- Видео 632
- Просмотров 1 403 213
Manyunyu Tv
Танзания
Добавлен 6 апр 2023
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali ya kusisimua kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu.
Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswali.
Tunajitahidi kuwa bora katika kila kitu tunachofanya. Tuna ubunifu mkubwa na tunaonyesha ubora katika video zetu. Tunaamini katika upendo kwa jamii na tunataka kuwahamasisha wengine kufanya kazi kwa bidii na kufikia malengo yao.
Karibu ujiunge na Manyunyu TV, mahali pazuri pa kujifunza, kuburudika na kujumuika na wengine. Asante kwa kuwa nasi!
Tupigie: +255652730422
MCHUNGAJI AFARIKI KWA KUPIGWA TEKE NA MUUMINI KISA MAPEPO
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu.
Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswali.
Tunajitahidi kuwa bora katika kila kitu tunachofanya. Tuna ubunifu mkubwa na tunaonyesha ubora katika video zetu. Tunaamini katika upendo kwa jamii na tunataka kuwahamasisha wengine kufanya kazi kwa bidii na kufikia malengo yao.
Karibu ujiunge na Manyunyu TV, mahali pazuri pa kujifunza, kuburudika n...

Просмотров: 422
Видео
NYUMBA YA MIL.1OO YAUZWA KWA KILO 38 ZA NYAMA, GWAJIMA ABEBA ZIGO LA KUMSAIDIA MZEE SANGA..
Просмотров 78 тыс.День назад
Ni miaka minne tangu kutokea tukio lililoiacha familia ya bwana Nazari Sanga ikitangatanga baada ya Mpangaji wao kuuza nyumba walioyokuwa wakiishi Jijini Daresalaam katika mtaa wa Kunduchi Mtongani, Kisa hiki kanamtuhumu Bwana costantino Siwale kwa kuuza nyumba ya Bwana Nazari Sanga ili kufidia kilo 38 za nyama zilizoharibika kwa madai ya kukatiwa umeme katika fremu aliyopanga na kusababisha ku...
TAZAMA VIDEO ZA DRONE KWA JUU SHAMBA LA ZABIBU...
Просмотров 6914 дней назад
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu. Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswal...
PATO LA MKOA WA DODOMA LAPAA..HALMASHAURI YA JIJI KINALA..
Просмотров 45514 дней назад
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu. Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswal...
MRADI WA MAJI LITA MILIONI 7.6...KUPUNGUZA CHANGAMOTO,MRADI UMEKAMILIKA..DODOMA
Просмотров 2921 день назад
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu. Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswal...
KAULI YA MKUU WA MKOA WA TANGA DKT. BURIANI OFISINI KWAKE KWA MANUNYU TV
Просмотров 9521 день назад
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu. Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswal...
TUME: WATENDAJI NGAZI YA MKOA WANOLEWA KWENYE MAFUNZO YA DAFTARI LA MPIGA KURA DODOMA..
Просмотров 7928 дней назад
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu. Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswal...
MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI DONALD MEJITII ATEKELEZA SERA YA ELIMU KWENYE WILAYA YAKE
Просмотров 148Месяц назад
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu. Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswal...
MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. ROSEMARY SENYAMULE AMETOA SHUKRANI KWA DKT. SAMIA S. HASSAN
Просмотров 106Месяц назад
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu. Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswal...
MBIO ZA UCHAGUZI S/MITAA WILAYA YA MPWAPWA KUELEKEA 27 NOVEMBA 2024
Просмотров 181Месяц назад
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu. Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswal...
MAAFISA UDHIBITI UBORA WA WILAYA WATEULE WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI
Просмотров 52Месяц назад
Manyunyu TV ni channel ya RUclips ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu. Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswal...
NDUGAI AWAFUNDA WAHITIMU WA CHUO CHA VETA KONGWA..MAHAFARI YA PILI.
Просмотров 202Месяц назад
KILIMO NA UFUGAJI VITATIMIZA MALENGO YA VIJANA ELIMU YA VETA Ule msemi wa elimu haina mwisho umedhihirika leo kwenye mahafari ya pili ya chuo cha mafunzo ya ufundi stadi cha wilaya ya kongwa ambapo mgeni rasmi Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Wilaya ya Kongwa Jijini Dodoma Mheshimiwa Job Ndugai amezungumza kwa kuwataka wahitimu wa chuo hicho kujihusisha na ...
TRA: MFANYABIASHARA AKIPATA MAJANGA AANDIKE BARUA
Просмотров 13Месяц назад
TRA: MFANYABIASHARA AKIPATA MAJANGA AANDIKE BARUA
MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA MKOA WA TANGA..."WANANCHI WAMENUIKAJE"
Просмотров 96Месяц назад
MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA MKOA WA TANGA..."WANANCHI WAMENUIKAJE"
FAHAMU HISTORIA YA ZAO LA MKONGE NA MIKOA INAYOFAA KULIMWA
Просмотров 42Месяц назад
FAHAMU HISTORIA YA ZAO LA MKONGE NA MIKOA INAYOFAA KULIMWA
TWCC MSIMU WA TATU YATOA MAFUNZO MAALUM KWA WANAWAKE NA VIJANA.
Просмотров 196Месяц назад
TWCC MSIMU WA TATU YATOA MAFUNZO MAALUM KWA WANAWAKE NA VIJANA.
MWANANCHI ACHEFUKWA WAJIBISHANA NA MKUU WA MKOA KWENYE SIMU..
Просмотров 466Месяц назад
MWANANCHI ACHEFUKWA WAJIBISHANA NA MKUU WA MKOA KWENYE SIMU..
TAZAMA JENGO KUBWA LA KAMBARAGE HOUSE...
Просмотров 950Месяц назад
TAZAMA JENGO KUBWA LA KAMBARAGE HOUSE...
SAFARI YA KWANZA NA MAPOKEZI YA TREN MCHONGOKO DODOMA...
Просмотров 1,9 тыс.Месяц назад
SAFARI YA KWANZA NA MAPOKEZI YA TREN MCHONGOKO DODOMA...
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI AELEZA MAFANIKIO NA MIKAKATI KUELEKEA UCHAGUZI WA S/MITAA..2024
Просмотров 1572 месяца назад
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI AELEZA MAFANIKIO NA MIKAKATI KUELEKEA UCHAGUZI WA S/MITAA..2024
MWEKEZAJI ALETA NEEMA KWA WAKULIMA WA ALIZETI DODOMA...
Просмотров 3512 месяца назад
MWEKEZAJI ALETA NEEMA KWA WAKULIMA WA ALIZETI DODOMA...
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI YA MAMENEJA WA TUME YA MADINI.
Просмотров 1292 месяца назад
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI YA MAMENEJA WA TUME YA MADINI.
RC DODOMA ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI KUJIRIDHISHA KWA MUJIBU TARATIBU...
Просмотров 1662 месяца назад
RC DODOMA ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI KUJIRIDHISHA KWA MUJIBU TARATIBU...
BONANZA LA MADINI LAWA NA SURA MPYA.."UMOJA MSHIKAMANO"
Просмотров 682 месяца назад

EFL YAANZA KWA VITENDO KUIUNGA MKONO SERIKALI KUKIJANISHA JIJI LA DODOMA..

TAZAMA MIRADI YA STENDI YA MABASI NA SOKO INAYOJENGWA JIJINI MBEYA..
Просмотров 1,6 тыс.2 месяца назад
TAZAMA MIRADI YA STENDI YA MABASI NA SOKO INAYOJENGWA JIJINI MBEYA..
MADAKTARI BINGWA 50 WA DKT. SAMIA WATINGA MBEYA..KUTOA HUDUMA KWA SIKU TANO..
Просмотров 852 месяца назад
MADAKTARI BINGWA 50 WA DKT. SAMIA WATINGA MBEYA..KUTOA HUDUMA KWA SIKU TANO..
TAZAMA BARABARA ILIYO PITA JUU ZAIDI KULIKO ZOTE TANZANIA, UREFU WAKE NI NUSU YA MLIMA KILIMANJARO
Просмотров 13 тыс.2 месяца назад
TAZAMA BARABARA ILIYO PITA JUU ZAIDI KULIKO ZOTE TANZANIA, UREFU WAKE NI NUSU YA MLIMA KILIMANJARO
RC. HOMERA AJALI ZINAZO TOKEA MBEYA SIPENDI, ATAJA MAMBO YANAYO MNYIMA USINGIZI MBEYA...
Просмотров 1172 месяца назад
RC. HOMERA AJALI ZINAZO TOKEA MBEYA SIPENDI, ATAJA MAMBO YANAYO MNYIMA USINGIZI MBEYA...
WITO KWA VIJANA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA KUJITOLEA, WAKUMBUSHWA NAFASI HIZO NI BURE
Просмотров 2073 месяца назад
WITO KWA VIJANA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA KUJITOLEA, WAKUMBUSHWA NAFASI HIZO NI BURE
Mungu akubariki gwajima oooyeee
Mi tungeuana, hakimu angekufa kabla nyumba haijauzwa . Shenziiii, watu wakikosoa ubovu wa viongozi wanatekwa😢
Ataachiia tu Kwa jina la yesu haki ya mtu haipotei, anajisumbua bure
Uonevu uo
Hakuna kesi apo ni utapeli tuu
Tanzania inaongoza kwa uwanachama wa ccm kindaki ndaki😅
Wallah nimelia kwa uchungu maana unatafuta kwa shida kama sisituko omani tunapatashid changamoto nyingine alafu mtu anakuja kukuuzia nyumba bure
tanzaniayetu hii bado uonevunimwingi sana hasa kwawatu wasio ifaham sheria wanateseka sana
Daaaah hili swala liangaliwe upya kika mmoja apate haki yake haiwezekani nyumba yenye thamani ikafananishwe na kg za nyama
Nchi yetu ya ovyo sana
Jamani mchana kweupe unadhulumiwa? Watetezi wapo wapi?
Jizi ilo ,Mtumishi wa MUNGU lishugulikie,
Huyu baba jamani serekali ingilie jamani apewe aki yake
Kweli Tanzania duh🙆😭
Huyo muuza nyama ni jambazi,kwa kweli wenye majumba tuna mitihani,saa nyingine haujui mtu unayempangisha ana tabia gani maskin. Mungu atatenda haki.
Alafu jamaa anaonekana mshirikina mno aisee hata ogopi
Mahakama za Tanzania wanahukumu bila haki ila Mungu atawahukumu kwa haki
Jamani. Dhuluma
Jamani. Dhuluma
Nimekupenda muheshimiwa kwahekima na uttuu
Hiyo si nzuri na na haileti afya kama ni kweli
Kwa jina la mungu uyujamaa wa nyama hasifanikiwe kabisa kwa jina lako mungu libalikiwe
Hizo ndio mahakama zetu watafika mbinguni wamechoka sana
Hao watu hawana huruma kabisa
Tumombe mungu kimbilio la mnyonge n kwa mungu Kwahyo mung atawajib tu hii n zarau kubwa sana inshaallah mung simamia hili jambo
Mungu/MUNGU sio mungu
Kuna mijitu hapa dunian bora hata mbwa
R.I.P JPM
Tunakuamin gwajima itarudi 💯
Ange kuwa magu fuli wange isoma number lakin mpemba
Daaah hiii nchi hiii mungu atusaidie san Mioyo yetu inavuja Damu vitu Kama hiv Vinaumiza san

Kuna watu mnakuta wameuwawa kikatili mnawaza wamefanyaje ndo kama hay😢
Huyo jamaa akamatwe mara moja ackimbie kwanza😢😢 kimenuka
Jamani tupo wengi hata mimi ninajanga kubwa sana ila wanyonge ndo tunaonewa mimi bado nipo naendelea na kesi kila siku
Waziri husika wa ardhi nakuita mara 10 uko wapi?? Popote ulipo fatilia hili swala haraka liishe!
Uwe makini sana na huyu mpangaji wako.
Kbs mzee apatiwe ulizi wahaliya juu
Allah atamlaani san nimeumia allah yupo na alali wala asisinzii ata ukinyimwa apa utapata mbele ya mung na tujifinze kila kitu ufanye kwa ushahidii apo aliposem ana karabati akishindwa ataondok alikuwa na lake mbwa huyuu mnyanyasasaji mkubwa sura mbaya mpak roho yake allah atakulaani san we muuza nyama
Ongera mkubwa Mungu atakusaidia kwa Moyo wa huruma
Hapaa ndo tunapomkumbuka ancle magu jamani
Pole Mzee haijaisha mwombe mungu
Jamani katika hili serikali ifanye kazi yake Kwa harakaa
Alie nunua hiyo nyumba ni huyo huyo muuza nyama jambazi huyo
Waziri wa ardhi Yuko wapi? Mama kakosea sana kumtoa Jerry slaaa
Alimpangiza au alimpangisha
ruclips.net/video/-Ri7i60xjmw/видео.htmlsi=Ur5J9APpDOoevYuZ LOVE DECISION SERIES UWAMZI WA MAPENZI ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Uonezi huo
Uyo alouza ni mwizi alipanga njama za kumdhilumu huyu sanga na hayuko mwenyewe walichonga dili kumdhulumu tena anaonekana mshirikina tu hyo ametoa rushwa na kuwashika ufahamu ht nwanasheria alomsaidia hakua wakimpa msaada alikua kitu kimoja na muuzaji kwn mahakama kuu ya rufan haipo hki itendeke ?Mungu ameanza ingilia kati dharau ya kuitwa na mbunge anampa mashart asogee yye huoni anajiamini ushirikina
Mzee pole sana machozi YAKO MUNGU atayalipa
Hii DUNIA INA WANADAMU WABAYA SANA KHAKI YA MTU UNAIPOLA KWA NGUVU ZA MAHAKAMA
Hii Dunia Kuna watu mioyo Yao mibaya hata wanyama hawafanani NAO... MUNGU wetu tusaidie
Yaan😢😢😢Kuna watu wana roho ngumu mhhhh