Amin, may God of grace and manifold favour and insurmountable mercy bless and answer the desires of everyone listening to this beautiful song . And to the Author: SALUTE 🎉🎉
Hii nyimbo nimeisikiliza mara moja tu nimeweza ikariri, kweli bora iwe lawama kwa ndugu zangu hata pale nilipoweza kuimba nyimbo hii. Kuokoka kwangu kumekuwa na majaribu na changamoto nyingi sana, Mungu wetu ni mwaminifu haya ni mapito tu. Nani mwingine ameguswa na nyimbo hii kama mimi? 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nyimbo zakoo hunibariki sana ninapo kuskiza mtumishii,, mimi ni mfuasi wako suguu,endeleza injili na mungu akuzidishie neema zakee uendelee kuimarikaa ajabuu🙏👏💞
Wimbo mzuri sans, mara yangu ya kwanza kuusikia ukichezwa,ilikuwa kwenye gari la kusafirisha abiria kutoka Nairobi Hadi Muranga na Dereva aliyekuwa akiitwa Mr Samuel, Mungu ambariki na azidishie siku zake za maisha 🙏
Heri lawama,,,a nice song ever in my life,,, keep shinning bro,,, can't get bored listening to it,,, 🙏🙏,,,barikiwa Sana Sifaeli as you continue spreading the word of God 🙏,,if unakubaliana na hii song,,,pita na likes 🇰🇪🇰🇪
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
nyimbo hii ni maisha yangu mimi, when i converted from Islam to Christianity, i lost everything but i am happy to have christ in my life now 12 yrs and going strong in christ
Hawana hata utu wala upendo, they can show you smiling face but deep down they plan how to kill you 😡. But in God's hand we are in safe hands and even we're blessed by his grace ❤️
Amina watumishi wa Mungu na Mungu awatie nguvu katika mambo yote katika safari yetu ya kwenda Mbinguni, Mathayo,11:28, 28:18-20, Wafilipi,4:4-13, ahsante sana amen.
Ubarikiwe sana ndugu heri lawama kuliko kumuacha yesu kuna wakati nilipitia kipindi kingumu nilitengwa na familia yangu yote, nilipaki na yesu tu huu wimbo wako ulinikuza sahizi naheshimika katika familia yetu, kweli heri lawama kuliko kumuacha yesu
No heri lawama kweli,ninaipenda kwani nilipookoka nilipitia kukataliwa ila Kwa Sasa familia yetu imetambua msimamo wangu.Mungu akubariki na akuongezee kwani umekuwa was baraka Kwa wengi
Mungu alinde kipaji chako na familia yako.Akupe ujasiri zaidi yaani huu wimbo sisemi kitu.Sijui kama kuna mwenye amerudia zaidi ya mara 10.Namwomba Mungu siku moja nisikike kama Sifael Mtumishi wa Mungu.Nyimbo zako ziko na ujumbe wa kweli tena wa ndani sanaa
The first song literally making me dance behind the wheel! Rewinding throughout my journey. Beats and the message are second to NONE! May God Bless you.

Galacha hatari Sana heri lawama ubalikiwe mwimbaji ameen
amen asante kwa kufuatilia kazi zangu mungu akubariki be blessed Mungu akupe ushuhuda zaidi
Barikiwa sana mwimbaji.heri lawama
akika mimi nimeguzwa zaidi
mungu akubariki xana sifaeli mwabuka mwabuka akujalie neema uishi miaka mingi ili watakao kueko wajifunze mengi kupitia nyimbo zako tamu xaana
Amina Mungu awabariki nyoote Kwa kunitia moyo asanteni HERI LAWAMA kuliko kumwacha Yesu
Heri lawama ...ataupitie shida gani mungu yupo
Asante pia mungu akubariki Sana nyimbo zako zinatia nguvu Sana I say,,,
❤❤
Mungu ni mwema babangu ubarikiwe daima
Mungu akuepushe na mabaya yote
Napenda uchezaji wa heshima wa sifaeli
Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share
Glory to God🙏🏿
Nyimbo zakoo hunibariki sana ninapo kuskiza mtumishii,, mimi ni mfuasi wako suguu,endeleza injili na mungu akuzidishie neema zakee uendelee kuimarikaa ajabuu🙏👏💞
Wimbo mzuri sans, mara yangu ya kwanza kuusikia ukichezwa,ilikuwa kwenye gari la kusafirisha abiria kutoka Nairobi Hadi Muranga na Dereva aliyekuwa akiitwa Mr Samuel, Mungu ambariki na azidishie siku zake za maisha 🙏
Wimbo una ujumbe mzuri Sana Barikiwa mtumishi wa Mungu Sifaeli. Bwana ananena Kupitia huduma yako.
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Jitie nguvu kabisa mungu alikuinua nyimbo zako zinakuanga baraka kwetu
Asante kwa kufuatilia kazi zangu ubarikiwe sana. please subscribe and share with your friends
Heri lawama ku
Liko kumsahau mungu maana hata mamaangu alifariki akiniacha nasiku 6mungu akanikuza hakika mungu yupo❤❤❤❤🎉
From malawi mzuzu Amen
Nakukubari brother mungu akutangulie kwenye kazi yamungu
Amina... ubarikiwe sana
Huu wimbo umekuwa national anthem nchini kenya ...kwangu umekuwa kipenzi..be blessed mtumishi baba jonathan na ester waimbaji wa kimataifa
Amen ni Heri lawama kabisa , ninzuri sana nami nimeipenda sana Mungu akubariki ❤❤❤
Nimekubali heri lawama😊
Asante kwa wimbo huu mzuri, mungu akutende mema Mtumishi Sifaeli..
Neema zaidi twasubiri makubwa katika jina la Yesu 🙏 from Kenya 🇰🇪
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL amen 🙏🙏🙏 kaka
Kweli bora iwe lawama.
From Somalia 🇸🇴 i says, Jesus is lord.
Heri lawama,,,a nice song ever in my life,,, keep shinning bro,,, can't get bored listening to it,,, 🙏🙏,,,barikiwa Sana Sifaeli as you continue spreading the word of God 🙏,,if unakubaliana na hii song,,,pita na likes 🇰🇪🇰🇪
Hi
Ameni,ni heri lawa ubarikiwe mtumishi wa Mungu sifaeli
From msumbiji amen like it
Ni ok . Ubarikiwe Mr sifaeli. 🇨🇩🇨🇩
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
Jesus is lord 🙏🙏
Hata mm Bora lawama kuliko kumuacha mungu
Be blessed
nyimbo hii ni maisha yangu mimi, when i converted from Islam to Christianity, i lost everything but i am happy to have christ in my life now 12 yrs and going strong in christ
Asante sana nikuombe tu video mpya ya wimbo AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE itakuwa youtube next week by monday be ready and subscribe my channel thanks
Mungu aendelee kuwa na wewe
Amen
Huu wimbo ndio ulifanya ukatambulika huku Kenya 🇰🇪🇰🇪pia nikakupenda sana ndugu ❤💙 barikiwa sana MTU mishi wa Mungu🙏🙏🙏
Amina asante Sana nakushukuru Sana
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL naam karibu sana na zidi kutujenga kiroho na nyimbo zako mtumishi wa Mungu🙏❤💙🙏
❤❤kwakweli heri la wama n'a mimi Pia Raphaël SITA muacha MUNGU napenda wembo huuu❤❤
Thanks for following up with my work.In all platforms use Sifaeli Mwabuka.Please like, subscribe and share with others. Be blessed.
Mimi nimehamua herilawama😊
Jesus is lord
Kheri lawama ila kumuacha uyu Yesu siwezi...barikiwa sana mtumishi kwa kututia moyo vijana tuliompokea Yesu kua Bwana wa maisha yetu
Ubarikiwe sana mungu akupe maisha marefu
C c'est ma vie vraiment cette chanson à chaque fois si j'écoute ça j'ai envie de pleurer 😢 que Dieu vous bénisse
God bless u apostle Emmanuel Simiyu ni kiwa limuru 🇰🇪 unatubariki sana
Kweli ❤❤❤❤ kabisa sana 🎉🎉🎉
Punguzz michapio
Wimbo Una ijumbe mzuri sana barikiwa
Amina.... ubarikiwe
Amina kubarikiwa kwa wingi ni heri lawama usimuase yesu amina
Ubarikiwe sana
Wimbo nasikia kila wakati
Heri lawama kuliko kumkana Mungu kweli kabisa mbarikiwe
Wimbo huu unanibariki kwakweli kazi yako njema barikiwa sana sana mtumishi
Mungu niwauruma kila wakati barikiwa man of God
amen thanks for your support be blessed,asante kwa kutazama nyimbo zangu nakushukuru sana share na wengine
Wimbo mtamu kweli
Nyimbi za sifaeli zinaniinua sana Mungu aendelee kumpa huwezo na kumnyenyekeza.
❤
I was travelling a very long journey and the driver repeated this song severally...ooouh tears 😭 tears tears 😭
Ngoma kali sana
Asante. Ubarikiwe
Nakupenda sana
Nyimbo inanidia nguvu kwa bwana
Ubarikiwe sana
Hongera Sana aisee... siku zote najuaga mwimbaji wa wimbo huu ni Paschal Cassion.... I love it so muchp
amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe
Ni mimi ime ni gusa ki roho n'a ki hakili uba rikiwe daimaa🙏🙏🙏
Huduma imempata mwenye huduma yake Be blessed bro,u so talented Bro🎉🎉🎉🎉Ni heri lawama,
Mungu akupe nguvu ujasili katika imani
Wimbo wa kunikumbusha mbali vile nilitengwa na mandugu zangu😭😭huu wimbo unanitia moyo ndugu
Mwagona nyinza
Sheani ni mwongooo.
Bon travay
Asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami, thanks for your support please subscribe my channel and share to others and be blessed
Hii wimbo nitamu sana
Asante sana.... Barikiwa sana
God chosen servant we love from Kenya keep preaching the gospel it's not in vain God will bless abundantly 👏👏
Amen
Amen wanadamu hawana wema glory to God 🙏🙏🙏
Hawana hata utu wala upendo, they can show you smiling face but deep down they plan how to kill you 😡. But in God's hand we are in safe hands and even we're blessed by his grace ❤️
Amen and Amen napenda sana nyimbo zenu Mungu azidi kuinua talanda zenu
Hakika heri lawama ili kupata wokovu unanibariki sana mtumishi mungu azidi kukubariki
Annoited servants of GOD, napenda Sana nyimbo zenu,, mungu awazidishie hekima ndani yenyu na mzidii kutubariki kupitia kuimba🙏👍👍
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
You are a blessing Man of God.live long.much 💕💖 from 254 🇰🇪🇰🇪
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Ile nikweli baba Mungu wambinguni akubariki pamoya na mi
Kweli nyimbo hii imenikumbusha mbali sana kwel heri lawama
Amina watumishi wa Mungu na Mungu awatie nguvu katika mambo yote katika safari yetu ya kwenda Mbinguni, Mathayo,11:28, 28:18-20, Wafilipi,4:4-13, ahsante sana amen.
Ubarikiwe mtumishi wa mungu neema ya mungu iendelee kukufunika
Heri lawama....my all time favorite....I must admit that have been on a repeat mode ever since
Asante Sana papaa Mungu akubariki Sana
From saudia this is a favorite song too huu wimbo unanifaham mbali
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
66666666,
Haya yote nimeyapitia bit by God 's grace yalipita...😥😥😥
Heri lawama ❣️❣️❣️❣️from Nairobi kenya,,be bless so much bro,,,sisemi kitu nyimbo zako zimenitoa mbali,,,kumbe mungu yuko🙏🙏🙏
Secession in life depend with environment. Thanks almighty for changes from zero to hero.Amen
asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami thanks for your support subuscribe any channel and share others
Ubarikiwe sana ndugu heri lawama kuliko kumuacha yesu kuna wakati nilipitia kipindi kingumu nilitengwa na familia yangu yote, nilipaki na yesu tu huu wimbo wako ulinikuza sahizi naheshimika katika familia yetu, kweli heri lawama kuliko kumuacha yesu
Mungu akutie guvu na afya tele kwenye kaz yake mungu
iyo ngoma imenifanya nilie nikokumbuka yenye nimepia ni mungu tu
Oooh Mungu akutunze
Gory be to good amen from Lusaka Zambia 🇿🇲
Amen thanks so much
From Nairobi Kenya Amen
Be blessed men of God ,the message is so powerful.
Mmmmmh that's true story,hata mmi niliambiwa ety ninajifanya ety nimeokoka😢😢
Ni heri lawama kuliko kuacha wokovu maana hao ndugu hawawezi kunisaidia chochote nikipata shida
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Heri lawama........wacha niishi kwa huyu mungu
May God bless you so much.....n live long 🙏 🙏🙏
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Nimebarikiwa Sana na wimbo huu God bless both of you Amen
Amen glory to God heri lawama mungu nisaidie kutafuta USO wako Kila wakati be blessed mtumishi
This song really encourage me alot be blessed sifaeli
Barikiwa sana wimbo safi sana mtumishi wa mungu amen amen 🙏🙌👏
amen asante kwa support yako, please subuscribe my channel and share to others and God bless you
this song blesses me knowing only God who cant leave u
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
Good song
Haki hii song inanikumbusha kwenye nimetoka, kweli mungu anafanya miujiza ukimkubali na kumtumikia, sai niko sawa namshukuru yeye tu
Mungu awe na wewe na akutie nguvu kwa kueneza habari ya yesu
Amina
Uuu nao mzuli unanikumbusha Mimi sana yani enz bibi kipind cha nyuma kwer mambo ay tunafanyiwa
amen
No heri lawama kweli,ninaipenda kwani nilipookoka nilipitia kukataliwa ila Kwa Sasa familia yetu imetambua msimamo wangu.Mungu akubariki na akuongezee kwani umekuwa was baraka Kwa wengi
amen asante sana be blessed more please subscribe and share to others
Ukweli nyimbo hii huwa ina nibariki sana Mungu azidi kukuinua juu sana
Amen nakushukuru sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Those who have listened more than once this song let's gather here please🙏🙏🙏🙏🙏🙏
amina asante kwa support yako usisahau kushare na wengine na subscribe my youtube channel and be blessed more
Mungu ndiye mkuu kwa wanaotaka kufanya kazi yake mungu asante sana kwa kazi zuri yawimbaji wako unatumbariki sana
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu
Barikiwa sana wimbo safi sana mtumishi wa mungu amen amen bro 🙏🙌👏
asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami ,thanks for your support please subuscribe my channel and share to others
Mungu alinde kipaji chako na familia yako.Akupe ujasiri zaidi yaani huu wimbo sisemi kitu.Sijui kama kuna mwenye amerudia zaidi ya mara 10.Namwomba Mungu siku moja nisikike kama Sifael Mtumishi wa Mungu.Nyimbo zako ziko na ujumbe wa kweli tena wa ndani sanaa
Ok TP
I'll
Huku Australia nime downloaded your all video songs well done bwana Sifaeli
Be blessed man of God am watching from Uganda Kampala
The first song literally making me dance behind the wheel! Rewinding throughout my journey. Beats and the message are second to NONE! May God Bless you.
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Powerful
Be blessed
Niherirawama kabisa ubarikiwe mutumishi
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
This is the song that made me know Sifaeli. Naipenda sana. God bless you Sifaeli
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
Already subscribed mchungaji tia bidii kutangaza jina la Yesu🙏🙏🙏🙏
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL habal mnaitwa ahimdiwe nilikuwa naomba namba yako yasim
Ni heri lawama na watu na bado mungu azidi kuinuliwa
Kuliko kuocha okovu mimi siwezi ndugu zangu mh kuokoka kwangu kumekua changamoto ku
Ubarikiw san sifaher mungu azid kukubalik
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu