amen amen ubarikiwa good message, powerful, strengthening spirit messages and wonderful. God give you more wisdom and knowledge to make me feel that I have Jesus in my life. I pray for you for helping me in my spirit here in Saudi Arabia God bless.
Asante sana kwachakula unacho tupa ivi Niko nakufata kabisa ila kuna swali nimelisikia Sana ukihuliza wakati unapo hubiri unaulivi naongea Na watu, au binadamu Sasa hapo nikama unanichanganya Kweli tafadhali naitaji kujuwa maana ya mtu Na binadamu Na kwa Nini unatumia iyo luga?
Mchungaji kama kuna watu nyumbani wanaendelea kula hiyo ni sadaka ua mpaka ukatafute walio kataa kufanya kazi wamekaa njiani kwamba wanashida wengine waongo
@@MahubiriPrMmbaga Yes Pastor by the blood of Jesus I mean....and i want to ask kufunga mpaka sa 6 mchana au mpaka sa 12 au kavu siku 2 au 3 or vovote vile maombi yanajibiwa tu au anefunga kavu Yeye ndo anauhakika wa kujibiwa fasta...na je kwa wiki mkristo mtumishi tu wa kawaida anatakiwa afunge mara ngapi??
Mtumishi Mimi nilikuwa ninaomba na majibu nilikuwa. Napata lakini sasa naona nimeshuka kabisa nikiingia kwenye. Maombi nakamatwa. Na. Usingizi wa ajabu na matokeo yake nimejikuta Niko kwenye vita kubwa yakukataliwa kwenye ndoa najaribu kupambana lakini najionakabisa nimenaswa nahitaji maombi yako hata uko mbali mung u atafanya jambo kwangu naninahitaji kurudi kusimama tena mung u nisaidie
@@jacklineathoo9667 anae staili kupigiwa ni MUNGU tu... binadam mwenzako Muombe msamaha tu inatosha Kama atakuelewa muache Kama alivyo lakin sio kumpigia MAGOTI ili akusamehe
Amen 🙏 na swali pasta kama unakitu Cha kuwapa hao walio nacho maombi yako yatajibiwa?
Amina,,Asante bwana kwa neno lako,jina lako litukuzwe,barikiwa mchungaji na wana mahubiri tv wote
Amen mtumishi wa Mungu, asante kwa mafundisho mazuri Mungu wa Mbinguni azidi kukuinua utufundishe neno la Mungu
Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA umenipandisha viwango vingine vyakiroo kwamafundisho Yako MUNGU azidi kuku inuwa kabisa
Amen nimwjengeka barikiwa pr
Asante pastor Mmbaga Mungu akubariki na anisaidie mimi pia ni helewe Biblia zaidi
Mchungaji Mungu azidi kutumia katika maisha Yako yote ,Kwa mafundisho Yako nazidi kubarikiwa Sanaa ,zaidi tudumu katika kuomba na kufunga
Halleluiya pastor, Mungu akuinue zaidi. Nafuatilia from FGCK Nandi Hills Kenya.
Nimejengeka sanaaaaa sanaaaaa nashukuru mungu.
Asante kwa mafundisho mazuri pastor,,,,, nimepata neno kwenye budget ibaki vile vile wapewe wahitaji ubarikiwe Sana
Ubarikiwe mchungaji kwa masomo mazuri
Ni kweli Roho mtakatifu hukemea mchungaji
Ubarikiwe Kwa somo hili pastor
Amen .Ubarikiwe Pastor Mbaga
Ee baba mungu nisaidie na mimi ihi garama nipatie nguvu na imani kabisa 🤔
amen amen ubarikiwa good message, powerful, strengthening spirit messages and wonderful. God give you more wisdom and knowledge to make me feel that I have Jesus in my life. I pray for you for helping me in my spirit here in Saudi Arabia God bless.
Ubarikiwe mtu wa Mungu
@@hellenbarnaba9069 Amen ubalikiwe sana nimepata mwanga
Ameen
Amen Amen
Amina sana. Pastor nipo dodoma leo nahitaji kufika kanisani kwako lkn sijui direction
Umenfudisha Makuu pastor God bless you
Amina Pastor, ubarikiwe sana
Powerful be blessed mtumishi
Pastor Mmbaga unanibariki sana nakufatilia sana kupitia youtube MUNGU'azidi kukutumia ili uendelee kutubariki🙏🏻🙏🏻
mungu atupe nguvu ya kufunga na kuomba
Nakupata San kutoka songea mjn
Ubarikiwe sana mtumishi.
Asante sana kwachakula unacho tupa ivi Niko nakufata kabisa ila kuna swali nimelisikia Sana ukihuliza wakati unapo hubiri unaulivi naongea Na watu, au binadamu Sasa hapo nikama unanichanganya Kweli tafadhali naitaji kujuwa maana ya mtu Na binadamu Na kwa Nini unatumia iyo luga?
Asante mwalimu wangu umekuwa ukinifundisha na kunikumbusha na sijawahi jutia MB zangu.
Sifa na utukufu kwa yeye aliye juu, amina.
Kwakweli mungu akubariki mtumishi
Pastor nimebarikiwa sana, na hili somo, hasa katika kipengere hiko cha utoachi pepo na kuombea mambo yasiyowezekana.
Amen
Thanks
Ivi mtu ikifanya kazi na anafunga ni sawa
Yea haina shida
Mungu atupea macho ya roho tuwe na imani
Ameen nimebarikiwa sana hasa swala lakufunga na kuomba
Hako kapepo kaa kusoma haya kadhaa mbele ya Mhubiri kananisumbua sana. Kakemee kanitoke
Kashindweee
Ameeeeeen Mchungaji, Mungu wetu atupe nguvu na imani ya maombi na kufunga.
Mungu akubariki
Nakukubali mtumishi barikiwa
Mchungaji kama kuna watu nyumbani wanaendelea kula hiyo ni sadaka ua mpaka ukatafute walio kataa kufanya kazi wamekaa njiani kwamba wanashida wengine waongo
Ameen umenibariki Pastor
Asante sana mchungaji wa SoMo zuri
Ila mchungaji kwel usipokuwa safi kabisa usipojitakasa hutajiona kama unamamlaka ya kukemea pepo.Unapata ujasiri pale unapojiona upo safi........
Hakuna mtu anae weza kujitakasa,tuna kaswa kwa Damu ya Yesu tu!
@@MahubiriPrMmbaga Yes Pastor by the blood of Jesus I mean....and i want to ask kufunga mpaka sa 6 mchana au mpaka sa 12 au kavu siku 2 au 3 or vovote vile maombi yanajibiwa tu au anefunga kavu Yeye ndo anauhakika wa kujibiwa fasta...na je kwa wiki mkristo mtumishi tu wa kawaida anatakiwa afunge mara ngapi??
Nimebarikiwa sana.lakini kitabu"Siri ya maombi' nipataje? Vincent from Nairobi Kenya.
MUNGU akubarik
Ubarikiwee Mchungaji
AMEN, Mungu akubariki sana pastor
Amen pastor hili Somo limeniguzaa moyo
Nime furahia hili somo hakika Mungu ana nguvu
Maombi yanafaa kupiga magoti
GLORY TO GOD.
Sasa mtu kama mimi penye nko ni Moslims nikiwapa tawabu ni vizuri ama nitakula nakosa mbele ya Mungu
Wapendwa naomba namba ya mchungaji nimuone,nahitaji ushauri mimi na wanangu,tunapitia yanayoharibu akili zetu. Naomba namba tafadhari. Mbarikiwe sana
Bado unauhitaji nazo
Samahan pastor niulize hivi wanao mhoji mgonjwa wa mapepo kabla ya kumuombea ni vibaya?
Sawa baba2
Am soo much blessed
Amina mchungaj wetu
Amen and amen
Amin
Amen🙏🙏
Ntapataje hicho kitabu cha siri ya maombi yaliyojibiwa?niko kahama
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Mtumishi Mimi nilikuwa ninaomba na majibu nilikuwa. Napata lakini sasa naona nimeshuka kabisa nikiingia kwenye. Maombi nakamatwa. Na. Usingizi wa ajabu na matokeo yake nimejikuta Niko kwenye vita kubwa yakukataliwa kwenye ndoa najaribu kupambana lakini najionakabisa nimenaswa nahitaji maombi yako hata uko mbali mung u atafanya jambo kwangu naninahitaji kurudi kusimama tena mung u nisaidie
Nyenyekeya Kwa mume wako hata Kama kupiga magoti. Huwezi kuomba Mungu na huna heshima kwa mume wako.
Nimebarikiwa nakujifunza sana, Mungu akuinue kwenye huduma yako
@@jacklineathoo9667 anae staili kupigiwa ni MUNGU tu... binadam mwenzako Muombe msamaha tu inatosha Kama atakuelewa muache Kama alivyo lakin sio kumpigia MAGOTI ili akusamehe
Nipo unguja nawezaje kupata vitabu vyako Pasta?
mpigie huyu atakupa maelekezo wapi upate Vitabu +255 67 388 8226
Amen
🙏🏾🙏🏾
amen..
Asante.
Barikiwa sana mchungaji nakuelewa
Am so much blessed
Amen