Unanibariki mno mtumishi. Yaani ushuhuda wako uko sawa na mdogo wangu jamani, lkn madawa yalishamuathiri. Maana na yeye alikuwa kiongozi wa uhalifu na mpk south ameenda alikamatwa na wenzake akarudishwa TZ., Yupo tu kwasasa anasaidiwa kila kitu. Una haki ya kumtumikia Mungu wako kwa nguvu zako zote naelewa Sana unachoshuhudia ndio maisha ya mdogo wangu kabisa.
Asante kwa mahubir mazur ila hilo pambo la nyekundu na jeus !!Msipambe kama kwa mganga wa kienyej
Powerful message,it is a reality to many
Blessings Blessings Blessings
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu mafundisho yako hunifanya kuimarika zaid ki Imani Sana Mungu akupe miaka Mungu akupe mafunuo zaid
Jamani uyu mtumishi auchoki kumsikiliza mahubiri plus story..barikiwa mtumishi wa Mungu
Haswa huchoki. Si kawaida. Mungu yupo ndani yake.
Aminaa mtumishi wa mungu nabarikiwa na ushuda wako
Mungu akubariki kila iitwapo leo Mungu akutangulie .Mungu uyuuuuu! ASANTE YESU.
Yesu anaweza kubadilisha. Alimbadilisha Sauli akawa mtumishi.
Mtumishi wa Mungu uko vizuri ninabarikia kwa ajili ya ufunuo wa Mungu ndan yako,safi❤❤
Asante mungu azidi kukupa maufunuo ya ndani zaidi
Ubarikiwe mtumishi,bwana ailinde kazi yake ndani mwako
Hongera mtumishi kwamahubiri mazuri na mimi naitaji uniombee ili mungu atende nakwangu
Unanibariki mno mtumishi. Yaani ushuhuda wako uko sawa na mdogo wangu jamani, lkn madawa yalishamuathiri. Maana na yeye alikuwa kiongozi wa uhalifu na mpk south ameenda alikamatwa na wenzake akarudishwa TZ., Yupo tu kwasasa anasaidiwa kila kitu. Una haki ya kumtumikia Mungu wako kwa nguvu zako zote naelewa Sana unachoshuhudia ndio maisha ya mdogo wangu kabisa.
Mungu akutumiye zaidi ya kawaida👏👏👏umenibariki sana
Mtumishi ❤mungu awe nawe unaeleweka vizuri sana katika ushuhuda wako
God bless you pastor
Mafanikio ya mungu aina majundo nasikiza nikiwa Nairobi Kenya 🇰🇪
Alleluuuuya...barikiwa sana🇰🇪
Amina mtu wa mungu unatujenga kiamani
God bless you for the powerful word
Mtumishi mungu akubariki sana
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwaushuuda wako, unanijenga sana
You make it real and may can identify themselves 🙌🏿👃🏽
Barikiwa mtumishi neema ya MUNGU izidi kwako
Barikiwa sana🇰🇪
Already lam blessed pastor be blessed More 🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi shuhuda zako cnachekesha tena zina chenga kimahani from Kenya 🇰🇪
be bssd my brother , Alice from Kenya I like your preaching .
Aki mungu ni mkuu ni barikiwa sana ushuda
Great great ,,,paster
Amen haki nimekuwa kwa giza
May the almighty God use you in the mighty way
Mungu alikua mbali mtumishi... kupitia ushuhuda wako watu waka badilike
I receive in Jesus name
Ameen in Jesus name
Emeee balikiwa pastor
Mungu endelee kukutumia tu I'll tupone wengi
So powerful word, it's true
Asante pastar.
Ubarikiwe mchungaji
Ameen Glory to God
Napenda kukusikia saaana.joshua (kenya)
Hallelujah 🙌 naijulikane kua Mungu upo 🙏
That is very true man off God
Amen nnabarkiwa 🙏
Nakupata nikiw Nairobi kenya
Pastor andika kitabu pls
Aminaaaa
Amina barikiwa
Ubarikiwe
Nataka kwenda kanisan kwako
Amina
Mungu anamuongoza
Ameni hakuna kukata tamaa hapa lazima tushinde KWA jina la YESU
AMINA
Ubalikiwe mtumishi mahubili yako yananigusa
Ameen
Jamani mi nipo kinyerezi nielekezezini kanisa lipo wapi
Amen 🙏🙏🙏
Ubarikiwe asikiae na asikiae Roho wa Bwana anarekebisa yeye anamakusudi na mtu hapa apone
Ameen nimebarikiwa
Unahubiri vizuri
Amina baba
Mchungaji habar Mchungaji natala kuja kanisani kwako naomba unielekeze jinsi yakufika
Namba ya mt pls
Glory be to God
Ameen🇰🇪🇰🇪
anaweza kuwa labda bado tena anajifanya mchungaji ili aendelee kuzipiga nyingi
Duuh Watanzania Kweli kuokoka wanatoka Mbali mno wengine wanaigiza tu
Number jameni ya mchunjaji
🙌
Haleluya barikiwa mtumishi shuhuda zako zinakuza kiimani
Shalom.nimebarikiwa sana na mafundisho yako.mimi binafsi minsky's kiroho na ni koi yangu Mungu anatupenda sana.Walter.
Mungu akutie nguvu katika kipindi chote cha maisha yako amen
Yes barikiwa mtumishi ushuhuda zako zinakuza sana kiimani
Aleluya
Mdawakuomba munakata hamtaki kuomba nawatu wanao wasikiliza aowanao wafuata mutandaoni?
unaniliza machozi mtumishi sikati tamaa kuomba Mungu
Shetani anataka mtu akate tamaa
Na MUNGU WA MBINGU NA NCHI AFANYE NJIA PASIPO NJIA MAANA HATUNA MWINGINE ZAIDI YA MUNGU WETU ALIE JUU YA YOTE
.
Jamani uyu mtumishi auchoki kumsikiliza mahubiri plus story..barikiwa mtumishi wa Mungu
Napenda mahubiri yake
Amen
Amen