KUMEKUCHA NABII KAIRUKI AFICHUA MAZITO SAKATA LA GODLUCK GOZBERT KUCHOMA MOTO GARI LA GEORDAVIE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 101

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 12 часов назад +1

    Kweli. Dunia imeisha huyu naye ninabiii jamani wacha tu nicheke😂😂😂😂 mwenyewe mungu tusaidiye sana hizi nizakati za mwisho

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 День назад +1

    Leo nilikua na soma biblia nimeona imeandika wanaume tunatakiwa kunyoa nywele na hatutakiwi kufunika vichwa vyetu, lakini wanawake wamepewa kibali cha kufuga nywele na kufunika vichwa vyaoo

  • @starlily07
    @starlily07 День назад +3

    😂 kumbe JODEVI ni baba yako wa kiroho, basi nyie wote ni walewale

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 День назад

    Huyu fala hajaacha tu utapeli 😂😂

  • @AnneWawira-e4p
    @AnneWawira-e4p День назад

    For sure these are the last days ,May the Almighty intervene,dear Lord $ Saviour save your true followers Amen

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 День назад +1

    Hakuna baba wawili.. Baba yupo moja tu.. Ni BABA MUNGU PEKEE.. Hao wengine Ni marafiki tu😊 We vip bana😢😢😢

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema День назад +1

      Sasa babako wa dunia sio babako. U hav issues even God recognises our parents and we r to respect them..if your tlking of spiritual fathers hapo uko sawa

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 День назад

    Ulikuwaga tapeli sana wewe jamaa , eti nabii 😂😂 ulimtapeli sana mama kanumba 😂

  • @subiralema
    @subiralema День назад +3

    Ivi ninani apa dunia anawapa watu unabii kila mtu nibii mmekuwa wengi kuliko mabalozi wa nyumba kumi😂😂

  • @EdinaIbrahim-k7l
    @EdinaIbrahim-k7l 2 часа назад

    Mungu tusaidie sisi viumbe wako.

  • @IneHenry
    @IneHenry День назад +1

    Kunbe na wewe ni walewale?nlijua naona umebadilika kumbe bado😂😂😂😂

  • @Pendo-r6k
    @Pendo-r6k День назад +3

    Wewe na huyo baba yako ndo mtaenda kuanguka maana sasa Godluck Mungu anaenda kumuinua,

  • @kuryatvfilm1161
    @kuryatvfilm1161 День назад +4

    Ninyi na Joe dev ni majoka na wana wa majoka

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben День назад +2

    Kailuki nili kua na mwamini ila kwenye ili simwa mini tena yule pastor Jo dv mliwahi ku ona jisi gani mwa na mke ame chola tatu ali mfaliji mbele ya kanisani

    • @PreciousMumba-n8e
      @PreciousMumba-n8e День назад

      Kwani lazima wewe tumwamini nani kakwambia waliitwa kuaminiwa na Dunia nzima woi unajichosha.

  • @EliasJoseph-cb6zc
    @EliasJoseph-cb6zc День назад +1

    Goodluck wakikapa ata lingine chomelea mbali

  • @AbelaRweyemamu-s2x
    @AbelaRweyemamu-s2x 16 часов назад

    We naww kumbe hufai sasa apo wew na goodluck nani alieanguka anatakiwa kujirudi

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 День назад

    Geo Devi ndiye mkuu wenu manabii wote matapeli hapa tz,ndio maana kwasasa mnaumbuka

  • @josephineanthony8253
    @josephineanthony8253 День назад +1

    Mwaka huu muanguke ninyi wenyewe kwa ghafla kwa jina la yesu, kwa utabiri wako huo.

  • @neemamarisamarisa-rd7cq
    @neemamarisamarisa-rd7cq День назад +1

    Kumbe hata wewe ni walewale.
    Pole sana kairuki

  • @RoseKimishabhalemi
    @RoseKimishabhalemi День назад +1

    Unataka auze gari laaana imwandame nani hayo mayatima amefanya vizuri kulichoma nyie vijana nimalimbukeni Gudluck kaza macho Kwa Yesu

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 День назад

    Huyu fala miaka ya 2010-2015 alikuwa tapeli sana ,alikuwa anauza mafuta ya upako kabla hata kina mwamposa hawajaibuka ,huyu fala alikuwa tapeli sana

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 День назад

    Yaan baada useme baba yang mwenyez mungu... Eti unasema baba yang geodev😅duu!😢 Kumbe mungu watu wapo wengi sanaaaa... Magari ya kuzimu watu hawayatak.. tuseme halekuyaaaaaaaa😂😂😂😂.. ingekuwa kachoma gar ya IST msingezungumza mtandaoni.. 😂😂😂😂😂

  • @guycharmandEmerysun
    @guycharmandEmerysun День назад +3

    Leo umejieleza kwamba bado unamtumikiya shetani

  • @marylwanalo6115
    @marylwanalo6115 День назад +2

    Mbona ana kisirani sana!!! Gari sio kitu wewe unapenda vitu via Dunia

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 День назад +1

    Ila Kairuki ni msanii et mbona kwa kanumba ulilia sana heeee kairuki ni mwaka wa kupimwa

  • @tolatinofaustine
    @tolatinofaustine День назад

    Godlove ndiye mwamposa ajaye acha ujinga wa kuonba msaada kwa nabii mkuu yeye alishamuandaa nabii ajaye ndiye god..piga vijembe baadae uombe msaada kwa god..hujiulzi kwa nn watumshi wengine wapi kimya? ..njaa itakuumbua

  • @PeaceBraiton
    @PeaceBraiton 10 часов назад

    Mbona ueleweki bro ktk ulimwengu wa roho kuna kitu kikubwa kilichoaribika kwenye ulimwengu wa giza

  • @namajojomedia2197
    @namajojomedia2197 День назад +1

    Kairuk8 wa engine ya kanumba sio huyu huyu maana amebadilika amerudi freemason

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 7 часов назад

    Hata huyu kumbe ni moja wao?? Kweli sheitani ako na wafuasi wengi loooo
    Hawa watu wakuita watumishi wao ni baba zao, sijui mungu wetu moja wa binguni alie hai wanamuitaje. Magazine ya hawa wanaosema ageuza hiyo gari badala ya kuchoma niwanzao tu wa Godevie, thumbi na thambi hazisuluhishi
    Kama ni mbaya kwake mbona apatie mtu muingine aende kuathirika. Akosahihi Kuchoma.

  • @EmmanuelKolambo-ig6js
    @EmmanuelKolambo-ig6js День назад +1

    Kumbe ww Bado freemason.

  • @Anast-o2m
    @Anast-o2m День назад +2

    Kairuki nabii mkuu ni Yesu pekee yake, mbona binadamu achukue nafasi ya Mungu.

    • @PreciousMumba-n8e
      @PreciousMumba-n8e День назад

      Kwa uelewa wako ila sio kweli kwamba kachukua nafasi ya Mungu jifunze kwanza kabla uongee

    • @Anast-o2m
      @Anast-o2m 17 часов назад

      @@PreciousMumba-n8e uelewa wako mdogo. Nabii mkuu ni Yesu.

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 День назад +1

    Hiyo kiki ni ya kimataifa kwa Goodluck na kwa Joe Davis pia ulimwengu wote umejua

  • @Namaize-lc8sh
    @Namaize-lc8sh День назад +4

    Eeeh kumbe huyu naye sio

  • @johnmkambu-w9u
    @johnmkambu-w9u День назад

    mbona hamfanani na Goodluck hata ,mungu awajua wote

    • @johnmkambu-w9u
      @johnmkambu-w9u День назад

      mzazi ni mama na baba mzazi na mungu wa mbinguni ndio wa kwanza .ole wenu yaja

  • @benmabebajr.6551
    @benmabebajr.6551 День назад +1

    Mmmh color ya mikononi na usoni ni tofauti🤔🤭

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 День назад

      Yesu anawabadirisha kwasababu ya maombi makali sana

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 День назад

      Awa ote kumbe kitu kimoja ndio mahana sura nyeupe mikono meusi

  • @ErickOnyango-e8z
    @ErickOnyango-e8z День назад

    Ni kweli ulienda kufanya nini kwa Nabii Davie kama yuko Freemason, haungechukua gari hapo mwanzo,baada ya kutumia gari baada ya miaka tatu ndio unagundua kwamba hilo gari ni mbaya???come out of your senses

  • @IbrahimuMshamu
    @IbrahimuMshamu День назад

    Kwani watumishi wa mungu mnatafusiri vipi mambo yarohoni ninani aliyesimama mungu anasema

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 День назад

    Hakuna mahanguko lazima nabii mkuu ankale sana

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 День назад

    Wanaojiita mitume na manabii wote hapa TZ ni wezi , matapeli na washirikina

  • @tolatinofaustine
    @tolatinofaustine День назад

    Huyu ni mpambe tu anahitaji msaada na kikk hajui mwenzake amepitio mapito Gani? Pengine atakuwa nabii mkuu kuliko Jo Dev ..wewe ni mpambe tu ,,huyo ameoneshwa maono wewe usiingilie pambana na Hali yako MUNGU YUPIO KWA GDLOVE kama alivyo kwa nabii na huenda God ndo mkombozi wa nabii...amefanya ili neno litimie na awakomboe ninyi nyote..

  • @marylwanalo6115
    @marylwanalo6115 День назад +1

    Mbona unatetea binadamu kama yeye ni mungu, kama Goodluck amekosa acha mungu apeane hukumu. Why are you threatening Goodluck, let God be the judge. Wewe pia una makosa

  • @babumrisha
    @babumrisha День назад

    Who's next?

  • @RwachiryoraWema
    @RwachiryoraWema День назад

    Kwani huyu naye kiki zote tz yumo.kwa marth alikua hapo na hapa pia.

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m День назад

    Huyo kailuki ni tapeli kweli kweli alikuwaga anapita sehemu mbalimbali anaeleza watu kwamba aliwahi kuishi ndani ya tumbo la nyoka

  • @StansMushi
    @StansMushi День назад

    He!!! Kumbe na huyu ni wa humo? Du tz wengi tutapotea Bwana YESU Tusaidie

  • @Maiko-d1s
    @Maiko-d1s День назад

    Good luck anataka kutoa nyimbo hii ni kiki tu 🤣

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 День назад

    Wewe fala ulitapeligi ukajiingiza kwenye jeneza ,UKAKIMBILIA Kenya

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 День назад

    Kesi ya goodluk na nabii mkuu kila mtu kesi.yake maana nabii anaonekana anachofanya.na goodluk anaonekana anavovifanya.kairuki.Mungu.atuhurumie tulipofikia ni pabaya sana

  • @carlosdigitals
    @carlosdigitals День назад

    Who is next?

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 День назад

    Mtumishi nikuombe usichoke mana yesu alisema hiki nikizazi kibaya

  • @jeanc627
    @jeanc627 День назад

    Nyowa kwanza izo nywele alafu ujifunze kusema ukweli eti Nabii ni baba yako hahaha ahahaa 😂unataka akupeye gari na wewe neenda ukapokeye balaka ya gari neenda

  • @ReinaLusajo
    @ReinaLusajo День назад

    Tena. Mungu ndo baba etyu. Niko ambae niko

  • @cellinamuro6872
    @cellinamuro6872 День назад

    Wewe na huyo baba yako siku yenu ipo Mungu hathihakiwi

  • @ReverieneNsabimana
    @ReverieneNsabimana День назад

    Kumbe hujabadirika!

  • @tolatinofaustine
    @tolatinofaustine День назад

    Nenda kachikue ,zawadii ila nabii mkuu ajaye ni godlive ..hata nabii mkuu anajua

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo День назад

    Matokeo ya material world, wana wa Dunia+harakati zao

  • @carlosdigitals
    @carlosdigitals День назад

    Tatizo Mlimsahau Angerudije on trending, Tanzania Nzima imiengelee?

  • @DomitilaMtua
    @DomitilaMtua День назад

    Heee!kumbe na weweni wale wale!kwa heriiii

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 День назад

    Kwa wasiokujua watakusikiliza ,ila wewe ni Tapeli mkubwa

  • @Anast-o2m
    @Anast-o2m День назад +1

    Ni kweli ni freemason pia wewe haujatoka kabisa

  • @EmmanuelKolambo-ig6js
    @EmmanuelKolambo-ig6js День назад

    Hufai hata kuitwa nabii

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 День назад

    Mimi ningepata wakunipa hata baskeli tu ningezhukuru sana.bahati zinapigwa teke jamani

  • @Anast-o2m
    @Anast-o2m День назад +1

    Kairuki wewe ni nabii wa uwogo pia. Baba wa kiroho! Wote waabudu shetani

  • @modestajamada3496
    @modestajamada3496 День назад

    Sina mengi 😅

  • @MohamedIsmaily-e5b
    @MohamedIsmaily-e5b День назад

    Kwahyolinakuuma gali kamuombe sasa sinibabayako akupenawew muachegoodluck amtumikiemungu aliyehai

  • @elizabethmwaipola
    @elizabethmwaipola Час назад

    Biblia imekataa mitindo ya nywele za kichwa

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 День назад

    Eti nabii mkuu, huo unabii amekupa Nan ,yaani mnajipa unabii tu

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 День назад

    Nambii mku ni YESU KRISTO ntuu

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 12 часов назад

    Akuna kitu apo utaanguka wewe na huyu baba yake wa kiroho huna jipya wewe nyamaza tu maaana unajizaririsha tu wewe mwenywe huna mbele wala nyumba munamuchezea munge wewe siyo munge ukahumu anae hukumu nimungu poke yake jiangariye ukihukumu utahukumiwa kwenye musafara wa mamba hata kengenge wamo

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 День назад

    Labda watanzania wanataka watumishi maskin watawapata

  • @jeanc627
    @jeanc627 День назад

    Nyamanza nawe wewe uko nabii wabishaka feke unasema angeuzicha gari na gari ni yamasherani ule angelinunua naye masherani satamushika sibola amefanya vizuli kuunguza ile gari !! Na masherani akachomwa

  • @marssmalunga1749
    @marssmalunga1749 День назад

    Huyu ni shoga tu

  • @Anast-o2m
    @Anast-o2m День назад

    Huyo huyo amemkufuru Mungu mwenye unaita babako. Nonsense za waabudu shetani. Mungu awalaani. Tayari babako amemudhiaki Mungu na hukumu inawangonjea wote mnao abudu shetani, washirikiana na wachawi.

  • @AlbertKiwara
    @AlbertKiwara День назад

    Wacha Mungu aseme

  • @stephanomaduhu5426
    @stephanomaduhu5426 День назад

    😂😂😂😂😂kuna tu jitu tujinga hatariii

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 День назад

    Eti anajifanya rohoo inamuuma sana kama gari Katoa yeye

  • @AdamMinistries
    @AdamMinistries День назад

    Baba baba nini nyie ni wezi wakubwa shenzi kabisa nyie

  • @tolatinofaustine
    @tolatinofaustine День назад

    Hapo ulipo ni kuka inaongea..

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 День назад

    HIYU NAYE NI NABII WA NINI?

  • @ZarinaZakaria-g2u
    @ZarinaZakaria-g2u День назад

    Ko mayatima ndo wakupelekewa Mali haramu

  • @DominicMbuvi-g1s
    @DominicMbuvi-g1s 13 часов назад

    Wee peleks njaa zako huko. Unajipendekeza tu, ili hata wewe upewe gari

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 День назад

    Wala ufanani nae wewe minyele ibwa wewe jiombee mwenyewe

  • @gladysmatoke5328
    @gladysmatoke5328 День назад

    Anaongea nini wewe
    Mungu na unabii wenu nini kubwa shindwe wewe

  • @EmmanuelKolambo-ig6js
    @EmmanuelKolambo-ig6js День назад

    Shenzi kabisa,tunaongea utumbo

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 День назад

    Acha utapeli wewe ,

  • @ReinaLusajo
    @ReinaLusajo День назад

    Kumbe hata dada martha. Umemchafua tyyuuuu.

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 День назад

    Huyu fala miaka ya 2010-2015 alikuwa tapeli sana ,alikuwa anauza mafuta ya upako kabla hata kina mwamposa hawajaibuka ,huyu fala alikuwa tapeli sana

  • @jeanc627
    @jeanc627 День назад

    Nyamanza nawe wewe uko nabii wabishaka feke unasema angeuzicha gari na gari ni yamasherani ule angelinunua naye masherani satamushika sibola amefanya vizuli kuunguza ile gari !! Na mashertani akachomwaa