KIJANA MDOGO BILIONEA, AJENGA JUMBA LA BILIONI 1, ANAUZA DAWA "NILIACHA KAZI SERIKALINI WAKANISEMA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 сен 2023
  • Anaitwa Amelye Mhagama kijana mwenye umri wa miaka 34 mfamasia aliyekuwa akifanyakazi serikalini kwa miaka saba tangu 2010 hadi 2017 na kuachana na kazi za serikalini
    Mwaka 2017 alianza kujitafta kwa ufungua maduka ya dawa za binadamu na safari yake ilianzia mkoani Dar Es Salaam na sasa ni miongoni mwa vijana waliojipata anamiliki maduka makubwa ya Dawa Dar Es Salaam, Arusha na Dodoma ambako amejenga nyumba ya zaidi ya Bil.1 na ameiweka nje ya mji lakini sisi tumemtafta ili atupe ukweli kuhusu kumiliki nyumba hiyo ikiwemo safari yake ya maisha

Комментарии • 370

  • @user-mt1ep9eu4e
    @user-mt1ep9eu4e 8 месяцев назад +5

    the way u speak abt ur brother shows hw much u appreciate his support, nevr leave him behind...huyo ndo CPU wako ktk mafanikio yako

  • @ramadhanimwendapole8265
    @ramadhanimwendapole8265 8 месяцев назад +2

    Ahsante sana mengine yote huo sichunguzi mm huwa nasikiliza nn kinasema your so genius brooh thanks

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 4 месяца назад +3

    Haya jamani walio jenga nyumba tunaziona .mwijaku mdg wangu wanaume wenzako unawaona hao.hawana mambo mengi wala maziloooo.hongera sana sasaiv matajiri vijana wadogo sana mungu 🙏 akubariki🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @oliveramani5629
    @oliveramani5629 9 месяцев назад +2

    Hongera muhagama nimekuona umejitahidi

  • @Mubarak552
    @Mubarak552 7 месяцев назад

    Nimekuwa inspired na hadithi ya Mafanikio ya Mhagama, hongera Sana, nimependa unaporudia kila mara Kuhusu kuheshimu wateja na jinsi ya kuongea nao

  • @salomemuza8509
    @salomemuza8509 9 месяцев назад +9

    Amelye hongera sanaaa,unyenyekevu,utii,bidii na kutokukata tamaaa vimekufikisha ulipo.
    Labda ningekuwa sikufahamu ila dah! Ulijinyima vingiii ili yako yaende.
    Mungu aendelee kukufanikisha🙏
    MANENO HATA KWENYE KHANGA YAPO!....KAZI IENDELEEE......

  • @emmanuelmkelehe366
    @emmanuelmkelehe366 8 месяцев назад +2

    humble man i appreciate you bro

  • @jabalimikechi7750
    @jabalimikechi7750 9 месяцев назад +13

    Congratulations brother,your commitment and dedication teach me something.... Well done brother I love you discipline and your humbleness 👌👌👌💪💪💪

  • @fridaernestmkedege900
    @fridaernestmkedege900 9 месяцев назад +1

    Hongera!

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 7 месяцев назад +1

    Akii hela wewe!!
    Hongera sana kijana.

  • @kijanamwepec1456
    @kijanamwepec1456 8 месяцев назад +12

    Story mzuri, Ila iko hafifu Sana kuhamasisha Uma. It takes not less than 10yrs to do something big .

    • @daudimkuki8018
      @daudimkuki8018 8 месяцев назад +1

      Motivation speaker 😂😂
      Kuna vitu havisemwi babu

    • @m404msigara7
      @m404msigara7 8 месяцев назад +1

      ​@@daudimkuki8018😂😂ila ndio ukweli sasa

  • @user-wr2mx9mr3b
    @user-wr2mx9mr3b 8 месяцев назад

    Mungu akubaliki unapambana kijana

  • @musicbilali
    @musicbilali 8 месяцев назад +1

    Hongera sana brother nzotta pharmacy, hii ni hatua kubwa na unatuhamasisha sana, mimi nimefanya biashara na wewe natambua bidii yako

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 9 месяцев назад +5

    Naufaham huu MJENGO ndo njiayangu sema mmiliki nlikuwa cmjui hongera sana braza INAWEZEKANA

  • @georgenyoni9879
    @georgenyoni9879 8 месяцев назад

    Matumizi umeelezea point Sana ✌️✌️

  • @ezekielsaiyelelkereri4009
    @ezekielsaiyelelkereri4009 8 месяцев назад +3

    Namfahamu mpambanaji Nzota pharmacy. Kongole sana Mhangama

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 3 месяца назад

    Hongera sanaa tunajifunza kutokea kwenu

  • @dr.jaymesdamas2011
    @dr.jaymesdamas2011 9 месяцев назад +1

    Acha kaziiiiii

  • @oliveramani5629
    @oliveramani5629 9 месяцев назад

    Safi sana kaka by isaya

  • @emanuelkisanga3429
    @emanuelkisanga3429 8 месяцев назад +9

    Nadhani angehojiwa na mwandishi mwingine tungepata content nzuri zaidi.

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 9 месяцев назад +1

    Congratulations nyingi kwako

  • @MagrethMussa-hm3qm
    @MagrethMussa-hm3qm 3 месяца назад

    Hongera sana brother

  • @samoomwashumbe653
    @samoomwashumbe653 8 месяцев назад

    4:03 humble boss that i know...Big up broo mhagama

  • @alristv3599
    @alristv3599 2 месяца назад

    Daaah very interesting story

  • @user-jl1hh1lc8z
    @user-jl1hh1lc8z 8 месяцев назад +2

    hongera sana kaka na Mungu azidi kukuongezea maokoto kama yote

  • @isaachakim31
    @isaachakim31 9 месяцев назад +2

    I have the same dream 🙌

  • @benedictaustard5583
    @benedictaustard5583 9 месяцев назад +27

    Kuna kitu gani kimewasukuma kumhoji!.
    Kuna kitu kimejificha hapo!.
    Hiyo historia yake ni rahisi sana kuwa uhalisia!.

  • @cleofaskasonso4603
    @cleofaskasonso4603 9 месяцев назад

    Safi sana

  • @ElisioVicenteMadimba
    @ElisioVicenteMadimba 8 месяцев назад +1

    Mwiaka kidogo sana umefeli kimaisabu brow, unadanganya.

  • @peterpaschal4522
    @peterpaschal4522 8 месяцев назад

    Jamaa yupo vizr ofc yake naijua arusha❤

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 9 месяцев назад +24

    Namfahamu, he is a nice and hardworking gentleman💪💪💪💪

    • @yousport7050
      @yousport7050 9 месяцев назад

      unamfahamu kumbe 😃

    • @amelyemhagama3997
      @amelyemhagama3997 9 месяцев назад

      Asante sana Dr pamoja sana ,,

    • @morganbrighton1552
      @morganbrighton1552 7 месяцев назад

      @@amelyemhagama3997congrats bro

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 5 месяцев назад +1

      Siku zote ukijituma unafanikiwa ...huyu kama Mimi tu ...nitafika huko

    • @stephenmwakasonda892
      @stephenmwakasonda892 3 месяца назад +1

      Bro alitimuliw chuo mwaka wa pil mm nkiw wa kwanza check Leo mungu nkampa kitu licha ya changamoto zote alizopitia

  • @wilsonkihwele5766
    @wilsonkihwele5766 8 месяцев назад +5

    Mwongo sana huyu jamaaa mungu tusaidie kuwa wakweli

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 8 месяцев назад +4

    Vijana tufanye kazi maana kuna vitu ukivitafuta sana unaweza kuona unakosea,ila sisi tuwekeze nguvu zetu katika kujiwekeza,sio kuchkua maisha ya wengine maana huwezi jua yaliyomo,mambo ni different kwa ground

  • @irenecharles6111
    @irenecharles6111 8 месяцев назад +1

    Boss la maboss🔥🔥🔥

  • @user-ms3tp9oy2o
    @user-ms3tp9oy2o 9 месяцев назад +1

    Sound

  • @elisante6838
    @elisante6838 8 месяцев назад

    Mpangaji wangu

  • @elinisaidiemlay2374
    @elinisaidiemlay2374 8 месяцев назад +1

    Bilioni moja

  • @mwalimusalanga
    @mwalimusalanga 9 месяцев назад

    Caigo Boyz wandewa kigonsera 🎉

  • @riddi676
    @riddi676 5 месяцев назад +13

    Jengo bilion, kufungua office mbagala dom arusha, kununua na kuuza for 3 years only??!! Jamani hata kama ni hard worker hebu mtupumzishe kidogo wote biashara tunafanya.

    • @juliuscharles2574
      @juliuscharles2574 3 месяца назад

      😂😂

    • @dilliwa
      @dilliwa 3 месяца назад

      Huyu jamaa haelezi huo mtaji umekuaje haraharaka hivyo.....
      Tumpe muda....

    • @jumayusuf2684
      @jumayusuf2684 3 месяца назад

      Dawa labda za 💤

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 3 месяца назад

      😂😂😂😂

    • @user-sr3eo8mv7c
      @user-sr3eo8mv7c 3 месяца назад

      Wakinga hao hatushangai na Wala usipite pressure

  • @fridaernestmkedege900
    @fridaernestmkedege900 9 месяцев назад +17

    Dawa inalipa sana...location plus usimamizi= unatoboa

  • @Michoarbah
    @Michoarbah 9 месяцев назад +6

    Vijan awatak kabsa kusikia story kama izi ila kikubwa ni inspiration

    • @amelyemhagama3997
      @amelyemhagama3997 8 месяцев назад

      Its seriously wanaelewa its impossible,, 👍👍

  • @Mrauto12679
    @Mrauto12679 5 месяцев назад +2

    Simulizi ya nje tofauti na uharisia wa maisha yake

  • @ammylaza6699
    @ammylaza6699 8 месяцев назад +4

    Hapo kwenye shule katupigaa....... 2008-2010 clinical medicine...... kaajiliwa kama Medical Attendant.
    2011 karudi diploma 2014 kamaliza akaongeza shuleee akafungua duka akawa yuko chuoo anaendelea na dukaaa . Anyway kainterview hapo angekarekebishaaa .. hongera sanaa lkn kwakwelii kwa kazi nzuri

    • @pauljohn1411
      @pauljohn1411 8 месяцев назад

      Hapo NDIPO kanichanganya kabisa.... Hiyo Clinical Medicine, imesomwa miaka mingapi..... Duuuuu

    • @pauljohn1411
      @pauljohn1411 8 месяцев назад

      Tukapanga tuifanye hotel then anaulizwa mko wangapi kwa huu mjengo, anasema tupo hati inaonyesha jina langu.... Ukiwa cloned utahangaika Sana.

    • @mariamsemwaiko8169
      @mariamsemwaiko8169 4 месяца назад

      ​@@pauljohn1411ndugu wa mtu serikalini

    • @smartonlinetv5144
      @smartonlinetv5144 14 дней назад

      Kwenye floor yake ya shule Mimi ndio sijamuelewa kabisa,ananichanganya haeleweki.
      kasoma CO at the end kaenda Fanya kazi as a Matt, why?

    • @smartonlinetv5144
      @smartonlinetv5144 14 дней назад

      Others wise atuambie kama alicheza disco akaangukia medical attendant

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 2 месяца назад +1

    Ila katajirika mapema. Ila ukiwa na nidhamu na hela unaweza. Namkumbuka dada mmoja mume wake alikuwa dereva wa malory akawa anasema nitajenga gorofa. Watu wakawa wanacheka. Lakini alianza kujenga taatibu akafanikiwa floor ya chini. Sasa anaanza juu.

  • @nolascomugalula6098
    @nolascomugalula6098 28 дней назад

    Mamake nilifanya naye kazi, ila watu wa njombe wapo vzr sana kwenye nidhamu ya pesa

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 8 месяцев назад +2

    Point Tupu Kabisa

  • @savioalfred1492
    @savioalfred1492 9 месяцев назад

    Shkamoo boss

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 9 месяцев назад

    Majaaliwa

  • @mahadmohd9138
    @mahadmohd9138 8 месяцев назад +1

    Mm najuwa sana na namba yake ninayo jamaa anapambana sana

  • @tumainielmaruwa3148
    @tumainielmaruwa3148 9 месяцев назад +1

    Aiseee Tz nizaidi ya tunavyo ijuwa hello Jasusi from Tz work up......... Haka kamchezo haka mmmmm

  • @itikamwasimanga4202
    @itikamwasimanga4202 8 месяцев назад +1

    Nimejifunza kitu kikubwa sana kwako

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 9 месяцев назад +1

    Kila jitihada inalipa napia Anapewa uwezo na Mwenyez Mungu hakuna wakuzuia biashara yeyote ukifanya Kwa nidhamu kipato utapata kikubwa Rehema za Mwenyez ndio kila kitu hakuna jingine maana wengi wetu baadh tunatafir nyingi nk,

  • @leandrymmassy9916
    @leandrymmassy9916 8 месяцев назад +9

    STORY haina uhalisia hata baadhi ya maswali ya mwandishi yanaonesha ana doubt kama niliyonayo. 2017 to 2023 now return zake serekalini zinasomaje.

  • @alexkamugisha3526
    @alexkamugisha3526 8 месяцев назад

    Too good to be true story

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 8 месяцев назад +2

    Kila kitu kinawezekana vijana tupambane uku tukimtanguliza Mungu mbele kwenye kila jambo

  • @user-yy6wf7ve4k
    @user-yy6wf7ve4k 8 месяцев назад

    Bossi wa nzota pharmacies dodoma arusha daresalam
    ....

  • @eskalade486
    @eskalade486 9 месяцев назад +6

    Achane malala miko fanyen manavyo weza mpate ela sio nyoko nyoko mala nyoko welala mika mwenzako analala golofan

    • @floramlowe7078
      @floramlowe7078 8 месяцев назад

      Sisi watu weusi ni wapumbavu kwas tunaamini kila anayefanikiwa katumia ushirikina ila angekuwa mzungu wangekubali lkn tunaamini ukiwa na nidhamu ya pesa na malengo na hauna wanao kutegemea unaweza kufanikiwa tuache imani potofu tujifunze kwa wenzetu ili tufanikiwe

  • @HagaiRodrich
    @HagaiRodrich 3 месяца назад

    Mimi sna elim ya engirish

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 9 месяцев назад +15

    Na kuhusu umri katucheza

  • @user-di5fw2cq7m
    @user-di5fw2cq7m 7 месяцев назад +1

    Mshkaji anapambana kweli tukubali

  • @beatricemvile4996
    @beatricemvile4996 8 месяцев назад

    God bless your brother 🙏🙏🙏🙏

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 8 месяцев назад +1

    Acha kutupoteza sisi watoto wa makapuru kila kitu umetafuniwa

  • @emmanuelsipendi5625
    @emmanuelsipendi5625 8 месяцев назад +11

    Jamaa anaongea lakini hayupo comfortable. Ni vigumu mno kufanikiwa kiasi hicho kwa muda mfupi bila kupata sapoti nyingine.

    • @anithanithaa2651
      @anithanithaa2651 8 месяцев назад

      Nmeona pia Hayuko comfortable ni kama anatafta Kuunganisha point

    • @mahadmohd9138
      @mahadmohd9138 8 месяцев назад

      Hapana huyu jamaa namjuwa Hadi mizigo ya dawa nilikuwa nampelekea

    • @petermsigala8187
      @petermsigala8187 8 месяцев назад

      Kuna tofauti kati ya professional speaker na business man , kama huyu .
      I know him very well , ni hustle zake kama alivosema

    • @limbisa891
      @limbisa891 8 месяцев назад

      wizi

    • @dannysengata2298
      @dannysengata2298 4 месяца назад

      Wewe akili Yako umeifunga sana....pole

  • @hekimaluvanda5391
    @hekimaluvanda5391 8 месяцев назад +2

    Huyo mtu wa Iringa.
    Kuna Mkinga mmoja alifungua Duka la kuuza Mifuko ya Visarufet rejareja kariakoo, wenzake walimcheka sana lakini baada ya mwaka, jamaa duka lake likakua , akaanza kuuza viroba kwa jumla jumla kutoka rejareja, na mzigo ulitoka china😂chezea watu kanda ya southern Highlands.

  • @Sngpark
    @Sngpark 8 месяцев назад

    Wanyumbani kabisa yn👊🏾

  • @Jackylmariam-qy6qe
    @Jackylmariam-qy6qe 8 месяцев назад +5

    Mnaosema ana undugu na Yule mama waziri sidhani Ila uyu Kaka alikuwa na Hali ya kawaida Tena alikuwa hana hata gari kipindi anafanya kazi kimara hospital juhudi iheshimiwe hongera sana

    • @amelyemhagama3997
      @amelyemhagama3997 8 месяцев назад +3

      Nashukuru sana kwa kunikumbuka tupo pamoja sana In God we trust

    • @thresherjordan6829
      @thresherjordan6829 8 месяцев назад

      ​@@amelyemhagama3997hongera

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 7 месяцев назад

      Swali moja, ni ndugu yake Jenister Mhagama au la?

  • @mathiasmsumeno8516
    @mathiasmsumeno8516 9 месяцев назад

    Very possible!!

  • @Mwenyekiti1118
    @Mwenyekiti1118 8 месяцев назад +4

    Mbona siyo Mkweli yaani usome clinical officer halafu uajiriwe kama medical attendant

    • @kalmaarufuofficial74
      @kalmaarufuofficial74 8 месяцев назад

      Kaka mtu anaeza ajiriwa kwa mshahara mdogo lakini awe anaingiza Hela nyingi sana kutokana na biashara zake ndogo ndogo

    • @abdulhassan9760
      @abdulhassan9760 6 месяцев назад

      ​@@kalmaarufuofficial74 hapo ishu sio kuajiriwa cheo kidogo. Hapo utata unaanza pale alipo sema amesomea clinical medicine ( ambayo ni diploma ya udaktari) halafu Awe anafanya kazi za usafi hospitalini wakati elimu yake halisi hatakiwi kufanya hicho kitu popote pale.
      Mimi nimesomea clinical medicine najua hapa jamaa katudanganya pakubwa sana

  • @user-gw7fu9pu7d
    @user-gw7fu9pu7d 8 месяцев назад +1

    Sema Tanzania Bana.. Mimi Tanzania nchi yangu.. Hila mje Kampala mwuone watu wanavyojenga kuanzia gorofa 10..hila kwa tanzania ukijenga nyumba Kama hiyo watu wanakushangaa sana

    • @danielmwita2136
      @danielmwita2136 8 месяцев назад +2

      🤣🤣 Jenga wewe huku, kisha utupe mfano.
      Ulivyoandika mtu anaweza fikiri Uganda ni first au second world country.
      Hapa kinapofanyika ni kujenga motivation na kuonyesha inawezekana

    • @kondoatown8765
      @kondoatown8765 8 месяцев назад

      Huyo kijana ukisema wanaojenga maghorofa wapo , unamjua Bakhresa, MO, na wengine

  • @ericdaniels2608
    @ericdaniels2608 8 месяцев назад

    @miladayo, tafuteni content za ukweli. Credibility is very important.

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 3 месяца назад +1

    Wapo watu hapa hawana hata laki na wanajipa moyo watajenga nyumba kama hii 😅😅 msikilize Mwamba ANAPIGA KAZI acha uvivu

  • @sialo8624
    @sialo8624 9 месяцев назад +3

    Hamna story Hapa

  • @tobiasrocks2339
    @tobiasrocks2339 8 месяцев назад +1

    acheni kunungnika pgeni kazi
    ni matesii😄😄

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 4 месяца назад

    Bilioni moja hapo sidhani

  • @felixally297
    @felixally297 9 месяцев назад +3

    Millard umeanza kiki

  • @hassanabazar9411
    @hassanabazar9411 4 месяца назад

    Na mwinjaku lile lake la bilioni moja point mbona kizunguzungu

  • @RAMANI_UJENZI_FINISHING
    @RAMANI_UJENZI_FINISHING 8 месяцев назад +1

    Ukimsikiliza huyu mwamba unaweza ukaona maisha ya biashara ni rahisi sana🙌. Anyway Vijana tuendelee kupambana.

  • @alfredshemkai7696
    @alfredshemkai7696 3 месяца назад

    Kwahiyo mkuu despensary iliishia wapi?

  • @jimmychengs1338
    @jimmychengs1338 2 месяца назад

    Stay low-key son its really important

  • @mangimeli5846
    @mangimeli5846 8 месяцев назад

    Mwandishi kampiga swali Moja la maana sana,ila huyu kadanganya hayo maelezo yake sijaona kuweza kumiliki huo mjengo wa B

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 5 месяцев назад +1

    mimi niko Uk mwaka wa 21 wewe una akili za English man time is better then money...💯👌

  • @daniellokamacheki2200
    @daniellokamacheki2200 8 месяцев назад

    Sio kwel kwa hii nyumba kuijenga Kwa mwaka mhh

  • @lujuomjanja2866
    @lujuomjanja2866 9 месяцев назад +1

    wapigaji wa dawa kulee kuletahuku

  • @msungumwilapwa4234
    @msungumwilapwa4234 9 месяцев назад +17

    Yaah ni story flan ukiisikiliza haina uhalisia, kwa biashara kwa mda mfupi hivyo, ukiweka na investiments za kuanzisha biashara kwenye mikoa tofauti tena kila mwaka, na kama unayojua kila biashara ukifungua inahitaji mtaji, na wakati huo huo unakuwa unajenga na kama ujuavyo hela ya ujenzi hairudi, sawa kama unasema hatuwezi kubisha ila kukubali ndo tuachie sisi.

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 8 месяцев назад +1

      mi mwenyewe nimebaki natumbua tu macho ni duka la dawa nimefungua mwaka 2017 mpka sasa mbona sijatoboa kama yeye jaman

    • @godfreymhagama-fp6yl
      @godfreymhagama-fp6yl 8 месяцев назад +1

      ​@@josephineokama2200😂😂😂😂 Sasa mm sijakuelewa unajiringanisha kwa kipimo kipi duka lako liko wapi ulianza na mtaji wa kiasi gani. Usipaniki bhana

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 8 месяцев назад

      @@godfreymhagama-fp6yl sasa hiyo mbinu aliyoifanya akatoboa sasa ndo naitamani hapo.kutoka medical attendant mpka duka la dawa atimaye mapharmacy jaman nyie

  • @erickbiharagu894
    @erickbiharagu894 9 месяцев назад

    Only 34?

  • @upgo6112
    @upgo6112 27 дней назад

    Ukweli ni hadithi TU ..ila ukweli wa pesa anaujua yeye

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 9 месяцев назад +2

    Nizamu😂😂...ni nidhamu

  • @pioustrevol3468
    @pioustrevol3468 8 месяцев назад +2

    😂 Ila After All of that Tayar anamiliki Mjengo Wa Maana na kibunda kipo Muim n Binadamu upate Mahitaji matatu muim ya Binadamu kila mtu atatafta kwa style ake na atapata kwa style ake Sio wote tutapata wengne tutaishia Kupanga wengine watapata mali kama mwamba apooooh Tuache makasiriko 😅

  • @PascalJumanne-gr4ey
    @PascalJumanne-gr4ey 9 месяцев назад +1

    Ukiona ameanza kusema ujue amejua kua serikali inamfatulia kimya kimya akaona ni Bora ijitafute taratibu ndomana unaona ameanza na mama alikua nani ili apunguze mwendo wa serikali

  • @martinemaganga5253
    @martinemaganga5253 9 месяцев назад +3

    Mwenye pesa huwa haongei mitandaoni kujitangaza , wapo akina kishimba wanamiliki mipesa na vitu vikubwa kuliko hivyo ila hawajitangazi kwasababu mafanikio ni siri

    • @bossandingy412
      @bossandingy412 8 месяцев назад

      Umejuaje kama kishamba ana pesa ? Si alihojiwa na hawahawa Ayo Tv

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 8 месяцев назад +1

    No sirahisi kwa harakati hizo tu ujenge mjengo wa Billion duuu kunakitu nyuma ya pazia

  • @zakatumbuka8856
    @zakatumbuka8856 4 месяца назад +1

    Story Ina scratch scratch haivutii!
    Kuna mahala white inafichwa!?😢

  • @pandecomputers2202
    @pandecomputers2202 8 месяцев назад +1

    Kumbe ndio huyu, aise amenunua Nyumba mbili mtaani kwetu sinza anataka kushusha apartment

  • @olomifill2790
    @olomifill2790 8 месяцев назад

    Medical attendant na CO wapi na wapi mkuu.

  • @user-bw9rt1cq3e
    @user-bw9rt1cq3e 8 месяцев назад +2

    Wabongongo tumejaa na wivu tupambane mbona hayo mafanikio yanawezekana tu

  • @samsonkibona4332
    @samsonkibona4332 8 месяцев назад +8

    Kama hii story ni ya kweli, basi maisha ni rahisi sana

  • @IvanElias-pv1bd
    @IvanElias-pv1bd 8 месяцев назад +4

    Watu wanatajirika kwa national cake uku wananchi jua kali 😢😢😢

  • @dossmonster4084
    @dossmonster4084 8 месяцев назад +1

    Jamaa kaongea kitu muhimusana

  • @trendtv3323
    @trendtv3323 8 месяцев назад +1

    JAMANI SEMA KWELI MOAKA NIMECHOKA SIAJELEWE CHOCHOTE ATA CONNECTION HAIENDANI KABISA SASA ACHA NITAFUTE PESA NIJUAVYO MWENYEW😅😂😂😂😂

  • @amryayoub1194
    @amryayoub1194 8 месяцев назад +5

    Hawa ndo wanafanya vjana tunakuwa na depression ya maisha kumbe wanapita mishortcut