SHUKA TUKUONE MUNGU WETU BY SIFAELI MWABUKA.skiza dial *837*2295#

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 4,3 тыс.

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  3 месяца назад +54

    Welcome SMF MEDIA NAIROBI-choose of excellence (to our studio free collabo!!) you will never regret ❣️
    NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE
    skiza tune dial *811*30# ok
    for more information call/whatspp
    +254799200738
    +255719482223
    +255769553055
    SMF MEDIA LTD

  • @zacharyndungu9161
    @zacharyndungu9161 11 месяцев назад +217

    Wangapi tunaskiza huu wimbo 2024???

    • @gracealilo6773
      @gracealilo6773 5 месяцев назад +2

      I listen to the all day

    • @edwardmwambene3748
      @edwardmwambene3748 5 месяцев назад +3

      Ubalikiwe mtumishi wamungu nyimbozako nazikubari sana zinaujumbe mzito wakumpa mtu matumaini Kwa asilimia 💯💯💯💯🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @tinakwena4604
      @tinakwena4604 5 месяцев назад +1

      🖐🏽

    • @kimutaikipruto5308
      @kimutaikipruto5308 5 месяцев назад +2

      Sio 2024 Bali kila asubuhi kabla nitoke Kwa nyumba 😢na jioni nikifika

    • @levispatricirankunda3085
      @levispatricirankunda3085 4 месяца назад +1

      ❤❤🎉

  • @kabwebarume4028
    @kabwebarume4028 Год назад +111

    Kama uko natazama iyi nyimbo mu 2024 jua Mungu amekushukia nauseme âmen

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  Год назад +55

    ASANTENI KWA SUPPORT MUNGU AWABARIKI/ THANKS FOR WATCHING MY VIDEO BE BLESSED MORE, SHARE WITH YOUR FRIEND 💕❤️💖🙏💕💕

    • @truddy93
      @truddy93 Год назад +2

      Amen.. Akubariki pia.. Na mungu azidi akupe hekma na neema kubariki watu kupitia uimbaji wako. Amin

    • @IsaackHamisi-jt9hm
      @IsaackHamisi-jt9hm Год назад +1

      Kalibu fpct bonde la Baraka. Airport

    • @SolomonNkoze
      @SolomonNkoze 7 месяцев назад +1

      Karibu Airport bonde la baraka

    • @mariuskogei3299
      @mariuskogei3299 4 месяца назад +1

      SIFAELI MWABUKA huu wimbo inanibariki saana nikiwa hapa nairobi kenya mungu akubariki saaana usidi kutoa nyimbo zingine.

  • @mercyamon
    @mercyamon 8 месяцев назад +45

    If you're here 2024 still listening to this song cheers🎉🎉

  • @JacklineOwiti
    @JacklineOwiti 8 месяцев назад +36

    Baba naomba ushuke mwaka huu unishike mkono ndio nipate kazi

    • @mercylynekadaga5579
      @mercylynekadaga5579 8 месяцев назад

      Utapata kwa jina yesu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  8 месяцев назад +3

      Amen nakuombea Mungu akukumbuke katika hitaji lako,Thanks for following up with my work.In all platforms use Sifaeli Mwabuka.Please like, subscribe and share with others. Be blessed more

    • @barickemmanuel9096
      @barickemmanuel9096 Месяц назад

      Mmb

    • @mteulwa6068
      @mteulwa6068 22 дня назад

      Atafanya maan yeye ni baba asiyeshindwa na kitu chochote

  • @mercymusenya9199
    @mercymusenya9199 9 месяцев назад +17

    Kama unatazama hii wimbo 2024 shukuru mungu wako🙏🙏

  • @njerindungu643
    @njerindungu643 Год назад +13

    Am here 2023 yesu shuka kwa maisha yangu na taifa la kenya hii mwaka 🇰🇪❤️

  • @MakandiMusa
    @MakandiMusa 8 месяцев назад +20

    2024 Niko hapa Tena kusema kuna matumaini bado🫂

  • @sarahwoga2601
    @sarahwoga2601 10 месяцев назад +11

    Hakika mungu Akishuka mambo Yana badilika kabisa!!...KAZI safi mungu akubariki🙌🙌🙌

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 3 месяца назад +13

    Wakenya wenye mko hapa mnipe like 2024.

  • @secregen7219
    @secregen7219 Год назад +16

    Kama unatazama huu wimbo 2023,shukuru mungu ..Mungu ameona shida zako zote...Na huu ni mwaka wako

  • @thisISmogen
    @thisISmogen 2 года назад +279

    kenyans in the house show love..this song deserves a billion views!!

  • @nicodemusletangule5042
    @nicodemusletangule5042 Год назад +12

    I leave my comment here so that when one likes, i will come and watch it again

  • @maureenmamagift
    @maureenmamagift 5 лет назад +33

    Baba shuka....Bila wewe hatuwezi...kama unampenda mtumishi wa mungu wacha like yako hapa yakumumiza

  • @FarajaSamweli-dc5kj
    @FarajaSamweli-dc5kj 8 месяцев назад +32

    Kama bado una msikiliza huyu baba 2024 🎉

  • @EloseWangui
    @EloseWangui 26 дней назад +4

    Wenye tuko hapa Nov 30th 2024 I really love the song it's give me hope

  • @DieuDonneRukome
    @DieuDonneRukome 8 месяцев назад +6

    Mungu akupe ngufu utoshe nyimbo zingine kama hiiyapa

  • @ruthmonicamutuku1191
    @ruthmonicamutuku1191 2 года назад +17

    Niko hapa nikisikiliza hii wimbo tena na tena na tena...aibu ambayo mungu ameniondolea kukaa kwa ndoa 4yrs bila mtoto but Leo natabasamu...mungu amenikubuka... can't hold my tears anymore nikimpea shukrani

    • @JaylanOtisoofficial
      @JaylanOtisoofficial 8 месяцев назад

      Ubarikiwe daima

    • @Alekem297
      @Alekem297 4 месяца назад

      It was God's time to answer your prayers and put your smile back in your face

  • @fectoryab1833
    @fectoryab1833 2 года назад +17

    Wangapi bado wanausikiza wimbo huu🙌🙌🙌
    Mwaka unapoelekea kuisha naomba Mungu akutende wema

    • @MercyAsirang
      @MercyAsirang Год назад +1

      Shuka nikuone mungu wangu 😢😢😢

    • @vitalisjuma4451
      @vitalisjuma4451 9 месяцев назад +1

      Hadi leo 2024nausikiliza nimtam mno

    • @CharlesNicodemas
      @CharlesNicodemas 2 месяца назад

      Tupo wengi tunaousikiliza wimbo huu ubarikiwe sana mtumishi wa mungu or yeu❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪 Kenyan and🇹🇿🇹🇿 Tanzania wapi like zenu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.

    • @CharlesNicodemas
      @CharlesNicodemas 2 месяца назад

      Thank you so much to your comment.

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 3 месяца назад +4

    2024 Baba shuka tukuone Mungu wetu katika family yangu niweze kutimiza ndoto yangu❤❤❤❤

  • @susanwatiri1156
    @susanwatiri1156 3 года назад +103

    Am praying for someone stuck in a situation. This song just raises my faith and i know God will intervene in his situation.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +4

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

    • @jacquelinemuthoni7527
      @jacquelinemuthoni7527 2 года назад +1

      Imagine Leo nimepitia mpaka this song just has to be meant For me...
      Thank you Lord
      You are Jehovah..

    • @euniceshibanda1019
      @euniceshibanda1019 2 года назад

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL pppppp

    • @fabiolanitereka7108
      @fabiolanitereka7108 2 года назад

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL m me
      It oawe be ee eee zssieidjfjfjjuuuueeuueeduduso

    • @peterkitsao9429
      @peterkitsao9429 2 года назад

      Amen

  • @josephgithogori9035
    @josephgithogori9035 3 года назад +10

    Nimekuwa nitafuta huu wimbo nilidhani umeimbwa na Christopher mwahangila. Unanibarikii saaaana.

  • @GedionMollel
    @GedionMollel 8 месяцев назад +6

    Mungu ibariki kazi ya mikono yangu

  • @mwllennyabonyioyaro7066
    @mwllennyabonyioyaro7066 6 месяцев назад +3

    Mungu shuka kwangu

  • @colly_nice7348
    @colly_nice7348 Год назад +46

    This is the most reassuring song I have ever heard😌🙏, it will bless generations and generations to come. if you believe gonga like tukisonga💪

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  9 месяцев назад +4

    Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!!
    youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET RUclips
    onerpm.link/818041537428
    Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS
    SKIZA DIAL *811*117# OK
    onerpm.link/392578501032
    SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE
    DIGITAL PLATFORMS
    SKIZA DIAL *811*457# OK
    ±254799200738
    HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all.
    ruclips.net/video/6ZlC5yQ5AOg/видео.htmlsi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT

  • @steridanoel3534
    @steridanoel3534 6 лет назад +30

    Yaan huu wimbo sichoki kuusikiliza maana nikiusikiliza nabalikiwa hata nikikata tamaa nikiusikiliza nasonga mbele

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  9 месяцев назад +46

    Mungu huanzia pale unaposhindwa,ili utukufu abaki kuwa Mungu tu

    • @HalimaEdson
      @HalimaEdson 8 месяцев назад +2

      Halima edson

    • @VictorMutunga-z1o
      @VictorMutunga-z1o 8 месяцев назад +1

      Shuka Mungu nikuone

    • @EvaMassawe-c5u
      @EvaMassawe-c5u 8 месяцев назад +2

      Nashukur sana mtumishi huu wimbo ulinisaidia sana mume wangu aliumwa na alikua kwenye Hali mbaya sana akiwa hosi nikirud nyumbn nlioiga got nikiimba huu wimbo kwa uchungu na Imani na Mungu alitenda miujiza mume wangu alipona ... ubarikiwee sana 🙏

    • @gertudenzikobankunda3978
      @gertudenzikobankunda3978 8 месяцев назад +2

      😊

    • @JackyneJirongo
      @JackyneJirongo 7 месяцев назад +1

      😅

  • @blessedgrace2809
    @blessedgrace2809 5 лет назад +22

    Wow what a blessing message nimebarikiwa sana kakangu Mungu akubariki. Nani amebarikiwa na huu wimbo lets👍👍👍

  • @wyclifferonoh
    @wyclifferonoh 6 лет назад +18

    Jambo gani limefika mwisho,tumwite Yesu ashughulike na tatizo lako.....,hakika huu wimbo unabariki sana.Mungu akubariki Sifaeli. Mungu naomba ushuke nikuone katika maisha yangu mwaka huu 2019.

  • @jackjoshua3666
    @jackjoshua3666 4 года назад +41

    Kupitia wimbo huu mungu fungua vifungo vyangu

  • @CarolyneMusyoka-b5e
    @CarolyneMusyoka-b5e Год назад +11

    Am here today...Shuka nikuone Mungu wangu..patana na hitaji la moyo wangu❤

  • @janevunyiwa6693
    @janevunyiwa6693 3 года назад +14

    Keep it up brother
    Wimbo safi kabisa wenye mafunzo mazuri sana
    Na huu sio wimbo tu ni ushuhuda mkubwa kabisa barikiwa sana 🇰🇪🇰🇪🙏🙏

  • @faithchepkemoi3402
    @faithchepkemoi3402 Год назад +8

    Mungu ameshuka mara nyingi kwa maisha yangu, am forever grateful 🙏🙏🙏🙏

  • @alirahama6312
    @alirahama6312 Год назад +23

    Today is my first day to listen to this song,Wow ! What a message, Father Lord , Jehovah Rapha come and heal me in your name

  • @BrendaTindi
    @BrendaTindi 10 месяцев назад +30

    Nani yuko huku 2024

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  6 лет назад +289

    Thanks for everyone watching this video God bless u more.
    Please take time to subscribe and share for others SHUKA TUKUONE MUNGU WETU by Sifaeli mwabuka contact +255719482223
    Contact +255769553055

    • @mosesmatonya1524
      @mosesmatonya1524 6 лет назад +7

      Sifaeli Mwabuka barikiwa sana

    • @gracebwoto7977
      @gracebwoto7977 6 лет назад +3

      Sifaeli Mwabuka may our might God bless u nabarikiwa sana na nyimbo zako

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  6 лет назад +2

      Amen

    • @olooesther4574
      @olooesther4574 6 лет назад +2

      Sifaeli Mwabuka today is my first day to listen to this song after hearing it from BHB and I'm highly blessed because I'm in ahard situation

    • @letygesh8475
      @letygesh8475 6 лет назад +2

      Sifaeli Mwabuka
      Nimeupenda huu wimbo sana...nauskiza kila saa barikiwa sana

  • @swtshantelashanti4514
    @swtshantelashanti4514 6 лет назад +8

    May God bless you sana kwa sababu nyimbo zako zina bariki wengi , kila ninaposkiza nabarikiwa tu sana

  • @sospeterkimani6207
    @sospeterkimani6207 2 года назад +157

    I dedicate this song to my mum as she thinks its the end of her, its there that God manifests himself. may you be healed mum

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +5

      amen thanks for your support be blessed,asante kwa kutazama nyimbo zangu nakushukuru sana share na wengine

    • @samuelkamau6526
      @samuelkamau6526 2 года назад +7

      May she be healed in God's mighty name

    • @benpaul.9310
      @benpaul.9310 2 года назад +3

      May healing be upon her bro

    • @charlesmainam3082
      @charlesmainam3082 2 года назад

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIALyour songs are powerful bro

    • @truthfreeman6125
      @truthfreeman6125 2 года назад

      Any updates concerning your mum?

  • @DamarisMwende-pf7qu
    @DamarisMwende-pf7qu 4 месяца назад +5

    Wale wameona mungu ameshuka huu mwaka tupite na likes na comments ❤

  • @jessiekerry928
    @jessiekerry928 5 лет назад +115

    Am so blessed with this song.Kenyans in the house let's trust in God always

  • @hildamaghuwa7191
    @hildamaghuwa7191 3 года назад +6

    Mungu wazi unaposhindwa kwenye tatizo lako
    Ila utukufu wake unabaki kuwa Mungu

  • @marykaire9615
    @marykaire9615 3 года назад +23

    I used to cry singing this song 😭 when I was recoving from COVID-19 but I testify there is God in heaven.....alisuka na nikamuona mungu wetu am a testimony

  • @nkeshimanayuda1115
    @nkeshimanayuda1115 5 месяцев назад +10

    huu wimbo nikisikiliza unanifanya nibarikiwe zaidi

  • @IsaackHamisi-jt9hm
    @IsaackHamisi-jt9hm Год назад +5

    Abalikiwe mungu ampe kibali hiki kisimpungukie hata kidogo katika wasanii wakiimba nabalikiwa ni sifaeli

  • @gantilleirumvise3983
    @gantilleirumvise3983 5 лет назад +7

    Wimbo mzuri sana MUNGU Akubariki

  • @berylpreety3928
    @berylpreety3928 2 года назад +17

    Listen to this everyday with tears , hoping and believing God for the fruit of the womb.6years in marriage without a baby. God please wipe my tears in Jesus name.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +2

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

    • @vincentvincentkyalo4162
      @vincentvincentkyalo4162 2 года назад +1

      Believe in God and he will

    • @masalilahillary3251
      @masalilahillary3251 2 года назад +1

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      I remember december 2021 i had given up on hope of new job. I used to sing tearfully along this song. Now a happy God did bless me with job in Seychelles🙏

    • @simonyegon4100
      @simonyegon4100 2 года назад +1

      God yuko utapata mtoto

    • @dickeylevidan4397
      @dickeylevidan4397 2 года назад +1

      Beryl preety believe in God 🙏

  • @CarolineWanjiru-q8r
    @CarolineWanjiru-q8r 20 дней назад +1

    Baba naomba ushuke before huu mwaka ukamilike niende a to four country with my best friend please please please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢

  • @alietmwangi6874
    @alietmwangi6874 4 года назад +8

    Shuka tukuone Mungu wetu.......tunahitaji Mungu ashuke ili utukufu wake abaki kuwa Mungu........ am so blessed by this song. God bless you brother Sifaeli

  • @wuodoketch
    @wuodoketch 2 года назад +13

    This a powerful song...My brother Evans Onyango AKA Small.. got lost in 2011 this issue has been bothering me a lot I believe my brother is alive one day he will come home as am writing this message my tears are overflowing.....😭😭😭😭😭😭Wewe ni Mungu Usiye Shindwa.....I believe my brother is still alive

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +1

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

    • @kinyanjuicarlos8899
      @kinyanjuicarlos8899 2 года назад +1

      Take heart bro'...but pray alot' mention your brother's name to the Lord' he will come back and sooner...

    • @wuodoketch
      @wuodoketch 2 года назад

      @@kinyanjuicarlos8899 AMEN 🙏🏾 God bless you

  • @nicholasaballah7216
    @nicholasaballah7216 2 года назад +27

    The way Tanzanians do their gospel music,you will find yourself in the presence of the Almighty God with true love, this people are truly blessed

    • @jmakori06
      @jmakori06 2 года назад +2

      He is a Kenyan but did the song in TZ….proud of our own😀😀😀

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 2 года назад

      Amen

    • @dianamanse4933
      @dianamanse4933 2 года назад

      @@jmakori06 sifueli anatokea mbeya kaka

    • @acleychaula4497
      @acleychaula4497 2 года назад

      @@jmakori06 Pleas he is not from Kenya, but let us not not taken to discussion of where he is from but let us focus on the Gospel which is knows no boundaries. We are Children of God full stop

    • @tulisamwel41
      @tulisamwel41 2 года назад

      @@jmakori06 This man is a Nyakyusa from Mbeya, Tanzania. God has done wonders in his life. He is also blessed with a talent of singing

  • @evansomoke4659
    @evansomoke4659 25 дней назад +1

    God is never late, He is always on time 🙏

  • @stevenm.njogu2014
    @stevenm.njogu2014 2 года назад +19

    So powerful may anybody who is suffering and sick be healed if He or She believes in Jesus name Amen.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад

      amen asante sana kwa kutazama kazi zangu/ thanks for your support be blessed more please share my contents to others

    • @eunicemokaya8670
      @eunicemokaya8670 2 года назад

      🙏 amen

    • @HamisMwaluanda
      @HamisMwaluanda 3 месяца назад

      Hakika atashuka na kwangu MUNGu atubariki amina

  • @emmanuelinathanaeli6799
    @emmanuelinathanaeli6799 6 лет назад +91

    Unaposema siwezi kupona ndipo mungu anashuka kukuponya ugonjwa wako , unaposema siwezi tena kuinuliwa ndipo mungu anashuka na jeshi lake la mbinguni kukuinuwa, lipi ngumu kwa bwana wa jeshi , hatuwezi peke yetu baba shuka,nimebarikiwa mno, ubarikiwe sana mtumishi wa yesu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  6 лет назад +2

      Emmanueli Nathanaeli Amina baba

    • @janethjoseph2374
      @janethjoseph2374 6 лет назад +3

      Emmanueli Nathanaeli amen

    • @modestaabeli3389
      @modestaabeli3389 6 лет назад +2

      Shuka tukuone mungu wetu Amen

    • @helenarugoheza5919
      @helenarugoheza5919 6 лет назад +1

      amena nina imani kama mungu atanikubuka ni imani kama mungu ata nikubuka niitaji kumutumikiya ila watu wananitowa matumaini sana kwa imani mungu ata nisaidiya abaye aliiba yibo iyi mungu amubariki sana inanifariji mimi diye yibo dani ya yunba yetu ataka nikisema vizuri wana nitukana sijuwi nifaye nini ilana mutegemeya mungu tu ninaimani mungu ata nikubuka sana amena

    • @bettynduta8066
      @bettynduta8066 6 лет назад

      Amen

  • @DiboboTv
    @DiboboTv 6 лет назад +60

    I have played this song this morning and I believe That God is going to be with me throughout this struggling life
    Lord hear my prayer

  • @Vicksonmunkesayialel
    @Vicksonmunkesayialel Месяц назад +1

    How blessed is the song God remember you people

  • @irenemagoti7243
    @irenemagoti7243 6 лет назад +23

    Muziki wa yesu JUUUUU! Afu haunaga mabifu ya ajabu ajabu! Ni kula raha tuuu! Barikiwa zaid mtumishi wa Mungu!🎧💪

  • @Regnard999
    @Regnard999 6 лет назад +21

    A blessing song ! Mungu atabaki kuwa Mungu, hashindwi na lolote, tunapofikia kukata tamaa hapo ndipo anashuka kutusaidia. Ubarikiwe mtumishi kwa wimbo wenye faraja.

    • @lilianandalo7717
      @lilianandalo7717 4 года назад

      May sufael be blessed so much coz we' re being encouraged

  • @nappzculture1916
    @nappzculture1916 2 года назад +57

    Ooh lord i dedicate this song to my dearest healing son,who is in oxygen ,giver of free oxygen ,shuka tukuone

  • @LuciLici
    @LuciLici 14 дней назад +1

    Mm Lucy huu wimbo umenitoa mahal na kunieka..Kila nnapo skilza. Nainuka Tena nasonga mbele🙏🙏🙏

  • @janeelijah4718
    @janeelijah4718 6 лет назад +76

    Thank you God I understand swahili and I can speak it..Kama ningalikuwa siwezi kuongea wala kukisikia hizi baraka zote zingenipita,Mungu bariki waimbaji wote wa gospel wa Tanzania.

  • @terevaelmbise5309
    @terevaelmbise5309 6 лет назад +6

    Mungu akuinue Kwa viwango vya juu zaidi kwani ninaposikiliza nyimbo zako zinakuwa faraja kwangu barikiwa mno

  • @godsownpriority5243
    @godsownpriority5243 3 года назад +82

    😭😭😭I was down in spirit
    I almost gave up in everything
    But when I look back I understand God's love 😍 in my life,this song encourages me everytime!! any day!!!be blessed

  • @magdalinejuma2028
    @magdalinejuma2028 Год назад +1

    Napenda nyimbo zako sana nkiwa Kenya 🇰🇪 tunakupnd sana keep it up😊still listening 2023 bila kujoka❤❤❤

  • @evekibira9479
    @evekibira9479 2 года назад +4

    Sauti ya Simba... barikiwa sana

  • @malkiachibungu1407
    @malkiachibungu1407 4 года назад +7

    Nani anangoja Mungu ashuke wakati huu mgumu wa corona! Baba shuka mhukumu wa haki

  • @mauwamwashambwa7329
    @mauwamwashambwa7329 5 лет назад +15

    Asante sitael kwa wimbo wako mzuri mungu azidi kukupa Neema kubwa Zaidi na pia wimbo wako umenitia nguvu maana nilikua kwenye mawazo asante

  • @annwambui6561
    @annwambui6561 Год назад +3

    Kama umefika mwaka wa 2023 mshukuru mwenyezi mungu maana sio wengi waliuvuka mwaka

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  Год назад

      asante sana nakushukuru mno ubarikiwe/thanks so much for your support please subscribe my channel and be blessed more share my contents link with others amen?

  • @johnfrancis1156
    @johnfrancis1156 2 года назад +59

    Once again I'm here to listen to this song; it is my source of motivation. Fellow Kenyans let us keep on Praying to God.

  • @monicakanguru7122
    @monicakanguru7122 Год назад +28

    I came across this song 2019 when I was battling with court case and I saw God.i used to pray it many times in a day.I saw God.

  • @lydiajeremiah1162
    @lydiajeremiah1162 5 лет назад +38

    Sichoki kusikiza huu wimboo.God bless you man of God

  • @zuuwerunga
    @zuuwerunga Месяц назад +1

    Mungu akubariki sana kakangu

  • @victorybelongtoojesus9816
    @victorybelongtoojesus9816 5 лет назад +8

    Haki Ahsante nashindwa niseme nini yani wimbo huu unanitia moyo
    Mungu Jehovah akubariki zaidi vile unavyohici #unanitibu haki Ahsante be blessed my brother 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @rosepotohoua9548
    @rosepotohoua9548 5 лет назад +7

    18. Leo juu ya uso wote wa dunia, hakuna mtu anayeweza kuokolewa ila kile kile nabii Kacou Philip nhubiri. Mimi ndiye nabii pekee ambaye Bwana Yesu Kristo alituma kwa wanadamu. Kama ilivyo katika siku za Nuhu, mimi, Kacou Philippe, mtumwa wa Yesu Kristo, mimi ndio pekee na hakuna mtu anayeweza kuokolewa mbali na kile ninachohubiri. [Mh.: Kusanyiko linasema, "Amina! "].

    • @juliusjohn7480
      @juliusjohn7480 4 года назад

      Rose Potohtijn9ooooookoookkokkkkkkkkllllluuuyyyyyyyyyyytytytyyyyyf
      atyyytyttytttttttttrtyrsyyyteertydfjkjhhghhhhhhhhhhhhhhhjjjjjjjjjjiiiioua

    • @juliusjohn7480
      @juliusjohn7480 4 года назад

      Vvhhuikjhnnjjjjjjjjkkkjjjjjjjjjjjjjjjjjkijkkkikikikkkokokkokkokikjjjjjjjjjjjjjjjkjjjjrrrrttrfdddffffgggfggggghhghhhhhhhhhyyyyuuuuuyyyuyyyyyyyyyggtr.ebu tu

    • @juliusjohn7480
      @juliusjohn7480 4 года назад

      Rose Pot Oahu a pub a I some oooiilyyltlyyyuuiuiuuuuiiiiiiu

  • @kiki16805
    @kiki16805 Год назад +19

    This song is so powerful if you do listen to the words 💕 from UK... Stay blessed all x 2023

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  Год назад +1

      asante sana nakushukuru mno ubarikiwe/thanks so much for your support please subscribe my channel and be blessed more share my contents link with others amen?

  • @lucywwambugu4540
    @lucywwambugu4540 Год назад +1

    Am here 2023 asking God to come through for me and my family,rent arrears,my children school fees,I was called yesterday by my son's teacher to tell me she is sending my son home today Ako form 3 no job,baba shuka nikuone 😭

  • @carolinendasala935
    @carolinendasala935 6 лет назад +22

    Huu wimbo umenitoa majonzi and I can't control it..shuka nikuone Mungu wangu sina mwingine wakulilia bali ni wewe tu Baba shuka Mungu uniokolee shida zangu

  • @leityletty
    @leityletty 2 года назад +21

    It has been years of shame and mockery but through this song ihave faith that all the bad lucks..shame and mockery will turn into joy and happiness to our family🙏🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +2

      Amen amen ninakushukuru kwa kufuatilia kazi zangu Mungu akubariki usiache kushare na wengine, Amen thanks for watching my video God bless you more end don't forget subscribe my channel

    • @MaiGaraiza
      @MaiGaraiza 11 месяцев назад

      Amen. The answer will come

    • @gracerashidi-z8u
      @gracerashidi-z8u 11 месяцев назад

      Bwana yesu asifiwe​@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL

  • @damarisondiek5414
    @damarisondiek5414 6 лет назад +13

    MUNGU wewe ni Zaidi tunavyo kujuwa shuka BABA nakuhitaji njoo MUNGU asante kwa wimbo huu

  • @susanwanja3514
    @susanwanja3514 19 дней назад +2

    God is powerful

  • @kaRemy
    @kaRemy 3 года назад +54

    I listened to this song in 2019,fasted and prayed hard,got my big promotion,this song has always blessed my soul

    • @Okwirisam254
      @Okwirisam254 3 года назад

      Wooow Glory to God...I receive that you're grace sir to partake the same promotion in the presence of my God🙏

    • @dorcaswafulawaful6466
      @dorcaswafulawaful6466 3 года назад +1

      I'm blessed

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 лет назад +6

    Amen mungu ndiye mwesa wa yote kupidia kwa mwanae yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wetu amen

    • @lewisialbana4937
      @lewisialbana4937 4 года назад

      Shuka tukuone Mungu wangu wetu..hatuna wakutupa msada zaid yako..Amen

  • @jeanclaudebahati5049
    @jeanclaudebahati5049 4 года назад +6

    Sifaeli nyimbo zako ni vizuri sana

  • @IsaacKimanthi-z6e
    @IsaacKimanthi-z6e Месяц назад +1

    My first day to see this song was in a matatu and was such an amazing since then it has been my ringtone

  • @emmanuellukumay6656
    @emmanuellukumay6656 6 лет назад +17

    Naposema siwezi, siwezi tena kushinda ntipo mungu anshuka kuniiinua,mungu akubariki brother

  • @innocentkazimbe1768
    @innocentkazimbe1768 5 лет назад +18

    Nyimbo zako zinanitiya moyo sana
    Pia nakufarijiwa sana
    God bless

  • @paulochanda2427
    @paulochanda2427 5 лет назад +12

    I like it good song keep up my br sifaeli mwabuka

    • @elivineabuga9901
      @elivineabuga9901 4 года назад

      Sure mumgu akubariki kaa moi song yako nipoa sana

  • @juliawakio2075
    @juliawakio2075 2 года назад +34

    I came across this song when I almost gave up,but then listened to it so many times then,today am at peace and keep going strong,such a blessing to many going through hardships.Kenyan in the Gulf 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦.Faith ends our doubts.And,
    Boldness is the key to your freedom.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 года назад +3

      Amina asante sana nakushukuru mno kwa mchango wako kwangu kusikiliza kazi zangu nakuombea Mungu akubariki sana, share na wengine wabarikiwe pia subscribe my channel thanks

    • @delmaskoech5866
      @delmaskoech5866 2 года назад +1

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL very touching blessings all the way

    • @Celine-zy5hh
      @Celine-zy5hh Год назад

      Shuka baba wa milele nikuone katika maisha yangu na watoto wangu nime kuywa hujungu siku nyingi ni hurumie yesu

  • @ImaniHopeFaith
    @ImaniHopeFaith 3 года назад +60

    I just really discovered this song a few days ago (I heard it played in people's homes but never really listened before), and it brings to my rememberance God's faithfulness throughout my years. Every time I've called to Him, He may not have answered me the way my carnal mind wished, but He answered me in his perfect way.
    This April I'll be celebrating 14years since God delivered me from my death bed. He came down and revealed His glory through this clay vessel. Praise be to the Living God Jehovah!
    Asante Sifaeli Mwabuka na Jehovah azidi kukutumia kutuongolesha na kuonyesha utukufu wake. Mungu akubariki wewe na familia yako.

  • @joycemtambo8789
    @joycemtambo8789 6 лет назад +23

    Pale niliposema siwezi kupona na nikajiona Mimi ni wakufa tu hapo ndipo Mungu aliposhuka na kuniponya ahsante kwa ujumbe mzuri kaka Sifael

  • @lightnesssekajingo5944
    @lightnesssekajingo5944 5 лет назад +6

    Mifupa mikavu iliyo mbele yangu inanifanya nilie, ahsante mtumishi wa BWANA kwa wimbo mzur

    • @prophetkakandesamuel702
      @prophetkakandesamuel702 3 года назад

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (DIVINE MERCY ORPHANAGE HOME🏢🏢) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348148906313) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you......

  • @nanadee9519
    @nanadee9519 Год назад +1

    May God give me my dream life this July of 2023. A blessing of a well paying reputable permanent job. Tired of joblessness life. August come with eternal joy
    Mungu aanzie juu ni kama nashindwa

  • @felixmunene1491
    @felixmunene1491 4 года назад +7

    Unaposema siwezi siwezi tena kusonga ndipo mungu anashuka kukushika mkono wako ...this song is a blessing has given me hope ever since my dad passed last month

  • @ozilchristian4708
    @ozilchristian4708 5 лет назад +15

    I am from Central Africa Republic I don’t Understand what you’re saying very well but for god I love 💗 your music

    • @damchone9478
      @damchone9478 5 лет назад +1

      The song says..when all hope is gone is when GOD comes for rescue. That's the main message

    • @rosemawia4239
      @rosemawia4239 4 года назад

      Kwa kweli mungu shuka nikuone, am very blessed,

    • @juicejuice4344
      @juicejuice4344 4 года назад

      Sifaeli Anaimba vizuri sana,Parfect

    • @rosekofficial5152
      @rosekofficial5152 3 года назад

      @@damchone9478 amen

  • @rhodaayuma240
    @rhodaayuma240 6 лет назад +8

    I need your help ooh LORD,pekee yangu siwezi bila wewe!

  • @Faith-n7r1i
    @Faith-n7r1i 3 месяца назад +1

    Ndip mungu anashuka wakati unapitia hali ngumu

  • @mwengegeotry5249
    @mwengegeotry5249 2 года назад +15

    As I listen to this song I know God will answer the desire of our hearts to have a child in our marriage......It's three years now since we got married but no child 😭😭😭

  • @christineamukoye9969
    @christineamukoye9969 5 лет назад +8

    Huu wimbo waniguza sana hasa mno wakati huwa nimekubwa na changa moto tofauti...hunitia nguvu na uvumilivu moyoni najuwa MUNGU yupo nami na sitateseka kuliko kiasi.❤❤❤🙌🙌🙏🙏🤲🤲🔥🔥

  • @nyambelilonga555
    @nyambelilonga555 3 года назад +67

    Early 2021 has been very tough on me but through standing upon the promises of God and also constantly listening to this song, I really get inspired. Thanks. May the promises of God be sufficient for me throughout my life, and for every one reading the comments.