Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana (Official Video) SMS SKIZA 8633371 TO 811 TO GET THIS SONG

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 мар 2018
  • Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana (Official Music Video)
    Hauwezi Kushindana was inspired By Philip 4:6. The song is off Goodluck Gozbert's New Album "Shukurani"
    Watch Goodluck Gozbert New EP "Ushindi": • Goodluck Gozbert - Kin...
    Follow Goodluck Gozbert
    Instagram: goodluckgoz...
    Subscribe to RUclips Channel: / @gozbertministries
    Credits:
    Audio: Produza Paulo
    Video: Director Destro
    Hauwezi Kushindana Lyrics
    Hauwezi kushindana, oh kushindana
    Na mwanadamu mwenye kinywa
    Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu
    Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima
    Vita vya maneno kuna watu ni majemedari
    Ukisema mshindane mbona mikono mtainua
    Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue
    Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe
    Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe
    Ukiendelea unawapa kichwa hao
    Basi laza imani rejea vitani
    Wakikuona waseme umekuwa sugu
    Acha waongee acha waseme seme
    Ila yuko Mungu wakuwaziba midomo
    Ikiwa Mungu anahukumu kwa kusikiza maneno
    Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana
    Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiza umbea
    Si ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa
    Mwanadamu mwanadamu shida ni ulimi
    Ungejifunza ukimya haunanga hasara
    Fulani we fulani una shida gani
    Na uongo wanini Mwogope Mungu
    Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja
    Kwa kila neno na kinywa chako utatolea hesabu
    Mimi nimeshakwambia
    #GoodluckGozbert #GozbertMinistries #HauweziKushindana
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 7 тыс.

  • @essykitawa9652
    @essykitawa9652 4 месяца назад +453

    Wangapi tuko uku 2024.gonga like apa tukisonga🎉❤

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 18 дней назад +41

    Wenye umekuja hapa kuskiza huu wimbo leo May 2024 gonga like na ubarikiwe sana na ushikilie imani ya mungu🎉🎉 hallelujah

  • @mercykocy9177
    @mercykocy9177 2 месяца назад +81

    2024. Hoyeeeeeh❤
    Gonga like tukisonga

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 Год назад +52

    800 years of blessings to everyone who likes this with faith ! ✨

  • @rosekapinga2929
    @rosekapinga2929 5 месяцев назад +56

    Am here 2024 ni nyimbo Bora yawakati wote tunasemwa jamani lakini huyu Mungu nyie acheni tu🙏🙏

  • @goodluckgozbertofficial
    @goodluckgozbertofficial  6 лет назад +2073

    Nawashukuru Sana Kwa Kutazama Ujumbe Huu Kupitia Ukurasa Wangu Huu wa RUclips,
    Ni Maombi Yangu, Roho mtakatifu Akaendelee Kuhudumia Kila mmoja kwa Namna Yake....I love You Much,Asanteni Sana
    And May The Lord God Lift Ur Spirit after U Watch and Listen to this Song in Jesus Name.
    Blessings

    • @nonenone9281
      @nonenone9281 6 лет назад +5

      Goodluck Gozbert God has Anointing you Goodluck .from USA

    • @lucynmwangiusa
      @lucynmwangiusa 6 лет назад +2

      Very nice song..good message, uplifting beat..thank you

    • @sabrinaaron1481
      @sabrinaaron1481 6 лет назад

      Goodluck Gozbert Amen kaka god bless you

    • @peninahirungu6928
      @peninahirungu6928 6 лет назад +2

      Goodluck Gozbert be blessed to bro the song is mwaaah so encouraging and a very powerful message there may God keep uplifting you brother ,I can't get enough of this song

    • @felisterlaurian3165
      @felisterlaurian3165 6 лет назад +2

      nabarikiwa na jumbe za nyimbo zako kaka gud love u so much

  • @user-mc7pr6jd4t
    @user-mc7pr6jd4t 27 дней назад +18

    Sitachoka kukoment huu wimbo .Kila mwaka lazima ni Comment👏👏💗💗

  • @carolymwaniki9534
    @carolymwaniki9534 24 дня назад +2

    Aki ni Mungu

  • @wuodoketch
    @wuodoketch 2 года назад +1287

    I can't get enough of this song wapi Kenyans 🇰🇪

  • @AhazyStanley
    @AhazyStanley 4 месяца назад +16

    Hongera sana brother ❤huu wimbo una historia kubwa sana katika Maisha Yangu😢💔❤️❤️❤️🥰01.02.2024

  • @indivirabonnymatenje7290
    @indivirabonnymatenje7290 Год назад +11

    How many Kenya's are listing for this song July 24 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wakurugenzi let us vote in peace we need peace this coming Election

  • @user-nt8yt4fn6n
    @user-nt8yt4fn6n 5 месяцев назад +20

    Juu wimbo unanikumbusha maali nimetoka.hadi natokwa na machozi nikiusikia

  • @damadamaries4758
    @damadamaries4758 3 года назад +70

    My favorite song ever naomba likes zake plz❤❤❤

  • @Girl_Maasai
    @Girl_Maasai 4 года назад +887

    If you belive this song has healed your soul, hit like as we thank God

    • @petma5551
      @petma5551 4 года назад +9

      I like that part where he waves at the haters 🤓

    • @sarahwamboko2041
      @sarahwamboko2041 4 года назад +6

      GOD his faithful

    • @fabriziammanuli1672
      @fabriziammanuli1672 4 года назад +9

      It is called beating the bitterness by letting go of the past & letting God be the author & the finisher of one's Faith. Amen.

    • @wizzyjay2955
      @wizzyjay2955 3 года назад +4

      Ubarkiwe ni kwer uwz shindana

    • @shanelywaziri6708
      @shanelywaziri6708 3 года назад +2

      Madii

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 4 месяца назад +14

    Aki hiii nyimbo sijui ni mm pekee naskia rahaa aki juuu utamu uko kwa hiii nyimbo wacha tu 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉napenda nyimbo pls na mwenyewe nyimbo 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉love you from kenya 🇰🇪 God bless you brother 🙏 ❤️

  • @Patrick-ld4eu
    @Patrick-ld4eu День назад +1

    Who's here June 2024

  • @meshackkioko9149
    @meshackkioko9149 Год назад +19

    2023 sitashindana na mwanadamu 🖐️
    If you like it finya like na uvae silaha ya Imani 🙏

  • @The_cumpass_show
    @The_cumpass_show Год назад +413

    Wenye tuko huku 2023, nipeeni likes🔥🔥🔥

  • @erickkoome2157
    @erickkoome2157 2 года назад +26

    After 4yrs if you still listen to this song I need your like

  • @florencekadilo3156
    @florencekadilo3156 Год назад +162

    we do appreciate as Kenyans🇰🇪

  • @samrickkituku8949
    @samrickkituku8949 3 года назад +106

    A very nice song with strong message lots of love from kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @annekamau4748
      @annekamau4748 2 года назад

      I wish Kenyan artist would be like this 🤦

  • @IceChampakaWolf888
    @IceChampakaWolf888 3 месяца назад +18

    I'm here on 3 march 2024 10:47 am. This came to my spirit i searched it up.

  • @phellowmmbunitv6077
    @phellowmmbunitv6077 Год назад +73

    The most viewed GOSPEL song in East and Central Africa

    • @kylexy2901
      @kylexy2901 Год назад +6

      no.check songs of zabron singers and ambassadors of Christ

    • @LucyMunyaga-bl2tr
      @LucyMunyaga-bl2tr Год назад +2

      God is good

    • @user-bm4zr9vu2m
      @user-bm4zr9vu2m 6 месяцев назад

      ​@@kylexy2901wee tuachishe hii ndo dawa ya watiaji

  • @mzeemnyamaparody
    @mzeemnyamaparody 2 месяца назад +23

    Who is still watching in 2024🙂??

  • @AlexLwanzo-xk7bu
    @AlexLwanzo-xk7bu 3 месяца назад +16

    2024 pointe ici... (gonga hapa) 🙂🇨🇩

    • @vita-user3
      @vita-user3 29 дней назад

      🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩tozali

  • @user-ny3bx2rn8f
    @user-ny3bx2rn8f 8 месяцев назад +29

    I remember when i was in form two my close friend lied to the entire village that have aborted after being admitted for two days bt i came back shedding tears bt my my mum told me to pray for and her team i swear the girl is now hospitalized suffering from hiv and aids as I'm here enjoying life at the University as a teacher of English literature

  • @ZenabKordi-ib3nr
    @ZenabKordi-ib3nr Год назад +176

    Jamani wale tunao sikikiza his nyimbo 2023 tuko wp kama hii nyimbo inakufalij weka like

  • @user-iq5dc9lo9i
    @user-iq5dc9lo9i 27 дней назад +3

    Nko hapa 2024 nyimbo zako unibariki tu sana👏👏

  • @gracekiarie9437
    @gracekiarie9437 3 года назад +188

    Can't get enough of this song hua narudia kila mara who else,gonga like

  • @shellykadot3041
    @shellykadot3041 4 года назад +261

    Aaaaawwwww😘 😘
    What a blessing🙏🙏
    Have been looking for this song for long.
    Kenyans hit like tukibarikiwa pamoja

  • @newme7766
    @newme7766 10 месяцев назад +42

    Who else keeps coming back to listen to this song 😇🥰. God bless you Goodluck.
    God is forever faithful to those who serve Him right.

  • @Francis-vy8we
    @Francis-vy8we Месяц назад +2

    Gonga like move forward wadau

  • @DjCovenant1
    @DjCovenant1 3 года назад +383

    2020 bado niko hapa
    Wangapi bado tunaskiza

  • @carolinewaburu8500
    @carolinewaburu8500 3 года назад +681

    I can't get enough of this song,huwa nairudia rudia..who else is like me?

  • @judithserem3380
    @judithserem3380 Месяц назад +3

    Iam here because this song really touches my husband and siz......and its beginning to roll my tears down😢😢😢

  • @pharaonamabange1116
    @pharaonamabange1116 Месяц назад +4

    May 2024 who’s here with me ?

  • @MartinWambua739
    @MartinWambua739 4 года назад +367

    imagine i was sleeping in a vehicle once i had the song i woke up and started shedding tears. God answer my prayers

  • @singinggirl6554
    @singinggirl6554 3 года назад +21

    Kama kuna mtu anamalizia mwaka kwa hii song weka like hapo twende sana 🙏🙏🙏🙏❤

  • @Festus_M_Muthui
    @Festus_M_Muthui 4 месяца назад +4

    Wapi likes za new year 2024... This song is a blessing.

  • @edwinnjanu8489
    @edwinnjanu8489 6 дней назад

    Huyo jamaa wa wivu anakaa YY comendian

  • @joanboit8346
    @joanboit8346 3 года назад +25

    Who are with me 2021 with this song Hauwezi kushindana na binadamu🔥

  • @celestinenanjala206
    @celestinenanjala206 4 года назад +396

    Kupigwa Vita ni kawaida isikusumbue, wewe Ni mti mwenye matunda zoea mawe. Am encouraged

  • @mwangiesther63
    @mwangiesther63 3 месяца назад +20

    Back here on 3rd March 2024.Kwa kweli siwezi shindana na mwanadamu mwenye kinywa

  • @claracaren3890
    @claracaren3890 Год назад +34

    The first stanza of this song is a strong message to make us stronger in God's words

  • @uttahjazzino7045
    @uttahjazzino7045 3 года назад +265

    If you're still alive in September give all glory.

  • @nice58765
    @nice58765 3 года назад +232

    I never understand people who dislike a song like this one, anyway siwezi kushindana na mwanadamu. Beautiful song.

    • @irenebuyaki7807
      @irenebuyaki7807 3 года назад +3

      How awonderful song i lke it very much God bless💕🙏💕

    • @bdvick5455
      @bdvick5455 3 года назад +3

      Imagine a beautiful song and such a perfect reality message
      Or may be those that dislike are the ones always looking for trouble in communities. Bcz they never wants to get represented. And they are too much talking talking ☺️☺️☺️☺️😊😊😊
      Ayiiii us we are just blessed by this song, my favorite

    • @dansiranyiraruvugu2290
      @dansiranyiraruvugu2290 3 года назад +1

      A

    • @raphaeljustine1184
      @raphaeljustine1184 3 года назад +3

      Nakweli uwez kushindan na binadm

    • @henryprince7068
      @henryprince7068 2 года назад +2

      Wachawi

  • @GhatiMakuri-kp5vw
    @GhatiMakuri-kp5vw 27 дней назад +2

    Wimbo mzuri❤❤❤❤ nakupenda sana bro

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 Год назад +9

    Brother uduma yako na izi nyimbo zako zimenifanya mbaka nime mgeukia mungu na kutumika kwa moyo wote ktk kazi ya mungu kiukweli najivunia sana kumfatilia mtu Kama wewe na barikiwa sana na nyimbo zako ✊

  • @stellahgetuno837
    @stellahgetuno837 2 года назад +38

    This song is new everyday 😍😍😍
    More love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @floridahbridgite2482
    @floridahbridgite2482 6 лет назад +896

    Kenyans gonga like tukiendelea kubarikiwa.....

  • @user-xj1qz8oy5s
    @user-xj1qz8oy5s 12 дней назад

    More Blessings Malkia Rose Muhando..Ulichoimba ni kweli Kabisa...Much Love From Kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤❤

  • @PaulJames-ix8hs
    @PaulJames-ix8hs 26 дней назад +1

    ubalikiwe saaanatenasan kwawimbohuu❤

  • @josephngwale6251
    @josephngwale6251 3 года назад +233

    Wangapi 2021 hii bado tunautizama Huu WIMBO.# wauwezi kushindana.

    • @rabeccaetait64
      @rabeccaetait64 3 года назад +1

      Me

    • @emilyaholi9009
      @emilyaholi9009 3 года назад

      Bado inanibariki this 2021..🙏🙏

    • @midianalbert1400
      @midianalbert1400 3 года назад +2

      Here I am 2021 I really love this song 💕💕

    • @halimatende2743
      @halimatende2743 3 года назад

      Huku 🇺🇸 kila siku lazima ni skize coz yote yalinipata mimi huwa naliaga kila siku nikiskia hii nyimbo

    • @lillianlillian3541
      @lillianlillian3541 3 года назад

      Nko ndani kaka

  • @saleheyahaya7316
    @saleheyahaya7316 5 лет назад +246

    Nyimbo nzuri ujumbe mzuri mungu akusimamie kazi yako na kuzibariki

  • @milazmilato7965
    @milazmilato7965 Год назад +9

    Although am Muslim but this song is lit Hadi it's my skiza

  • @christineauma1629
    @christineauma1629 9 месяцев назад +17

    This song reminds me alot hallelujah thank you Jesus much love from uganda 🇺🇬

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 3 года назад +282

    Am a Muslim but I Love this song so much so much,,mostly the first verse,,nice lyrics

    • @jallyjonster4006
      @jallyjonster4006 3 года назад +2

      Your welcome bro

    • @everlyneongayo5692
      @everlyneongayo5692 3 года назад +2

      U better change ,2 cristian

    • @fatimaebochi9292
      @fatimaebochi9292 3 года назад +2

      Me tooo

    • @margretborn-great4163
      @margretborn-great4163 2 года назад +4

      Brother pls give your life to our Lord Jesus Christ He is the Only way To Heaven Father. Jesus The Holy One who Never Commented no sin at all. Come to Jesus Christ today He Loves ❤️ As a son 🙏🏾🙏🏾🙏🏾💯💯💯

    • @Moses-Kuria
      @Moses-Kuria 2 года назад +1

      Karibu sana ndugu yetu katika yesu ,yesu akubariki

  • @watuwashengaaz6244
    @watuwashengaaz6244 2 года назад +126

    This song is just amazing it takes me back lost a husband very young left with a son people pointed fingers at me but God remains to be glorified.

    • @jacobmutana2750
      @jacobmutana2750 2 года назад +2

      Xo painful n rem God doesn't leave his own pple.

    • @gathonimuchai9037
      @gathonimuchai9037 2 года назад +5

      Aki mungu ni mkubwa Aki nakumbuka nililoose mtoi August this year now three months but watu waliongea wacha tu wakisema tuliua na babake I will never forget mama mwingine akisema mtoi amepass na ndio tunamupeleka hosi na bdo alikua bt ajapass continue rest in peace my dear son you will always remain in my heart forever 😭😭😭😭😭😭😭❣️❣️❣️

    • @wilsonnyabuto6262
      @wilsonnyabuto6262 2 года назад +1

      You are a strong woman ,lord be with you always

    • @qatatvip5451
      @qatatvip5451 2 года назад

      To all those who going tuff situation take heart please 💖💕💕💖

    • @user-wl7dl7ik2j
      @user-wl7dl7ik2j 2 года назад

      Take heart dear

  • @franklinannangerald2796
    @franklinannangerald2796 2 месяца назад +5

    2024 mko wapi

  • @beckylovedone704
    @beckylovedone704 Год назад +19

    From south sudan 🇸🇸 ✨ ♥ ❤ I love the song na niukweli siwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinyua ,,,whenever I listened to it ,,it relieves my soul

  • @saraelisha291
    @saraelisha291 5 лет назад +80

    Mungu akutunze mdg angu, kazi nzr sn, napenda sn nyimbo zko zote zinanibariki mno.

  • @witnessmlangi5614
    @witnessmlangi5614 3 года назад +48

    Who's still watching 2021🥰
    HAUWEZI KUSHINDANA.

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 2 месяца назад +1

    2024 hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa Mungu azidi kutubariki❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kukubariki ❤❤

  • @janewanjiru336
    @janewanjiru336 3 месяца назад +2

    happy birthday to me....thank you jesus

  • @lydiamokeira3164
    @lydiamokeira3164 5 лет назад +38

    Congratulations from Kenyans 😍😍👏👏👏👏👏💚❤❤❤

  • @gideonmaluki4452
    @gideonmaluki4452 4 года назад +516

    Good quality,,,watu wa 2020 chapa like tusonge mbele

  • @goodheartedgal8001
    @goodheartedgal8001 Год назад +14

    Amen, praying for my fellow Kenyans as wait for Chebukati to release the results let’s preach love & reconciliation.

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 23 дня назад +1

    bro hapo uliimba naipenda sana

  • @alicesamson6316
    @alicesamson6316 4 года назад +191

    November 2019 mimi mwislamu lakini huu wimbo ni fire

  • @kyshamarrisha1659
    @kyshamarrisha1659 4 года назад +54

    When you are in that situation well described by the song 🙋indeed for the battles belongs to you God I know you will fight for me in this situation

  • @blessingalagno3107
    @blessingalagno3107 9 месяцев назад +1

    You fan from Togo 🇹🇬 I love you songs so much ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-ns8bs2rj2n
    @user-ns8bs2rj2n 4 месяца назад +4

    Kweli hatuwezi kushindana na wanadamu ila Mungu ni Mwema Kila wakati

  • @missbentdiary7617
    @missbentdiary7617 2 года назад +8

    Who is still obsessed like me? This song be my forever best💯💯. Team Kenya 🇰🇪 🇰🇪. Watching from UAE 🇦🇪

  • @husnahhamisi4488
    @husnahhamisi4488 6 лет назад +204

    hawa watu wa👎 mbona hamskizi ujumbe uliobebwa kwenye wimbo... God bless you Gozbert,am a Muslim but can't stop listening to your songs....

    • @veelusa
      @veelusa 6 лет назад +9

      Inashangaza sana kama mtu ambaye ni mristu wa kweli anapopinga maudhui ya wimbo pamoja na ujumbe mzuri. Watanzania tusiwe wepesi wa kusema. Ni vizuri uangalie video uone kijana anavyofundisha. Kwenye Video anaonyesha watu wanamfanyia vituko na maneno lakini hasemi chochote anaendelea na maisha yake. mfano kabisa wa Daudi kwenye bibilia alaikuwa anafanyiwa vituko na Sauli lakini yeye aliendelea na kufanya yale Mungu alikuwa anamuongoza . Kwa ujumla kijana ametufundisha sana . Mungu aendelee kubariki kazi zake.

    • @angelatuppa9348
      @angelatuppa9348 6 лет назад +1

      mungu akubariki

    • @annamongi5404
      @annamongi5404 6 лет назад +3

      . .kila. Mtu amepewa. Karama yake... Wengine. Wamepewa karama ya kutia watu moyo... Mwingine nyimbo zake za kumsifu Mungu... Nyimbo nyingine zinatuweka karibu na. Mungu...Wimbo ni Mzuri Barikiwa. Mtumishi

    • @susanraphael5894
      @susanraphael5894 6 лет назад +3

      Yes mamy nice to

    • @ibrahimnyalusi436
      @ibrahimnyalusi436 6 лет назад +2

      dah! inapendeza sana kwakweli MUNGU akubariki sana

  • @jullianabock4126
    @jullianabock4126 Год назад +1

    Wow such an encouraging son..2023 nani ywabarikiwa?

  • @Trizah-nx2br
    @Trizah-nx2br 9 месяцев назад +1

    Kupigwa vita ni kawaida😭😭😭

  • @annwambui6561
    @annwambui6561 3 года назад +22

    Jana I felt very blessed... he's such an amazing person..akiperform live utapenda... alitubariki sana hapa voi taita taveta county 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @ndanuexperts2443
      @ndanuexperts2443 Год назад

      Ebu angalia hii Pia. ruclips.net/video/S4RLgUhYB8U/видео.html

    • @janendanu8571
      @janendanu8571 Год назад

      Wow,good song God bless you

  • @maggykyungu559
    @maggykyungu559 2 года назад +190

    When i listen to this song i remember how my aunt and stepmom used to say lies about me to my dad wanting to separate us but there's a God in heaven who curbs their tongues kwakweli hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa ni Mungu tu

  • @karee4476
    @karee4476 Год назад +20

    Just met him today at a youth event. Very humble and down to earth! Thank you for reaching the youth in a way they understand best. Ubarikiwe mpaka ushangae.🇰🇪 was here!!

  • @lastbornvalentineblessing
    @lastbornvalentineblessing 10 месяцев назад

    Ni ukwely hauwezi kushindana na mwanadhamu mwenye kinywa, mm ilinitokea 😭😭😭

  • @loicechepkosgei4338
    @loicechepkosgei4338 4 года назад +81

    This song ministered to me this morning. Siezi kushinda na mwanadamu mwenye kinywa!!

  • @gainmograce
    @gainmograce 2 года назад +43

    My my,,, when i listen to this music i feel like it was meant for me. i give thanks to God especially for using Gozbert to touch my heart in the message.

  • @user-du5bj1bf1x
    @user-du5bj1bf1x 10 месяцев назад +4

    Huu wimbo unanitia moyo huwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa ❤❤❤❤

  • @user-tj5zs5dj3y
    @user-tj5zs5dj3y Месяц назад

    Kweli uwezi kusindwana na mwanadamu mwenye kinywa

  • @onlinetembovevo7473
    @onlinetembovevo7473 6 лет назад +35

    Jamana nimefukuzwa chumba cha kupanga kwa sababu ya sauti kali na hii nyimbo.....manake nimekuwa addicted na hii song.....iendelee mpk 2089...💥💥💣

  • @phyllistiakiende7482
    @phyllistiakiende7482 3 года назад +58

    2021 wapi likes❤️❤️❤️❤️💖❣️
    Wajibu kwa wema

  • @user-hi2my5ig5j
    @user-hi2my5ig5j Месяц назад

    Hii wimbo inanikumbusha mbali sana tubalikiwe wote

  • @chikusly3644
    @chikusly3644 5 месяцев назад +3

    Jan 2024. Got to hear it in 2018 Dec.

  • @robairubby9511
    @robairubby9511 4 года назад +115

    "Yesu huyu yesu, hakujitetea kabisa japo walimsema kwa ubaya aliwasamehe"..my favorite part good work .. love from Kenya..

  • @irenemurono9097
    @irenemurono9097 4 года назад +291

    Where’s 2020 likes❤️❤️❤️

  • @EstherMutuku-zy5pf
    @EstherMutuku-zy5pf Год назад +3

    Hauwezi kushindana na binadamu kweli

  • @sarahmuch1850
    @sarahmuch1850 Год назад +60

    I discovered this song a week ago, I am playing it over and over.
    Great message! Barikiwa sana mtu wa Mungu.🇬🇧🇰🇪

  • @yasintawillson9110
    @yasintawillson9110 6 лет назад +19

    Sio siri Mungu akikuchagua hakuna wa kukushusha,Goodluck ubarikiwe sana kwa nyimbo zako zinatia moyo sana

  • @mariammussa897
    @mariammussa897 5 лет назад +21

    kama unamkubali gonga like yako hapa please Thank

  • @jacksholomem2726
    @jacksholomem2726 Год назад +195

    This song reminds me of how my cousin lied that I aborted when I was in form two...you can imagine how they tarnish my name in the whole village. When I heard about it, I really prayed God to protect me against such evil. And now as we speak am teacher fully employed and I have my beautiful family blessed with two handsome boys. Am grateful to God.

    • @batshebakerubo530
      @batshebakerubo530 Год назад +2

      Hugs 🤗 mum

    • @winfaceketer1199
      @winfaceketer1199 Год назад +1

      Hayra star

    • @graceb2398
      @graceb2398 Год назад +4

      We have heard a lot but we keep moving forward 👍🙏

    • @sarahkele6812
      @sarahkele6812 Год назад +3

      Praise be the Name of our Lord Jesus.

    • @Samiavillagegirl
      @Samiavillagegirl Год назад +6

      If you trust in God he will put all your enemies to shame. Especially wenye vitina na wivu😢. Mungu atakutetea

  • @haroon_black_nichirin4272
    @haroon_black_nichirin4272 5 месяцев назад +3

    Vita ya maneno kuna watu ni Majemedari 😂 ❤

  • @davidngethe6635
    @davidngethe6635 2 года назад +131

    This song is a blessing to me.
    I find myself repeating it like 6 times in a day

    • @gentrixmusavi1056
      @gentrixmusavi1056 2 года назад +3

      I Have just learnt of it and its at a time in my life when am accused falsely of witchcraft....av cried till my eyes are swollen...but the song is a relief to me.

    • @ndanuexperts2443
      @ndanuexperts2443 Год назад +1

      Ebu angalia hii Pia. ruclips.net/video/S4RLgUhYB8U/видео.html

  • @barakakalokola1170
    @barakakalokola1170 6 лет назад +38

    NYIMBO KALI KALI MNOOO BARIKIWA SANA LAKINI FEZA NIKO MBALI NAWEWE MBONA MUNGU KAONGELEWA VIZURI SANA AMEJALIBU KUMCHUKUA MWANADAMU NAMATENDO YAKE KUWA HAYAFANANI NAMUNGU MUNGU HASIKILIZI MANENO YANI UMBEA ANAANGALIA MATENDO MAZURI TU

  • @cynthiamuriithi4678
    @cynthiamuriithi4678 3 месяца назад +4

    Such a beautiful and blessed song, thank you Goodluck Gozbert for the blessed song

  • @joyshirow8529
    @joyshirow8529 11 месяцев назад +4

    Lia kidogo nyamaza ili uchungu iishe 2023 mko wapi