BAADHI YA SABABU KWANINI WACHAWI WAKUSHAMBULIE!!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 365

  • @ReachelNjuguna-zv1zk
    @ReachelNjuguna-zv1zk Год назад +6

    Hey pastor,I have been following your teachings from Kenya ....a few hours ago Kuna mtu ameanua nguo zangu za ndani mahali mamangu alihamia juzi.....naamini mungu na najua ya kwamba nguvu zote za Giza ambazo zinaenda kuniharibu kuitumia nguo zangu za ndani zimeshindwa katika jina la yesu kristo🙏

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 3 года назад +4

    Hili somo limeokoa Familia yangu sana, tangu mwaka Jana nmekua nikiomba juu wazazi wangu wapokee Yesu naona Mungu akitenda maana nmekuwa nikisikia eti mzee wa kuzaa baba Kuna kitu alifanya akarogwa ndio maana mambo hayaendi. Lakini mwaka huu nimeona mkono wa Bwana baba amekubali kwenda kanisani naamini Mungu atamsaidia asirudi nyuma. Pia naamini kaka zangu Yesu atawagusa wajitolee kwa Yesu, shetani hana nafasi ya kujitukuza ktk familia yangu. Asante Sana.

  • @solomonmakori7798
    @solomonmakori7798 3 года назад +5

    Pr mbaga I love ur teaching from Nairobi Kenya really blessed as u continue praying for us

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 4 года назад +3

    Tukubali kumpa Yesu maisha yetu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yetu hakuna mchawi wala pepo litakalo tusogelea kabisa. Lakini tukiwa vuguvugu kwa Yesu kidogo duniani kidogo shetani atatuchezea kama uwanja wa mpira. Tukubali kubadilika.
    Pastor Mbaga barikiwa kwa somo zuri lenye maarifa

  • @heldaoigo7659
    @heldaoigo7659 Год назад +1

    Powerful sermons
    May the Almighty God continue blessing you for us

  • @selinasulle2606
    @selinasulle2606 4 года назад +2

    Pastor naomba ubarikiwe sana na Mungu kwani nimepata nguvu ya kuendelea mbele kwa mafundisho yako Mungu akutunze kumhubiri siku zote za maisha yako amen

  • @annegoldsmith8195
    @annegoldsmith8195 2 года назад +12

    Sijasikia muhubiri ambaye anafundisha kama huyu mchungaji David Mmbaga hizi siku za mwisho. I wish we have a few like you . Unafundisha ukweli wa bibilia. Mungu akubariki na akuongeze neema yake kuendeleza ijili.

  • @pendomtemi9439
    @pendomtemi9439 4 года назад +7

    Atukuzwe Mungu ufumbuzi wa changamoto yangu umepatikana kupitia somo hili.Barikiwa Mchungaji.

  • @equilinendikubwayo5645
    @equilinendikubwayo5645 3 года назад +1

    Amen Amen barikiwe mtumishi wa mungu na barikiwe Sana pasteur David

  • @samogoti
    @samogoti Год назад

    Wonderful & encouraging sermons.. Pr Mmbaga God bless you

  • @elishangomele9937
    @elishangomele9937 4 года назад +3

    😍😍 pastor mungu azidi kukufungulia njia mda ote

  • @adeladaudi8780
    @adeladaudi8780 4 года назад +24

    Walinichanja sana kabla sjampokea Bwana Yesu, alafu ndio wa kwanza kukutukana ooh mshirikina wewe, kila kukicha chale mbichi, Mungu anawaona! Barikiwa sana mchungaji, sasa hivi Niko ndani ya Yesu wameshakipata cha moto!

  • @givengaby6067
    @givengaby6067 4 года назад +3

    Mungu anajua walio wake, Mungu in mwema, jina la Yesu Na damu ya Yesu nizaidi ya mamlaka zote hapa duniani, madhabahu ndiyo Shida Kubwa watu hatuna elimu Kubwa kuhusu maagano ya mabibi Na mababu zetu, YESU TUSAIDIE AMEN

  • @anthonysnsabi
    @anthonysnsabi Год назад

    Nakushukuru sana Pastor kwa mafundisho Mungu akubark zaid na zaid.
    Yote uliyoyafundisha hapa yamekua yakinikuta tangu nimeamua kuokoka, ushindi naupata kwa jina la Yesu. Nashukuru neema ya Mungu kunishukia mpaka kuokoka kwani leo naishi ktk amani ya Kristo iliyonipa nguvu mpya ya kiungu ktk maisha yangu

  • @MizabuAmani
    @MizabuAmani 6 дней назад

    shukrani ssna pr una juwa muyu aki shiriki sana nyumba za wafumu na laana zina kujaga nyuma piya kuuza moyo kwa shetani ili mutu apate hela kuna wakati una fikaka mutu ana kisa hata nafasi yaku tumiya mali aliyo pata kwa shetani upande wa pili. Dr congo

  • @OscarWilson-c9d
    @OscarWilson-c9d Год назад +1

    Amen nimebarikiwa na neno la mungu

  • @belindakennedy2343
    @belindakennedy2343 Год назад

    Asante sana Pastor umenipa ujasiri wa ajabu katika maisha yangu..Hakika Shetan ameshindwa kwa Jina la Yesu

  • @devothamichael9396
    @devothamichael9396 2 года назад +1

    Neema ya Mungu iwe pamoja nasi, Mungu akupe maisha marefu, mafundisho yako yazidi kuwa baraka kwetu maana kila nisikiapo mafundisho na najifunza mambo mengi na nazidi kuona upendo wa Mungu maishani mwangu

  • @ramadhanurasa6198
    @ramadhanurasa6198 4 года назад +1

    Mungu akubariki pastor kwa sms nzuri, naamini watu wengi haswa vijana watona umuhimu wa k7zikabidhi nafsi zao kwa Bwana Yesu Kriato. Be blessed pastor

  • @juliusmantago4511
    @juliusmantago4511 4 года назад +1

    Mtumishi wa Bwana Mungu akujalie maisha marefu

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 4 года назад +7

    POWERFUL MAN OF GOD YOU HAVE INSPIRED ME ALOT IN YOUR SERMONS.

  • @preciousprecious7040
    @preciousprecious7040 2 года назад

    Amina pr!
    Mungu akubariki sana!
    Akupe afya na nguvu uzidi kutusogeza karibu na kristo🙏

  • @bensonmusau6036
    @bensonmusau6036 2 года назад

    Your sermons have been a blessing to many, I included. Asante sana

  • @etoabwe3451
    @etoabwe3451 9 месяцев назад

    Ubarikiwe sana mchungaji kwa mafundisho imenijenga sana na kuniongezea Imani

  • @nansyas264
    @nansyas264 4 года назад +3

    Waaa pst God bless you soo much umeguzia mambo mengi ambayo Leo hii tu naishi katika Hali hiyo tu kubali mungu ndio muweza kila kitu

  • @beatriceeww6mashongole212
    @beatriceeww6mashongole212 2 года назад +1

    Ahsante na barikiwa sana mtumishi.

  • @GiftSisso
    @GiftSisso 5 месяцев назад

    Bwana akubariki kwa mahubiri yanayotugysa karne hii. Mungu atusaidie saana.

  • @anordamtv8984
    @anordamtv8984 3 года назад +3

    God bless you pastor for your great job

  • @everlynenyonga2130
    @everlynenyonga2130 3 года назад +4

    Everytime I listen to your sermons I get l uplifted,be blessed Pastor.

  • @JosephineMochumbe
    @JosephineMochumbe Год назад

    ❤ pastor mbaga umnigusa sana na maubili yako MUNGU akuongese nguvu kwa kasi yako Josephine kenya kisii.

  • @faithmoraa4542
    @faithmoraa4542 Год назад

    Thank you pr.
    Nimebarikiwa,Mimi n faith kutoka kenya

  • @peninamirimbo4160
    @peninamirimbo4160 3 года назад

    Barikiwa Sana mchungaji

  • @johnrose5460
    @johnrose5460 3 года назад +1

    Asante pasta kwa mafundisho mazuri

  • @MufwasiAndre-px8jm
    @MufwasiAndre-px8jm 5 месяцев назад

    Mungu akutiye nguvu sana pastor

  • @stigmanonsare3672
    @stigmanonsare3672 4 года назад +2

    I'm Stigman Onsare from Kenya be blessed pastor kwa Mahubiri.

  • @priscakisyeli7250
    @priscakisyeli7250 3 года назад +1

    Amina sana pastor 🙏. Mungu akubariki

  • @KasianMgimba
    @KasianMgimba 29 дней назад

    U
    B
    A
    U
    B
    Ubarikiwe sana mchungaji kwa somo zuri

  • @tabithayohana8573
    @tabithayohana8573 4 года назад +4

    Amina dah nimejifunza kitu hapa,nadhani wengi wamejifunza

  • @equilinendikubwayo5645
    @equilinendikubwayo5645 3 года назад

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu pasteur David

  • @beatricemageka7972
    @beatricemageka7972 4 года назад +7

    Tuondoe woga tumpe Mungu nafasi nafsini mwetu milele ,Amina

  • @josephojukwu2139
    @josephojukwu2139 10 месяцев назад

    You are wonderful pastor

  • @PaulineWanjiku-re2hy
    @PaulineWanjiku-re2hy Год назад +1

    Nimekua nikionyeshwa makubwa na mungu lakini sijapata nafasi ya kieshima ya kutoa huu ushuunda mkuu na vision mungu akubariki kwa kuhubiri ukweli ulioko

  • @hamisilumona7163
    @hamisilumona7163 4 года назад +1

    Napenda sana maubiri yako pastor. Mungu akubariki na anibariki na mimi pia kwa neema yake.

  • @MuhindoMoise-i6m
    @MuhindoMoise-i6m Год назад

    Pasteur Mungu zaidi kukubariki

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 3 года назад +1

    Nakuelewa sana Usemacho maana nimekutana nayo; ni raha kuwa wa YESU!

  • @jailomhengilolo2898
    @jailomhengilolo2898 4 года назад +2

    Amina barikiwa Mtumishi wa mfalme kwa ujumbe huu wa matumaini Ahsante.

  • @MaunduKilonzo
    @MaunduKilonzo Год назад

    Mchungaji David mungu akumbariki sana kwa mafundisho ya bibilia Ni Petro kutoka kenya

  • @hbdina
    @hbdina 3 года назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Asante sana Baba Mungu Jehovah kwa jina la Yesu Kristu Amen 🔥🔥🔥🙏

  • @samledbunt2774
    @samledbunt2774 4 года назад

    Amina sana PR davd nabarikiwaga sana kwa mafundsho yako Sir God akuzidishie

  • @robertbenswell504
    @robertbenswell504 3 года назад +1

    Iam blessed pastor 🙏 May almighty God 🙏 bless you abundantly, from Nairobi Kenya

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 4 года назад +7

    Ameen ushindi ni hakika tukiwa ndani ya yesu

  • @rehemakulwijira9662
    @rehemakulwijira9662 2 года назад +1

    Nimebarikiwa SANA na hili somo sababu napitia changamoto hizi kwenye maisha yangu had leo

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 3 года назад

    Mungu akubariki kw kuwa mbaraka kwetu paster

  • @witnessmalangalila91
    @witnessmalangalila91 4 года назад +1

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu unanibariki Sana na Mafundisho yako🙏

  • @joykapaya1970
    @joykapaya1970 3 года назад

    Oh powerful.
    Remain blessed pastor.

  • @josephngara8909
    @josephngara8909 3 года назад

    Good job pastor, Mungu akubariki, uendelee kuuvunja ufalme wa adui

    • @mrembonaomi9077
      @mrembonaomi9077 2 года назад

      Barikiwa sana mutumishi wa mungu kwa mafundisho yako ninabarikiwa sana Amen kutoka kenya

  • @juliusphinias3156
    @juliusphinias3156 2 года назад +1

    Mungu akuongezee maarifa ya kuuchambua ukweli.

  • @FarajaSaimon
    @FarajaSaimon 10 месяцев назад

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @gilbertmgabriel9158
    @gilbertmgabriel9158 4 года назад +2

    Thank you Pastor, God Bless you

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 4 года назад +4

    Am always blessed listening to your sermon pastor Mbanga , from Qatar.

  • @helenmagoti5031
    @helenmagoti5031 4 года назад +11

    Ukiwa ndani ya Yesu Ni raha;

  • @EliaSimoni-ye6lv
    @EliaSimoni-ye6lv Год назад

    God is power barikiwa sana mchungaji

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 Год назад

    Glory be to God for we learn everyday, God bless you Pastor.

  • @RovniHollota-jw6ir
    @RovniHollota-jw6ir 8 месяцев назад

    Mungu awabariki!!!!! Ni wakati wa kupiga panda ulimwengu utambue kuwa yesu ANAKUJA hivi punde

  • @RachaelWaringa-cd3mg
    @RachaelWaringa-cd3mg Год назад +1

    You a great inspiration to us but I have a neighbor mwenye asubuliwa na hizo nguvu sana wameangaika wameenda hospital uogonjwa hapatikani tafadhali tusaidie from kenya

  • @felicianamutakyahwa1549
    @felicianamutakyahwa1549 4 года назад +2

    Asante kwa mafundisho mazuri, umenitia nguvu na shetani hanibabaishi tena nitamkanyaga vibaya.

  • @stanleykamau3235
    @stanleykamau3235 4 года назад +1

    Praise God pastor am in Kenya and am blessed by your teachings

  • @danielnzyoka5938
    @danielnzyoka5938 3 года назад

    Really blessed! God bless you pastor Mmbaga.

  • @jeremiahoumaonditi8285
    @jeremiahoumaonditi8285 4 года назад +2

    Thanks for the somo barikiweni servants of God

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 3 года назад +4

    This is amazing grace from God for His people

  • @selinasulle2606
    @selinasulle2606 4 года назад +3

    Mungu tuongezee imani na utpe amani yako na ikae ndani yetu amen

  • @NellySakwa
    @NellySakwa Год назад

    Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri 🙏🙏

  • @SimisiKambale
    @SimisiKambale Год назад

    Mungu akubariki sana mchungaji,nitapita vitabu namna gani mimi niko hapa congo kwenye mpaka ya uganda na congo.

  • @ayubugamba3470
    @ayubugamba3470 3 года назад +1

    Barikiwa sana mchungaji Mungu akubariki sanaa

  • @paschalmashili5195
    @paschalmashili5195 4 года назад +2

    Niombee pr mm Paschal Paul Mashili nilikuwa mkristo mpenda mungu leo hii nimetokomea mch

  • @nansyas264
    @nansyas264 4 года назад +1

    Nimebarikiwa nikiwa Saudia Arabia waaah pst sichoki na maubiri yako Ubarikiwe sana

  • @wishitwinzi8067
    @wishitwinzi8067 3 года назад

    Nmefurahia sana mafundisho yako haya, Mungu akubariki sana na uniombee mimi na mke wa rafiki yangu, we omba tu ujuavyo kwa kulingana na fundisho hili

  • @jacklinebubelwa5127
    @jacklinebubelwa5127 2 года назад

    Mungu akubariki Mtumishi unatuinua wengi🙏🙏🙏

  • @faithmakena2381
    @faithmakena2381 4 года назад +4

    I love your Word of God.Thank you Pastor. From Kenya.

    • @everkivuyo8596
      @everkivuyo8596 Год назад

      Baba mbaga jmn Mungu akubarikie n akupe maisha marefu sifa n utukufu n kwako Yesu mwana wa Mungu

  • @nyotamayemba5887
    @nyotamayemba5887 4 года назад

    Mungu atusaidie...ubarikiwe pastor😍

  • @elizabethtondo5178
    @elizabethtondo5178 4 года назад +6

    Pastor nashindwa ni comment nini Ila Mwenyezi Mungu akulinde aendelee kukutumia kuokoa roho zinazopotea.Ili somo likatubadilishe tumtegemee Mungu katika maisha yetu

  • @paulwambua4956
    @paulwambua4956 4 года назад +2

    Am blessed pr.
    Ningependa unisaidie kwa maombi ya kibisafsi.
    Paul from meru Kenya

    • @simonkuyyi3983
      @simonkuyyi3983 4 года назад

      Mungu akubariki mtumishi wa Mungu,akazidi kukufunulia upate kuwaangazia mataifa.

  • @nicholasmomanyi959
    @nicholasmomanyi959 4 года назад

    Amen nalifuatilia xn kila mahuburi yako n nabarikiwa mno moyo watulia mungu akujalie n nguvu uendelee kuhubiri neno lake n kutuelimisha

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 3 года назад

    Mungu akubariki sana pastor 🙏

  • @uangazetv
    @uangazetv 2 года назад

    Mungu aibariki familia yako pr pamoja na team yote ya mahubiri Tv na somo hili Bwana azidi kulipenyeza zaidi kwa wokovu wa wengi wapate kufunguliwa

  • @mathsnewdiscoveries
    @mathsnewdiscoveries 2 года назад

    Let Jesus our Lord truly bless you my pastor.

  • @mlishohadija6923
    @mlishohadija6923 11 месяцев назад

    Nashukuru mungu hili somo maana limenifunza kitu juu madamu wangu alinichukulia nguo yangu ya ndani sijui nini alienda kuifanyia but ninaamini mungu anaendelea kushuhulika naye maana namuamini mungu wangu nimkuu kuliko yule anaye muabudu yeye🙏

  • @rovinapastori7746
    @rovinapastori7746 4 года назад +1

    Somo zuri,nimebarikiwa mno
    Mungu azidi kukutumia kwa kazi yake

  • @joseckmayore3206
    @joseckmayore3206 3 года назад

    Mafundisho mema.Ahsante Mchungaji.

  • @elizabethkihiyo9985
    @elizabethkihiyo9985 4 года назад +1

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu

  • @EliezaDaniel
    @EliezaDaniel 10 месяцев назад

    Ubarikiwe mtumishi

  • @mathsnewdiscoveries
    @mathsnewdiscoveries 2 года назад

    Mungu wako unaemwabudu wa kweli na anisaidie sikumoja nionane nawewe Mchungaji wa kweli wa Mungu aliye hai, Yesu naomba unikutanishe na Mtumishi wako maana kupitia huyo unanibariki Mungu wangu.

  • @gloriadunstan7190
    @gloriadunstan7190 4 года назад

    Leo nimefurahi sana sana pastor , Barikiwa mno,,, kumbe Nina nguvu za ajabu sana ndani yangu,,

  • @imanisahani2301
    @imanisahani2301 4 года назад +1

    Mungu akubaliki mtu wa mungu

  • @rachelmlingwa8880
    @rachelmlingwa8880 4 года назад +1

    Barikiwa mtumishi

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 года назад +2

    Amen Mungu amekutuma ukweli barikiwa sana

  • @MarthaJonathan-e5h
    @MarthaJonathan-e5h 11 месяцев назад

    Amina mchungaji bwana akubariki sana

  • @jemairisparick7541
    @jemairisparick7541 4 года назад

    God bless you pastor napenda mahubiri yako

  • @mossesjoseph2202
    @mossesjoseph2202 4 года назад +3

    Kwa YESU kuna raha, hakuna masharti ya ajabu ajabu,Siku zote utaishi ukiwa huru, mwenye amani na furaha, jina la BWANA libarikiwe.

  • @ireneorina3560
    @ireneorina3560 4 года назад

    Pastor nashukuru Sana, umenipa encouragement