NYUMBA YA MIL.1OO YAUZWA KWA KILO 38 ZA NYAMA, GWAJIMA ABEBA ZIGO LA KUMSAIDIA MZEE SANGA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии •

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 2 дня назад +12

    Huyo muuza nyama ni muonevu amrudishie mzee wa watu nyumba yake
    Asante Askofu Gwajima Jasusi la mbinguni ,msaidie huyo mzee kaonewa

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 2 дня назад +1

      ili swala nitamtafuna tu yeye na wengine waliousika maana haki ya mtu haipotei

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad День назад

      @@prophetjoelymairaministrie1778 kwanza watu wangap wanaalibikiwa vitu kutokana na kukatika umeme mbona hawapewagi fidia yoyote? Ni vip huyu Mzee akawafidie watu nyumba kwa hasara ya nyama?

  • @leomwessa2156
    @leomwessa2156 2 дня назад +15

    Kwanza kabisa huyu wa nyama na aliyenunua na hiyo mahakama na mahakimu wake wote ni MATAPERI , MH GWAJIMA WEKA NDANI WOTE HAO TUNAIOMBA SERIKALI YOTE NZIMA IMUSIMAMIE HUYU MZEE

  • @salimswedy6114
    @salimswedy6114 2 дня назад +5

    Mzee nakufaham sana pole sana kwa matatizo mungu atakusaidia hilo litaisha tena bila shida

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 2 дня назад +5

    Huu msala unamfaa sana Zari na Gabriel wa Global TV . Ngoja waje uone kama haki haijatendeka.

  • @emmanuelsamwel741
    @emmanuelsamwel741 2 дня назад +13

    Tunahitaji viongozi wenye moyo wa kuhurumia watu .. kama Bishop Gwajima 😢

  • @rahimkatwe89
    @rahimkatwe89 17 часов назад +2

    Gwajima huwa anajiamini vizuri sana hiyo ni wizi wanguvu

  • @EmmanuelAngribert
    @EmmanuelAngribert День назад +2

    Mi ndio maana nawakubali makonda na lijua likali DC wa nkas Mungu awabariki sana

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko 17 часов назад +2

    Uyo muuza bucha kazingua sana alikua anataka kujipatia pesa kwa njia sio sahii na apo ametumia pesa nyingi sana mbak kuuza nyumb ya watu bila woga wowote na ww mpangaji utalekebisha vp nyumba ambayo sio yako muuza bucha anatakiwa ahukumiwe miaka chungu nzima ili iwe fundisho kwa wapangaji wanaotaja kulekebisha nyumba ambayo ata bei ya kiwanja awaijui

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 2 дня назад +15

    Mungu akuongoze Gwajima akupe nguvu na ujasiri ukaitetee haki ya baba huyu

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 2 дня назад +5

    Shukran Mbunge wetu Askofu Gwajima kutusaidia sisi wanyonge wako tunavyo onewa wote wana roho mbaya tu Mungu atakulipa

  • @Mariamu-ux1yt
    @Mariamu-ux1yt День назад +2

    Mwenyew mungu umsimamie Gwajima asaidie ili jambo zuluma ipo wazi akimu muuza nyama kampun ya udalali ilio uza na alie nunua ote matapeli

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 2 дня назад +4

    ALLAH TENDA HAKI,JASHO LA MTU LIREJESHE,NIMEJISKIA HURUMA SANA KWA MZEE WANGU,NYUMBA IUZWE NA JELA APELEKWE??ALLAH TUTETEE

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r 2 дня назад +12

    Huyu alie mfanyia hivyo huyo mzee Atalaaniwa milele tena ikiwezekana kidudu chake kipotee akose utamu miaka yote pumbavu zake pole sana mzee Mungu atasimama na wewe

  • @sephaniangulo4035
    @sephaniangulo4035 2 дня назад +4

    Daaahhhhh, haya maisha haya.....Mungu atusaidie

  • @godfreymabula6858
    @godfreymabula6858 2 дня назад +6

    😢😢😢 haki ya mtu huwa haipotei inaweza kuchelewa tu, Mungu atakusaidia.

  • @magrethyoseph3034
    @magrethyoseph3034 2 дня назад +8

    Dunia hii ina mambo huo muuza nyama ni Jambazi na alitumwa na wenzake Majambanzi wenzake Pole Sana

  • @EmmanuelaMapunda-u1h
    @EmmanuelaMapunda-u1h 2 дня назад +8

    Wow,Mungu akujalie afya njema ,uwe mtetezi wa wanyonge vile amekuchagua

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 2 дня назад +4

    Jmn na uzee huo watu huruma ilisha isha.yesu usiniache ili niendelee kuwa mshindi Amina

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 2 дня назад +17

    Mm hakuna mbwa yoyote anaye weza kulala kwenye nyumba yangu kipumbavu nanma hii na hakuna mbwa yoyote anaye weza kuuza nyumba yangu namna hii

    • @BushiriAlly-d7f
      @BushiriAlly-d7f 2 дня назад

      Kwani kunambwa anaongea

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 2 дня назад

      Imapoingia Serikali huwezi kushindana nayo

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 2 дня назад

      @@saidsuleiman1753 kwan iliuza serikali au wahun?

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 2 дня назад

      Mtu akishafanya ujinga wa namna hii sifa ya kuitwa mtu haipo tena

    • @omarymbaraj8072
      @omarymbaraj8072 2 дня назад

      Ngoja ukutane na Jini Mahaba likubemende

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 2 дня назад +1

    God bless pastor and member of parliament Ngwajima to help this old man find his home

  • @Iam_info
    @Iam_info 3 дня назад +3

    Eeh Mwenyezi Mungu ingilia Kati muonekanie baba huyu😭😭
    Mbunge Gwajima Mungu akutie nguvu ya kufanikisha hili

  • @beatricejames-ss9sx
    @beatricejames-ss9sx День назад +1

    Duuu nimeshindwa kucomment coz watu wana roho mbaya sana

  • @monicamaganga8681
    @monicamaganga8681 2 дня назад +2

    Kwa kweli Mungu yupo haki yako utapata yaani huyo kijana mwenyebucha mjeuli chek anavyomuita mheshimiwa mbunge kwa zarau achukuliwe hatua huyo mwenyebucha hana hata haya

  • @shabanisaidi2490
    @shabanisaidi2490 День назад +1

    Hii dunia ukiwa hauna pesa unazaraulika sana pole sana mzee wangu😭😭😭

  • @bongo39
    @bongo39 2 дня назад +19

    Huyo jamaa wa butcher anaonekana ana roho mbaya sana

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 44 минуты назад

    Hii haijakaa sawa,muuza nyama anatumia nafasi azulumu,na anaonekana ni jambazi aliejifucha kweny biashara

  • @gerowadamwandika669
    @gerowadamwandika669 6 часов назад

    Huyo muuza nyama ni jambazi kama majambazi wengine ashughulikiwe pamoja na hiyo mahakama iliyotoa amri ya kuuzwa nyumba hiyo. Jamani watu kama hao wako wengi lakini mungu ni mwema dhuluma zao zipo ukingoni. Haki ya mtu haipotei sana sana inachelewa tu.🙏

  • @MichaelMahizi-r2d
    @MichaelMahizi-r2d 2 дня назад +2

    Kuna watu wananyanyasika sana tz kesi ianze upya mzee apate haki yake gwajima simamia utabarikiwa zaidi

  • @FredrickSanga
    @FredrickSanga День назад

    Askofu wangu, hapo panatia uchungu sana. Mungu akutie upako wa juu sana.

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 2 дня назад +1

    Pole sana mzee mungu akusaidie

  • @mugapro
    @mugapro День назад +2

    Kwani Mzeee haupajui Sumbawanga, au Bariadi kuna sehemu panaitwa Gamboshi, Mtu atajuta yeye na vizazi vyake,

    • @NoorNOOR-l7h7g
      @NoorNOOR-l7h7g День назад

      😆😆😆😆 nipenamba nami ninamatatizo

  • @Ambwene
    @Ambwene 2 дня назад +4

    Rushwa mbayA Sana aisee

  • @Mickson-o6l
    @Mickson-o6l День назад +1

    Mhh hii mungu ameanza kujibu machozi ya mja wake soon yana enda kufutwa....

  • @NelbatKasekwa
    @NelbatKasekwa 2 дня назад +1

    Mungu akubaliki kwa moyo wa upendo mweshimiwa

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba 2 дня назад +10

    Kwahiyo umeme ukikatika ni kosa la mwenyenyumba😢😢 jamani

    • @swalehaltooq5233
      @swalehaltooq5233 2 дня назад

      Ujinga ujinga tu serekali ipo ipo tu

    • @RidhiwaniMrisho
      @RidhiwaniMrisho 2 дня назад +1

      Alikatiwa na mwenye nyumba alikuwa anadaiwa ela ya umeme

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 дня назад

      ​@@RidhiwaniMrishohaiwezi kuwa sababu ya kuuza nyumba ya mtu tena ukizingatia yy ndo sababu ya kukosa umeme maana halipii

    • @mohamedisimai
      @mohamedisimai 2 дня назад

      Hapo kwa jela hapana yaani amelipa nyama kisha nyumba hana na jela hapana muuza nyama awajibike kwa hali zote

    • @RidhiwaniMrisho
      @RidhiwaniMrisho 2 дня назад

      @fettiemaganza1484 ni kweli

  • @davidjohn8908
    @davidjohn8908 День назад

    Hyo hakimu Mungu angemhamishia kuzimu tu, AFE HARAKA

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 дня назад +1

    Nimejjikuta nalia jamani babu Pole sana utapata hakiyako😢

  • @Mariamu-ux1yt
    @Mariamu-ux1yt День назад

    Mwenyez mungu tunakuomba msimamie mh Gwajima asaidie ilo jambo mana zuluma ipo wazi

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 2 дня назад +2

    Mungu akupe moyo wakusadia mubunge wetu na asikofu wetu mutate uyu muzee apate aki yake

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 2 дня назад

      Hataiweza hii kesi. Kashaiogopa. Ataishia kumpa mzee pesa kidogo.

  • @MohamedFadhil-m7r
    @MohamedFadhil-m7r 2 дня назад

    Dah pole sana mzee binaadam wabaya sana huyu kijana ana Tamaa anaonesha

  • @AdamNdaki-n6q
    @AdamNdaki-n6q 2 дня назад +2

    Watu wa hovyo sana hasa sisi wapangaji kwan kma umem kukatka si angenunua umeme alaf aje aombe jinsi ya kufidiana dah asee mzee wa watu alipambana kujenga leo nyumba iuzwe 8m

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 2 дня назад +1

    Mungu awatangulie na haki ipatikane🤲

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 2 дня назад +2

    Hii dhulma ya wazi kabisaa.watu hawaogopi mungu

  • @bongo39
    @bongo39 2 дня назад +3

    Hawa mahakimu mawakili wanatutesa na kutuonea sana sie wanyonge

  • @JohnMalina-k7o
    @JohnMalina-k7o 2 дня назад +7

    Mungu akulinde Mbunge Gwajima

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 2 дня назад

    Inatusha umeme na mwenye Nyumba vina uhusiano gani. Mahakama Mahakama Mungu anajua. Mungu ingilia kati mja wako vitu vyote vitaisha nimejikuta nalia kweli tumefika huko. Mungu tusaidie

  • @rahimkatwe89
    @rahimkatwe89 17 часов назад

    Mwenye nyumba kawa tanesco au mimi sijaelewa alafu nimejaribu kuchunguza mahakama huwa waendesha mahakama hata ukifatria wanavyo staff hawadumu wanakuja kuugua .laana zuruma

    • @fatmacharles369
      @fatmacharles369 16 часов назад

      Ndio mana watu wengi wakistaafu wanapata matatizo makubwa sana kutokana na manung'uniko ya watu

  • @rerisamba
    @rerisamba 2 дня назад

    Askofu wetu tena ako kwa mfungo ❤❤❤ yani naelewa kabisa unapo tufunza wako mashetani katika uzao wa binadam for surely unapeleka mwenzako mahakamani kwa ajiliya nyama

    • @AllyBenta
      @AllyBenta День назад

      Hiyo ndio maana ya Money Speaking dhuluma Kila Kona huyo ni Mmoja wapo wengi waliodhulumiwa

  • @faridiathumani3114
    @faridiathumani3114 2 дня назад +4

    Na ndo nyumba nzuri mtaa wote

  • @sizamazongera5610
    @sizamazongera5610 День назад

    Mungu uwa pamoja na alieonewa mungu atawalipa

  • @Samwelianaseti
    @Samwelianaseti 2 дня назад +2

    Dah ki ukweli inahimiza sana isikie kwa watu ki ukweli inahumiza sana tutafute pesa kwa namna yoyote ile mana naona pesa kwa APA duniani inatupeleka pabaya sana saha

  • @LamaribamJumbe
    @LamaribamJumbe 2 дня назад +2

    Huyo Costa Jambazi Kama Majambazi Wengine na Roho Mbaya na Ushilikina Umemjaa Nyambavu Zake

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 20 часов назад +1

    Ukistaajabu ya musa ya frauni hujayaona😭😭😭😭

  • @HENRYMATHIAS-h7e
    @HENRYMATHIAS-h7e День назад

    Mbunge Gwajima simamia baba Mungu atakufungulia lango linguine🙏

  • @TumainiMallya-x5x
    @TumainiMallya-x5x 2 дня назад +1

    Haiko sawa serekali inawatu waonevu sana kiongozi askari tunawaamini lakini wanatumika kunyang'anya watu haki zao siyo sawa kabisa mmewekwa kusimamia haki ya mnyonge machozi hayo yatawarudia wanaohusika kumbuka MUNGU yupo

  • @josephkahindi1713
    @josephkahindi1713 3 часа назад

    Kabla ujauza nyumba yangu akikisha unaniuwa kwanza😊

  • @KevinMwadende
    @KevinMwadende 2 дня назад +2

    Mungu yupo baba usijali

  • @kichefuchefu2382
    @kichefuchefu2382 2 дня назад +1

    Hyo jamaaaa anamdhulimu mzeeeee haki itendeke

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 17 часов назад

    Hyu mpangaji ni tapeli sana kapitia udhaifu wa mzee

  • @fatmacharles369
    @fatmacharles369 15 часов назад

    Yoyote aliehusika na utapeli huu alaaniwe na MUNGU KUANZIA NYWELE ZAKE MKAPA NYAYO ZAKE😢😢

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r 2 дня назад +1

    Watu wa Dar wengi wao ni matapeli kwaajiri ya ugumu wa maisha nakumbuka kipindi naishi kinondoni walimtapeli mtoto wa wifi yangu alikosea namba ya siri kwenye m_pesa yake jamaa mmoja kamshauri awapigie voda hata kabla hajawapigia kakumbuka namba jamaa alimgeuka kamwambia hela wagawane hela ilikuwa ni laki aligawana nae nusu kwa nusu eti kisa kampa mbinu ya kuipata hiyo hela wakati hata mbinu yake hakuitumia niliumia mno watu wa Dar ni wezi na matapeli

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara 2 дня назад +1

    Pole sana baba

  • @ChikondiMadaliso
    @ChikondiMadaliso 2 дня назад

    Mungu atutete sana uwongo siyo mzuri vijana ni wahuni

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 2 дня назад

    Mungu akubariki mweshimiwa Mbunge Gwajima huyo mpangaji hana uungwana amepangishwa halafu analeta maneno wapangaji ni shida sana

  • @ShabanKatagila-gy8tk
    @ShabanKatagila-gy8tk 2 дня назад +3

    daa inauma sana jamani

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba 2 дня назад +2

    Jamani, wamemkosea sana huyo mzee

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 2 дня назад +1

    Hyo biashara ilikuwa kma chambo tu ila mipango ya kudhulumu nyumba ilianza zamani sana mzee alikuwa hajui kma anaishi na nyoka

  • @MirajiKipingu
    @MirajiKipingu 2 дня назад

    Nimeumia sana yani huyumuza nyama mungu naomba akupe azabu yahapa duniani

  • @wachinaweusi8379
    @wachinaweusi8379 День назад

    Pole mzaz

  • @KulwaMohammed-d1v
    @KulwaMohammed-d1v 2 дня назад

    Mungu akuongezee zaidi ya hicho

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 2 дня назад +1

    Dah😭😭😭😭

  • @ebenezerfreight3309
    @ebenezerfreight3309 2 дня назад +1

    Mahakama za Ajabu na kipuuzi sana.

  • @FestoLalata
    @FestoLalata День назад

    Huyo mzee ameonewa sana

  • @WiliamMatondo
    @WiliamMatondo День назад

    Jamani jamani mugu akutangulie gwajima hyo nyumba imludie hyo mzee jaman wat hamumuogp mungu

  • @Eric_Hackz
    @Eric_Hackz 2 дня назад

    YESUUUUU,YESUUUU,YESUUUUU UONEKANE KTK HILI BWANA.MAMA SAMIA MAMA YANGU NAKUOMBA UMSAIDIE HUYU BABA.

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 2 дня назад

    SubhanaAllah dhambi jamani

  • @benardthomas8347
    @benardthomas8347 17 часов назад

    Ila kama watu tumefikia huko, hakika mauaji hayataisha,, mahakama inaamua kuhujumu mali ya mzee,,, kama mimi ndo nyumba yangu bora nife nao ndo nyumba wachukue nikiwa naitwa marehemu

  • @fatmacharles369
    @fatmacharles369 16 часов назад

    MUNGU AKUTUNZE MH MZEE GWAJIMA

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 2 дня назад

    Jamani jamani unyanya saji mpaka sasa jamani
    Watu tena awamuhogopi Mungu tena ❤

  • @BabeNoera
    @BabeNoera 2 дня назад +1

    Nimelia sana

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 2 дня назад

    Viongozi kama hawa NI ngumu kupatikana.Mungu akulinde na akuunge mkono upate kumtetea huyo mzee

  • @gaitanokamage7366
    @gaitanokamage7366 2 часа назад

    Yaan ningekuwa mwanasheria huyu mbwa bucha anganikoma mtafutieni huyu mzee haki wataalamu wa sheria

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 дня назад +4

    Sasa mwenye nyumba na kukatika kwa umeme inaingiliana vipi?

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 дня назад

    Naukae mbali na watu.wabaya maana wasiojulikana wasije.kukupoteza Allah akusimamie kwakweri inaumiza dhulma imejaa tz kwenye maki mpaka roho za binaadam inasikitisha sana. Maisha ya dunianitu ya mudamfupi mnamuonea.mtu.kweri.Allah yupo atawalipa.waxurumaji woote🤲

  • @JonasMathias-s6m
    @JonasMathias-s6m 2 дня назад +2

    MAHAKAMANI YAMEJAA MAJAMBAZI,UNAWEZAJE KUHUKUMU KESI KAMA HII,KWELI SUALA LA KUKATIKA UMEME LINAMUHUSU,NINI YEYE NI TANESCO ACHENI KUONEA MASKINI,

  • @BakaryBekq
    @BakaryBekq 2 дня назад +1

    Tanesco wanasemaje?

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 2 дня назад

    Allah atupe hki yko mzee wg

  • @BakaryZahoro
    @BakaryZahoro 16 часов назад

    Rushwa imekithiri tanzania mzee hana makosa umeme unamilikiwa na tanesko mahakama hiyo sio ya haki mkuu wa mahakama afungwe jera daima hiyo ni jinai

  • @TimotheoNtibayaga
    @TimotheoNtibayaga 2 часа назад +1

    Uyu ndo mana Lina roho mbaya huyu atakuwa mkuliya sura mbaya kumzulum Mzee wa watu

  • @JaneKabyemela-y5u
    @JaneKabyemela-y5u 2 дня назад +2

    Mpaka nimelia sana binadamu tunaelekea wapi

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 дня назад

      Wewe kama mie nimelia jamani kwa mungu tutasemanini😭😭

  • @MwanahijaKimaro-le9fp
    @MwanahijaKimaro-le9fp 2 дня назад +1

    Daaaah aisee

  • @oslojob5688
    @oslojob5688 День назад

    Hii dunia ina mambo mengi sana duu .kweli unazurumu nyumba kabisa

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 2 дня назад

    Kwenye Miaka Hapo Mzee Umetupiga..Kidogo..🤪

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 2 дня назад

    Duu inaumiza sana Allah atakusimamia

  • @emmanuelmitao131
    @emmanuelmitao131 День назад

    Huyo hakimu anahofu ya Mungu kweli?

  • @ZENAMALUKULA
    @ZENAMALUKULA День назад

    Dah mtihan kwa kwel watu wanaroho mbaya sana

  • @ahadisalum1989
    @ahadisalum1989 2 дня назад +3

    Sasa kosa hapo nila tanesko au mwenye nyumba

  • @TatuHaji-k8s
    @TatuHaji-k8s День назад

    Muheshimiwa ngwajima lisimamie hili Allah atakusaidia

  • @hijaabdalah9235
    @hijaabdalah9235 15 часов назад

    sio powa aise

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn 2 дня назад +6

    Hii siyo sawa huu ni uonezi kabisa huyu mzee sio tanesco hapa hapa gwajima simamia hili huyu mzee apate haki

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 дня назад

      Hakika na mimi najua umeme ni suala la Tanesco kwa nini asiipeleke Tanesco Mahakamani 😢😢

    • @johnsebastian-bx6qn
      @johnsebastian-bx6qn 2 дня назад

      @FatimaAli-of4gh hii ni changamoto katika jamii zetu watu wamekuwa wanyama sana hana hofu ya Mungu hv kweri inawezekanaje kuchukua mali ambayo sio yako watu wa aina hii hawatakiwi ktika jamii zetu