Mtanzania Bilionea Aliyeuza Kampuni Yake Kwa Bilioni 57 Afunguka: 'Ilibidi Kukopa Nipate Vibali'
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Akizungumza katika mjadala ulioandaliwa na Tanzania Start-Up Association, Andron Mendes anaelezea jinsi alivyoweza kuuza kampuni yake ya Kopa Gas kwa dola milioni 25 mwaka 2020, anaeelza moja ya kikwazo kikubwa alichokutana nacho kupata uwekezaji ni mchakato wa vibali ambapo ilimbidi wakati fulani amkope mwekezaji. Kopa gas iliuzwa kwa kampuni inayoitwa Circle Gas
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
start ups tanzania tunapata shida sana kupata capital
sheria , wageni wengi sana wanapenda Tanzania na Wananchi yake , lakini ukiangalia kwa upande ya sheria , ni shida , adhi watu wanamua kwenda nchi inghine kama Kenya ao Rwanda.
His project could be game changing kwa Nchi yetu... Kwanini aliiuza
Tunamjua alibatizwa akaitwa Arone Richard Mende hilo jina la Andron Mendes ni la bilionea😂😂
Na ni changamoto kubwa sana Tanzania elimu ya uwekezaji bado inaleta shida sana tanzania. Kenya and other countries are making a lot na vijana wengi wa Tanzania wako na innovations nyingi zimelala.
Great mind 🎉
Mawaziri wamekaa Hapo Ila io fcc na clearance sheria hawatobadilisha... Cjui wanafanya nn hapo
Hizo hela ndo wanapigaa
Tanzania very nice country and peoples , but for business is not ready , government will have to change business rules, obtaining the permit is too slow and tra and other body can stop you for any nonsense at any moment , so it is not safe for foregnairs investors , change it and many they will come
Inashangaza kwakweli ndio maana Wakenya wengi wamekuja kuwekeza Tanzania na juzi juzi rostam anadai hakuna inchi iliyoendelea Kwa uwekezaji basi Mimi nachanganyikiwa mno
Kuna siku nilirudi home late, nikawasha gas, ugali ukatokotatokota kidogo, jiko likazima gas imeisha, halafu maduka yamefungwa... nikawaza sana kwa nini mitungi haiwekwi mita, mtu uwe unaona gas inavyoisha
Inategemea na uliponunua.
@ Kweli eh?
Hapa Brasil IPO Divice ambayo unaifunga juu pale kma mtungi wa gás ya kuchomea inkuwa na mita ukifungua gás tu garge inpnda
Hata. Tz ipo@@leecode6135
@ Safi kabisa, sijakutana nayo bongo hiyo
Mifumo yeti ya kusaidia startups ni useless, serikali inabidi ibadilike, wananchi àkili nyingi ila serikali vikwazo vingi vibali kibao
Hizo bilioni 57 zilikuwa ni dolla au shilingi? Asanteni kwa kutujuza ni jambo zuri kuelimishana 🤝
Hujasikiliza vizuri,rudia tena utasikia neno $25m limetajwa ambapo aliulizwa kwa pesa za kitanzania ni sh ngapi akataja B57
Shilingi kaka,kampuni waliuza Dola million 25
SAUTI HAISIKIKI.
bodi iundwe jamani tupate some ideas out
Kopaaaa
Huyu ile Kesi ya Mauaji walimuachia, amekweli Africa Ovyo kabisa
huyu jamaa ana kesi ya mauaji? mashaidi je? daah Mungu wangu
Mistake hutokea boss, sio kila kifo kinatokea kwa kukusudia, kuna mahali sheria inawekwa mfukoni but pesa iwepo.
Mtaalam anaongea points taratibu lakini anajua anachokisema
Hapo wanasikiliza kama watatekeleza, baada ya miaka kumi atakuja mwingine kuomba hilihili
Serikali inabidi iangalie ili swala la kuweka mazingira mazuri kwa vijana wenye mawazo wasio na pesa. Naamini kuna mawazo mengi yanapotea kwa sababu ya mazingira mabaya just imagine uyo angekata tamaa.
FCC NI KITU GANI
Mawaziri hawandika wamekaa tu
alikuw na Kesi amtoka kwan
kesi gani tema jmni?
Ya mauwaji ya mlinzi wa kiwandani kwake@@jedidahbintidaudi8241
Grant funding si mikopo mkuu, sema ni misaada tu