Goodluck Gozbert ft Mfalme Alain- Mapembe (Official Video)For SKIZA SMS 9866342 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 1,5 тыс.

  • @Douglaschiso_09
    @Douglaschiso_09 3 года назад +26

    Mmmmh #Gozbert MUNGU kambariki uwezo waajabu sana. Anaweza kufanya music aina yoyote. MWAGA LIKES ZA GOODLUCK

  • @maxwellezekiel6811
    @maxwellezekiel6811 3 года назад +2

    Kopied from Diamond and kofi olomidy,style dancing thank you brother

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest 3 года назад +6

    Mungu amsaidie arudi kwa Bwana maana Yesu ankuja!
    Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu!

  • @dorcasmoseti5948
    @dorcasmoseti5948 3 года назад +2

    The last part gakiii creativity nayo iko juu

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @kyagaribabamwongera3989
    @kyagaribabamwongera3989 3 года назад +16

    Daaaahh nimesahau hata nadaiwa kwa Raha za huu wimbo God blees

  • @joanoduor-ie9ho
    @joanoduor-ie9ho Год назад +1

    Satan he's a lier...Shetani ishindwe in Jesus Name🙏🙏🙏🙏

  • @happysanga5136
    @happysanga5136 3 года назад +5

    Endelea kuipeperusha vyema bendera ya kristo...
    🔥🔥🔥🙏

  • @vionesthumi6392
    @vionesthumi6392 10 месяцев назад +1

    Team Kenya hapa. Rudia ingine na huyo mcongo. Hapo kwa Biblia umeweza Mapembe

  • @Rachm199
    @Rachm199 3 года назад +3

    Le congolais avais vous remarquerez quelques choses ????

  • @alexmsabi5416
    @alexmsabi5416 3 года назад +2

    Nadhani hii ndo itakuwa nyimbo ya mwisho kusikilza maan naona umepotea tunasubir uimbe na taraabu

  • @Omosak
    @Omosak 3 года назад +4

    Kazi isha kushinda ndugu yangu....

  • @Emmanuel-b4g1n
    @Emmanuel-b4g1n 4 месяца назад +1

    Huu wimbo sija penda Rudi kwa Mungu,hii siyo injili 😢

  • @sarahjacobs8814
    @sarahjacobs8814 3 года назад +7

    Haki nyimbo za injili ni Sawa na za diamond

    • @siwemamwita3173
      @siwemamwita3173 3 года назад +1

      Hadi swaga ni za diamond, Kama humjui Gozbert huwezi jua Kama ni WA dini huu wimbo

    • @philipnashon1651
      @philipnashon1651 3 года назад +1

      Walevi wameingia kanisani

  • @nedbany6236
    @nedbany6236 7 дней назад

    Nyeusi shingoni na Nyekundu unafikiri nini kingetokea.😢

  • @Danny254
    @Danny254 3 года назад +84

    Rhumba ya Yesu..Nzuri kama kawaida from my favorite gospel artist 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nelsonwilliam7578
    @nelsonwilliam7578 3 года назад +1

    Safi sana wanyumbani kazi nzuri Sana naona na kikongomani ndani wataelewa tu

  • @mariamfincha5163
    @mariamfincha5163 3 года назад +5

    Mungu atusaidie tusihalishe dhambi. "Sio mlevi ni mnywaji, sio mwizi anakusanya mtaji"

  • @IzackSanga-h5h
    @IzackSanga-h5h 3 месяца назад +1

    Jaman mnachomlaaumu jamaa ni nini mbona Mimi sion

  • @annachieng2195
    @annachieng2195 2 года назад +3

    Hallelujah watching my one and only male gospel artist who understands the message to give out
    Big love goodluck, much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥🔥🔥 message well delivered

  • @mikeniyokwizera3619
    @mikeniyokwizera3619 3 года назад

    Mike kutoka Zambia nice song bro mungu ski alum❤️❤️❤️🙏🙏🙏❤️

  • @ntandujunior1204
    @ntandujunior1204 3 года назад +5

    Alafuuu uniambie roho mtakatifu ashuke kwa wimbo huuu jmani Mungu atusaidie sibarikiwi kabisaaaaa Mungu shahidi

    • @cadiaonesmo9660
      @cadiaonesmo9660 2 года назад

      Mungu hutoa karama mbalimbali Kama apendavyo na huyu ndo karama yake ukiona yuko tofauti Muombee Mungu amubadirishe

    • @gospelman3720
      @gospelman3720 2 года назад

      Roho Mtakatifu hashushwi kwa wimbo tu, yuko ndani ya waamini tangu siku ya Pentekoste. Mizimu ya Waganga ndo inashuka kwa nyimbo za kiaguzi tu.

    • @fredricklukule4500
      @fredricklukule4500 8 месяцев назад

      Kwan wimbo unatatizo gan?

  • @sylviasellah3843
    @sylviasellah3843 3 года назад +1

    Aaha Gozbert sasa unaifuatisha namna ya dunia kabisaa

  • @vjlopakak587
    @vjlopakak587 3 года назад +5

    im from cananda 🇦🇼🇦🇼but My best tanzania gospel artist is Goodluck🔥🔥

  • @checheskitstv
    @checheskitstv Год назад +1

    My God bless you,gozbert

  • @frolamazimba465
    @frolamazimba465 3 года назад +8

    Mmm nyimbo hizi za injili bhana 🙊🙊🙊🙊🏃‍♀🏃‍♀🏃‍♀🏃‍♀🏃‍♀

  • @chachacharmante7947
    @chachacharmante7947 2 года назад

    Wow 🥰 oyembi na lingala monoko ya mboka wow 🥰 Mungu aku bariki sana

  • @titotembotv6375
    @titotembotv6375 3 года назад +8

    Aseee Kuna watu wanalalamika Kuhusu Nyimbo hii Naona wanasahau Kuwa Shetani alitoka wapi na Alikokuwa Alikuwa na Kitengo Gani Big up Brother nakubali Nyimbo zako Respect

  • @eveliusrespicius6859
    @eveliusrespicius6859 3 года назад

    Ongera sana broe nyimbo nzurii ila mependa zaidi mwisho pale jamaa kajua kala dau kumbe Bible

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 3 года назад +24

    Can't wait more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖💖💖

    • @PapaTheKingKenya
      @PapaTheKingKenya 3 года назад +1

      kenya we love such talents

    • @furahasophie8201
      @furahasophie8201 3 года назад

      ruclips.net/video/Jw7K-VwY1GA/видео.html

    • @kingkuntajr6283
      @kingkuntajr6283 3 года назад

      Tazama umri wa mastaaa bongo kumbe zuchu n mkubwa kuliko harmonize ruclips.net/video/9rK399duqKM/видео.html 😀😂

  • @annmwita2962
    @annmwita2962 3 года назад +1

    Huyu jamaa anajua bana🙌🏽🙌🏽🙌🏽

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @jnn1715
    @jnn1715 3 года назад +55

    Goodluck, I really do love your songs. They are so uplifting. Can't wait to watch and listen to this one. Much love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @mdl6463
      @mdl6463 3 года назад +1

      Binafsi yangu nimeielewa shukrani Sana kwa gord

    • @footballhits2086
      @footballhits2086 2 года назад

      @@mdl6463 good luck bwana yesu akuinue mdogo wako natamani kuwa kama wewe nyimbo zako ziko pw sana

  • @samweliedward5746
    @samweliedward5746 3 года назад +1

    Mzikizuri maessage nzuri inayofika kila mahali kwa kila mwanadam

  • @bensafaris
    @bensafaris 3 года назад +39

    God is experienced in all your songs. Am blessed from Nairobi Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад +1

      Amen na amini hii pia ita kuwa baraka kwako 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻

    • @heinspokenmusic3715
      @heinspokenmusic3715 3 года назад +1

      ruclips.net/video/WlsFndVzUD4/видео.html

  • @wendie954
    @wendie954 Год назад +1

    Weeeeh noma, hiii lazima ichezwe wedding on October

  • @IconBeatz
    @IconBeatz 3 года назад +16

    Waiting for this jam ya kufungua mwaka,, be blessed and much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @jeremymwanikofficial7430
      @jeremymwanikofficial7430 3 года назад

      Amen. The prayer that changed my life, hope it does to you ruclips.net/video/2qzfUScDolk/видео.html

  • @MAZOOTBOY
    @MAZOOTBOY 2 года назад

    Hii ngoma ukishatoa pombe ni mmi...nlikuwa mtunishi bytheway..

  • @bilha_nyawera
    @bilha_nyawera 3 года назад +28

    You minister through your songs🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @marleybyams
    @marleybyams Год назад

    Naskiya kiswahili cha kwetu Congo apo mwanzo..God aku bless kwa kazi Zako nzuri KK mkubwa..❤️❤️🔥🔥

  • @jibrila.a.4281
    @jibrila.a.4281 3 года назад +9

    Music knows no boundaries. Great song. Love From Ghana 🇬🇭. It’s the West African King 🤴 J.A

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @delioncompexo3770
    @delioncompexo3770 3 года назад +1

    Ogopa matapeli hakuna rumba la yesu.

  • @jacklinemollel8275
    @jacklinemollel8275 3 года назад +6

    I am blessed with all your songs my beloved brother 🇹🇿❤️

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @jylishura7665
    @jylishura7665 3 года назад +1

    bora ujiunge na Zuchu na Diamond. waimbaji wa gospel cjui kitu gani kimewakuta.

  • @DJKANJI254
    @DJKANJI254 3 года назад +5

    Ni Tamu sana na yenye kubariki na pia kufunza.💥💯💯 I have been entertained and blessed same time. I play this song in my events as my closing tune. Its on point

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 3 года назад

    Huku mnapokwendea angalieni sana kesho kuna hukumu so muwe na roho wakweli haya mnayofanya sisemi sana

  • @heinspokenmusic3715
    @heinspokenmusic3715 3 года назад +107

    Those days I used to sing secular one day I listened to IPO siku I began even performing it at events
    We could dance in kitale kenya
    A friend invited me to church through this song
    One day after I sung it at tha crusade then the Christiano Mboyi Pastor preached and that is how I gave my life to Christ
    I become a church cleaner,laiter a Sunday school teacher,I become an interpreter and I joined school of ministry as I was preaching
    I also become a teacher of tha word at SOM,then I joined destiny Bible college for further studies
    I thank God for this far
    Through Gooluck He ministered to me a hopeless man I was lost in tha.world and now am serving Him
    Glory be to God
    God changes lives
    And He will use people some are destiny Helpers
    God Bless you man of God as you Keep plundering Hell and populating Heaven
    Amen.

  • @taysonmodest1279
    @taysonmodest1279 2 года назад

    Blother mimi nimuandish mzuri wanyombo za gospel pia ni producer ungeguswa kufanya kazi namimi tungefika mbal

  • @EazyBless
    @EazyBless 3 года назад +3

    Team Luck 🍀

  • @MaryP2015
    @MaryP2015 2 года назад

    Umepotea sana Kaka,natumai uko sawa,tushushie nyingine basi💃🏽

  • @lovethildah7340
    @lovethildah7340 3 года назад +17

    It hits differently right?😊
    I always tell them Jesus is the real deal❤
    Thanks bro Goodluck,,imenifikia kabisa huku Uarabuni 💃 toka KENYA

  • @vitalisikavela6083
    @vitalisikavela6083 2 года назад

    Nmependa hyo scene ya mwisho jamaa anpoiba huo mkoba n nzuri sana

  • @immaculatemwangi6784
    @immaculatemwangi6784 3 года назад +3

    You are a blessing to many people here in🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Arukah_
    @Arukah_ 3 года назад +1

    How is this a gospel? Lord have mercy. People change, they copy the systems of the world when God lifts them.

  • @celebcorner9398
    @celebcorner9398 3 года назад +17

    "hauna marafiki wa kweli, wako na sababu fulani"...Tamu sana🔥🔥

  • @emmanuelbrownofficialke.-n7942
    @emmanuelbrownofficialke.-n7942 3 года назад +1

    Ngoma noma. N'ouvre bwoy pamoja Team Good luck

  • @praiseandworship6293
    @praiseandworship6293 3 года назад +324

    If you are reading this, may God remove your pain, worries and problems, and replace them with good health, happiness and peace. In Jesus name. Amen

  • @jemssijonsson8561
    @jemssijonsson8561 3 года назад

    Aujawai kosea ata kidogo muimbaj Wang kil sik na saa wwe ni Bora San MUNGU akubalik san kwa kaz nzuri

  • @medardissa6253
    @medardissa6253 3 года назад +24

    Shetani mjanja Sana,huu wimbo ukiusikiliza unaweza ukajua ni utukufu wa Mungu,lakini iko Siri kubwa Sana angalia kwenye uchezaji wao na ishara wanazoonesha kuna jambo kubwa Sana lipo nyuma ya pazia! Msidhanie shetani hutumia usichokiamini Bali hutumia unachokiamini ili kukupotosha

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад +1

      Amen na amini utabarikiwa na huu prayerful song 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏

    • @bahatimwitike4701
      @bahatimwitike4701 3 года назад +4

      Viungo vyote ni vya Bwana yapaswa kuvichezesha

    • @olivermfinanga9387
      @olivermfinanga9387 2 года назад

      Mkoje kwn kutumia simu yko tu ni mpango wa shetan bc acha ujuaj mnamiabudu Sana uyo shetan woii so kucheze ni ushetani🤣🤣

    • @josephnyika4891
      @josephnyika4891 2 года назад

      c kikongo anaimba uyu mjanja

    • @lenisembabazi8371
      @lenisembabazi8371 2 года назад

      Kwenye kumchezea hamna janja janja, muacheni amchezee Mungu wake anajua aliyomtendea, huwezi kumhukumu mtu Wacha Mungu ye ndiye mwenye mamlaka ya kuhukumu.

  • @Notorious23.
    @Notorious23. 2 года назад

    What difference is he from diamond platumz except the lyrics 🇹🇿🔥🔥🔥🔥underrated

  • @hommiechidi4398
    @hommiechidi4398 3 года назад +7

    This is a great song. This will be re -watched by many people for many years

  • @papatmaurice2628
    @papatmaurice2628 3 года назад +1

    Hapa Leo umenichanganya kweli.Asante.Lots of love kutoka Uganda

  • @Amosmsechu
    @Amosmsechu 3 года назад +8

    Nangojaaaaa king Alan jumlisha gozbert hiyo chemistry ni hatariiiii

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 3 месяца назад

    Turudi Kwa YESU KRISTO Amen

  • @PeterkenyaOfficial
    @PeterkenyaOfficial 3 года назад +7

    Levels 🙌🙌🙌💥💥
    Tupatane Police Station..You killed this song!!
    Kali Sana 🔥🙌..
    Kazi Safi 💯
    +254👏👏

  • @saintpaul693
    @saintpaul693 Год назад

    Much❤❤❤❤frm Kenya bro aki you are multitalented yaani wewe unflow na style yeyote tu ya mziki may God keep on lifting u

  • @nadègebusime
    @nadègebusime 3 года назад +7

    Goodluck you are officially Congolese 🇨🇩 jernerale Goodluck Gosbert 😂🥰🥰

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amen na amini hii pia ita kuwa baraka kwako 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻

    • @hitecstars.1
      @hitecstars.1 Год назад

      Ikufikieee eh eh....eh eh

  • @khairatyrichard8275
    @khairatyrichard8275 2 года назад

    Kaka wapo natunaishi nao wanaanza kwautambulisho mzuri kimbe wabaya wanafus

  • @mcpambe8063
    @mcpambe8063 3 года назад +6

    Gospel AfroBongo,...AfroDance,...you are a true talent when we speak of talented musicians. The simple seben...the atalaku...all amazing! Hongera sana kaka kwa flexibility hiyo

  • @hodahage8316
    @hodahage8316 Год назад +1

    Nmependa nyimbo zako mungu azidi kukuinua kiwango cha juu

  • @gospotv
    @gospotv 3 года назад +33

    Kazi nzuri

  • @mzalendohuru...4967
    @mzalendohuru...4967 3 года назад +1

    My friend goodlucky unajua kutubarik ....ni evanjalistic song hii barikiwa Mtu ya Mungu

  • @nicholaslikokoko254
    @nicholaslikokoko254 3 года назад +23

    Creativity on another level, last part 🙌👌Good music 🎷 never disappoints. Love from Kenya 🇰🇪

  • @poalive9464
    @poalive9464 3 года назад

    nani kasikia tp mazembe ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @lizkamika
    @lizkamika 3 года назад +5

    What a message!! Beautiful song❤️❤️

  • @yasintacharles3594
    @yasintacharles3594 3 года назад

    Eeeeh Good wauwa barikiwa sana🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @isaacmbade6955
    @isaacmbade6955 3 года назад +2

    Dude kwenye movie za utapel hua anatisha sana like zake jamani Dudeeeeee ni fireeee.

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @queendottie4874
    @queendottie4874 3 года назад +3

    Wooow this is so sweet dear....God bless my brothers.....❤

  • @winnerkimaro3210
    @winnerkimaro3210 3 года назад +2

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka, Mungu akubariki mpaka ushangae

  • @gospelvibestv3914
    @gospelvibestv3914 3 года назад +64

    THIS GUY IS LEGEND..THE GREATEST OF ALL TIME...Good consistent,Good discipline,The true inspiration and role Model indeed👏🏼💥

  • @mlangaliromwenda6945
    @mlangaliromwenda6945 3 года назад +1

    Umisha Anza kucheza kama wakina diamond huna tofauti na wakidunia michezo gani na uimbaji gani

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amen na amini utabarikiwa na huu prayerful song 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏🙏

  • @gervaseishengoma8254
    @gervaseishengoma8254 3 года назад +4

    I love the way the message was delivered . More blessings bro@goodluck gozbert

  • @stephanokihaga6891
    @stephanokihaga6891 3 года назад

    Mapembe🙌 Bwana atusaidie tusiinue mabega

  • @joycenjuguna5902
    @joycenjuguna5902 3 года назад +5

    Always blessed by your songs,you are a blessing to many people🇰🇪🇦🇺

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @fransiscajoseph7009
    @fransiscajoseph7009 3 года назад

    Atar jamani mungu mwenyew atatushuhudia kwakwelii,kazi yake isonge atapembua mwenyew, lla ulipo Anza na unakoelekea Sasa tumach Mungu akupiganie

  • @kevinmugoha4664
    @kevinmugoha4664 3 года назад +5

    The arrangement of the song💥 nice message God bless

  • @philesnyabuto1792
    @philesnyabuto1792 2 года назад

    Cheza rhumba ya yesu papaa gozbert I love it 🫂

  • @Priscamwinja
    @Priscamwinja 3 года назад +22

    Goodluck Our Congolese brother, we're on our way to adopt you. 🙌🏾🙌🏾❤❤. Banguna nayo bakotikala nasoni kabisa👑🇨🇩🇨🇩. May God bless you

    • @akilimatoto8171
      @akilimatoto8171 3 года назад

      Jambo dada mkongomani

    • @justinmoshi7679
      @justinmoshi7679 3 года назад

      ruclips.net/video/1aN90MHEOUo/видео.html

    • @furahasophie8201
      @furahasophie8201 3 года назад

      ruclips.net/video/Jw7K-VwY1GA/видео.html

    • @kingkuntajr6283
      @kingkuntajr6283 3 года назад

      Tazama umri wa mastaaa bongo kumbe zuchu n mkubwa kuliko harmonize ruclips.net/video/9rK399duqKM/видео.html 😀😂

  • @Essie-91
    @Essie-91 Месяц назад

    Huyu na Christina waliniumiza sana.My heart breaks for them coz they were my fav artists!

  • @ARChiplein
    @ARChiplein 3 года назад +5

    Always good choregraphie ♥️ thanks ndombolo rythm

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @willisonelija7162
    @willisonelija7162 3 года назад +1

    Ebu gospel singer tujaribu kutanguliza Mungu katika kazi zetu na tutoe jumbe za maana Tusiimbe kwa kujifurahisha kilitaja jina la bwana Tumwogope Mungu Jamani

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @lucynakhanuwanyela2037
    @lucynakhanuwanyela2037 3 года назад +21

    Wow! Wow! The song is on point, the message well composed, the lyrics but do l say! May Yahweh receive all the glory🙌🙌 Rising everyday and time for His glory. Continue radiating His glory through these songs you sing. I love your ministry since you bless me each moment l listen to them. AMEN!

    • @furahasophie8201
      @furahasophie8201 3 года назад

      ruclips.net/video/Jw7K-VwY1GA/видео.html

    • @heinspokenmusic3715
      @heinspokenmusic3715 3 года назад

      ruclips.net/video/WlsFndVzUD4/видео.html

    • @crystalsemana5001
      @crystalsemana5001 3 года назад

      What’s the meaning of the song?

    • @kingkuntajr6283
      @kingkuntajr6283 3 года назад

      Tazama umri wa mastaaa bongo kumbe zuchu n mkubwa kuliko harmonize ruclips.net/video/9rK399duqKM/видео.html 😀😂

  • @CareenMbise-z2d
    @CareenMbise-z2d 2 месяца назад

    Ni kwel binadamu wanakua wepesi kumua kumwacha mungu wao kwa tamaa za dunia

  • @gospelkidmusic
    @gospelkidmusic 3 года назад +4

    Great message 🔥

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @philipnashon1651
    @philipnashon1651 3 года назад +1

    Ukimwangalia Goodluck Bozbert kweli huyu anamwimbia MUNGU au wanadamu MATHAYO 14:6

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @rispathequeen
    @rispathequeen 3 года назад +6

    Rumba ya yesu,much love from Kenya 🇰🇪 and 🇶🇦

  • @scolakalindu8077
    @scolakalindu8077 3 года назад

    Aise wee sio poa wacha niote mapembe kama yako hatari kaka ujumbe mzur🙏

  • @jacklinengina
    @jacklinengina 3 года назад +9

    Your songs always bless my soul keep up the good work and may God continue using you... Mob love from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Danielmparanyi
      @Danielmparanyi 3 года назад

      Amen na amini hii pia ita kuwa baraka kwako 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻

    • @cristinajacobo2951
      @cristinajacobo2951 2 года назад

      Yes

  • @laodikiagiantsingers1027
    @laodikiagiantsingers1027 3 года назад

    Umehama njia sahihi, Rudi katika nyimbo zako za zamani coz kwa sasa umebaki unafurahisha wanadamu tu, uku usijue Kama unakosea Mungu. Omba Sana Mungu akupe hekima ya utambuzi.

    • @mparanyibagalwa7376
      @mparanyibagalwa7376 2 года назад

      Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @edwardjerome7323
    @edwardjerome7323 3 года назад +3

    Usifuge mapembe this song is so lit 🔥🔥🔥

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 года назад +1

    Hii ni nyimbo ya injili au.. Sijaelewa vizur....

  • @KasB254
    @KasB254 3 года назад +20

    This is a master piece .your songs are anointed,keep pushing 🔥🔥🔥