NASHUKURU KUONA KILA MTU AMEGUSWA NA HUU UJUMBE, BAS NAOMBA TUOMBE MUNGU TUMALIZE MWENDO SALAMA KAMA UNAOGOPA KUFA PRESHA BURE GONGA LIKE HAPA,, TUFIKE LAK 5 KISHA M1 NA KUENDELEA MPKA MUNGU ABEBE HESHIMA NA UTUKUFU,,
@@berniceonegbmusic2324 Kwanza ana sauti nzur alafu ni Handsome hatar ,ujumbe mzito sana naamini hii nyimbo itafika mbali saana sana,,yani VIEW M1 SASAIVI INAFIKA
Pressure is not my portion am waiting for the right time as adviced by brethren Annoint,,,,am soo blessed brethren,,gudozz,,,,,,wapi watu wa 254 na likes zenu
This has touched my heart 😭😭😭 goosebumps tuu😭😭😭I have been worried about relationship issue....but last night I asked God to give me directions...and today he has revealed to me wat to do😥😥😥Thank you Lord Jesus for this revelation 🙏🙏🙏much love from Kenya ❤️❤️
For real, utamchunguza mpaka lini, watu ni kuamiana, if two love birds truly love each other, then they'll be no other second love or choice. If you fall in love with two people, marry the 2nd one, because, if you truly loved the first, you couldn't fall in love with any other! Wimbo wako kaka wabariki roho yangu kila kujao. Barikiwa milele.
Ukamanda kwenye kituo ca majeshi kabsaaaaaaaass siyo kwa mkeo bila hivo utabaki peke yako baba.ukifika mbele ya mlango ukamanda achia pale pale kwaani unaingia kwenye ingine office , utaupitua ukienda kazine kesho usubuyi
Wenye NDOA tumekuelewa sana sana ahsante kwa ujumbe mzuri, kweli NDOA basi kwa sababu mtu unakuwa hujui tu yatakayo jiri baada ya kuolewa au kuoa. MUNGU tusaidie.
What a nice and encouraging song! Thank you so much my brother. Everything is perfect ❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. May God continue blessing your work. Perfect combination of everything. From instrument,vocal name it. From Nairobi-Kenya. Thank you. We love you from +254.🙏
Mbona nyimbo zako kama umeniimbia mimi,kwani niingia kwenye ndoa ya kulazimiswa nikiwa bado binti mdogo ila changamoto nilizo kutana nazo mungu ndie anajua
Hurry,hurry has no blessings.God's time is the best.Thanks brother for bringing it up clearly,,,be blessed as you proceed with your mission of spreading sweet and so encouraging words.Through your wonderful gospel songs Amen.
Daaaa kwa huu ujumbe umenikumbusha cku moja nilikwenda kwa mchungaji kwa shida yangu, kabla sijaingia nilisikia mke wake akisema najuta kuolewa na wewe ,,daaa nikarudi kinyume nyume maana nilikwenda pale kwa matatizo yangu ya ndoa Sasa kusikia hivyo nikaona Sasa atanisaidieje wakati yake tuu iko matatani Ujumbe mzuri Sana
Indeed you are not just a musician but a superhero in music s accompanied by plenty of blessings may God the supreme being lift you up to the other level
Kijana talent unayo. For this thumbs up. Ila upunguze urongo kaka. I hope ulisuluhisha Yale masuala ya urongo na Rose Muhando ukidai Wewe ni mtoto wake. Hata hivyo tia bidii ya uimbaji utafika mbali
Hunahakili wewe baba ako asingeowa ungezaliwa na panya au . Muulizee baba ako aliishije na mama ako uchukuwe hatuwa. Hata vtabu vmeandkwa mwanamke uishiena kwa hakili wewe.
NASHUKURU KUONA KILA MTU AMEGUSWA NA HUU UJUMBE,
BAS NAOMBA TUOMBE MUNGU TUMALIZE MWENDO SALAMA KAMA UNAOGOPA KUFA PRESHA BURE GONGA LIKE HAPA,,
TUFIKE LAK 5 KISHA M1 NA KUENDELEA MPKA MUNGU ABEBE HESHIMA NA UTUKUFU,,
Niko hapa Dubai tunaskiza na marafiki wanzangu.... my dia hongera sana
@@berniceonegbmusic2324 Kwanza ana sauti nzur alafu ni Handsome hatar ,ujumbe mzito sana naamini hii nyimbo itafika mbali saana sana,,yani VIEW M1 SASAIVI INAFIKA
Surely i love your songs and i ave them more i download them thanks alot am much blessed
Better wait long than marry wrong,ujumbe mzuri saana,afadhali kuomba na kusubiri wakati wa mungu🙏🙏
Very informative song God bless you brother I like your songs very much keep up
Tunaoangalia hii nyimbo sasa hivi gonga like tujuwane hapa
Kazi nzuri...wap likes za mwimbajj kama umekbaliana nae
Upo vzr kaka angu hongeraaa
254 kaa umekubali hii piga like hapa
Hatar
Ujana ni maji ya moto
Ujumbe mzuri ,hongera sana Annoint
Vumilia mud bado
Pressure is not my portion am waiting for the right time as adviced by brethren Annoint,,,,am soo blessed brethren,,gudozz,,,,,,wapi watu wa 254 na likes zenu
Shida ya ndoa haibagui tajiri au maskini.Ndugu Esau Mungu akubariki.lnjili mbele.Maombi ni dawa ya ndoa sugu.
Nina sababu yakupendezwa na nyimbo zakwako mungu akupe nehema kibali pia na ujaziri Ili utueleze ukweli kaka angu🇰🇪Liz from Kenya
Rewind
Tell them again my boyfriend, likes zangu from +254
Hi
This has touched my heart 😭😭😭 goosebumps tuu😭😭😭I have been worried about relationship issue....but last night I asked God to give me directions...and today he has revealed to me wat to do😥😥😥Thank you Lord Jesus for this revelation 🙏🙏🙏much love from Kenya ❤️❤️
Kweli kukimbilie ndoa ni shida,nlkua najipanga nioe hata sioi tena
😂😂😂😂😂😂 umenibamba,,
We owa bn sas tutaolewa na nan jaman
True inspiration kaka. Ndoa sio football. Wapi likes zake Amani
Ndoa ina chakamoto zake lakini kwanza Mungu mbele kwa yote. Nice song be blessed Esau
I love this. It's reality. Most of us youths fear talking of the reality of life. Especially born again Christian. I represent Kenya
Amen 🙌🙌🙌❤
Wow thank you so much my Son l.m so happy for this song because is a good message 🥰🥰🥰🥰🥰👍🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Gospel artist From Kenya, kazi poa
For real, utamchunguza mpaka lini, watu ni kuamiana, if two love birds truly love each other, then they'll be no other second love or choice. If you fall in love with two people, marry the 2nd one, because, if you truly loved the first, you couldn't fall in love with any other! Wimbo wako kaka wabariki roho yangu kila kujao. Barikiwa milele.
Ukamanda kwenye kituo ca majeshi kabsaaaaaaaass siyo kwa mkeo bila hivo utabaki peke yako baba.ukifika mbele ya mlango ukamanda achia pale pale kwaani unaingia kwenye ingine office , utaupitua ukienda kazine kesho usubuyi
Bro am in love with this song just watched it tonight when coming from mombasa kwa rosy shuttle...bro be blessed
😃 yes, marriage need preparation and prayers. Good wisdom!
Sisemi usioe lakini usifanye haraka sisemi usiolewe lkni usifanye haraka ,,,I got the point bro congrats ,,,luv from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jameni nani atanikutanisha na huyo mkubwa wangu
Is a very good songs I like it God blesse you. Amen
Amazing be blessed brother Esau,watching from Nairobi kenya.
❤❤❤🎉Jamani wimbo yako ni moto kila mara
Hi.nimeipenda ngoma yake .ila musikose kuowa na kuolewa. But acha 🍠 tamaambaya. 😍😍😍 mana ni sumu ya ndoa. Daaa😍💝😀💝
Wenye NDOA tumekuelewa sana sana ahsante kwa ujumbe mzuri, kweli NDOA basi kwa sababu mtu unakuwa hujui tu yatakayo jiri baada ya kuolewa au kuoa. MUNGU tusaidie.
Yes dear, no one never knows what is install for him or her
Mkesema ivo mnatisha mbona, unataka kusema wale wanaoliaga wakat bint anaaga sio kwamba atammic ni kwamba anamwazia atakoyokutana nayo huko???
@@tinahfelix4501 ndo ukweli ndoa syo send off na sherehe ya harus inahtaj moyo mgum na uvumiliv wa hali ya juu.
Lyk mother lyk son gud work
Amazing songs...from kenya
Mungu akusaidie ufanikiwe kweny kipaji chak uko vzr
Shukran Ndugu.
Naitwa Jean Aimable T. From inchi ya Rwanda, nazipenda sana nyombo zako, ubalikiwe na Bwana Elohim.
Best regards.
What a nice and encouraging song! Thank you so much my brother. Everything is perfect ❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. May God continue blessing your work. Perfect combination of everything. From instrument,vocal name it. From Nairobi-Kenya.
Thank you. We love you from +254.🙏
Praise God brethren
Naona ngoma ina kwendaaa twemde mpka lak 5 najua twafika sasaivi ili tuenze kuekea M1,
huu mwaka Mungu kumuinua na atainuka kweli
Nimekupenda bule kaka unajuwa sana kuimba umefunika yaani unaongea ukweli kabisa jamani 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️💓💓💓💓💓💓💓
Barikiwa sana...nyimbo yako inafunzo kubwa sana
GOOD msg alike the song,God bless you brother
bwana yesu asifiwe? mtumishi Amani. ubarikiwe sana nyimbo zako uwa zinanijenga sana na kutia moyo, ni bright city from kenya Trans_nzoia county
Nafurai n'a wimbo naYesu akubariki
Na umevaa vizuri leo
Usiwe navaa Sawa rasta.
Hope Muslim wanaskia hii wimbo
Ni moto kama ndoa
Thanks Amani be blessed dear great message 👍👍👍👍🥰🥰🥰🥰🥰
I am blessed with your song brother God bless you
Hii song nimeikubali 100% congratulations bro
Thanks aman kwa nyimbo zako nimezikubali
May God continue lifting you up and up
Annoint anaimba vizur sana
Good work bro keep it up your are going far
This boy is talented
Thank you so much our brother for your good advice really am the one that ur telling no rushing to marriage let me wait plz be blessed alot
Nyc song my dear singer.
Watching it from Australia .May God bless your work Amen
Mungu akubariki Annoint Amani
Aki mungu akubariki ...i do love❤your songs so much😊
Mbona nyimbo zako kama umeniimbia mimi,kwani niingia kwenye ndoa ya kulazimiswa nikiwa bado binti mdogo ila changamoto nilizo kutana nazo mungu ndie anajua
Wow....mob love from 🇰🇪 KENYA
Ukweli haya,ndoa rasmi ndio yatakikana ki Kristo,nimebarikiwa Sana zaidi kupitia kwa hii wimbo
this guy my guy nmeona nyimbo zake na zmenpendeza hakika ana kipaji toka kwa mungu
I wish i heard this early😢, but i believe in God
Ubarikiwe
Kweli kabisa inabidi ukabidhi ndoa yako Kwa maombi
Nice song, it's true ndoa ni moto sikimbilii ndoa nooooh
Mungu akubariki sana kaka kwenye kipaji cako 🙏🙏❤❤❤❤
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mungu azidi kukubariki Ht nikiwa na stress nikisikiliza nyimbo yk inaisha stress mungu akuinue zaidi na zaidi
Aise nakuelewa sana mtumishi, MUNGU wa mianga azid kukuuinua
Hurry,hurry has no blessings.God's time is the best.Thanks brother for bringing it up clearly,,,be blessed as you proceed with your mission of spreading sweet and so encouraging words.Through your wonderful gospel songs Amen.
Just be blessed 💪💪💪💪💪 we pray for you dear God is with you always thanks 🙏🏾
Ubarikiwe Sana kijana wa yesu
Daaaa kwa huu ujumbe umenikumbusha cku moja nilikwenda kwa mchungaji kwa shida yangu, kabla sijaingia nilisikia mke wake akisema najuta kuolewa na wewe ,,daaa nikarudi kinyume nyume maana nilikwenda pale kwa matatizo yangu ya ndoa Sasa kusikia hivyo nikaona Sasa atanisaidieje wakati yake tuu iko matatani
Ujumbe mzuri Sana
Indeed you are not just a musician but a superhero in music s accompanied by plenty of blessings may God the supreme being lift you up to the other level
True message bro I love ur song hata dancing style
This is a nice song ever.😘😘😘. Congrats for this song.
Nice one,,ukweli mtupu advice poa
I meant "achukue". I love the voice mtumikie mola you're one of the angels
WAAMBIE WAKO HAWAJIELEWI NDOA INA. QUALITY. KUBWA YA KUMUINGIZA .MTU MBINGUNI MKIWA WOGE WAAMINIFU. MRS KABIKA
This is lovely, much love from 🇰🇪
Wow Amen
.....God bless u Amani
Kimi kabisa iyi ni Fundisho la kueli Ndoa Ni Hatari Mulangoni Hai ko mchezo Ah Amen Amen Amen Shalom Shalom
Mungu akutendee MEMA Ni jivunza xana Kwa nyimbo zako
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️ penda sn
Duhhh Dada Happy legezako macho kidogoo jamani wachumba wakuone katika ubora wako
Kijana talent unayo. For this thumbs up. Ila upunguze urongo kaka. I hope ulisuluhisha Yale masuala ya urongo na Rose Muhando ukidai Wewe ni mtoto wake. Hata hivyo tia bidii ya uimbaji utafika mbali
I think he made it clear Muhando is spiritual mother.
very beautiful song with a message on point .... no hurry
Mwanzilishi wa ndoa niwewe MUNGU tusaidie baba
Woow Wimbo muzuri sana 😢
Good work bro b blessed amen
Haya dogo umetisha
Kabisa yaani duu!!noma sana
Congratulations to you bro,God bless you so much
Ahhh Vraiment Ni Kueli Hatari
Oh my god very true 👍bother
Oh very nice 👌I'm happy because of this song keep up good work god will bless you 🙏
Very powerful song iko na mafundisho
Mtuletee huyu mchukue bahati😂😂
Tunawataka woote maana ni Watumish wa Mungu washambani mwake,,
Tuenderee kuombea Ipate heshima kwa mataifa
MUNGU ANA WATU BHANA NYIMBO MPKA UNASKIRIZA INAISHIA HUONI UREFU WA NYIMBO ,
Haha
😂😂😂😅
Mungu akubariki kwa wimbo mazuri
Kumbali Sana brother
Good 👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽
Nyimbo zako za baraka sana🇰🇪
Sauti yako tu nmeipenda imekamilika kabisa hauhitaji wasaidizi,barikiwa!
Hunahakili wewe baba ako asingeowa ungezaliwa na panya au . Muulizee baba ako aliishije na mama ako uchukuwe hatuwa. Hata vtabu vmeandkwa mwanamke uishiena kwa hakili wewe.
Kwani amekuambia usioe au kaongelea matatizo ya ndoa hebu msikilize vizuri sio unatoa lawama ambazo hazina msingi
🙏🙏nice song
Ameeen 🥰
Wonderful brother
Good song I like it,,,God bless you brother
Ameni