Goodluck Gozbert - Kama Si Wewe (Official Video ) For SKIZA sms 7630294 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2018
  • Goodluck presents the music video for "Kama si wewe"
    Watch Goodluck Gozbert New EP "Ushindi": • Goodluck Gozbert - Kin...
    Follow Goodluck Gozbert
    Instagram: goodluckgoz...
    Subscribe to RUclips Channel: / @gozbertministries
    #goodluckgozbert
    #KamaSiWewe
    Goodluck Gozbert performs a swahili gospel song, Kama Si Wewe. It comes from the Bible reading, Psalms 124:1.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 2,8 тыс.

  • @elizabethpeter7935
    @elizabethpeter7935 3 месяца назад +95

    Km bado unasikiliza huu wimbo 2024 gonga like zaako hapa🔥🔥🔥🔥🔥

    • @MaryamWambo-bv9si
      @MaryamWambo-bv9si 2 месяца назад +3

      1:46 1:46 1:46 😊plp😊😊😊😅😅😅😊😊😊

    • @nancymrunde2466
      @nancymrunde2466 2 месяца назад +1

      What a beautiful song🎶🎶

    • @scorpoz5670
      @scorpoz5670 2 месяца назад

      Kweli hii song waga inanipa imani sana

    • @rachelmunuo5044
      @rachelmunuo5044 Месяц назад

      🎉nimeona I have been using 😂😂for years

  • @juliagichs1
    @juliagichs1 7 месяцев назад +52

    I played this song nonstop today on my way to work. I got into a terrible car accident right in the
    highway and I truly saw God’s
    hand through it. I wasn’t hurt, nobody was hurt, the
    car was untouched, and I did not
    fear. The LORD was with me all
    along and this song must have
    been my protection!! 8Hrs later and I’m still crying and praising God! And I am still playing this song nonstop! Thank you so much 😢

  • @gebthedramaking6047
    @gebthedramaking6047 5 месяцев назад +13

    When I become a morning show radio host I'll be playing this song to my listeners every morning ✌🙏

  • @magrethkiyabo8594
    @magrethkiyabo8594 4 месяца назад +10

    I am in working place that working conditions doesnt suits me 😢 But i thank you Lord for yhe daily bread🙏

  • @mulimacarol1830
    @mulimacarol1830 2 года назад +360

    As a house maid I go through alot lkn najua mungu atakuja nitoa kwa hii situation.the song always keeps me going

  • @heavenlyprincess1122
    @heavenlyprincess1122 5 лет назад +1233

    Kama unajua ni MUNGU amekulinda mwaka mzima mwambie kama si WEWE ningekua wapi MUNGU...🇰🇪🇰🇪

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 4 месяца назад +1

    Nilipoteza kazi wakati WA Corona mume akaniacha na mimba ya miez3 niliuza kila kitu nikarudi kijijini Kupitia hii nyimbo Mungu akanifuta machozi nakunipa Mume Raia wakigeni kanifingulia milango ya kazi na Mtoto wangu kakua

  • @rayanaokoit766
    @rayanaokoit766 4 года назад +11

    Wacha machozi yanitiririke tu..wacha machozi nikulilie tu .thankyou jesus👏👏👏

  • @joanakumu4482
    @joanakumu4482 11 месяцев назад +10

    I was a houseelp at a point in my life, after graduation from school .
    I would listen to this song day and night.
    That point in life, i begun to appreciate freedom, i didn't knw it was a training ground for me.
    That season came and went, im out here, enjoying my freedom in Christ Jesus.
    Surely its not by our works o what we wear, but his GRACE.

  • @diamondplatnumz2059
    @diamondplatnumz2059 4 года назад +98

    Mimi ni muislam ila naupendaga sana huu wimbo kwakuwa haubadili iman yangu ninamshukuru mungu kwa neema alhamdulillah

  • @emilygathoni2196
    @emilygathoni2196 2 года назад +1

    I lost my marriage and my self, and I had kids involved with no job
    But I prayed and God provided me with a job though the pay was small I knew God was working it out.
    My first born daughter is to join form one in April and I still believe God will providee with fees and all that my daughter will need to join.

  • @gf_mbu2
    @gf_mbu2 Год назад +21

    I am South African and don't understand much of Swahili, but this song always gives me chills. I love it I have even learnt to sing it fluently. Thank you Goodluck for this lovely message I had to sit and look for interpretation to the song.

  • @Oliviermjaphet
    @Oliviermjaphet 5 лет назад +602

    Nyimbo nzuri sana kama nawewe umeikubali gonga like twende sawa

    • @geresongeorge1147
      @geresongeorge1147 5 лет назад +4

      Kama si wewe, nisinge kuwa mbali nilipo na nilivyo .....gm wayanga

    • @isabellebaraka3716
      @isabellebaraka3716 5 лет назад +4

      Mungu akubariki sana Goodluck na aendeleye ku inuwa kipajichako.
      Nyimbo nzuri sana, imenikumbusha mengi. Ukweli nikwamba kama si wewe Mungu sijuwe ningekuwa wapi. Dieu m'a fait de miracle inoubliable 😭😭😭, acha nikushukuru kwa wema na neema. Mungu nimwema na mwaminifu kwangu. Asante mungu wangu.🙏
      Isabelle Neema naishi USA Georgia.

    • @jinomoko5510
      @jinomoko5510 5 лет назад +2

      Good

    • @jumahuseni7766
      @jumahuseni7766 5 лет назад +2

      lava lava

    • @glorymbazi8083
      @glorymbazi8083 5 лет назад +2

      Nice song

  • @missdija4959
    @missdija4959 3 года назад +102

    I’m Muslim but this song blesses me and i real like it🙏🏻🌹 Be blesses Goodluck

  • @myrtleesther-2022
    @myrtleesther-2022 7 месяцев назад +3

    My life is a living testimony and I always cry when I remember how times God fought for me❤ I will always Praise and Honour our Father in heaven because if wasn't HIM I don't where I would be right now...Thank you JESUS🙏❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @righitkileo
    @righitkileo Месяц назад +3

    ❤❤Asante Yesu kwa ulinz wako Naomba usiwapinqikie watoto wanqu wewe mlinzi milele❤❤❤❤

  • @maryanngitonga100
    @maryanngitonga100 5 лет назад +153

    Nipate likes jamani... Love you Goodluck....

  • @holalorenelove678
    @holalorenelove678 5 лет назад +85

    Mama yangu alikuwa mugojwa kila siku tuli usikiliza uyu wimbo ume tupa faraja sana ivi she’s fine tuna subiri ku rudi hospital in 2 months tuna endeleya kupata faraja na wimbo uhu
    Asante tuuuu kwa wema ❤️
    Mungu ni mwema siku zote

  • @DriscilaKimori
    @DriscilaKimori 9 месяцев назад +5

    Unaniinua kiimani huo wimbo...hunibariki sana nikiwa chini kiimani huinua Imani yangu...ubarikiwe sana mtumishi gozbert

  • @annkanai4070
    @annkanai4070 Месяц назад +1

    The Lord is my portion forever,this song is a blessing,reminds of the presence of God in my life while I was pregnant .forever a blessing

  • @Samyoungmusic
    @Samyoungmusic Год назад +5

    Wale tunawatch 30th|04|2023 nipe lykes zenyu jameni ..this Song issa a blessing to many ...To Almighty be the Glory..Bratha Gozbert Mungu Akupe maisha Marefu🙏

  • @mourineoruenjo3454
    @mourineoruenjo3454 Год назад +20

    This song reminds me of how God has been Great in my life.

  • @cateatieno1546
    @cateatieno1546 25 дней назад +1

    Woke up today with this in my mind ,36weeks pregnant and been feeling unwell since Sunday,decided not to take medicine yesterday night and si wat God has done ,am up like like I wasn't sick aki❤

  • @catherinenkirote7321
    @catherinenkirote7321 4 года назад +51

    Mimi niko hapa 2020 asante kwa wema na neema Jehova l have watched this 100 times nani yuko hapa 2020

  • @geraldsanga4879
    @geraldsanga4879 5 лет назад +150

    "Pesa sabuni lakin Mungu ndiye MAJI".... Gonga like kama unakubali hivyo.

  • @innocentgabriel4722
    @innocentgabriel4722 5 лет назад +231

    Kama unakubali nyimbo za goodluck gozbert gonga Like

  • @christinenyambeta7702
    @christinenyambeta7702 Год назад +3

    MUNGU wangu kama SI wewe Mimi sijui ningekua wapi n familia yangu,Ahaaaa Ahsante sanaa MUNGU wangu 🙏🏾 kwa uzima,Neema na kutuwezwsha kifamilia.

  • @user-jp7qs5gu6j
    @user-jp7qs5gu6j 27 дней назад +3

    Kama ulikuwa hapa wakati wa corona na Mungu akakuvukisha salama gonga like.

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 5 лет назад +22

    Hua nikiona nyimbo yako pya nakimbia mbio kuitazama najua tu lazima nitapata maneno matamu yakunipa pumziko la moyo, eeh Mungu wangu kama si wewe ningekua wapi, mie leo. Nasema tu Ahsante Mungu

  • @rosemaryshiro6344
    @rosemaryshiro6344 4 года назад +206

    I lost my baby last year Nov i cried and asked God y me i came across this song I loved it it became my song daily from my alarm to my ringtone i am glad God has blessed me again

    • @memsmem4846
      @memsmem4846 3 года назад +2

      Pole sana. I cant imagine how you feel. May God comfort you sweetheart.

    • @clementiddi6244
      @clementiddi6244 3 года назад +2

      Pole sana, majonzi yetu yesu anayafuta mpendwa. Nawakumbuka wazazi wangu na huu wimbo unanipa faraja.

    • @joykapaya1970
      @joykapaya1970 3 года назад +3

      Oh asante sana sana Bwana Yesu , kama si Wewe jabali langu , maficho yangu , uzima wangu , ningekuwe wapi mimi , mimi...
      Thank you Jesus!

    • @shilaceline9510
      @shilaceline9510 3 года назад

      @@memsmem4846 good morning I looks like am I looking please 0 for the lollipop poll lull llc ll lol what plan what lol mp like the other I Phones like like lifll

    • @stanleyeliasi890
      @stanleyeliasi890 3 года назад

      Sorry for lost your baby

  • @sirpaindakiseya697
    @sirpaindakiseya697 4 года назад +21

    Hiii ndo nyimbo sasa,, wanaoitazama mpaka sasa wapi likes zenu app??

  • @mercykamau5246
    @mercykamau5246 Год назад +18

    I love this song Its a blessing to me,everytime I listen to it miracles happen and victory comes my way, for sure I didn't know God loves me this much.🙏🙏🙏🙏

  • @gulainemopero1195
    @gulainemopero1195 5 лет назад +133

    Ubarikiwe kaka Goodluck, nyimbo hii inanibariki saaaana' Kama umekubali gonga like, nawatakiwa nyinyi wote mwaka mpya wa baraka na amani na mafanyikio kwa jina la yesu 🙏🏼🎄💕💖.

  • @moulinemoulinr9136
    @moulinemoulinr9136 5 лет назад +95

    😢hakika kama si wewe yesu sijui ningelikuwa wapi 🙏🙋🙋wimbo mzuri wa kutia moyo kweli

  • @carolinegichuki702
    @carolinegichuki702 Год назад +30

    My mum and dad have been conflicting..I declare that with the intervention of this song ,their differences will be resolved in Christ name🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @Purity719
    @Purity719 3 года назад +3

    Leo wanadamu wataniambia nini nikiwa nawe Mungu wangu? Kama si Wewe ningekuwa wapi? Amina.
    I like that "sadaka zangu" part.

  • @janewashe7276
    @janewashe7276 5 лет назад +23

    Gonga like nyimbo tamu sana🇸🇦 kama si wewe ningekua wapi

  • @jabalicalvin
    @jabalicalvin 5 лет назад +63

    Watching from kenya...any kenyans here merry christmass nd happy new year

  • @yvettemenie5057
    @yvettemenie5057 Месяц назад +1

    We all Blessed in the name of Jesus Christ ;;;;; Amennnnnnnn 👑👑👑👑👑🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @agnesspaul4367
    @agnesspaul4367 2 года назад +1

    Asante tu kwa wema maana kama si wewe ningekuwa wap wacha machozi yanitiririke da aise MUNGU atupe nguvu sisi sote tunae mtafuta kwa nguvu zetu zote amin

  • @Ngepetv
    @Ngepetv 5 лет назад +423

    Wanao mkubali huyu jamaa kuwa anaweza gonga like hapa

  • @elisabethjesca5818
    @elisabethjesca5818 5 лет назад +10

    Kwa kweli goodluck anajua sana kuimba napia iko nakipaji kizuri sana [ kama umekubali ebu gonga like apa twende]

  • @estermwakanosya1793
    @estermwakanosya1793 4 года назад +2

    Umenipa Pumzi na Afya njema Mm na Mume Wangu na Watoto Wetu.....acha nikushukuru acha nilie acha nikushukuru kwa Neema yako......Groly to God

  • @derrickkiunge8867
    @derrickkiunge8867 Год назад +6

    4 yrs down the line, am still stuck here...... Much love from 🇰🇪 my mother land.....the song issa blessing 🙏🙏🙏

  • @2556
    @2556 5 лет назад +24

    Umefanya bure sawa na upendavyo,
    Wacha machozi ya nitirike tuu
    . Honestly wacha nimlilie Mungu, coz sioni chakunitenga nae

  • @lindakagwe3302
    @lindakagwe3302 5 лет назад +97

    Kama si wewe ningekuwa wapi Mungu.. Ooh such a nice song🇰🇪🇰🇪

  • @everydaylifebyrozy6174
    @everydaylifebyrozy6174 2 года назад +52

    I love this song . It really ministered to me in 2019 when I was going through hell at my place of work. I realized I had nowhere else to turn to but only me and God. I used to listen to it over and over and preach to myself . I had tried all I could but I believe God wanted me to know he is the only one who could give me peace that surpasses all understanding and I surrendered to him. I stopped fighting for myself and just praised through such songs. Much love from Nairobi, Kenya.

  • @elsiembae4025
    @elsiembae4025 8 месяцев назад +4

    Na wala sio sababu ya jina langu
    Wala sio sababu ninafaa
    Najua sio sababu ya sadaka zangu
    Maana ndio bado nina shangaa
    Nilijua kwamba nimeshapoteza nafasi
    Mimi ni nani kwani nakosa neno kusema
    Ooh unisamehe, sikujua unanipenda hivi
    Umefanya bure, sawa na upendavyo
    Ume ruhusu niwe vile upendavyo
    Nitakushukuru tu, kwa neema
    Asante tu, kwa wema
    Ninakushukuru tu, kwa neema
    Asante tu, kwa wema
    Maana kama si wewe
    (Kama si wewe, ningekua wapi)
    Kama si wewe
    (Kama si wewe, ningekua wapi)
    Maana kama si wewe
    (Kama si wewe, ningekua wapi)
    Maana kama si wewe
    (Kama si wewe, ningekua wapi)
    Wacha machozi
    (Wacha machozi yanitiririke tu)
    Yanitiririke
    (Wacha kilio, nikulilie Mungu)
    Basi wacha machozi
    (Wacha machozi, yanitiririke tu)
    Wacha kilio
    (Wacha kilio, nikulilie Mungu)
    Natafuta cha kunitenga nawe
    Bado sijaona
    Nilisha katwakatwa moyo
    Na kupondwa na wanadamu
    Leo wataniambia nini, nikiwa nawe
    Leo wata niambia nini uuh uuuh, nikiwa nawe
    Pesa huitwa sabuni ila maji niwe
    Unioshe bwana, nitakase
    Nitakushukuru tu, kwa neema
    Asante tu, kwa wema
    Ninakushukuru tu, kwa neema
    Asante tu, kwa wema
    Maana kama si wewe
    (Kama si wewe, ningekua wapi)
    Maana kama si wewe
    (Kama si wewe, ningekua wapi)
    Kama si wewe
    (Kama si wewe, ningekua wapi)
    Maana kama si wewe
    (Kama si wewe, ningekua wapi)
    Wacha machozi
    (Wacha machozi yanitiririke tu)
    Wacha kilio
    (Wacha kilio, nikulilie Mungu)
    Wacha machozi
    (Wacha machozi, yanitiririke tu)
    Wacha kilio
    (Wacha kilio, nikulilie Mungu)

  • @ellichrissjohn5304
    @ellichrissjohn5304 5 лет назад +114

    Asante Goodluck kwa zawadi ya Christmas 2018, Wimbo mzuri Mungu ahimidiwe kwa kutupa tumaini la mwaka 2019.

    • @hoseadaniel3718
      @hoseadaniel3718 5 лет назад

      Amina

    • @annamwendo5577
      @annamwendo5577 5 лет назад

      Ellichriss John nahitaji hii nyimbo naipataje

    • @ellichrissjohn5304
      @ellichrissjohn5304 5 лет назад

      @@annamwendo5577 Kama unatumia computerni rahis or nitumie whatsap no, nkutumie

    • @yustamartin1210
      @yustamartin1210 5 лет назад

      Ellichriss John amina god bless you

    • @kelvinaudax8287
      @kelvinaudax8287 4 года назад

      Ellichriss John ruclips.net/video/WLxtNIb79IQ/видео.html
      Plz subscribe channel yangu

  • @emmanuelmuli2636
    @emmanuelmuli2636 5 лет назад +53

    From 254 wimbo mzuri baraka baraka ....kwa neema tu

    • @scollasamsoni1141
      @scollasamsoni1141 5 лет назад +1

      nyimbo nzuri Mungu azidi kukuinua viwango vya juu Goodluck nyimbo imenibariki sana Ameen

  • @antoninaawuor6120
    @antoninaawuor6120 Год назад +2

    Ni kweli kama si mungu ningekuwa wapi good 👍 song goodluck Amen 🙏🙏 Amen 🙏🙏 Amen

  • @ShemWairegi
    @ShemWairegi 7 месяцев назад +5

    Praise God for this song !!!🙌🙌🙌

  • @happymakambi233
    @happymakambi233 5 лет назад +178

    Pesa huitwa sabuni ila maji ni wewe,unioshe Bwana Nitakase😍😍😍 this song is 🔥🔥🔥
    Yaan ni zawadi nzur ya mwisho wa mwaka

    • @winniemuindi1540
      @winniemuindi1540 5 лет назад +2

      I second you. Goodluck is blessed and talented. I like all his gospel so gospel.

    • @mariamchabuu4258
      @mariamchabuu4258 5 лет назад +3

      Wacha machoz yanitiririke tu maana kama si ww ningekuwa wapi,??? Acha kilio nikulilie tu

    • @aishapeter6610
      @aishapeter6610 4 года назад +1

      pesa itwaye sabuni maji in ww nioxhe bwana

    • @hassanmane3743
      @hassanmane3743 4 года назад +1

      Yap nouma san

    • @hassanmane3743
      @hassanmane3743 4 года назад +1

      Amazing song ,lets pray 2 god

  • @videoginnah1973
    @videoginnah1973 5 лет назад +62

    Unisamehe sikujua unanipenda iv nimefanya bure sawa na upendavyo umeruhusu niwe vile upendavyo nitakushukuru tu kwa Neema, Asnt tu kwa wema, kama siyo ww ningekuwa wapi,,,,,,,, umenigusa sanaaa

  • @jahblueprinte-pesa9023
    @jahblueprinte-pesa9023 3 года назад +2

    Thank u Lord for saving me..cjui ningekua wapi kama si wewe

  • @VioletOgutu
    @VioletOgutu 7 месяцев назад +3

    The sing gives hope and courage if it's God I don't know where I would be in this world

  • @yokuutenga8123
    @yokuutenga8123 5 лет назад +43

    Kiukwel wimbo umenitoa machoz kutokana na maisha niliyopitia had leo Mungu amen ameniinua huu wimbo Mungu kasema na Maisha yangu naitwa magreth paul umegusa maisha yangu

  • @paulinarobert1181
    @paulinarobert1181 5 лет назад +40

    kama sio wewe Bwana ningekua wapi Mimi
    wangapi tumeanza nao mwaka but Leo hatupo nao
    thanks Lord Jesus Christ
    I will praise you forever

  • @watuwashengaaz6244
    @watuwashengaaz6244 2 года назад +59

    After loosing my husband at a very young age trust me if it wasn’t for Gods love and favor I have no idea where I could be right now.This song is a blessing.

  • @dennisnyairati6062
    @dennisnyairati6062 7 месяцев назад +1

    I thank God,I grew in hardships but now blessed..this God .

  • @gideonelias5379
    @gideonelias5379 5 лет назад +91

    Kama unamkubali Godluck tuungane kwa pamoja kumpa support Ata Yan like andelee kufanya Kazi nzuri

  • @veritastvtv7816
    @veritastvtv7816 5 лет назад +30

    The song is brilliant, i really love it from Uganda 🇺🇬 let us like here all of people from UG

  • @betyanyas8780
    @betyanyas8780 6 месяцев назад +1

    Am going through a hostilic & abusive marriage, i really hard & am faithful to God that one day He will rescue ne from it. Am still alive with my children because of His graces, mercies and favors upon us always, amen.

  • @kimosopfaith3737
    @kimosopfaith3737 7 месяцев назад +2

    Goodluck may God bless you so much 💯the songs you sing are just life changing and a reflection of what we go through daily and you try to minister that God is always with us through our high and lows😌

  • @BRIGHTERMANGO
    @BRIGHTERMANGO 5 лет назад +111

    kama unaamini kwa msaada wa mungu like hapa

  • @maggiehellen6834
    @maggiehellen6834 5 лет назад +39

    Kama sio wewe Mungu umetembea Nami hadi tamati sijui ningekua wapi... Acha nikushukuru tuu😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @queenesther8758
      @queenesther8758 5 лет назад

      Mungu akuinue zaidi

    • @maggiehellen6834
      @maggiehellen6834 5 лет назад

      @@queenesther8758 nashukuru dadangu... Ubarikiwe pia🙏

    • @lucyjames9480
      @lucyjames9480 5 лет назад

      Na wala sio sababu ya jina langu, wala sio sababu ninafaa ,nikweli ni neema za mungu tu tupo mpaka leo,kama tuko pamoja na Goodluck g like hapa .

    • @dianamahamud2131
      @dianamahamud2131 5 лет назад

      I like this song brother, be blessed.

  • @anithawimbe1564
    @anithawimbe1564 4 года назад +2

    Thank you goodluck kwa Kuimba nyimbo zinazogusa mioyo ya watu

  • @fleurlydie6930
    @fleurlydie6930 4 года назад +3

    Kama si wewe ningekua wapi Mungu wangu Asante tuuu kwa neema .Akuna cakunitenganisha na wewe .Naweza fanya siku zima nikisikiliza nyimbo hu pekee from Belgium 🇧🇪

    • @kelvinaudax8287
      @kelvinaudax8287 4 года назад

      Fleur LYDIE ruclips.net/video/WLxtNIb79IQ/видео.html
      Plz subscribe channel yangu

  • @sabinajames6539
    @sabinajames6539 5 лет назад +14

    Kama si wewe Mungu ningekuwa wap asante kaka kwa ujumbe mzuri,{ +254}

  • @SuccesRozie
    @SuccesRozie 5 лет назад +25

    Nitakushukuru tu kwa Neema,Asante kwa wema,Kama si wewe ningekua wapi,Asante Mungu🙏🙏🙏Mungu atujalie tuanze mwaka salama🙏

  • @ruthmaurice496
    @ruthmaurice496 4 года назад +1

    ninakuxhukuru tu kwa wema kila xku n lazma n uxkilize huu wimbo unanipa nguvu xana mung wa mbiguni azidi akubariki

  • @rashidwallace104
    @rashidwallace104 Год назад +1

    Thank you Alllah for your guidance and your favour, NINAKUSHUKURU TU, ASANTE!!

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 4 года назад +86

    Je! Unamkubari?? Twende sawa like

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 5 лет назад +82

    This song make me to believe God is there my mother have accident on 23.11.18 she still in hospital and Jesus is there for her jes lord kama si wewe always from Germany 🇩🇪 +49 big up Goodluck be blessed 🙌

  • @mercykahongeri6060
    @mercykahongeri6060 Год назад +2

    My spiritual brother ...much love from kenya

  • @Steven3.
    @Steven3. 8 месяцев назад +2

    hii song naikubali sana jana Leo mpaka kesho

  • @stellahmatondwa7168
    @stellahmatondwa7168 5 лет назад +35

    Nishakatwa katwa moyo na wanadamu na kupondwa🙏🙏🙏🙏 Kwa neema

  • @zephnyarufunjo12
    @zephnyarufunjo12 4 года назад +5

    Uimbaji wako umewagusa wengi. Huonekani sana majukwaani mahali mbalimbali lakini kupitia media umeweza kutambulika na wengi. Just be course your singing touches the people. Keep it up.

  • @josephinemwanyalo3642
    @josephinemwanyalo3642 9 месяцев назад +1

    I have been looking for this song I heard it from my friend.. Nikikumbuka how I almost my life in a road accident... God you are still restoring me. My spine is healed and am walking with one crutch.. Just one day I will be free... Jehovah you remind everyday that you are God

  • @jacobmangaraya321
    @jacobmangaraya321 3 года назад +2

    Bonge la nyimbo.MUNGU wetu anatupenda sana

  • @luciewajesus731
    @luciewajesus731 5 лет назад +11

    Nashukuru kwa Neema ewe Bwana kama siwewe ninge poteza maisha mwaka mawili ulio pita 😢😢Asante Mtumishi wa Mungu ubarikiwe acha nitulie nishukuru kwa rehema zake kwangu ❤💖

    • @gozibertleonard111
      @gozibertleonard111 4 года назад

      Get blessed my mwajina ,I'm Gozibert too ,the song is best,keep on with God's work

    • @juniormanase2550
      @juniormanase2550 4 года назад

      Lucie waJesus nyimbooo tam

  • @sabinagakure6824
    @sabinagakure6824 Год назад +5

    I've been listening to this song countless times and for real it's a blessing
    Machozi yanitiririka tu nikiwaza neema na rehema zake Mungu kwangu

  • @winnyosore7172
    @winnyosore7172 6 месяцев назад +2

    It's my birthday today, I just thank God for this far. Being financially unstable wasn't easy. .holding on to God kept me going n nothing was impossible.i ❤❤❤❤ this song.

  • @superiorsucces2864
    @superiorsucces2864 4 года назад +16

    October 21 2019 am still here coz it's my favourite who with me ????

  • @carolinewamuhu9191
    @carolinewamuhu9191 5 лет назад +8

    1st Jan 2019 ....Kama si wewe ningekuwa wapi? All glory unto God. 2019 will be an year of God's beauty, Amen. ❤

  • @wittybmdecomarmond6782
    @wittybmdecomarmond6782 5 лет назад +68

    Nice song with great message... I appreciate you bro
    Press like if your blessed with the song...

  • @jennifermlingi4632
    @jennifermlingi4632 4 года назад +1

    Nitakushukuru tu neema mungu wangu
    Kama si wewe ee mungu nisingekuwa nilivyo
    Sifa na utukufu ni kwako bwana

  • @njambi1860
    @njambi1860 Год назад +1

    I lov this song God blessing everyone whos here today
    .......I pray tht God will fulfill ur hrt desires today if u believe he will do it say 🙏 amen

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 3 года назад +3

    😭😭😭😭emungu kama siyo wewe ningefika siku ya leo jumapili na kuisikiliza nyimbo hii ya mtumishi wako nashukuru kwa ukuu wako unaonitende kila iitwapo leo 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @jameskamoliurukundotanzani6153
    @jameskamoliurukundotanzani6153 4 года назад +34

    Vizuri sana kija,
    Binafisi nakuombea sana MUNGU aendelee kukujaza HEKIMA ,akuepushe na kiburi Methali 11:2 .
    Songa mbele kwa uijirishaji kwa jia ya nyimbo

  • @beatricewere6919
    @beatricewere6919 4 года назад +1

    I like the song ukweli kama si Yesu hangestahili in the book of Psalms David is telling Israelites to say that if God were not by our side then our enemies could have devour us

  • @annsimiyu2053
    @annsimiyu2053 Год назад +1

    Sio sababu mi nafaa 🙏🙏Wala sio sababu ya sadaka zangu....Kila nikisikiza huu wimbo machozi yanidondoka juu ya ukuu wa Mungu maisha I Mwangu 🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AmosMakokha
    @AmosMakokha 3 года назад +45

    Who else is still being blessed by this song in 2020.

    • @goodendamon6853
      @goodendamon6853 3 года назад +1

      Here I am

    • @nomasika1405
      @nomasika1405 3 года назад

      Nkav about working out there was very little more than just wanted a about way

    • @nomasika1405
      @nomasika1405 3 года назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rodanjeri1325
    @rodanjeri1325 2 года назад +5

    Kama si wewe Mungu sijui ningekuwa wapi. Thank you LORD

  • @joycejames242
    @joycejames242 3 года назад +17

    This brings me to tears. I thank God for everything he's done since 2013. He is the one who knows what he did for me. I could be dead already.

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 Год назад +2

    Tanzania mmejaliwa vipaji kwenye muziki kiukweli, your the entertainment land of east africa👏🏼👏🏼👏🏼

  • @judithbraison4911
    @judithbraison4911 5 лет назад +10

    nimekuelewa goodluck nina kila sababu ya kusema AMINA

  • @jillianmcclain1455
    @jillianmcclain1455 4 года назад +25

    My song for thanksgiving, FROM JAN TO DECEMBER LORD UVE BEEN SO FAITHFUL, KIND, LOVING, AND UVE REALLY BLESSED MY LIFE, *AM FOREVER GRATEFUL LORD* If ITS NOT YOU I DONT KNOW WEA I WOULD HAVE BEEN 😭🙌🙏

    • @kelvinaudax8287
      @kelvinaudax8287 4 года назад

      jillian Mcclain ruclips.net/video/WLxtNIb79IQ/видео.html
      Plz subscribe channel yangu

  • @oprahsawakenedtabletalk.4855
    @oprahsawakenedtabletalk.4855 11 месяцев назад +4

    I sing the song and am crying literary 😢😢❤🎉🎉,,it's a blessing all the way...sir,🙌,,more Grace to do this ministry 🥳🥳👊🇸🇸🇸🇸

  • @sifaelnanono9077
    @sifaelnanono9077 4 года назад +36

    Being blessed in 2019. "Pesa huitwa sabuni ila maji ni wewe unioshe Bwana...nitakase" ..Amen!