Kweli kabisa kwanza wenye tunaishi nchi za inje mtuombee sana. Sasa fanya utafiti wa sufuria ninaamini chungu ndio kifaa kifaa kinyewe kwa sababu pia sisi ni udogo. Mungu akubariki, akulinde na aendelee kujitetea
Mafunisho haya mazuri sana. Lishe aiendani na imani. Nagundua kwa nini mtu akatae kula baadhi ya wanyama na samaki mbali na imani. Kwani wengi hukazia tu, imani. Asante sana mchungaji kwa kuelimisha. Mafundisho safi.
Jamani mchungaji unafundisha hadi najihurumia nafsi yangu Mm niko huku Bahrain Lakini vyakula venye tunakula kweli ni hatari hadi tunapewa damu ya mnyama flani apo ati tueke kwa mboga,, mara Sijui mafuta ya swara ati tutie kwa chakula yaani ni mungu tu ndio anatulinda huku Bahrain
Pastor kiukweli umeniongoa Sisi tulioko nchi za ugaibuni kiukweli hakuna kuku wakienyeji ila atukuzwe Mungiu kwakupitia masomo haya sitakula kuku tena badala yake nitakula vegetable mpaka nitakapo rejea Tanzania Bwana akubariki sana 🙏
Amen asante Yesu kwa mafunzo haya ya chakula ubarikiwe zaidi mchungaji . kumbe nimekua nikijiua polepole
Mungu akubariki saaaana karibu kenya
Asante Mchungaji kwa mafunzo mazuri ya kutuelimisha Mungu akuweke.
Mungu aendelee kukupa nguvu Mchungaji David Mbaga
Aminaa PR Mungu kubariki na azidi kukupa nguvu na ufanye kzi yake
Mungu akubarik mtumishi
munguakubariki mtumishi kwakazinjema
Muhubiri Mungu akubariki Sana.
Amen, Mungu akubariki nasi pia
Amen. Barikiwa sana.
Mungu akubariki sana pasteur David. Nimejifunza mengi kutoka kwako. Mimi natumia mafuta ya olive na canola.
AMEN nabarikiwa sana nikiwa hapa Iraq Baghdad
Ee Mwenyezi Mungu tusaidie dunia ni ngumu.
Amen
😍
Amen 🙏
Pastor this is total truth ubarikiwe sanaa
kupitia ww pastor nabarikiwaa sanaaa.... mungu akupatie umri mrefuuuu
Amen
Amina barikiwa zaidi pastor 🤝
Kweli kabisa kwanza wenye tunaishi nchi za inje mtuombee sana. Sasa fanya utafiti wa sufuria ninaamini chungu ndio kifaa kifaa kinyewe kwa sababu pia sisi ni udogo. Mungu akubariki, akulinde na aendelee kujitetea
asante kwasomo la vyakula .
Nondo za kutosha mungu akutangulie Vita kali
Ubarikiwe sana muchungaji
Mafunisho haya mazuri sana. Lishe aiendani na imani. Nagundua kwa nini mtu akatae kula baadhi ya wanyama na samaki mbali na imani. Kwani wengi hukazia tu, imani. Asante sana mchungaji kwa kuelimisha. Mafundisho safi.
Weka sehemu ya kwanza.
Ngendahayo Ngena Samuel Hii hapa
ruclips.net/video/B0PPp4CoXbw/видео.html
Angalia sehem ya kwanza hapa
ruclips.net/video/B0PPp4CoXbw/видео.html
Asante kwasomo zuri
Shimwe Kagwiza Amen
Amina
Jamani mchungaji unafundisha hadi najihurumia nafsi yangu Mm niko huku Bahrain Lakini vyakula venye tunakula kweli ni hatari hadi tunapewa damu ya mnyama flani apo ati tueke kwa mboga,, mara Sijui mafuta ya swara ati tutie kwa chakula yaani ni mungu tu ndio anatulinda huku Bahrain
Asante ubarukiwe nchungaju
Amina pastor hicho kitabu tarime nitakipata wapi
wow
Mungu akubariki sana pastor
Amina
Mafuta ya mizeituni yañafaa kupikia
Ndio ila usikaangie
Asanti pastor live long in Christ🙏🙏
🙏🏻🙏🏻
Mchungaji ubarikiwe kwamahubiri mazuri nimebarikiwa
Pastor kiukweli umeniongoa Sisi tulioko nchi za ugaibuni kiukweli hakuna kuku wakienyeji ila atukuzwe Mungiu kwakupitia masomo haya sitakula kuku tena badala yake nitakula vegetable mpaka nitakapo rejea Tanzania Bwana akubariki sana 🙏
2024 nani anasikiliza tena kama mimi😅😅
Ningeomba unielezee kidogo kuusiana na hao anunaki
Jfrado rmonwy Number yako?
@@MahubiriPrMmbaga 0786404259
Pastor Nina swali mbona unasema mungu alieda kuona mnara unavyojegwa na mungu sema yote TU yatedayo anakunga anatuna alafu ni munyua from Kenya??
Naje mbona kunahiki kitabu cha enoko kilicho patikana hivi karibuni kinaelezea vitu vingine kabisa hichi nacho kinakuwaje?
Ukiangalia kimechapishwa upya, maana kuna kama maandiko mengi ya uongo ,kwa mfano MWANZO 6:1... kuna uongo umeingizwa mle.
Je mafuta ya pamba nayo hayafai au yako sawa??.
Kumbe soda kashetan kastarab harafu tunakanunua du
Jmn na swali ? Iv mchungaji unawajua anunaki
Jfrado rmonwy Ndio
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Amen