU

    • @hamiarseif7299
      @hamiarseif7299 3 года назад

      @@beatricehenry6776 JEMBE MAVII LILE