@@juliethjulius5320 Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe ruclips.net/video/qNVZezKtRxY/видео.html
Lazima zipingwe nyimbo za kidunia zinazomtukuza mwanadamu zikijifanya kuwa ni za Mungu. Hizi ni bongo fleva wala si gospels. Inasikitisha sana Shetani ameuteka ukristo. Wasabato pekee ndo wamebaki na nyimbo za kumtukuza Mungu mtakatifu. Hatutaki dance wala singeli tunataka injili yenye ujumbe wa wetu kutubu dhambi.
Those watching this while rejoicing in the Lord for this far,,and still believe that they are going far,,,,Likes ndo nijue league yangu,,I'm just happy it's some days after 2024 Christmas 😊😊😊😊😊😊
Juma Charlie ukivie mara ya kwanza alafu ukiangalia kuanzia mwanzo mpaka mwisho alafu ukaa kama dakika moja hv alafu ukaja ukarud tena kuja kuitazama unakuwa unaongeza views so ukiangalia ata mara 50 ni wew tyuu na Bando lako dear
Nakupenda pia napenda kazi yako, when I listen to your music I feel touched...expecially "shukurani" may God lift you higher and higher... Esther from kenya...
@@migendizaesther8518 Hi Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe ruclips.net/video/qNVZezKtRxY/видео.html
Nikweli hajatuangusha ila kashiriki pa dogo My brow Mwaitege hiyo iwe ndo mwanzo wa wewe kutukumbuka utupe kitu na wewe in this years tunakusubir Tumemiss jumbe zako
Hapo ndipo mimi huwa najiuliza maswali mengi especially for those who have been served, hakuna haja ya kusikiliza hizo nyimbo za dunia wakati we have good music kwa industry ya gospel zenye utukufu na uwepo wa Mungu.
kitu kinachonishangaza ni kwamba watu waodiss hii nyimbo ni wakristo,watu wa ufalme mwingine wenzao wakitoa nyimbo wanatiana moyo sana,tunakwama wapi wapendwa? tunashida gani hasa? tukikemeana hivi hadharani je tunapandisha hadhi ya ukristo wetu au tunashusha? unaanzaje kuichukia hii nyimbo afu ikipigwa yope unacheza? hivi wewe na aliyetoa nyimbo ni nani anapaswa kukemewa? kwa kifupi mwimbaji hakuna alichoimba kibaya zaidi ya kumtukuza Mungu kwa yale aliyomtendea,hayo mengine yanayowasumbua ni mapokeo,mitizamo na misimamo isiyokua na msingi wowote... the song itself so fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee big up brother hatua mbeleeeeeeeeeeeeee.........
Lazima zipingwe nyimbo za kidunia zinazomtukuza mwanadamu zikijifanya kuwa ni za Mungu. Hizi ni bongo fleva wala si gospels. Inasikitisha sana Shetani ameuteka ukristo. Wasabato pekee ndo wamebaki na nyimbo za kumtukuza Mungu mtakatifu. Hatutaki dance wala singeli tunataka injili yenye ujumbe wa wetu kutubu dhambi.
@@kennykennedy1394 ingekuwa hizi style mnaanzisha nyie labda ingekuwa siyo shida.kibaya ni kwamba hawa waimbaji wa injili wanacopy na kupaste nyimbo za kidunia.yani hakuna jipya wanaloanzisha wao.hivi Mungu wetu ndo yuko hivyo?kwamba nyimbo za kidunia zinaanza halafu yeye ndo anawafanya watu wafatishe style hizo.hakuna kumtukuza Mungu hapo kwanza Mungu wetu ni wa utaratibu,sehemu ya kukatia viuno mwenyewe unaijua siyo katika madhabahu ya Mungu.jumbe ni nzuri ila kucheza,mavazi na mwonekano ni uhuni mtupu. usiposikia neno Yesu Au Mungu kwenye nyimbo za siku hizi huwezi jua kama ni nyimbo za dini au za kina diamond.
Wanaoangalia huu wimbo Mwishoni mwa 2024 means December,,,,, gongeni like hapa
Mungu amenipa kutembea hatua mbele kama komando
kama yesu kakutoa mbali kakupa kutembea hatua mbele kama mgambo weka like ❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉
Hatua mbele ,happy new year 2025🎉
Mungu amenipakutembea hatua mbele kama mgambo I thank you Lord
Very nice 👍
Vp wewe
Kama unaamini Mungu I anakupa hatua mbele mwaka huu 2024, sema hallelujah 🙌🙌
Hallelujah
hallelijah
halleluya🎉🎉❤
Hellelujah
Hallelujah
Kenyans are still here
Likes za Mugambo kutoka kenya zikuje sasa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ginga like na ww mwaka u unapiga atua mbele🤗
Mbona siwaoni ndungu zetu wa tz kama mpo npe like
❤❤❤😅😅😅
Tz tupo❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Yesu anatupa kutembea
Nyimbo inanbariki
Please sing this song this weekend natoka Florida kuja North Carolina 🔥🔥🔥🔥🔥special request
Nipate likes za wenye bado tunawatch nii song bado 2024
Mimi hapa daily
Am here daily❤
❤❤❤❤
P
Hii song haiwezi zeeka bytha
Aloooooo mbona nimpitwa sana naombeni like basi na mimi jamani sijawahi fikisha ata kumi aya twende hatua mbele🚸
Alikuacha wap
Duu tupo weng Ila sio mbaya tuweit kwa next song hahahahahahahaaa 🙌🙌
Naomba hata like kumi song ni fire. KAMA KOMANDO
you ❤ Jesus. good.😊❤🎉
Mungu Amenipa kutembea atua mbele hata mimi hapa German nyimpo nzuri yakupa moyo❤❤❤
❤❤❤
Toka Congo DRC 🇨🇩 naomba Like za Mugambo kama Zote
Good song mungu akutie moyo good luck gozbert
Naombeni hata like 50 huuu wimbo ni fire
Kama komando tuna songa mbele hakuna kurudi nyuma🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️ if you are from Kenya wapi likes
Naombeni like zisizopungua 100 za Good luck
Hello Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
ruclips.net/video/qNVZezKtRxY/видео.html
Mungu akubariki goodruck wimbo mzur mubarikiwe wote
🦸🦸🦸hatua mbele💃💃💃
Ngoma Kali hongera
Nakubali kaka nyimbo zako, aliye mwona Goodluck akicheza mkono juu kwa like 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ruclips.net/video/k0MOEVcaT78/видео.html
Mwaitege sekunde 1 ya moto sana ungepewa dakika 1 wimbo ilikuwa wako 😁😁 like
Kenyan's in the house 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama komando wa Yesu tunasonga mbele ....ubarikiwe Goodluck na usonge mbele Kama komando wa Yesu kristo 😊
Kila mtu anapeenda sanawimbo hiyi likes hapa mngi nanjea.
Mungu amenipa kutembea Hatua mbele kama Mugambo,, Likes zenu tWende 2gether
Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
ruclips.net/video/qNVZezKtRxY/видео.html
Nimependa
Nyimbo nzuri ujumbe wa Mungu ni h%hatua mbele! 2021 ni kumtafuta Mungu kwa nguvu sana maana hizi ndo nyakati za Mwisho
Nmeinjoi mnoo hauniishi hamu dah
⁰0
0
9
Wakenya tumepiga kambi hapa njooni tusonge hatua mbele... Weka like kama umependa hao dancers jameni. Mob love from Nairobi Kenya
⁰e5
Gozbert's fans from Kenya give me a heart❤❤
Tunao amini MUNGU anaenda kutupa hatua za mbele mwaka huu, na tumshukuru hapa👍🇰🇪🇰🇪
I love you Jesus.😘🎉🆕❤️😃😀✨⭐👌😁
Km umeangalia kama mm ndo ukacomments like 20 znatosha🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hello sir how are you na kukaribisha kwenye channel RUclips yangu Mungu akubariki na usikose ku subscribe asante
Whit massai @,hata 20 nyingi mbona kaimba Kama bongo freva
@@patrickayandabila2120 Madai mzik wakizaz kipya
naipenda sanahoyo nyimbo kamamu gambo
Unaweza sikiliza nyimbo yangu piya
Mungu niondole madeni in Jesus name amen 🙏
Bony mwaitege umempa nafasi kidogo ya kuweka mashairi dah...Kama umeona Ilo naomba like🤪
Yah amezingua goodluck bony anajua kucheza na,kuimba
@@samsonholowa6014 Kweli
😃😃🤣
Bony yupo vizuuri sana, yaani kaitendea haki collaboration,ila sasa ni kweli kaachiwa nafasi fupi.
I know right🙄🙄🙄🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️? mie nilikua nimedhan et haup at kuem kweny video hii so what a shame and selfish act🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️....
Najua Bwana unaeza nibalishia haya maisha. Jangwa yangu imekuwa kuliko miaka 40. Mungu Musa mbona Mimi sifiki?
Mimi mtanzania nataka nione like za wakenya wanao mkubali gudluck
Mungu Amenipa kutembea hatua mbele, kweli,sipale nlipokuwa mbeleni ,utukuzwe Mungu milele🙏🇰🇪🇰🇪
God bless you,Gooluck,come to Naivasha Kenya again ,
Loving this song any kenyan in the house tusonge mbele kijeshi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tukoooo😘😘😘
Nko hapa kwa mpigo
Kabsa
Tuko wengi
Tupooooo
Kama umerudia tena huu wimbo weka like yako hapo
Good
Tena na tena
Pamoja
Tena na Tena.
And it made Jesus name to shine I wish to give millions of likes
Huyu mwamba ingekuwa kwenye bongo flava angemtoa naseeb domo jasho sana 🙌 like yako kama unakubaliana na mimi
hii Mugambo hadi mbinguni, weka like kwa brother Goodluck
I rocked this song on my son's graduation party and I felt God telling me that he will always lead him hatua mbele ❤❤❤2024 anyone here?❤
Wale tunaoangalia huku tunasoma na comment tujuane hapa kwa kulike😂😂
Mim 🤗🤗
@@juliethjulius5320 Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
ruclips.net/video/qNVZezKtRxY/видео.html
Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
ruclips.net/video/qNVZezKtRxY/видео.html
Tupo
Pamoja xana boss
Goodluck ndio diamondplatnumz wa Muziki wa injili
Nmekubali maan nimeona step za yope
😂
Comments kutoka Tanzania zipo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kama Umebarikiwa na wimbo huu pia ungependa bony aendeleee kuimba tujuane kwa like
Nzur sana safiiiii
Aendelee kwa kweli
am still watching today coz walai Mungu amenipa kutembea, hatua kwa hatua...wapi likes za Goodluck 💖👍
Wapi like za wa Tanzanian 👏👏
Tupo 👍🏾👍🏾👍🏾
Hakuna tofauti na bongo flavor
Gudlck ni harmonize aliechangamka
😅😅😅
Gospel za now days vituko
Kuna tafauti ya message!..ukisikiliza
Lazima zipingwe nyimbo za kidunia zinazomtukuza mwanadamu zikijifanya kuwa ni za Mungu. Hizi ni bongo fleva wala si gospels. Inasikitisha sana Shetani ameuteka ukristo. Wasabato pekee ndo wamebaki na nyimbo za kumtukuza Mungu mtakatifu. Hatutaki dance wala singeli tunataka injili yenye ujumbe wa wetu kutubu dhambi.
@@elizabethmachuma1334 huko nikujifariji tuu ndomana now days kuna hip hop gospel ni upuuzi tuu.
Mungu wangu kanipa ujasili ananipenda sana
Heheeee aisee this one motoo sana ebu nione likes za goodluck
pumbavu mnatuahalibia dini
Wale makomando wa wamwakahuu gonga like kwa Goodluck Superman.
Together
Yani aaa we umetisha yani hicho nikiwango kingine nakupenda sana bro hapa glory nipo ufarance nakuelewa sana
Yesu amenipa kutembea hatua mbele🔥🔥🔥🔥🤩
Yesu amenipa kutembea 💃💃💃, Mungu amenipa kutembea hatua mbele 💃💃💃💃
Wakenya mko wangapi humu like niwaesabu
❤Moto,Moto,Gudluck Umeua❤❤❤
Tuliobarkiwa na ujumbe na danciiiiiing🤸🤸🤸💕💕💕💕💕❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💃💃💃💃💃
Duuuu nakukaribisha kwenye channel RUclips yangu Mungu akubariki na usikose ku subscribe asante
Lovely song ♥️🙏
Sawa kazi nzuri wameifanya
@@mtishibisafaritanzania8453 yeaah
@@stewardcharles6540 sanaa
Kama umerudia tena hii nyimbo tupia like yako hapo
nice
mungu amenipa kutembea hatua mbele
Those watching this while rejoicing in the Lord for this far,,and still believe that they are going far,,,,Likes ndo nijue league yangu,,I'm just happy it's some days after 2024 Christmas 😊😊😊😊😊😊
Mgambo hajali Hali ya hewa,,for better for worse tunasonga mbele,,,hata kama mvua,,Bado hatua mbele,,😊😊😊😊I'm just happy,,,,
I'll come back next year again,2025,,kuskia hii wimbo Kwa ajili ya hatua zenye ntakuwa nme make 😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤
Kama unakubali kuwa Goodluck ni Platinumz wa kwenye gospel gonga like nikuone
Nani amehisi mwaitege kanyimwa nafasi hapa jameni nimemgoja sanaaa hila kaimba maneno mawili tuu... Si haki walahiii 😢😢
Kweli kapewa nafasi ndogo sana
Mwaitege sio mwaitenge
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Yani nimeumia mnooooooooo
True
Ila ameuwa sana na sauti yake nzuri Bonny Mwaitege
Aki goodluck iyo song yako inaweza sana mimi neza irudia mara ishirini kwa siku wueeh naipenda sana❤❤❤❤❤❤
Alieona stail ya yope weka like twende sawa by the way ngoma kali🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Umeon eeee
Nice song
Wangapi tunasema hawa watu wafanye colabo nyingine na Mwaitege awe naye na sentensi ndefu gonga like.Ukweli wimbo uko vizuri sana Kaka G big up
Sure hatua mbele 🔥🔥🔥♥️♥️♥️💪
Mm wakwanzaaaaaaa mtt wangu jamn mungu awabark mnoooooooo Kaz nzr mnooooo like zenu jmn me babayake
Gospel tamu mnoo.... Like kama nyimbo za gospel zinakubariki
Mungu amenipa kutembea mbele ❤️
Mwaitege anasauti ya nyimbo za injili yn akiimba mpk rahaa jmn watuludishie waimbaji wetu km hawa ss na kina babati bukuku hatutaki bongo freva🙏🙏🙏🙏
exactly c*
Kabisa
Tupo pamoja Anna Yan mm wale waimbaji akina marehem sedekia...
Hiii goodluck sisemi kitu bro your just king of gospel tz mzimaaa wapi wakenya nipe like za gudii gudiiy zilll😩🙌🙋🙌🙌🙋🙌
Hongera G kazi nzuri
Amen sassfaaaar
Yuko vizuri kijana mungu aendereee kumtumia ❤
This is marvelous mungu Azidi kukuexpand In his ministry kama wewe ni mugambo this 2021 weka likes hapa , much love from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Hivi Naomba Kuuliza hawa wanaoomba Like hua wanataka za nn au Zinaongeza GB make Sielewag mwenzenu
Make kila MTU Naomben Like zenu wanataka za nn
Mm nashangaa
Dah!....kazi nzuri sana, hongera kutoka Nairobi Kenya....msininyime likes
Aminaaaaaa amenipe kutembeya hatuwa mbele 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kweli
🙏🙏🙏🙏 glory to God 🙏 much love bro from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mungu Asife milele
Jmn guys tuview mara kwa mara tuipeleke hii nyimbo one million plzzz.
Ikishaview Mara ya kwan tyr ata uview huwez ongeza idad but akiview ambaye hajaview ndo inaongezeka
Juma Charlie ukivie mara ya kwanza alafu ukiangalia kuanzia mwanzo mpaka mwisho alafu ukaa kama dakika moja hv alafu ukaja ukarud tena kuja kuitazama unakuwa unaongeza views so ukiangalia ata mara 50 ni wew tyuu na Bando lako dear
Haina maana kuview ngoma za wenzetu tuview zetu au tuview mahubr hahahaha🙌🙌
Tanzania in the house,kama wewe unamkubali Goodluck... let me here some AMEEEEEEEEEEEEEEEEN! KAMA MUGAMBO HATUA YA MBELE
Ameeen
@@lindachelaa9725 AMEEEEEN
Duuh!ebu dondoshen likes kwa goodluck jaman
Am loving it ....Glory to GOD, sijawai pata likes za good luck ,atleast nipee 100 likes
Wakenya ambao tumeelewa ujumbe huu na kubarkiwa na wimbo gonga hapo tuane !
YESU AMENIPA UJASIRI
Let everyone who has breathe Praise the Name of Jesus.
This song makes me feel very happy
Aimen
Hyu ndiyo diamond wetu wa gospel team Kenya mpo
Kabisa 🤣🤣🤣
Mugambo nini?
Very true
Kabisa!
@@ibssawega7182 Mugambo ni kama polisi
Kaka mungu akuzidishie ufundi wakutufulahisha wenye Imani ya kweli na mungu Alie hai siku zote yeye yutu umetisha
Mugambo wote walioona Yope ya Kipendwa wanyooshe mikono juu!
😄😁😁😁
From Kenya... Good luck Twakupenda kwa nyimbo zako nzuri... Mungu ainuliwe
Hello Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
ruclips.net/video/qNVZezKtRxY/видео.html
Nakupenda pia napenda kazi yako, when I listen to your music I feel touched...expecially "shukurani" may God lift you higher and higher... Esther from kenya...
@@migendizaesther8518 Hi Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
ruclips.net/video/qNVZezKtRxY/видео.html
Nzur
Indeed
Kijeshii,tuta endeleya bila shaka.
NAOMBA LIKES KWA LEGENDARYPASTOR BON MWAITEGE HAJATUANGUSHA NI KIJESHI
Na ajatuangusha hakika
Nikweli hajatuangusha ila kashiriki pa dogo
My brow Mwaitege hiyo iwe ndo mwanzo wa wewe kutukumbuka utupe kitu na wewe in this years tunakusubir
Tumemiss jumbe zako
Trending in Kenya coz we love good gospel music.. 🇰🇪🇰🇪
True
Hello how are u welcome to my channel RUclips and don't forget to subscribe asante
Word
Nah word
Very true sis we love clean gospel here in kenya be blessed sis👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hatua mbele 🚶♀️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tuliogundua staili za YOPE tuseme amen
hahahaa...Diamond wa injili uyuu
Hahahahahah ndo anakocopy duuu
Yope iliyo zubaaa😂🤣🤣🤣🤣🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️
Amen
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwann tupende nyimbo za kina diamond wakati nyimbo zenye utukufu wa kumuinua Mungu zipo kwa gospel
Amin
Ukweli
Kwel kabc
Hapo ndipo mimi huwa najiuliza maswali mengi especially for those who have been served, hakuna haja ya kusikiliza hizo nyimbo za dunia wakati we have good music kwa industry ya gospel zenye utukufu na uwepo wa Mungu.
Atasasa bwana ametusaidia kutembea atua mbele😢😢
Tuwe wakweli Ikiwa hii nyinbo isingekuwa gospel tayari ingekuwa isha hit 10M viewers
Nimkweli kabisa broo
Namuona diamond wa kwenye gospel kama nawewe umeona gonga like hapa
I love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nilikuwa ata 🇰🇪si nzuri
Number one Gospel artist currently... Tiz na dunia, Nani anabisha
Hamna gospel hapo ni kudanganya wasiojua tu (yope ndo huo umeingizwa ki gospel)
No one
kitu kinachonishangaza ni kwamba watu waodiss hii nyimbo ni wakristo,watu wa ufalme mwingine wenzao wakitoa nyimbo wanatiana moyo sana,tunakwama wapi wapendwa? tunashida gani hasa? tukikemeana hivi hadharani je tunapandisha hadhi ya ukristo wetu au tunashusha? unaanzaje kuichukia hii nyimbo afu ikipigwa yope unacheza? hivi wewe na aliyetoa nyimbo ni nani anapaswa kukemewa? kwa kifupi mwimbaji hakuna alichoimba kibaya zaidi ya kumtukuza Mungu kwa yale aliyomtendea,hayo mengine yanayowasumbua ni mapokeo,mitizamo na misimamo isiyokua na msingi wowote...
the song itself so fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
big up brother
hatua mbeleeeeeeeeeeeeee.........
Lazima zipingwe nyimbo za kidunia zinazomtukuza mwanadamu zikijifanya kuwa ni za Mungu. Hizi ni bongo fleva wala si gospels. Inasikitisha sana Shetani ameuteka ukristo. Wasabato pekee ndo wamebaki na nyimbo za kumtukuza Mungu mtakatifu. Hatutaki dance wala singeli tunataka injili yenye ujumbe wa wetu kutubu dhambi.
@@johnfaustinechannel746 ukiongelea dini uko sawa lakini binafsi sioni alichokosea hapo,after all mapokeo ndo yanayotusumbua
@@kennykennedy1394 ingekuwa hizi style mnaanzisha nyie labda ingekuwa siyo shida.kibaya ni kwamba hawa waimbaji wa injili wanacopy na kupaste nyimbo za kidunia.yani hakuna jipya wanaloanzisha wao.hivi Mungu wetu ndo yuko hivyo?kwamba nyimbo za kidunia zinaanza halafu yeye ndo anawafanya watu wafatishe style hizo.hakuna kumtukuza Mungu hapo kwanza Mungu wetu ni wa utaratibu,sehemu ya kukatia viuno mwenyewe unaijua siyo katika madhabahu ya Mungu.jumbe ni nzuri ila kucheza,mavazi na mwonekano ni uhuni mtupu. usiposikia neno Yesu Au Mungu kwenye nyimbo za siku hizi huwezi jua kama ni nyimbo za dini au za kina diamond.
Ubarikiwe baba kwakulimisha kunawatu hawawezi elewa hata Yesu akija wao watabaki wakitoa sababu
@@johnfaustinechannel746 wambie hao wasabato waache uzinzi ndo useme ya wengine.
Aky I just love this song so so much Tanzania mbarikiwe sana mumezaa waimbaji kweli 💕
Huu wimbo nimecheza the whole day I see😂😂🤭🤭 goodluck uendelee jaman kunibariki uuh kama mwehu nilivocheza🤣
🤣🤣🤣 Raha sana kwa Yesu jiachie kabisa
Kenyans in the house ?🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nione likes zenu 😍😍💕💕
Hi Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
ruclips.net/video/qNVZezKtRxY/видео.html
Ndani ndani ndaniii
Ggod bon
Yeah
Mungu akuongoze mugambo wa yesu
just love this guy,, very talented,, no clout chasing ❤❤ much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Ndo tumeanza kutembea hatua mbele kama unakubl gonga like twende wt
🙏
Who alse is here with me ? This is my favourite song i can watch it 10 times per day.nipe like jamani kama uko hapa nq mm.
Am with you,i love the song so much,even though i don't understand the language.God bless you Good luck.
I do the same