Dkt. GeorDavie atoa Gari na zawadi za washindi wa Miss Tanzanite Manyara - GeorDavie TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии •

  • @VisionVibes8
    @VisionVibes8 11 месяцев назад +2

    Geordavie ni mtumishi WA mungu WA mbinguni Alie hai

  • @MatildeBjelland
    @MatildeBjelland 11 месяцев назад +9

    Hakuna uwepo wa Mungu labda km ana Mungu mwingine

  • @gideonelishadai100
    @gideonelishadai100 11 месяцев назад +6

    Isaiah 9:16
    Kwa maana wawaongozao watu hawa ndio wawakoseshao, na hao walioongozwa na watu hao wameangamia.
    [16]For the leaders of this people cause them to err; and they that are led of them are destroyed.

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 Месяц назад +1

    Mungu yupo. ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Excel-Elevation-School
    @Excel-Elevation-School 11 месяцев назад +3

    8:09 Nabii Mkuu kaimba goma Kalii Sanaa
    Rudi Rich Mavoko ft Patoranking

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 Месяц назад +1

    Kama hauna chakukometi acha fanya mambo yako viongozi wakiwa na upendo na kusaidia watu muna umia na nyinyi njowene gurumo ya hupako 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 Год назад +22

    Nyie waumini wote,someni 1Korintho 10:31. Nyie watu mnachangamoto sana. Yaani mambo ya Dunia yameingizwa kanisani. Mnafurahia kupewa gari na vijipesa lakini mwisho wake ni kilio na kusaga meno.

    • @elijahsandeh5324
      @elijahsandeh5324 Год назад

      Shida li wapi kuzaidia

    • @jamesndirangu2425
      @jamesndirangu2425 Год назад +1

      Eehh shida i wapi wewe ukisaidiwa utakataaaa

    • @Masweko.org4357
      @Masweko.org4357 Год назад

      Point and fact 🎉

    • @PrscusVenance
      @PrscusVenance 10 месяцев назад +1

      Yesu anasema angalieni msifanye wemawenu machoni pawatu kusudi mtazamwe na watu .pili jiulize wapo waumini wangapi hapo hawajui hata Wana kulanini mbona asiwasaidie wapo watumishi wake wangapi hawana magari mbona asiwape.tatu fuatilia watuwote maarufu aliowasaidia kama Wana vuma tena mna ibiwa nyota fungukeni macho muda simrefu mta juwa Mungu hadhihakiwi

    • @GracePatrick-zc2eb
      @GracePatrick-zc2eb 10 дней назад

      Mna wivu watu nyie?

  • @GodfridMbele-sb1ks
    @GodfridMbele-sb1ks Год назад +8

    Hapa Yesu hayupo kabisa, kabisa, poleni mliopotea

  • @mkaliwao9537
    @mkaliwao9537 10 дней назад +1

    Nyakati za mwisho na shetani ame jiziilisha nguvu yake Kwa watu wa mungu walio kosa maarifa na kutambuwa wako kwenye wakati gani 😢😢😢😢

  • @QwaridaNadamassay
    @QwaridaNadamassay Год назад +2

    Jamam Mungu mwema tupe macho ya kuona, kwa jina la Yesu aminaaa

    • @isaacomayio7768
      @isaacomayio7768 11 месяцев назад

      👏👏👏👏👏👏👏Kyande aliimba vizuri kuwa,kama ni kuimba na shetani anaimba wala kuimba sio njia ya wokovu

  • @praiseludutu4053
    @praiseludutu4053 11 месяцев назад +4

    Yesu tusaidie na uturehemu kwa haya yanayo endelea

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 Год назад +14

    YESU anarudi kumbukeni hilo

  • @luicensigabriel104
    @luicensigabriel104 Год назад +3

    Duuuuuu tukeshe tukiomba no comment

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 Год назад +16

    Dah Acha niililie roho yangu, na roho za watu wangu!

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 Год назад +14

    Aliesikia mchungaji anamsifia mdada ana meno like zangu😆😆

    • @isaacomayio7768
      @isaacomayio7768 11 месяцев назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapo kuna kupigana miti

  • @MariamJonasi-m2m
    @MariamJonasi-m2m Месяц назад

    Nifundishe kunyamanza yesu. Yesu alisema zijaribuni hizo roho kama zinatokana na mungu

  • @ElizaMolle
    @ElizaMolle 8 месяцев назад +1

    baba mungu akubariki nawomba namimi unisaidiye nitoke kwenye umasikini

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 Год назад +1

    Woh ❤Maisha marefu kwako Baba

  • @BajouNizeye
    @BajouNizeye Год назад +12

    Siku zamwisho tutasikiya Vingi na tutaona Vingi, Neno LA Mungu hamuna😭

    • @elishamwakapugi7751
      @elishamwakapugi7751 Год назад

      Tengeneza mambo yako Acha kuhukumu

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 Год назад +1

      ​@@elishamwakapugi7751kwani weweni usher wa RUclips wakujibu watu??

    • @isaacomayio7768
      @isaacomayio7768 11 месяцев назад

      ,😭😭😭😭😭😭my God give us spiritual eyes we're perishing

    • @isaacomayio7768
      @isaacomayio7768 11 месяцев назад

      ​@@elishamwakapugi7751Nobody has judged anyone bt the pple states

  • @BobgIsmail
    @BobgIsmail 3 месяца назад

    Allhmdllah nashukuru kuzaliwa ktk uislam hakika dini ya haki mbele ya mwenyezimungu ni uisilam.

  • @gozdannyisaya6641
    @gozdannyisaya6641 Год назад +1

    Be blessed by gozdanny Daniel GOSPER WA INJILI

  • @KushahaLaban-co1un
    @KushahaLaban-co1un Год назад +16

    Dunia inakalibia jioni kweli kweli

    • @veronicanestory1662
      @veronicanestory1662 Год назад

      Acha ndg yang mm naogopa

    • @Sarahsaid2648
      @Sarahsaid2648 11 месяцев назад

      Aiseee jmn ww acha tyu nataman kulia sijui kinini hiki😢😢😢😢😢

  • @johnmnyawi5718
    @johnmnyawi5718 Год назад +21

    Ushabiki utapoteza nafsi zenu ,bado mnayo nafasi ya kubadilisha njia zenu. Mungu awarehemu

    • @elishamwakapugi7751
      @elishamwakapugi7751 Год назад

      Acha kuhukumu wewe vp wewe maisha yako ya rohoni

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 Год назад

      @@elishamwakapugi7751 sio KUHUKUMU Bblia ihv DHAMBI ZA WATU WENGNE NI DHAHIRI NAZO ZAWATANGULIA HUKUMUNI ILA WENGNE DHAMB ZAO ZA WAFUATA kwhy km n mmoja wao ,unayonafas ya KUJIPONYA roho yko na jehenam ukiwekwa mateka km ASEMavyo Yer42:22 bc tena

    • @isaacomayio7768
      @isaacomayio7768 11 месяцев назад

      Watu wamepotea juu wamekosa ufahamu

    • @mimimimi-pg5uk
      @mimimimi-pg5uk 11 месяцев назад

      Elisha sema huyu amehukumu nini?
      kilicho cha MUNGU ni cha MUNGU. kama huyu jamaa ni kichekesho ni hivyo. hakuna Mungu hapa wewe. kama umetumwa nae ni wewe lakini ukweli ni kwamba huyu sio wa MUNGU. na kama huna akili ni huna akili hakuna kukupamba. ELISHA HAKIKISHA unakuwa na akili usiwe mpumbavu usieweza kujua mengi,,, ila hata huyu bado hujua sio wa kutoka kwa MUNGU?. ETI HUKUMU.. UNAJUA HUKUMU WEWE?@@elishamwakapugi7751

    • @erasmobenardsangu-1854
      @erasmobenardsangu-1854 11 месяцев назад

      wachugaji apomnaonawivu rakini. watuwakiubirikweri. amtaki iyondosawa mwakipesire. arisema mkasema hanaeki mavipiapo

  • @JoyceChacha-i3w
    @JoyceChacha-i3w 6 месяцев назад +1

    Mungu akuongezee palipo pungua

  • @sashalemmoh3264
    @sashalemmoh3264 11 месяцев назад +1

    Embu shindweni kwajina la YESU

  • @AhaziAlexander
    @AhaziAlexander Год назад +12

    Hakika mwenyezi Mungu anawaona mnacho kifanya.sijaona hata siku moja ukihubili.ila kutoa na kujionyesha.mlagowe

  • @DavidSibwa
    @DavidSibwa 11 месяцев назад +3

    Mungu tusaidie ss tulio wadogo wa imani utupe iman iliyo timilifu kiroho utuongoze ututie nguvu uturinde na manabii hawa wauongo kama ulivyo tuahidi kuwa walio wako unawajua miongoni mwaoo na mm unijue bwana yesu wangu ntie nguvu ktk roho yangu Amina

  • @samwelimollel
    @samwelimollel Год назад +4

    Kweli mungu akae minguni maana ujumbe wake ikishaa kwa mtumishi wake kizimuu inamtumiaa poleni sana

  • @mariammbwaga8463
    @mariammbwaga8463 Год назад +7

    Eeh!Mungu tusaidie

  • @Apostlegmkumbwa
    @Apostlegmkumbwa Год назад +18

    Imeandikwa nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala lakini nyinyi mmeifanya pango la wanyang,anyi

    • @JedidaNdutuu-ys3lx
      @JedidaNdutuu-ys3lx 8 месяцев назад +2

      Wangejua kilicho nyuma yao ata hawawez shiriki .ila mungu awafungue macho y kiroho,

  • @raynawilliam4719
    @raynawilliam4719 Год назад +10

    E Mungu tupe macho ya rohoni

  • @NathaliceMushi
    @NathaliceMushi 2 месяца назад

    Baba ubarikiwe baba

  • @dorsandollah3384
    @dorsandollah3384 2 месяца назад +1

    Mungu kakubariki ila unaamua kufanya vitu vya ajabu

  • @AbedKirway-tr5wx
    @AbedKirway-tr5wx Год назад +2

    Asante baba nabii wa kisasa

  • @agnessmalyeek9387
    @agnessmalyeek9387 10 месяцев назад

    Baba uinuliwe sana❤

  • @ElizaMakaranga
    @ElizaMakaranga 3 месяца назад

    Mmmmh Mungu anakuona kama hukujiumba Mungu atakufunyagafiga

  • @GgSaw-vi4mo
    @GgSaw-vi4mo Год назад +11

    Chukizo la uharibifu limesimama patakatifu jamani

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 Год назад +1

    Yaaa Mukuruuuuu Ngaii Salama Manat wa Manase Mudhambiii???Khaii my people are so good and trully mean it🙏Dear Jodave thank you my,,My small letter from Sultan Rasurul daughter am among you

    • @nicocoba1741
      @nicocoba1741 Год назад +1

      E Mungu wangu e Kwa naamuna hii shetani yupo kazi it

  • @StephenMmanywa
    @StephenMmanywa Год назад +1

    Mungu atusaidie

  • @AngelRupia-od2gu
    @AngelRupia-od2gu Год назад

    Yaani mtumishi wa MUNGU wahitaji tupi wengi mno ubarikiwe sana ❤❤❤

    • @Masweko.org4357
      @Masweko.org4357 Год назад

      Muombe MUNGU akupe macho uone yaliyo nje ya fahamu na uono wa macho ya kibinadamu

    • @mimimimi-pg5uk
      @mimimimi-pg5uk 11 месяцев назад

      aMINA dANIEL mungu ATUFUNGUE MACHO@@Masweko.org4357

  • @agnessmalyeek9387
    @agnessmalyeek9387 Год назад

    Baba mungu akuinue in naye akuongezee siku moja kwetu

  • @PeterMayunga-v8d
    @PeterMayunga-v8d 11 месяцев назад +1

    Sku mungu akilud Dunian atashangaa kwan aliiacha ikiwa nzuri sana ila sasa imechafuka chafuka sana kana nichakula hakistahih kabsa kuluwa mungu atuhulumie jaman moto unatusubili

  • @klauskilamla1957
    @klauskilamla1957 11 месяцев назад

    Mchungaji geordavie is the best.hongera Santa geordavie

    • @isaacomayio7768
      @isaacomayio7768 11 месяцев назад

      Vitu za dunia hizo apeane neno na kuelekeza watu kwa njia ya ukweli

  • @MwanaNgurumo
    @MwanaNgurumo Год назад +1

    Baba nabii nimekupenda sana mungu akubariki

  • @niyonsabaemmanuel2671
    @niyonsabaemmanuel2671 Месяц назад

    Sasa izi hela zoto zinatoka wapi ❤

  • @mosesndimgwanko1079
    @mosesndimgwanko1079 Год назад +4

    Kanisa limegeuzwa kuwa sehemu ya mamiss,andiko gani linaonesha?Yanatoka wap hayo?

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Год назад +4

    Sasa hili ni kanisaa au vipi?

  • @amanikivuyo8141
    @amanikivuyo8141 Год назад

    Mungu akubariki Nabii

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 11 месяцев назад +1

    MZEE GEODAV NAKUKUBALI
    KINOMA DUH UNATUMIA
    PESA SANA MZEE GEODAV

  • @judithminja770
    @judithminja770 Месяц назад

    Nini hii Yesu😢😢😢

  • @ManuelLucastoto-m5h
    @ManuelLucastoto-m5h Месяц назад

    Baba naomba unisaidie pessa ya kunja uko tanzania nikuwone nipokee upako kwako baba.mimi ni mzaliwa wa mozambiki wilaiya ya palma sede

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 Год назад +9

    Kanisa hili limejaza Yezebeli kibao

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Год назад +6

    Huyu ni mfanyabiashara sio nabii kajificha kwenye neno la Mungu

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Год назад +4

    Yaani jamani Mungu atupe macho ya rohoni

  • @lidyagadyaaminasana576
    @lidyagadyaaminasana576 Год назад +14

    Huu ni uchafu mbele za mungu

  • @FiveFunny
    @FiveFunny Год назад

    Amina nabii

  • @BisimwaMusagalusa
    @BisimwaMusagalusa 10 месяцев назад

    Voici l'homme qu'il faut tuonane Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @JambojipyaWakubarikiwa
    @JambojipyaWakubarikiwa Год назад +2

    Mmmmh injili imevamiwa

  • @bettywambui5871
    @bettywambui5871 Год назад +6

    Children of God perish due to lack of knowledge,I don blv in this at all,jihadhalini sana.

    • @Masweko.org4357
      @Masweko.org4357 Год назад

      Muombe MUNGU akupe macho uone yaliyo nje ya fahamu na uono wa macho ya kibinadamu

  • @JohnMasudi-v5u
    @JohnMasudi-v5u Год назад

    Muz nabimuku unanibariki sana mimi nimucongomani

  • @JambojipyaWakubarikiwa
    @JambojipyaWakubarikiwa Год назад +4

    Mmmmh kwakweli kabisa ni aibu kwa nyumba ya ibaaada hiyo looooh

  • @JescaMwakipesile
    @JescaMwakipesile Год назад

    Bwana Yesu hakuwa na upendeleo hata sasa bado anatupenda jinsi tulivyo. TUOMBEANE TUCHUKULIANE MIZIGO. NI HERI KUTOA KULIKO KUPOKEA. MUNGU AWABARIKI WATUMISHI WOTE WAAMINIFU WANAOWAKUMBUKA WAHITAJI.

  • @mzeke-r9h
    @mzeke-r9h 2 месяца назад

    Kiboko ya wachawi mwingine oyeee pesa ngumu kuzipata ila hatuzikwi nazo,kuna maandiko hapo au kuna mafunzo ya kujua mafundisho ya mungu.zaidi ya usanii na sadaka ..africa badilikeni ........

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o Месяц назад

    Hizi ninyakati za mwisho kila mtu amutafute mungu wake kwa nafasi yake mungu wa mbiguni tuhurumia watoto wako tutubuni amaana siku za mwisho zimekaribia nakila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo Месяц назад

    Hili ni kanisa au?

  • @gwantwamwaipungu9652
    @gwantwamwaipungu9652 Год назад +5

    Mwenye macho ambiwi tazamaMungu anakasirika watu wanafurahia mshiko ok itajulikana

  • @PeterMgani-v7c
    @PeterMgani-v7c 5 месяцев назад

    Izo pesa anazitoa wapi?.

  • @ElizabethUbobo
    @ElizabethUbobo Год назад

    Tunaenda na wanao kwenda🎉

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn Год назад +1

    Barikiwa mtumishi wa mungu na mungu akulinde daima

    • @mazulacelestine3038
      @mazulacelestine3038 Год назад +3

      We nae unasema ubarikiwe kwa kazi ipi ya Mungu??

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn Год назад

      @@mazulacelestine3038 ametenda kazi ya kitume na huo ndiyo utumishi

  • @MponjoliBerdons
    @MponjoliBerdons Год назад +2

    Daaah kweli tumefikia huku?

  • @NeyNkwabi-p3b
    @NeyNkwabi-p3b 2 месяца назад

    Apo wapo uchi kweli mbona sijaona kosa lolote apo kwanza mungu alivyotuumba hakuweka nguo ila pale tulivyomkosea mungu ndio tukaajua nguo na hao wamevaa nguo na hawako uchi nyie mnaotoa maneno machafu mungu anawaona ila me naona baba yako tu vzr! Kwanza mungu haangalii walichovaa apo ila anaangalia moyo

  • @DianaShayo-io1pz
    @DianaShayo-io1pz Год назад

    Ubarikiwe sana baba, iendelee kuwa na moyo huo huo wakuwasaidia wanyonge kama sisi

  • @mpesastatements2265
    @mpesastatements2265 Год назад

    Huyu si mtu wa mungu pepo

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 Год назад +1

      Anachaguliwa walembo wakula vichocholoni😢😢😢😢

  • @ElinazaMlimbila-o1o
    @ElinazaMlimbila-o1o Год назад +5

    Maandi ili ya time lazima wawepo watimiza maandiko ninawahurumia maana jehamu nimahari pabaya

  • @MichaelAmos-k5v
    @MichaelAmos-k5v 9 месяцев назад

    Kuna wagonjwa, mayatima, wanaotaka Karo ya shule who's need's are very urgent than this, is God really in this, help me choose

  • @francislekula-fs1cj
    @francislekula-fs1cj Год назад +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @mamakhadijah2352
    @mamakhadijah2352 Год назад +6

    Hii ndo inaitwa mtawatambua kwa matunda yao yaani mkono mmja unakemea uovu mkono mwingine unauunga mkono Mungu atusaidie tujue kwamba shetani huja kwa njia nyingi

  • @rev.pasteuraimablebaobabt.v.
    @rev.pasteuraimablebaobabt.v. Год назад +1

    Yyyyyyyyyy 💜💜💜💜📖📖 ubarikiwe mtumishi

  • @ClospaBanza
    @ClospaBanza 3 месяца назад

    Nabii mkuu tuna mjuwa ni yesu christo unagawanya gari feza kenye kanisani umurudiye mungu wakweli mzee kwamaana majira tuko nayo ni mubaya jesu anakuja

  • @mwesi527
    @mwesi527 Год назад +3

    End of the time,aminini kwamba

  • @praiseludutu4053
    @praiseludutu4053 11 месяцев назад +1

    Majira sasa yapo jioni na ndege wote kwenye viota vyao Mwokozi yupo karibu na ujira wake

  • @elieneapalangyo6938
    @elieneapalangyo6938 Год назад +6

    Mboga hizo za mchungaji zimeletwa achague ile imenona

  • @daviddavid-gq8zp
    @daviddavid-gq8zp Год назад

    Hili kanisa la aina gani?

  • @twahaismail9440
    @twahaismail9440 Год назад +3

    Yani binadamu tumekua hatuna hofu ya mungu sasa dini gani inakubali ujinga huu

  • @gideonelishadai100
    @gideonelishadai100 11 месяцев назад +1

    Nabii wa kuzimu

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 10 месяцев назад

    Mmmmh,si kwa unabii huo jaman!!!

  • @signolinenikiza3710
    @signolinenikiza3710 Год назад

    Nafurahi sana

  • @SalmaAlly-dg3xn
    @SalmaAlly-dg3xn 7 месяцев назад

    baba na mm nione😢ninamayatimaa nawasomeshaa

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs 11 месяцев назад

    Yaani mimi nawashangaa watu wa coment kila mtu amepewa eneo lake

  • @KhadijaMohammed-z8c
    @KhadijaMohammed-z8c Год назад +2

    Inalilah waina lilah lajuuni

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 Год назад +2

    Kcheko cha geordevie duh

  • @zimanigervas7281
    @zimanigervas7281 Год назад +1

    Woooow

  • @glorychristopher7283
    @glorychristopher7283 Год назад

    Mungu yupo wap

  • @glorychristopher7283
    @glorychristopher7283 Год назад

    Ee mungu jaman tusamehee

  • @BhokeShilangalila
    @BhokeShilangalila Год назад

    Hyu madamu abarikiwe na Mungu

  • @EliyaMwangobe
    @EliyaMwangobe 11 месяцев назад +1

    Roho ya mtu ikifungiwa kwenye madhabahu basi hawezi kabisa kugundua BAYA Bali atakokotwa Hadi ....

  • @AlbinMsechu
    @AlbinMsechu Год назад +4

    Mke wa huyu jamaa anajisikiaje mumewe anavomsifia huyo msichana

  • @barackcanc7954
    @barackcanc7954 11 месяцев назад

    Mnyaturu msenge kweli huyu

  • @JacobMwilenga
    @JacobMwilenga Месяц назад

    NInyi watu mnaoumia wakati huyu MTU wa MUNGU ANAPOTOA MSIUMIE.
    WALA HAMJUI MAANDIKO WALA UWEZA MUNGU.
    SHIDA WACHUNGAJI WENU WANANJA A NA SI WATOAJI.
    Mungu yupo Na MTU ambae anaweza kuwapa watu sadaka bila kujali wakoje au kabila,

  • @remigimtenga7608
    @remigimtenga7608 Год назад +3

    Nabii mkuu una tabia mbaya!