Maashallah, kijana wa Mburahati. Tunajivunia kuwa na kijana kama ww yaani kutoka uswahilini hadi kufika katika mahala ambapo wengi wasingetarajia, binafsi nakujua tangu utotoni ni kijana mchamungu, mwenye nidhamu, akili nyingi na uchapakazi. Endelea kutuwakilisha vyema vijana wa Kitanzania na tunamuomba MUNGU atuletee vijana wengi zaidi wenye weledi kama wako na hata zaidi. MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU ibariki Africa.💯💯💯
Hapo kwenye kupenda connection umeongea kweli ,vijana wetu na wtz wengi kwanza hatuna uthubutu halafu ni waoga,ndyo maana wakenya na west Afrika wanazipata hixi opportunity, tutumie vzr mitandao itatutoa.
waoga kujarbu afu mentality yaviongozi wetu tuzid kudidimia yani wanataka wote tuwe boda boda au watu wa kuwaza ngono ili wawe mtaji wetu kwa siasa zao ndo mana unakuta mtu ana degree lakin boda boda.
🌍🌍🌍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🍏🍏👍👍👍Hongera Sana kijana ABUU BAKAR RASHID...(ALLY) .. a.k.a Mtoto wa Bibi.....dddaahh ...sheikh Mungu azid kukuongoza ..Maaana Umeelezea MAISH YAKO Kwa UCHACHE saaanaaa ..ila Kwa sisi tuliosoma DARASA MOJA... primary...(ALI HASSAN MWINYI PRIMARY SCHOOL..)🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍🌍 Mburahati....tulikuwa tunaona unayoyapitia sheikh ..kweli ulipitia magumu sana Mwamba ..ila all in all MUNGU hamtupi mja wake.....👍👍👍👍👉👉👍👍Keep up your target.....🇹🇿🇹🇿🌍🌍🌍🇹🇿🇹🇿👍👍
Sasa hapo upate hawa wanaojiita Influencers ambao ulaya wamefika labda kutembea tu, Kiingereza na mbwembwe nyingi utasikia I gara I gara you know whamsayin? Mwamba anateleza na kiswahili fasaha na yuko humble tu.
😂😂 kiingereza ni lugha tu isikutishe hata maskini anaongea kiingereza japo wapo watu wanaongea kujikuta matawi Au pia labda utaonekana sio mzalendo Kikubwa angalia hadhira na kuwa free kushare ulichonacho na watu kwa lugha yoyote inayowaunganisha
Kaka unachokisema uko sahihi na Mwenyezi Mungu akusimamie kwa kila ulipangalo. Ila cha kuskitisha ni pale wenye mawazo wengi nima fukara na wenye hela wengi hawana mawazo labda kwa sababu ya majukum wanazo. Mbaya zaidi kwetu Wa Africa tuna ubinafsi na upatowa wazo kwa muwekezaji au wawekezaji inakuja kinyume yake, na kuishia kuwanufaisha wao na kuwaambiwa ile issues imebuma. Sijui kwa nini.
DAH!! Aisee huyu jamaa amesoma HARVARD university, anafanya Kazi kampuni ya APPLE! Analipwa zaidi ya 1bn kwa mwaka!😯🫢 Duuh hatari sanaa huyu jamaa noma
@@georgerichard4902 Jifunze ku appreciate my brother. Mimi ni engineer ila pia nina admire watu kujituma na kufikia stage hizo. Maana sio kwa akili tu, ni juhudi binafsi kubwa pia inatumika.
Vizuri sana, lakini hawa vijana waliofanikiwa huko Marekani, Asia na Ulaya, wakirudi Tanzania na huo ujuzi, nchi yetu itafika mbali mno, walau waje wafungue kampuni huku.
Kuna Baaadhi wanarudi na kiuzalendo wakiamini nchi yetu wataijenga na ujuzi waliopata huko ila…. Tuishie apa. Maana wengi wanaishia kwama ajira, ila pia wanapewa vitu ambavyo sio walivyosomea au nafasi zao.
Kuacha dini KWA ajili ya dunia si dhambi.Utakuwa salama tu.Bali kumwacha Yesu Kristo KWA ajili ya dini au dunia ni kuharibikiwa SASA ba baadaye.Mwishoni hutaulizwa dini yako.Jidanganyeni tu.
@ahz6907 hasa pale alipoanza kutolea mfano wa Usd3000 ambao kwa maelezo wa mshahara wa 1B+ ulikuwa chini sana, ndio hapo sasa mara chumba ehe! Mpaka uwe Chip.
n watu km hao wasije bongo huku wanasiasa wakianza kuwapa vyeo wanaua ujuzi wao unakuta jamaa ana vission kubwa kwenye wizara ila wajinga wajinga waliopo wanamkwamisha mwisho inakua ngumu yani bora akae huko huko kwa wanapojielewa. wasije wanasiasa kumrubuni
Ahaha jinga sana 🚮 ww utaweza kweli kuzalisha hiyo hata kuandika hujui? Unadhan ni makakio sio? Sasa kama unajiamini kwann usitumie huo uwezo kupata 10 mil ndio uendelee? Jinga 🚮
Marekani ni nchi isiyobagua din yeyote huweza timiza ndoto zake bila kujali dini,rang lkn uende mkristo uarabuni saudia uone kama utatoboa kwanza unakiwa uishi kwa sheria zao hata dini sio yako
Kwani kuna mahali kasema anacha dini kisa mamb ya dunia au na ww udini umekukaaa tuu kichwani hamna kitu mnajifanya kuijua dini sanaaaaaa kumbe ni 0 kichwani
@@samwelnaal7952 imeingia Dini kwani najua. Wangi. Wakiwahuko umaghalibi. Wanajifanya wazungu wanaacha milayetu ya baba yetu Hibrahim. Na kufata makafili yani huwo. Ukumbosho kwani tabia yetu waislam kukumbushana. . Ww naona siwakwetu ndiyo maana ujui
@@williamnassari Ssi Diniyetu ni ya kukumbu shana kilawakati. . Ilkiwamtu kateleza anarudi kuwasaea jua binaadam tunajisahau hasa wenye pesa na wakishaenda huko umaghalibi yani Ulaya wanafata uzungutu kwahiyoninanafasi kama muislamkumkumbusha........... Ok
Huyu mwandishi yuko slow sana,kichwa kina-load slow..anauliza maswali ya kijinga ambayo jamaa amesha-explain ila anauliza tena!..Millard status ya brand yako ni kubwa watu kama hawa inabidi wakaongeze elimu au ujuzi,wakishindwa TOA!!!professionalism ianze kuzingatiwa duh!
Kawaida ni $50,000 mpaka $150,000 $200,000 ni kati ya 10% ya juu ya wanaolipwa vizuri, ni mshahara mzuri sana hata US. Mshahara wa $200,000 unapata $136,700 after taxes, kama alivosema kodi ya apartment ni $3000, ko x12=$36,000 Kodi ya serikali na nyumba ukitoa =100,000+ - Transport - Chakula - Utilities - Bata kidogo (ma engineer muda wa bata mchache sana) Vitategemea na lifestyle ya mtu, ila hawezi zidi nusu ya hio hela, ko ukiwekea $30,000 inabaki $70,000 sawa na Mil175Tsh kama ana save, au analipa madeni au anajenga, au anannua nyumba au anannua gari, anajua yeye😅
Serikali yetu ingekuwa inawekeza kwa vijana kama 200 kila mwaka kwa kuwatafutia shule bora nje ya nchi. Au kujenga hizo shule bora mbili hapa nchini. Baada ya miaka 20 hii nchi ingekuwa mbali mno. Sema ndio hivyo watoto wa wanasiasa na watu wengine wenye hela ndio wanaosoma shule nzuri huko nje, ila wengi wa hao watoto akili nidhamu commitments ni dhaifu. Ndio maana hatuwaoni wala kuwasikia kwenye taasisi kubwa kama hizi za Apple nk
Jamaa amesoma na yupo apple lakin anaongea Kiswahili sio hawa ma cheap boys wa bongo na madanga wa bongo wenye English course kujiongelesha oooh actually ooohh you know 🤮🤮🤮🤮👎👎👎🐍🐍
@@kibasatv1524 DOCTOR, LAWYER na ENGINEER (ikiwemo it na computer engineering).......Hizi ndio ishu zinazolipa makampuni binafsi, jeshini, serikalini, n.k
@@suratibrahim6417 hapana ni swagg tu sio kwamba kalinika sana watu wote wanao deal na mambo ya tech wako hvyo mfano MKHD yule anayechumbua simu ukimusoma km kalainika ila ni swagg tu
Huyu alikuwa among 10 best students in 2009 noma sana
Maashallah, kijana wa Mburahati. Tunajivunia kuwa na kijana kama ww yaani kutoka uswahilini hadi kufika katika mahala ambapo wengi wasingetarajia, binafsi nakujua tangu utotoni ni kijana mchamungu, mwenye nidhamu, akili nyingi na uchapakazi. Endelea kutuwakilisha vyema vijana wa Kitanzania na tunamuomba MUNGU atuletee vijana wengi zaidi wenye weledi kama wako na hata zaidi. MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU ibariki Africa.💯💯💯
Safi sana Abuu bakar kwa kuipeperusha bendera ya Mivumoni .Teacher Msumba upewe maua yako💐🌺🌷💐
Mashallah abu hongera sana tulikuwa pamoja mtambani
Too humble,very genius, so talented 🙏🙌
Sure
Nice
Ongea Kiswahili mbona msomi katumia Kiswahili na anaishi uzunguni wewe too humble 😅😅😅😂😂😂😂
Hakika
@@ramseychobaliko1002😂😂😂😂😂kmmk
Yupo kwenye class nzuri sana hata kwa San Francisco, hiyo ni second grade to 3rd grade six figure, yuko sehemu njema sana
Jamaa yuko very humble, anajua sana
NDIOOO MAAN
ANA JITAMBUA
Mortal Kombat 9 credits mwishoni lipo jina la Mtanzania ..great works
Wow! Hii imekaa poa sikujua, Jina gani kaka??
Sana kaka,Mungu akuzidishie zaidi,akukinge naabaya yoye ufike mbali zaidi
Hongera kijana pia kwa kuwa mwenye bidii hadi kuvutia watu wengi kukuona na kukushika mkono hadi ulipo.
Hapo kwenye kupenda connection umeongea kweli ,vijana wetu na wtz wengi kwanza hatuna uthubutu halafu ni waoga,ndyo maana wakenya na west Afrika wanazipata hixi opportunity, tutumie vzr mitandao itatutoa.
waoga kujarbu afu mentality yaviongozi wetu tuzid kudidimia yani wanataka wote tuwe boda boda au watu wa kuwaza ngono ili wawe mtaji wetu kwa siasa zao ndo mana unakuta mtu ana degree lakin boda boda.
Jamaa ata haringi ... mungu atamsaidia san
Amen
Heri yake,mashaAllah 🎉🎉🎉
Interview Safi sana ...
🌍🌍🌍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🍏🍏👍👍👍Hongera Sana kijana ABUU BAKAR RASHID...(ALLY) .. a.k.a Mtoto wa Bibi.....dddaahh ...sheikh Mungu azid kukuongoza ..Maaana Umeelezea MAISH YAKO Kwa UCHACHE saaanaaa ..ila Kwa sisi tuliosoma DARASA MOJA... primary...(ALI HASSAN MWINYI PRIMARY SCHOOL..)🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍🌍 Mburahati....tulikuwa tunaona unayoyapitia sheikh ..kweli ulipitia magumu sana Mwamba ..ila all in all MUNGU hamtupi mja wake.....👍👍👍👍👉👉👍👍Keep up your target.....🇹🇿🇹🇿🌍🌍🌍🇹🇿🇹🇿👍👍
Ilikuaje
Sasa hapo upate hawa wanaojiita Influencers ambao ulaya wamefika labda kutembea tu, Kiingereza na mbwembwe nyingi utasikia I gara I gara you know whamsayin? Mwamba anateleza na kiswahili fasaha na yuko humble tu.
😂😂 kiingereza ni lugha tu isikutishe hata maskini anaongea kiingereza japo wapo watu wanaongea kujikuta matawi
Au pia labda utaonekana sio mzalendo
Kikubwa angalia hadhira na kuwa free kushare ulichonacho na watu kwa lugha yoyote inayowaunganisha
Kaka unachokisema uko sahihi na Mwenyezi Mungu akusimamie kwa kila ulipangalo. Ila cha kuskitisha ni pale wenye mawazo wengi nima fukara na wenye hela wengi hawana mawazo labda kwa sababu ya majukum wanazo. Mbaya zaidi kwetu Wa Africa tuna ubinafsi na upatowa wazo kwa muwekezaji au wawekezaji inakuja kinyume yake, na kuishia kuwanufaisha wao na kuwaambiwa ile issues imebuma. Sijui kwa nini.
Kila mtu ana njia yake ya mafanikio tumtegemee Mungu tu
Sahihi , nakubali 100%
Genius kama genius
Hongera sana Kaka. Be blessed.
Kwa Nini usinunue nyumba yako ya vyumba vitatu.maisha ya kawaida na gari la mil.40 tu
Very inspiring 🫡 safi sana
Good sana
Marekani ni ngumu kuwafikia kwasababu wataalamu sana kuchungulia talents na kubeba wakazitumie kwenye mambo yao ya maendeleo
Ma sha allah tabarak Rahman
Jamaa yupo simple tuu 👊 🤜 🤛
Hongera Sana kijana
DAH!! Aisee huyu jamaa amesoma HARVARD university, anafanya Kazi kampuni ya APPLE! Analipwa zaidi ya 1bn kwa mwaka!😯🫢 Duuh hatari sanaa huyu jamaa noma
wenzetu softwaare engineering kwa kampuni km apple wana muadmire sana manake yeye ndo.kashirikia roho ya kampuni ikiwemo siri za kampun
Unoma gani sasa au kusoma Harvard?
@@georgerichard4902noma wewe kaka
@@georgerichard4902acha wivu kijana mdogo
@@georgerichard4902 Jifunze ku appreciate my brother. Mimi ni engineer ila pia nina admire watu kujituma na kufikia stage hizo. Maana sio kwa akili tu, ni juhudi binafsi kubwa pia inatumika.
MashaAllah!
Vizuri sana, lakini hawa vijana waliofanikiwa huko Marekani, Asia na Ulaya, wakirudi Tanzania na huo ujuzi, nchi yetu itafika mbali mno, walau waje wafungue kampuni huku.
shida ni pale wanaanza buruzwa na wanasiasa ...wabaki huko huko kwanza unless bongo unafiki uishe ..anyway let it flow
Wakirudi huku hamna watachifanya hamna miundo mbinu wezeshi.
Wanasiasa tz roho mbaya hawawataki watu wajuzi wanataka makaratasi
Kuna Baaadhi wanarudi na kiuzalendo wakiamini nchi yetu wataijenga na ujuzi waliopata huko ila…. Tuishie apa. Maana wengi wanaishia kwama ajira, ila pia wanapewa vitu ambavyo sio walivyosomea au nafasi zao.
Mifumo mibovu ya serekkali yetu huku wanashindwa kurudi kutumia talanta zao
I like him. Big up bro I'm wish kuwa Kama wewe one day
Yupo cool sana wala avimbi ✊
Very Humble Mungu amuongezee zaidi na zaidi
Kuacha dini KWA ajili ya dunia si dhambi.Utakuwa salama tu.Bali kumwacha Yesu Kristo KWA ajili ya dini au dunia ni kuharibikiwa SASA ba baadaye.Mwishoni hutaulizwa dini yako.Jidanganyeni tu.
Dini ipi hy ndio hasara? Nadhani apo ulipo wewe unaona upo kwenye dini ya haq kabla yakuongea sana jitafakari
ماشاءالله
Juntos somos iguais ❤❤❤
Wenzetu ni wajanja wameshamteka ila huku technology bado inatutesa hasa upande wa umeme 🙌
Angebaki kuwa fundi simu pale kkoo...angejiita abubakar matelephone.😅
@@ahz6907Tanzania yetu, huu ni ukweli wapo wahitimu wazuri wanapoteza elimu na ujuzi wao
Kweli kabisa @@ahz6907
Mashaallah
Genius
Havard 😊
KIJANA ANAONGHEA VITU SAHIHI KABISA , KWA VIJANA MTANZANIA , KAZENI MAISHA, LENGA JUU KABISA
Allah akubless
Hongera sana brother, ila una mpango wowote wa kurudi nyumbani tz uje kuwekeza huku?
hongera sana
Vigumu sana kukuelewa unaongea kama Softwere vilevile.
😂😂 kama Elon Musk
Mi nimemuelewa labda ntakuwa na brain software 😅
Mi nimemuelewa labda ntakuwa na brain software 😅
@ahz6907 hasa pale alipoanza kutolea mfano wa Usd3000 ambao kwa maelezo wa mshahara wa 1B+ ulikuwa chini sana, ndio hapo sasa mara chumba ehe! Mpaka uwe Chip.
🤣🤣🤣🤣🤣
Big up Eng.
Jamani tupate no zake nataka nikamshike mkono tu 😢
Uthubutu wa vijana katika kuongeza thamani. Hajongea kuhusu vijana kuweka hela mbele. Nakubaliana naye. Pia umasikini wa fikra (mindset).
tukowachache sana . hizi ni baadh ya Tanzanite zetu . Nasubiri Kenya
Wala hajivungi wala hana mambo mengi engekua wengine hapo sijui hata tusingeambulia chochote kwa maringo
😄😄😄😄😄😄
Wangekuwa wengine kiingereza kiingi ila jamaa yupo simple
n watu km hao wasije bongo huku wanasiasa wakianza kuwapa vyeo wanaua ujuzi wao unakuta jamaa ana vission kubwa kwenye wizara ila wajinga wajinga waliopo wanamkwamisha mwisho inakua ngumu yani bora akae huko huko kwa wanapojielewa. wasije wanasiasa kumrubuni
umeongea vema sana
True
Usikae hapa Bongo kaka. tutakufundisha masiasa yetu utaua kipaji kaka.
Mmhhhh hayo mapozi yake sasa. Rangirangi hivi
Tatizo sio kujiajiri. Tatz ni mtaji mimi serekali ikinipa milioni 10 tuh nakua tajir na biashara zng
Njoo tuzungumze kaka
Ahaha jinga sana 🚮 ww utaweza kweli kuzalisha hiyo hata kuandika hujui? Unadhan ni makakio sio? Sasa kama unajiamini kwann usitumie huo uwezo kupata 10 mil ndio uendelee? Jinga 🚮
😂😂😂😂😂
@@nickalreadyknowsNani hajui kuandika sasa mimi au wewe?
UMETHUBUTU KAKA NA UMEWEZA HONGERA SNA NIMEKUPA MAUA YAKO HONGERA SNA SIWEZ KATA TAMAA KM BADO NIPO.HAI
Marekani ni nchi isiyobagua din yeyote huweza timiza ndoto zake bila kujali dini,rang lkn uende mkristo uarabuni saudia uone kama utatoboa kwanza unakiwa uishi kwa sheria zao hata dini sio yako
Wee labda uende kama mfanyakazi wa ndani kuna wa tz wanapokea ma milioni zaid ya wananchi wenyewe kikubwa ni elimu yako ndio itakufikisha ulipo
Kwaio cristiano ronaldo ni muislam?
😂😂😂😂
Usiache Dini sababu ya Dunia kwani Dunia mapito kaka Allah akuwezeshezaidi hukouliko upate mafanikiyo unayoyaitaji yenyeheri na ww
Kwani kuna mahali kasema anacha dini kisa mamb ya dunia au na ww udini umekukaaa tuu kichwani hamna kitu mnajifanya kuijua dini sanaaaaaa kumbe ni 0 kichwani
Dini imeingiaje hapa mr Hanifa😂
@@samwelnaal7952 imeingia Dini kwani najua. Wangi. Wakiwahuko umaghalibi. Wanajifanya wazungu wanaacha milayetu ya baba yetu Hibrahim. Na kufata makafili yani huwo. Ukumbosho kwani tabia yetu waislam kukumbushana. . Ww naona siwakwetu ndiyo maana ujui
@@williamnassari Ssi Diniyetu ni ya kukumbu shana kilawakati. . Ilkiwamtu kateleza anarudi kuwasaea jua binaadam tunajisahau hasa wenye pesa na wakishaenda huko umaghalibi yani Ulaya wanafata uzungutu kwahiyoninanafasi kama muislamkumkumbusha........... Ok
Hanifa kama hujaolewa njoo nakuhitaji nikuoe nimetokea kukupenda
Huyu mwandishi yuko slow sana,kichwa kina-load slow..anauliza maswali ya kijinga ambayo jamaa amesha-explain ila anauliza tena!..Millard status ya brand yako ni kubwa watu kama hawa inabidi wakaongeze elimu au ujuzi,wakishindwa TOA!!!professionalism ianze kuzingatiwa duh!
acha majungu usiwe sehemu ya kumuharibiam mwenzi kibarua
@@mnazaretimystry-i9kSure
Hao wanafunzi 10bora 2009 kuna aliyebaki Tanzania au wote wapo majuu
Wote wapo juu
GUSA LINK HAPO JUU MTAZAME YOMBO
Mnaona sasa ukiona aple kuuzwa bei kubwa kuliko teknol
WOW
Huyu Jamaa Pia anakipaji cha utangazaji wa habari
Em tulia
Hii ni mishahara ya kawaida sana kwa Marekani kama alivyosema dogo. Mungu amtangulie
Jidanganye hiyo hela n kubwa hata kwa marekan
Kawaida ni $50,000 mpaka $150,000
$200,000 ni kati ya 10% ya juu ya wanaolipwa vizuri, ni mshahara mzuri sana hata US.
Mshahara wa $200,000 unapata $136,700 after taxes, kama alivosema kodi ya apartment ni $3000, ko x12=$36,000
Kodi ya serikali na nyumba ukitoa =100,000+
- Transport
- Chakula
- Utilities
- Bata kidogo (ma engineer muda wa bata mchache sana)
Vitategemea na lifestyle ya mtu, ila hawezi zidi nusu ya hio hela, ko ukiwekea $30,000 inabaki $70,000 sawa na Mil175Tsh kama ana save, au analipa madeni au anajenga, au anannua nyumba au anannua gari, anajua yeye😅
Sio ya kawaida bwana acha mazoea na hela
Ni hela ya kawaida marekan kama hiyo 600 marekan kama 30000
Nimesoma na.ww
Huyu anayehoji ana matatizo gani? Mbona anashindwa kuidirect mic vizuri kwa muhusika mara apindishe mara aweke mbali millard watu wako hawa
Unaonaje kurudisha ujuzi nyumbani kwako tanzania? Ukafaidisha wazawa.
Akirudi nyumbani akateuliwa kuwa KATIBU MWENEZI😂
@@mengikiguruwe6750😂
Anauweka kwenye nini
Hata asi jisumbue, kuna vijana ni ma developer apa apa bongo lakin wame shindwa kusajiri kampuni zao kisa mfumo wa hovyo
Serikali yetu ingekuwa inawekeza kwa vijana kama 200 kila mwaka kwa kuwatafutia shule bora nje ya nchi. Au kujenga hizo shule bora mbili hapa nchini. Baada ya miaka 20 hii nchi ingekuwa mbali mno.
Sema ndio hivyo watoto wa wanasiasa na watu wengine wenye hela ndio wanaosoma shule nzuri huko nje, ila wengi wa hao watoto akili nidhamu commitments ni dhaifu. Ndio maana hatuwaoni wala kuwasikia kwenye taasisi kubwa kama hizi za Apple nk
Umeongea point haswaa😅
Acheni USHAMBA
Kwishaaa kabisaa
Interview kama hizi ziwe ndefu sasa
very nice interview and its so interested so we have a lot things to learn
Sijui kwanini naangalia mikono yake sana? Anyway shetani toka.
Watu wengi wenye akili...mikono yao inakuwaga haitulii...
Usiwambie watanzania unainginza hela ngapi kwa mwaka,watakulilia shida hadi ukome…
Chipsi tofauti tofauti chipsi zege au chipsi kavu
Sasa kwanini tunahangaika kama simu zina chips situnajilia hapo tu
😂
Jamaa amesoma na yupo apple lakin anaongea Kiswahili sio hawa ma cheap boys wa bongo na madanga wa bongo wenye English course kujiongelesha oooh actually ooohh you know 🤮🤮🤮🤮👎👎👎🐍🐍
Mbona kama kaleft?
Kupambana
Marekanj mambo ya teknolojia na it ndio yana pesa ndefu ikifatiwa na sekta ya afya na sheria
Sio kweli baada ya teknolojia ni idara za ulinzi na usalama hapo ni hatariiii sana
@@kibasatv1524ah wapi, sheria ipo juu sana
@@kibasatv1524
DOCTOR, LAWYER na ENGINEER (ikiwemo it na computer engineering).......Hizi ndio ishu zinazolipa makampuni binafsi, jeshini, serikalini, n.k
Muongo tu.
Asije akaleft, Awe makin
Umeongea poit sana, nawasiwas 😢
Isikuhadae iyo mikono. Ukifanya kazi nje mara nyingi unaadapt na the way wanavyoongea na yeye keshakaa sana nje, that's very normal ..
Uzima upo??
Mwendo wa chipsi tu
Mshahara ni siri ya mutu why you are tangazaring😊
Gay sign 🦧🦧 (hand shake for men is not like that)
Tafuta pesa acha malalamiko mbwa wewe
@@Monyo04ndo shida ya wabongo yani hawakosagi kukosoa kosoa na hawana kitu😂😂
Manyoko ya mamaako
Niliamua kunyamaza tuu
Watanzania washamba sana inshu za mishahara ni maisha binafsi
we ndo mshambA kwakua hunahela zakuwambia watu
Kwaiyo hizo chips zinakaangwa na simu?
Sio upinde ukweli?
😃 Amna mbwe mbwe tu za kimarekani
Upinde kabsa
mbona kama kashaleft
Hamna ni ongea yake tu kule Kwa wenzetu ni normal though Kuna red flag kwake
Kama kaleft group hivi
Unazingua😂
Mbona kalegea sn ! Dah
watu wote smart wanaongea kwa intelligence sasa akaze umesikia yeye boda boda mbona mnamawazo ya kijinga
Aisee... sidhani kama ni salama...kalainika kote..ulimi na viungo nk..🤨
🥲🥲 mtoto lainiii
@@suratibrahim6417 hapana ni swagg tu sio kwamba kalinika sana watu wote wanao deal na mambo ya tech wako hvyo mfano MKHD yule anayechumbua simu ukimusoma km kalainika ila ni swagg tu
@@ChoroTeslahahahhahahahhahahah😂😅😂😅😅😂😅😂
Ni Kama milioni tatu kwa siku ila iyo pesa watu wengi tu bongo wanapata
Hiyo milioni 3 kwasiku wewe waipata??
Watu wengi wangapi? Ktk makampuni gani?
Dohh m cjui niko nchi gan wallahi 😂
Ukiachana na Bhakresa na MO wako wachache mno wenye level hizo ila sio waajiriwa.
Labda uwe mwizi
Chip zikiwa nying ni chips kuku 😂😂😂
😂
😂
Jamaa sio rizki
Wivu tu
@ Alhamdulilah 🤲
Mbona abuu unayumba yumba umetupia kamnyweso au
Kwan huja ona movie ya krish magenious ndo wako hivyo 🤣
@@flowinfabian9386 🤣🤣🤣
Vidole
Kipochi kwapani
Bado sielewi
😂😂😂😂😂 nyie
Hiyo mikono vipi
Muongo huyo
Uong wake nini
Tupe ushahidi wa uongo wake.
Mwenzako ametoboa badala ya kumpa moyo pamoja na wengine wewe unapuuzia
Wewe mkweli au choyo tu na rohombaya ilokujaa ? @aberinegosanga
Sanga, muongo Kwa vipi fafanua,tuhuma mzito hizo?
Mtu ana inspire vijana wafile mbali unasema muongo?una maanisha nini?
Uongo wake uko wapi..wewe ndo umekata tamaa...mpumbavu
Mbona kama shoga huyu jamaa
Anaongea kidemdem sana..