Ubarikiwe Mr. Pastor David Mmbaga, Sherti Temperance itembee sambamba na ujumbe wa malaika wa tatu . Eee ndugu katika KRISTO wa kanisa la masalio kazeni mwendo wakati ndio huu.
Nimekuelewa mtumishi, wanataka kututolea asili ya kimungu watuletee asili ya (kishetani) ili watubadili Hapa ulaya wana mpango wa kubadili badala ya nyama fresh watatengeneza maabalaa ya kutengeneza nyama
Ni kweli kabisa kwani magonjwa mengi yanasababishwa na ulaji usio na mpangilio sahihi,pia ulaji wa visivyoruhusiwa na mwenyezi Mungu.Barikiwa sana pasta.
Vinaaribu kiasi kikubwa kuliko unavyo zani, chunga sana wewe chungwa CHANNEL utaumia zama zimepita na África ndio hiyo mipango ndio mingi sana, ili uamini hili swala angaria RUclips Au Google kuhusu mpango wa kazi ya uzazi wa mpango vidonge wanavyo leta huko África, sio wanavyo tumia wao huku america au ulaya sio hizo za África hizo za África ni hatari sana, iluminati ni hatari sana, wanaadamu wazuri wameisha duniani walio baki wale mijamaa ya huyu mpinga Cristo
Kwa mara ya kwanza sijakubaliana nawe mchungaji. Neno lilisema mfanikiwe kwa mambo yote, na uwe na afya njema vile roho yako inavyofanikiwa. Kwa hivo ni roho ifanikiwe lakini afya pia ishughulikiwe kama faida ya ziada. Hatuwezi kusema mwili ndio unaelekeza roho,hivo havishikani moja kwa moja.
Mchungaji, badala ya kumuua tembo, wewe unamgusagusa tu mkia wake. Waeleze watu kuhusu vyakula vya kichawi, kulishwa ndotoni n.k. Hivi ndivyo vinavyoua watu Africa, ambako hmna GMO. Mimi ninakula GMO zaidi ya miaka 30, bado naonekana kijana siku nimerudi nyumbani nikala vyakula fulani. Mbona nililazwa hospitali na maombi makali juu yake. Vyakula vya kichawi. Au muulize Gwajima atakupa siri.
Ooh hallelujah mtumishi wa mungu nimejifuza mengi kutoka kwako,mungu akubariki sana tujifunze mengi zaidi
Ubarikiwe Mr. Pastor David Mmbaga, Sherti Temperance itembee sambamba na ujumbe wa malaika wa tatu . Eee ndugu katika KRISTO wa kanisa la masalio kazeni mwendo wakati ndio huu.
Mungu akubariki sana pastor
Ubarikiwe sana Mtumishi yani somo lako limenibariki sana.
Ubarikiwe ndg. Mchg. Mbaga ila shetana ametuharibu sana katika maswala ya ulaji na unywaji. Maana ni shida. Mungu atuongowe na hili janga
⁴5
t
4
4
Barikiwa pastor, nimejifunza na nimeelewa!
na barikiwa sana pr kwa mahubiri MUNGU na aendelee kukutia nguvu ktk kutangaza neno lake
Amen asante kwa somo ili umenifumbua macho asante Yesu
Mungu akubariki mchungaji ntajaribu kuacha kuku hawa wenye wanadungwa shindano na sukari.
Nabarikiwa sana na mafunzo mazuri pastor nakukubali sana asande
Barikiwa sanaa na huyu pastor david hadi nimesubcribe🙏💝
Amina pastor kwa mafundisho bora
Amen. Tuko pamoja Pastor. Barikiwa sana.
ubarikiwe sana mchungaji Kwa mafundisho haya
Amina pastor hakika nabarikiwa sana kila inapo itwa Leo
Tunashkr sana pastor
Ubarikiwe mnoooo Mchungaji mwenye masikio amesikia
Niko pamoja nanyi hapa Belgium.
Barikiwa sana past
Ubarikiwe postor
Be blessed so much Pr
Mungu akubariki
Amina somo limenofungua mengi
Amen, somo zuri sana
Barikiwa pastor hata wakiitoa hii video ujumbe umefika.
Safi
amina pastor
Mchungaji david mmbaga
Nakusalim tkt bwana wetu kristo
Naitaji maombi kutoka kwako
Naomba namba zako
0784388721 mm naitwa genesis
Amina!!
Sehemu ya pili tunaisubiri kwa hamu sana
Hakika turudi kwenye utaratibu wa Mungu
Napokea
Pt niseme UBALIKIWE SANA
Amen
NASUBIR SEHEM YA PIL MCHUNGAJI
Naam nimekuelewa pr.
Muhubiri TV je lishe nyama utaiwekalini?
Naomba hiyo list ya chakula kinachopinga uvimbe. Nimefanyiwa operation mara 3 sasa fybrody
Pa1
Nimekuelewa mtumishi, wanataka kututolea asili ya kimungu watuletee asili ya (kishetani) ili watubadili
Hapa ulaya wana mpango wa kubadili badala ya nyama fresh watatengeneza maabalaa ya kutengeneza nyama
Amina
I'd like to know about that mafuta ya rizeti. What's that. In English. Your Swahili is too good for me 😅
Hahaha SUNFLOWER OIL
@@MahubiriPrMmbaga 😅😅😅 thank you so much. I should up my Swahili. Mimi Ni jirani hapa kenya
Nice to know you. Karibu Tanzania
Pastor Barikiwa sana, mimi ni Enock kutoka Rwanda nakuombea kwa mwenyezi Mungu akutie nguvu
😂😂
Nimechoka tunafanyaje Kila kitu kimebadilishwa tunapataje vya kiasili
Umegonga ikulu ya shetani
Tungepata watu kama hawa Kumi tu Tanzania nazani tungejua mbali Ila kwa nchi zetu za. Africa tegemezi hawafai nimatui wa wazungu
Miaka 3 bado hamjaitoa,Si biashara tu mnafanya,?
kwann munatoa xx pastor????
ubalikiwe pasta mbaga
Barikiwa sanaaa
Ni kweli kabisa kwani magonjwa mengi yanasababishwa na ulaji usio na mpangilio sahihi,pia ulaji wa visivyoruhusiwa na mwenyezi Mungu.Barikiwa sana pasta.
Paster MUNGU AKUBARIKI SANA JE KUHUSU UZAZI WA MPANGO YAANI VIJITI/VIDONGE VYA MAJIRA VINAATHIRI MWILI KIASI GANI?
Vinaaribu kiasi kikubwa kuliko unavyo zani, chunga sana wewe chungwa CHANNEL utaumia zama zimepita na África ndio hiyo mipango ndio mingi sana, ili uamini hili swala angaria RUclips Au Google kuhusu mpango wa kazi ya uzazi wa mpango vidonge wanavyo leta huko África, sio wanavyo tumia wao huku america au ulaya sio hizo za África hizo za África ni hatari sana, iluminati ni hatari sana, wanaadamu wazuri wameisha duniani walio baki wale mijamaa ya huyu mpinga Cristo
Aleruyaàaa
tGyy4
Kwa mara ya kwanza sijakubaliana nawe mchungaji. Neno lilisema mfanikiwe kwa mambo yote, na uwe na afya njema vile roho yako inavyofanikiwa. Kwa hivo ni roho ifanikiwe lakini afya pia ishughulikiwe kama faida ya ziada. Hatuwezi kusema mwili ndio unaelekeza roho,hivo havishikani moja kwa moja.
Wewe ndio wale wale, mijamaa ya 666
@@lolojunior5808 unajielewa?
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
555
Mchungaji, badala ya kumuua tembo, wewe unamgusagusa tu mkia wake. Waeleze watu kuhusu vyakula vya kichawi, kulishwa ndotoni n.k. Hivi ndivyo vinavyoua watu Africa, ambako hmna GMO.
Mimi ninakula GMO zaidi ya miaka 30, bado naonekana kijana siku nimerudi nyumbani nikala vyakula fulani. Mbona nililazwa hospitali na maombi makali juu yake. Vyakula vya kichawi. Au muulize Gwajima atakupa siri.
Mchungani naomba namba zako
0784388721 mm naitwa genesis
q
Mungu akubariki