Well done Doto Mungu akulindee Yaani uko very smart ungesoma zaidi ingekuwaje. Slaa do something. Yaani watu hawana utu kabisa siku hizii wizii tuu.well done Doto we pray for you
We @femidahaya4882 huwezi amini yule kijana aliyejiita wakili ndio ukoo mzima tunamtegemea kwa mambo yote ya kisheria tangu enzi za ukoloni amekuwa msaada sana🤔
Ila ukisikiliza sana hii stori utaona mke Wa marehemu anaonekana alikuwa na mahusiano na mkopaji na ndiyo maana alipata sababu za kugushi hati ila pia wakopeshaji walihusika sana Ila mama mwenye Nyumba anaonekana ana mahusiano na muhusika
Ikiwa umemsikiliza kwa makini Huyu mjukuu usingefikiri kama hivi,ameeleza wazi walikuwa karibu sana tôkea enzi za babu Yake hajafariki,usisahau watanzania Wana desturi ya kumuamini MTU haraka Sana na kuonyesha nyaraka mhuhimu kwenye maisha Yao binafsi.
nyie benki wapumbavu nini kama kutapeliwa mumetapeliwa nyinyi musitafute kuwadhulumu maskini za mungu mimi niliokuwa si jaji basi najuwa sasa mtu kaweka dhamana kitu sio chake kwa njia ya udanganyifu enyie mutaingia motoni kwa ujinga
Pole sana mjukuu. Maelezo yako kama ni ya kweli, Mungu Atatenda. Kwa Uongozi wa Nchi yetu tulionao kwa wakati huu haki yenu mtaipata. Hii Nchi yetu inasimamia Sheria na Haki kwa sasa Mungu Watangulie.
Jaman Rais Samia naye anachoka Sasa uko wapi muhimu wa wasaidizi anaowachagua?? Yaan hao wote Barua zilikopita wafukuzwe kazi tu hawafai hata kidogo ni sababu huyu kijana hana Watu wakubwa nyuma yake hata simu
Hapo ndo tutapoona hii nchi inatetea haki ya wanyonge au vip. Muhim sana mdogo wangu nakushaur mtafute makonda makonda ndo mtetezi wetu na kama mh makonda ataona hii tunaamini atayafuta machoz yako mdogo wangu pole sana sana
Mungu awaguse viongozi wetu watende haki kwa hii familia kwasababu wao wapo kutuhudumia sisi wanyonge mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe Mungu awabariki viongozi wetu waihukumu kesi hii kwa haki Aaamina
Usilie brother munataisimamia haki haki ya mtu haizami utafaulu tuu kikubwa pambana na ww ninmwanasheria mzuri sana uae weza elezea kitu mtu akaelewa pole ina uma na ww bado mdogo sana hili jambo nila wakubwa lkn mungu kakuchaguq ww usimamie in sha Allah utafaulu raisi samia suluhu na waziri wa aridhi mumuone huyu kijana tafadhali na ushauri pia kwa familia sithakabadhi za nyumba original zihifadhiwe vyema na zisitolewe kupewa mtu kiholela mungu akulinde popote uendapo kaka na munakutqngulie upate haki yenu kwa uwezo wawenyezi mungu amiin nawapenda wenzetu watanzania from Kenya
Haki siku zote inasimama In Shaa Allah haki yk itapatikana ila kuna mchezo apo na mzee wake uyo alie foji nyaraka na yy anahusika na uyo anaefanya kazi Ikulu na yy anahusika kwa kuipija calender hii kesi
Dogo umeshinda hiyo kesi hao benk ni wangese sana WAZIRI SLAA NAKUPA KAZI KWA KODI YANGU NAYOLIPA ILI UPATE MSHAHARA MALIZA KESI YA DOGO HLF MUMTAFUTIE KAZI YA KUFANYA DOGO ANA DEGREE YA MITAANI
Jamani hii Kali Sana dhulma ya wazi wazi. Dogo pambana upate haki yenu Mungu atakusimamia na haki yenu mtaipata Inshaallah. Haki ya mtu haipotei mtaipata tuu.
MNGETUONYESHA NA NYUMBA “ POLENI SANA MH RAIS ATAKUSAIDIA USILIE MDOGO WETU NA UNAVYO ONEKANA UNA STRESS HADI UMEZEEKA KABLA YA UMRI WAKO BE BLESSED 🙏🏾
Tena ni mchaga Mmachame anataka kujua thamani ya Nyumba akili yote ni kwenye mali. We Nyumba haikuhusu ionyeshwe itakusaidia nini? Amezeeka kwa akili Mbovu unatamani atoe nomber za simu umtafute kwa mali za urithi. Mdangali mkubwa.
Usimwambie mtoto wa mwenzio amezeeka kwa stress Mungu ndie muumba wa yote kama umejaaliwa baby face mshukuru Mungu na sio kukufuru hujafa hujaumbika usimuonyeshee kidole binadam mwenzio na kumuhukumu hata akikuonyesha hiyo picha ya nyumba utamsaidia nini ? Kapuku wewe chunga kauli zako
Investigative journalism inatakiwa yaani case mwanahabari unaifuatili mpaka mwisho wake ndio inakuwa na utamu. Huyu dogo akasomee uanasheria. Mwanahabari nawe uko vizuri.
Mh. Jerry Slaa, Tunaomba huyu mtt apatiwe msaada jamani! Mungu amlinde, he is very brave.
Dogo uko vzr Mwenyeezi Mungu akufanyie wepesi
Sema dogo uko sawa kabisa japo una elimu ya kawaida pambana dogo mungu atakusaidia
Mungu/MUNGU sio mungu
waziri slaa huwa ni mzito kupokea simu
Ni MUNGU
Daah jaman IGP, Waziri husika wasaidieni hii familia kabisa
@@Zaburi-😂😊😊😊
Well done Doto Mungu akulindee Yaani uko very smart ungesoma zaidi ingekuwaje. Slaa do something. Yaani watu hawana utu kabisa siku hizii wizii tuu.well done Doto we pray for you
Mtangazaji ingekuwa vyema ungetembea nayo hii ishu Ili tujue mwisho wake @millard ayo
Dogo anajielezea vizuri sana
Tena Angekuwa amesoma cjui angekuwaje Nimempenda buree
Allah atajalia KHERI mdogo WNG HAKI yenu itapatikana kikubwa DUA NA IBADA Kwa mwenyezi mungu kila JAMBO linawezekana na HAKI ya Mtu cku zote haipotei
Dogo uko very SMART, uko vizuri sana, umejieleza vizuri sana, Mungu ATAWAPIGANIA, penye UKWELI, uongo hujitenga.
Dogo kichwani yupo very smart ❤
Kijana yuko vizuri, huyu angesoma angefika mbali...mwanasheria
Ila bado ana nafasi ya kusoma miaka kumi na tisa (19) bado ni mdogo
I like this kind of interview, the journalist just guide the other guy to explain his case and not try to outshine the guy.
Waziri hajui kama yupo kwa ajili ya wananchi na sio v8
Pole mama Samia. Una kazi ku bwa na hawa watendaji. Wameamua kushiba na kutojali chochote .Mungu akuzidishie hekima mama
Mh Jerry Slaa nakuomba msaidie huyu mtoto doto anapambana kwa ajili ya familia yake Allah akusimamieni kwa hilo
Daaah Dogo yuko bright sana, kma cyo std7 vile😊
Hongera kijana ( uko vizuri). Mungu ndiye mwamuzi. Utashinda.
Dah Dogo huyu anajua kujieleza Excellent, kwa maana hiyo naagiiza kesi yake ishughulikiwe haraka na haki ipatikane
Kijana anaonekana yupo makini sana,mbona hakuendelezwa kimamoso jamani😢😢😢😢namuombea baada ya haya yote aweze kurudi shule tena,he has a bright future,
Mhe.Jerry Slaa tenda haki kwa hawa Watanzania
Nimekupenda sana kaka kijana wa class 7 education kweli yuko hivi lakini kuna kijana wa elim ya Chuo hamfikii huyu kijana perfect
Usiende Mbali.. Umemuna/umemsikia yule kijana aliejiita Wakili/ Mwanasheria aliesoma barua mbele ya RC Makonda. Yaan kijana aliyakanyaka...Aibu. Kusema kweli hyu Doto Amebarikiwa.
haswaaa...yaani huyu serikiali ingempelekea shule kitdogo tuu angekuwa msaada baada ya haya kumtokea
We @femidahaya4882 huwezi amini yule kijana aliyejiita wakili ndio ukoo mzima tunamtegemea kwa mambo yote ya kisheria tangu enzi za ukoloni amekuwa msaada sana🤔
Hata mie jmn naic nisingeweza kujieleza hivyo,mama ampe tu kitengo huyo
@@eliezasamwel4891Karne ya Ngapi Mulianza kumtumia😃
Wakat wanamkopesha hawakumtaarifu washampa pesa ndio wanampigia mweny nyumba si nikichekesho hicho.
Ila ukisikiliza sana hii stori utaona mke Wa marehemu anaonekana alikuwa na mahusiano na mkopaji na ndiyo maana alipata sababu za kugushi hati ila pia wakopeshaji walihusika sana
Ila mama mwenye Nyumba anaonekana ana mahusiano na muhusika
Ikiwa umemsikiliza kwa makini Huyu mjukuu usingefikiri kama hivi,ameeleza wazi walikuwa karibu sana tôkea enzi za babu Yake hajafariki,usisahau watanzania Wana desturi ya kumuamini MTU haraka Sana na kuonyesha nyaraka mhuhimu kwenye maisha Yao binafsi.
Kumfikia waziri Dr jerry silaa ndio mtihani Millard angemsaidia kumuonbea kwa waziri wampokee doto akifika haki atapata sila Hana unafiki
Huyu dogo ni class seven lakin akili yake ni zaid ya D mbili. MUNGU awatangulie tu maana hii dunia ina mazegere sana kwa kweli.
nyie benki wapumbavu nini kama kutapeliwa mumetapeliwa nyinyi musitafute kuwadhulumu maskini za mungu mimi niliokuwa si jaji basi najuwa sasa mtu kaweka dhamana kitu sio chake kwa njia ya udanganyifu enyie mutaingia motoni kwa ujinga
Du inasikitisha Sana !.
Mungu amsaidie huyu kijana
Yaani cjui hata nikwanini hukupara Elimu zaidi, Mungu amfanyie wepesi Ameen
RAIS RAIS RAIS MAMA MAMA MAMA 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 hekima yako mamaaaaaaaaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏 🎎🎎🎎🎎🎎🎎🎎🎎🎎🎎😢😢
Dr slaa tunakuamini wananchi, huna upendeleo, nina imani ushamsikia huyu mtoto😊
Watanzania,mumeanza kuona absent ya Doctor Magufuli?
Aksante kaka mtangazaji Mungu akutunze
Eee Mwenyezi Mungu weka wepesi katika jambo hili ili haki ya hii familia ipatikane.
Jamani huyu mtoto ana akili sanaa
Elimu haina mwisho maombi yangu huyu mtoto aendelezwe kielimu
Hapo dogo pambana mungu atasaidia
Dogo uko vizr mungu atakusaidia haki yenu itapatikana
Pole sana mjukuu. Maelezo yako kama ni ya kweli, Mungu Atatenda. Kwa Uongozi wa Nchi yetu tulionao kwa wakati huu haki yenu mtaipata. Hii Nchi yetu inasimamia Sheria na Haki kwa sasa
Mungu Watangulie.
Pole MTT Mungu atakusaidia
M/Mungu akutilie wepesi mpate haki yenu
Aisee mtoto ana akili huyuuu dah❤❤❤
Pole sana mwanangu , Mungu akutetee haki itendeke
Mama anamuda wa kuuza bandari za tanzania tu basi.
Mh. Dr Jerry Silaa nakuamini sana, chonde chonde msaidie kijana na bibi yake wapate haki, Mungu atakubariki zaidi
Subuhanallah. Mtihani Allahnakufanyieninwepesi. Kwakilaatua. Hakiyamtu haipotei hivihivi mtafanikiwatu mtapata hakiyenu. Amyn
Sasa km Rais ameiona barua kwanini Asingepiga cm Kwa wazuri wake jamani daaaaah wanyonge wanakosaga haki zao sana
Yani nimemuonea huruma pesa wamekula wengine nyumba yaoiuzwe
Wanyonge tutanyongwa sana. Waziri kwaninj asipigiwe cm. Inarudishwa barua
Jaman Rais Samia naye anachoka Sasa uko wapi muhimu wa wasaidizi anaowachagua?? Yaan hao wote Barua zilikopita wafukuzwe kazi tu hawafai hata kidogo ni sababu huyu kijana hana Watu wakubwa nyuma yake hata simu
Una hakika aliiona? Kuna panga pangua nyngi zimetokea miezi miwili katika jumba jeupe miezi hii miwili
Utaratibu nahisi
Polensn umejua kujieleza vzr mungu yupo
Ooh Allah nakuomba msaidie huyu mtoto anaehangaika kwa kutetea haki yake .tanzania wanyonge na maskiin tunadhulumiwa sana mungu wahukumu wadhalim
Hapo ndo tutapoona hii nchi inatetea haki ya wanyonge au vip. Muhim sana mdogo wangu nakushaur mtafute makonda makonda ndo mtetezi wetu na kama mh makonda ataona hii tunaamini atayafuta machoz yako mdogo wangu pole sana sana
Mmmmh makubwa,Mwenyezi Mungu mtie nguvu
Mama yamefika kwako najua una jalisco wananchi wako,hilo limekwisha Mungu akusaidie ,mama Suluu wa wanyonge
MTT Mzr anaakili nimeipenda sana Mungu amfungulie njia pasipo nanjia
Emen
Mungu awaguse viongozi wetu watende haki kwa hii familia kwasababu wao wapo kutuhudumia sisi wanyonge mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe Mungu awabariki viongozi wetu waihukumu kesi hii kwa haki Aaamina
Mungu atawasimamia mtoto huyu kwakweli ni kichwa .hayo alioyapambania ni tofauti na umri wake mw.mungu ajaalie mmmh hatari😢
Huyu kijana atashinda tuu,yaan Mungu ni mkuu, jipe moyo mkuu,ushindi upo
Dahaaa inaumiza ax ila mungu yupo atakusaidia mdogo wangu
Hii iliishia wapi?
dah dogo Ma Shaa Allah amenyoosha maelezo safi sana Allah Allah awajaalie mpate haki yenu Mh Rais wasaidie raia wako.
Mungu akufanyie wepesi kk
Daaa Mungu metetee huyu mtoto Mhe Jerry mtenda haki msaidie huyo mtoto
Usilie brother munataisimamia haki haki ya mtu haizami utafaulu tuu kikubwa pambana na ww ninmwanasheria mzuri sana uae weza elezea kitu mtu akaelewa pole ina uma na ww bado mdogo sana hili jambo nila wakubwa lkn mungu kakuchaguq ww usimamie in sha Allah utafaulu raisi samia suluhu na waziri wa aridhi mumuone huyu kijana tafadhali na ushauri pia kwa familia sithakabadhi za nyumba original zihifadhiwe vyema na zisitolewe kupewa mtu kiholela mungu akulinde popote uendapo kaka na munakutqngulie upate haki yenu kwa uwezo wawenyezi mungu amiin nawapenda wenzetu watanzania from Kenya
Pole sana Dunia iná mambo
Very painful 😢, dogo usikate tamaa viongozi wamesikia. You are very smart l can't imagine. Waziri Mh. Slaa fanya jambo haraka kabla Nyumba haijauzwa.
Na ukifatilia inaweza kugundulika muhalifu ni mfanyakazi au alikuwa mfanya kazi wa serikali!!! Hii ndiyo Tanzania yetu😢
Baba yake mstaafu wa ikulu na ndugu yake anafanya kazi ikulu mpakq sasa changamoto kwa dogo watu wana ikimbia hyo kesi
Kijana la 7 ila anaakili mingi
Haki siku zote inasimama In Shaa Allah haki yk itapatikana ila kuna mchezo apo na mzee wake uyo alie foji nyaraka na yy anahusika na uyo anaefanya kazi Ikulu na yy anahusika kwa kuipija calender hii kesi
Kibonge cha Mwandishi. Mwandishi msaidie huyo kijana ma bibi yake kumwaona Waziri mweny Dhamana ya Ardhi.😊😊
Hizi benk nazo zinapoteza Imani kabisa
Dah inauma sanaa kuna haki zinapotea
Angekuwa Makonda angelitatua kwa uharaka maana mkuu wa mkoa wa hapa amelala
Yupo busy na madada poa kesi yake itafatiliwa
Hahahahahaha mweeee Mungu atusaidie kufungua ufahamu mana mambo ni mengi
Na sehemu kama hizi ndo umuhimu wake huwa unaonekana
Zuruma ya wazi kabisa hii inasikitisha sana jamani
Mungu asimame UPANDE wenu Doto mdogo wangu na mpate msaada 🙏🙏🙏🙏
Tunaomba Sana Sheria mmusaidie huyu kijana jamani
Mungu mwenyewe asimamie hii kesi na muheshimiwa Rais
Muone kijana huu na haki itendeke
So bank wanatoa mkopo kwa mtu kwa kutumia account tofuati na yenye majina tofauti tena inawezekana bila hata kukagua hiyo nyumba? Ni utapeli tu😢
Yaaaqqqni kijana ni genius yaasni very smart angesomaa jamanii,kweli mchungaji kimaro wakijitonyama amesema wenye akili wasaidiwe , wasitupwee kijana yuko vizuriii❤
Hii michezo mibaya sana
Hongela sana dogo unaongea umenyooka vizuri sana.....
Imagine kuna wengi wana stuation kama hiyo lakini hawana mtu wa kuwasemea au kuwapambania kama huyu dogo
Mungu haki na apewe haki yake Mungu awafanyie wepesi mpate nyumba yenu, Huyo Tapeli na Afanyiwe Adhabu yk 🙏
Sorry mwenye haki apewe haki yake
Ila huyu dogo cjui why hakupata kibari cha kusoma anaonekana yuko smart sn nime mpenda bure Mungu akutunze kijana mpate nyumba yenu 🙏
Jamani Doto upo vizuri, Haki itendeke jamani
Kiukweli upo ver god kama muhtm wa chuo frani ivii ila swara lako mtafute makonda naimani litaisha na mwenyez MUNGU akusaidie sana nakuombea 🤲🤲
Mtafute makonda mungu muinue makonda awe lahisi
Mungu ni mwema haki yenu itapatikana tu
Akili si mpaka usome tuu jamani anajieleza vzr saana
Mungu akusimamie doto ukovizuri smat boy haki na Jasho lamtu halipotei bure Hata mbele ya haki itakutwa Allah akusimamie mdogo wangu
Dogo umeshinda hiyo kesi hao benk ni wangese sana WAZIRI SLAA NAKUPA KAZI KWA KODI YANGU NAYOLIPA ILI UPATE MSHAHARA MALIZA KESI YA DOGO HLF MUMTAFUTIE KAZI YA KUFANYA DOGO ANA DEGREE YA MITAANI
Kwa kweli very Smart anajuwa kujieleza angesoma angefika mbali sana
Kwa kweli
Pambana dogo mungu atpi
Pole sana usiliye mtoto mungu yopo aþàkusaiďiya
Mungu hakunyimi vyote aisee, dogo anajiamini sana, nimpambanaji kijana anahakili kubwa
Mama samia,msaidie huyu kijana
Duh Pole sana
Dr.slaa Wewe Ni mtu wa Mungu jaribu kumtetea huyo kijana mwenyezi Mungu atakujaria
Jamani hii Kali Sana dhulma ya wazi wazi. Dogo pambana upate haki yenu Mungu atakusimamia na haki yenu mtaipata Inshaallah.
Haki ya mtu haipotei mtaipata tuu.
MNGETUONYESHA NA NYUMBA “ POLENI SANA MH RAIS ATAKUSAIDIA USILIE MDOGO WETU NA UNAVYO ONEKANA UNA STRESS HADI UMEZEEKA KABLA YA UMRI WAKO
BE BLESSED 🙏🏾
Nina uhakika ww ni mwanamke uloandika hii comment 😂❤
Tena ni mchaga Mmachame anataka kujua thamani ya Nyumba akili yote ni kwenye mali. We Nyumba haikuhusu ionyeshwe itakusaidia nini? Amezeeka kwa akili Mbovu unatamani atoe nomber za simu umtafute kwa mali za urithi. Mdangali mkubwa.
@@MrishoMindu-zq7mzhapo kwa wamachame 😂😂😂
Usimwambie mtoto wa mwenzio amezeeka kwa stress Mungu ndie muumba wa yote kama umejaaliwa baby face mshukuru Mungu na sio kukufuru hujafa hujaumbika usimuonyeshee kidole binadam mwenzio na kumuhukumu hata akikuonyesha hiyo picha ya nyumba utamsaidia nini ? Kapuku wewe chunga kauli zako
Nyumba ya kuchukuliwa mkopo wa M200 siyo ya kitoto brother
Kwa Sabu wapo ikulu wanawadhurumu Hawa watu
Elimu ya la saba inatosha kabsaaa... Hongera mnooo dogo
Kina mbunge msukuma hawa
Hongera mtoto unaongea vzr jamani una akili jamani asaidiwe
Dogo ana akiri kuliko chawa mweusi
Mungu awa Sadie mweze kupata haki yenu maana makonda ameongea ukweli alipo sema masikini awezi kupata haki mahakamani
Apewe ulinzi pia watampoteza soon
kweli kabisa
Hata. Mie nimewaza hivyo
Tena iwe haraka jamani alindwe huyu dogo
Duuu kijana yuko vzr sana ana content
Polisi vipi waombe pesa yote hiyo, kwenda kumkamata muhalifu?
Polisi haina pesa?
Wanatoa wap?
Dah!!! Inauma sana mnatoa pesa na mhalifu amekumbia dah Hii nchi kuna namna ya kumpa makonda
Hahaaaaa kwani wewe ni mgeni Jerusalem hii !
Dogo yuko smart sanasana mnooooooo
Std 7 km Chuo Kikuu
Mungu Akulinde ,Akuepushe na Hao Walioghushi Chukua Rb Kabisa ,Omba Ulinzi Pole Mdg Wangu .
Mungu akusimamie mwanangu
Mungu anafanya njia pasipo na njia
Investigative journalism inatakiwa yaani case mwanahabari unaifuatili mpaka mwisho wake ndio inakuwa na utamu. Huyu dogo akasomee uanasheria. Mwanahabari nawe uko vizuri.