Waaaah! Nasikianga tu huu wimbo sijawai ona video yake. Leo ndio imekuwa siku yangu nimejifunza mengi hapa. Mungu akubariki sana mwana wa mungu. From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 bungoma county.
Wimbo mzuri,ila ungemalizia kuonyesha Mungu huweza kumtoa mwanadamu toka kwenye dhiki au umaskini na kuinuliwa kwenye maisha ya furaha na utajiri ,amen
Tuwe na maminifu kwa bwana tusiyo yaweza kwa akima zetu bwana anaweza yote glory be to God bless you so much brother bwana anaweza yote tusiyo weza sisi wanadamu🙏🙏🙏🙏
Huyu mwanamke sijamwelewa ,nachoamini ni kwamba mazingira hayawezi kubadili moyo wa ibada,lakini huyu badala ya kuvumilia Hali ya uchumi na kufurahi pia kushukuru kwa kile anachopata ,lakini anamkorofisha mume akimaliza anakwenda madhabahuni kupiga magoti, sijaelewa,ujumbe wa huyu mwanamke, WIMBO UMENIBARIKI SANA
May the good lord whom uses you to pass the message grant you long life, good health and more wisdom so that we get closer to God through your message. Stay blessed the oracle of God
God bless You 🙏 Your songs encouraging, inspiring and full of God's message,am blessed . I will forever depend on my LORD all the days of my Life. Anaweza Yesu♥️
Wimbo mzuri sana wa kujitia moyo❤ who plays more than five times kama mimi
me tooo!!! 😭
Tends God
asante kwa mda wako kutazama ujumbe huu
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu.
Wimbo mzur sana Yesu azidi kukuinua❤❤❤❤❤❤
Mtumishi ukweli Mungu anaweza.Zach Mwimbaji mwenye tulikutana Thawabu primary school Kayole Kenya
Sifa na utukufu kwa Mungu
yale nisiyoweza Bwana najua unaweza na ipo siku utanipa ushuhuda...inlove with the song from Kenya
Kupitia huu wimbo napokea hitaji la moyo wangu, amen amen ameeeen❤
Kenya 🇰🇪 Bwana Mungu Tushindanie...Africa Twakuhitaji
Amen 🙏 sana . Ni kweri yale tusioyaweza sisi Bwana anaweza
Ni kweli, yesu anaweza kwajambo nisiloliweza, AMEN and AMEN mungu akubariki kwa kazi njema bro
amina
Uwa unatia nguvu sana
Hakika,yale nisiyoweza,bwana anaweza na ameweza, Amen. Wakenya majaribu yamekua mengi lakini Mungu ataweza.
❤🎉😂😅
Waaaah! Nasikianga tu huu wimbo sijawai ona video yake. Leo ndio imekuwa siku yangu nimejifunza mengi hapa. Mungu akubariki sana mwana wa mungu. From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 bungoma county.
Yale nisioweza bwana anaweza amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu aendelee kubarika huduma yako Mtumishi,nyimbo zako no baraka kwangu na zinanifariji.
Samson From Burundi
Hallelujah 🙏 anaweza (Bwana) kabisaaaaaa!!.
Amina Yale nisiweza bwana unaweza
Tanzania is the best leading gospel singer barikiwa sana bwana Sifaeli
Nice Song,It's Only The Lord Our God Who Has Power Over all,Amen.
Any Kenyan here.. Be blessed man of God always wen I'm down your song heal me.. God remember me true this song 😭😭🙏
Mwimbo muzuri ya moyo❤❤
Eee mungu kupitia huu. Wimbo naomba unibadilishe n Mimi unibariki
Amen 🙏🙏🙏🙏 hakika wimbo huu umenibari sana na kuniguza
Wimbo mzuri,ila ungemalizia kuonyesha Mungu huweza kumtoa mwanadamu toka kwenye dhiki au umaskini na kuinuliwa kwenye maisha ya furaha na utajiri ,amen
Hallelujah ...nisiloweza anaweza❤❤❤❤
Mungu anainua kila mtu ukimwamini
amen yesu wangu torch me one more time 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu
amen
Tuwe na maminifu kwa bwana tusiyo yaweza kwa akima zetu bwana anaweza yote glory be to God bless you so much brother bwana anaweza yote tusiyo weza sisi wanadamu🙏🙏🙏🙏
Mungu anawexa kweli n furaha masiku tu tufike 2025 ameen❤❤❤
Nimebarikawa sana na nyimbo hii na hata nyingi zilizo pita natamani Mungu akipenda nipate hata kufanya kazi na wewe
Kaka sifael wimbo huu kwangu umekuja Kwa wakati sahihi na umekuwa Faraja Sana kwangu Kwa Yale ninayoyapitia , Mungu akuzidishe na kukuinua mara dufu
Huyu mwanamke sijamwelewa ,nachoamini ni kwamba mazingira hayawezi kubadili moyo wa ibada,lakini huyu badala ya kuvumilia Hali ya uchumi na kufurahi pia kushukuru kwa kile anachopata ,lakini anamkorofisha mume akimaliza anakwenda madhabahuni kupiga magoti, sijaelewa,ujumbe wa huyu mwanamke, WIMBO UMENIBARIKI SANA
ooh asante matendo mabaya ilikuwa frashback
Ubarikiwee sn Kwa ujumbe ama Hakika unabariki sana huu wimbo
Asante... ubarikiwe sana
Amen huu wimbo umenitia moyo nilikuw naangaika sina kazi
Wimbo huu una ujumbe barikiwa sana ndungu...na naomba maombi kwako mungu ananijua zaidi...
God bless you man of god
Encouraging message God bless you man of God much love from 🇰🇪
Mk o8😅😅😅😮🎉😮😮😮😮😢🎉
Thank God bless you
umebariki wengi vile umezuru taifa letu Kenya Mungu akubariki 🙏🙏
Nyimbo za ni zile unaimba katika roho na kweli ..zinainua katika ulimwengu wa rohoni....neema na ikuzidishie mtumishi wa Mungu
amina utukufu kwa Mungu aliye juu
Tunashukuru Mungu kwa kumsifu Mungu na roho yako ,ubarikiwe Mtumishi, Mungu anibariki nami pia
Video
May the good lord whom uses you to pass the message grant you long life, good health and more wisdom so that we get closer to God through your message. Stay blessed the oracle of God
Aminaaaaaasa sifael
Very powerful praise and worship song,,am in teep payer sababu ya wimbo huu...thank you sifaeli
So inspiring, indeed Yale yametushinda ni Yesu tu anaweza. Barikiwa
barikiwa sana brother
Kweli huu wimbo mzuri wa kunitia moyo mungu anawesa
Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share
Asant sana Mtumishi ujumbe ni mzr mno... MUNGU azidi kukuinua
Barikiwa Rohomtakatifu asidi kuinua huduma yako yaimbaji.
Anaweza kabisaa
powerful and very encouraging song
Wimbo huu unanibariki sana,barikiwa....
Nyimbo nzuri sanaaa ubalikuwe sana ❤❤❤❤
Be blessed bro anaweza BWA NA
Mimi na mke wangu tunapenda kuskia nyimbo zako huwa zinatubariki sana....Na atamani kuimba na wewe jee unaweza
Asante mungu iyi nyimbo ili bwino kwambiri
Wonderful song. God's blessings 🙏🙏
Kakangu hii imatesa....lakini wakenya tunakupenda kwanza vile ulikua Jana milele fm....God bless you
Amen 🙏🙏 a very good song.........yenye siwezi mungu anaweza
amen be blessed
Kweli anaweza huyu mungu
Amina ubarikiwe
Mungu asant kwaajili yawimbohuu nikiwaga kwenyewakati ngumu nikiusikiliza tu nanyanyukatena nikweli yaleusio yaweza bwana anaweza 🙏🙏🙏🙏
amen
Amen mungu anawezayote nimushindi ❤
I love your songs be blessed sinanitoa mbali sinanileta karibu na mungu
amen
That moment when the Holy Spirit hits sometimes, all you can do is fall on your knees and take it in. Thank you Cain for this beautiful song!
0000⁰0😊
We have a name that can never fail, we can do all things in Christ Jesus
Akika nizilo weza bwana anaweza amen amen
AMEN
Bwana naamini unaweza, niteendee jambo jipya eee Mungu wangu unajua maombi yangu 🙏🙏🙏
Bwana anaweza yote nisiyo weza 🤲🙏
Wimbo mzuri sana najua bwana yale nisiyoweza siku moja utanipa ushuhuda pia nami nitashuhudia .waiting for your tyme God
Be blessed
Amen.
May the name of the Lord be praise 👏 🙌 🙏 asante sana kwa huu wimbo lenye mafunzo❤
Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share
Praise be to God, Amen
Wimbo mzuri sana Video nzuri mpaka Raha Mungu azidi kukuinua sana My Brother
ooh amina asante sana
Bwana anaweza ata kama undhambianawekukusameya
Ahsante sana mtumishi kwa nyimbo zako,yaani zanituliza sana hata napokua na maumivu,ulitutembelea pale kanisani Nairobi Bethel Revival Church
bonge la hit juu ya hit umebarikiwa mtumishi
Amen amen , Our God is able and above all we could ever ask or think of . God bless you so much bro.
Amen 🙏🙏man of God,am always encouraged with your songs keep going 🙏
Hakika mungu akubaliki sana yale yasio wezekana bwana anweza nice song ❤❤❤
04.55 woke up to this song 😢. Yale nisioweza Bwana anaweza❤
Barikiwa
God bless you ser Mungu akupeleke mpali you always like a father to me
May the Almighty Lord bless you Man 🙏 of God 🙏, ulitutembelea pale kanisani Nairobi Bethel Revival Church buruburu,,nafurahia sana nyimbo zako
Anayaweza yote when we surrender all to Him for His will to be done
amen
Born to do the work of the Lord. What a touching song.may God bless you
Very inspiring.God bless you man God
Ni kweli mungu anaweza asiyeshindwa na jambo lolote,maana habadiliki.
❤❤❤ Bwana anaweza ukweli
Wimbo wenye baraka kweli
Amen mtumishi barikiwa sana
Wimbo mzuri sana .
Barikiwa
God bless You 🙏 Your songs encouraging, inspiring and full of God's message,am blessed . I will forever depend on my LORD all the days of my Life. Anaweza Yesu♥️
Excellent music from Zimbabwe
Indeed bwana anaweza,am blessed,God has done more things in my life,indeed anaweza🇰🇪
Everything is God...he changes the impossible to be possible...keep up the good work
Hongera kwa wimbo mzuri
Very uplifting.manze unajenga moyo
amen
Wimbo mzuri umenigusa sana moyo wangu ni kweri Mungu anaweza
Yote nisiyoyaweza Bwana anaweza najuwa ipo siku nitalia machozi ya furaha.
Ubarikiwe
Sifaelimwabuka kweli ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri❤
Nimependa nyimbo yako na ndio mana nikacheza kwa hisia ktk hii vidio naamini nime vaa husika vizuri sana humu mungu ana weza sana
amen Mungu akubariki
Ujumbe mzuri sana ubarikiwe Mtumishi
amen 🙏🏽
🙏🙏🙏🙏🙏 Amina mung anaweza vyote❤❤❤❤
Anaweza kweli naamini ubalikiwe sana
amen 🙏🏽
Naomba mungu anipe akili yaku shida safari yangu 🎉
Unatuimbia poa,barikiwa sana
Wimbo wanibariki kila itwayo leo
Kazi nzuri sana mtumishi wa Mungu
May God blessed you in abundant mtumishi Amen
Bwana anaweza siku zote🙏
The base guitar finished the job. God bless
Kweli mungu anaweza yote kwetu magumu barikiwa mutimishi wa munguAMINA
Binadamu hawawezi kukubeba lakini yeye Anaweza