Annoint Amani - Chumba cha siri ( Official music Video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 535

  • @pendocravery6549
    @pendocravery6549 11 месяцев назад +6

    Anoitin mwanangu wewe kiboko barikiwa sana Mungu akutunze

  • @yusuphomari569
    @yusuphomari569 Год назад +48

    Me ni muislam lakn kwa hiz nyimbo za annoint napenda kuzickilza sana ,kwani zinafundisha jamii Moja kwa Moja hongera sana.

  • @SeseKaboyi
    @SeseKaboyi 10 месяцев назад +11

    Nashukuru sana kaka kwaizi nyimbo zako zote ,Mungu akuongezeye pawa

  • @AnitaKahambungolole
    @AnitaKahambungolole 10 месяцев назад +8

    Kaka nyimbo zako aime ni bariki sana n'a kunipa muelekeo

  • @Jackel307
    @Jackel307 11 месяцев назад +19

    Kwa nini usishiriki nyimbo za annoint ikiwa ulisikiliza wimbo, tafadhali shiriki kila mahali wanahitaji kufikia angalau mamilioni ya maoni kwa mwezi, mwisho wa wimbo unanigusa tafadhali shiriki, ana sauti ya kushawishi, mimi na DRCongo 🇨🇩 , asante sana #Amani🙏🙏🙏

  • @dauglaspaade9126
    @dauglaspaade9126 Год назад +29

    Mungu ndiye tu anajuwa Siri ya hiki chumba🙏🙏🙏🙏

    • @JulietAwuor-e9t
      @JulietAwuor-e9t Месяц назад

      Yes only God knows 🙏

    • @JulietAwuor-e9t
      @JulietAwuor-e9t Месяц назад

      Let's pray for the people who are thar room they need our prayers 🙏 ❤

  • @davidnjenga9292
    @davidnjenga9292 10 месяцев назад +13

    Wimbo mzuri ni fuzo kuu Barikiwa sana Annoint Amani ❤❤❤❤❤❤❤

  • @lovenesjames5572
    @lovenesjames5572 11 месяцев назад +8

    Woow hongera rafk angu Mungu akupiganie ufike mbali Zaidi🙏🙏🥰

  • @DanielOsome
    @DanielOsome 10 месяцев назад +1

    Aaaha be blessed annoint amani.

  • @shadrecksitali80
    @shadrecksitali80 10 месяцев назад +2

    I love this song you are brasing

  • @AkatukundaMackline-v4j
    @AkatukundaMackline-v4j 29 дней назад +1

    Barikiwa kakangu Annoint na mama muhando nyimbo zenu zimebadilisha maisha yangu.Ningependa kuimba nanyi Mimi mwana uganda

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 11 месяцев назад +8

    eishi bro hichi kitu n kizito kweli kweli hata cha kuongezea sioni wanawake hii inawausu kupewa nafasi kidogo unaharibu mungu tusaidie waume

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 Год назад +20

    Waaa haya yaone tu kwa jirani 😢
    Duu maumivu

    • @MRJ1308
      @MRJ1308 7 месяцев назад +1

      Ni wimbo tu hakuna mwanaume wa kuvumilia haya

  • @BahatiLyanda
    @BahatiLyanda 11 месяцев назад +5

    kaka nyimbo zako zina ujumbe kweli mungu awenawe katka kazi zako

  • @joanachieng-ko7td
    @joanachieng-ko7td 10 месяцев назад +1

    Kweli chumba cha aki😢😢😢

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf Год назад +154

    Ambao mnakubali Anniont amani tujuane Kwa Like

    • @Slddhhh
      @Slddhhh 6 месяцев назад +1

      Annoint Ako sawa mungu amzidishe

    • @HafsahHussein-n8j
      @HafsahHussein-n8j 4 месяца назад

      ​@@Slddhhh😮😢5th 😅😊😊😅2w5😅😅😂😂

  • @dalmasmakio2727
    @dalmasmakio2727 10 месяцев назад +1

    Mungu azidi kukubariki mtumishi

  • @MargaretAtieno-xx7ys
    @MargaretAtieno-xx7ys 10 месяцев назад +6

    Tumebeba mangu Sana moyon jamañ

  • @YohanaSaimon-s1r
    @YohanaSaimon-s1r 10 месяцев назад +1

    God bless you my brother

  • @jumannekamota4870
    @jumannekamota4870 6 месяцев назад +9

    Duuuuh huu wimbo atari sijawahi kusikia wimbo wenye ujumbe kama huu Tanzania 🇹🇿 ongera sana kijana naitwa Jumanne nipo Mbeya mbalizi

  • @calebnyariki6065
    @calebnyariki6065 10 месяцев назад +4

    Kaka Mungu akubariki sana kwa kazi anayofanya ndani yako.

  • @dorcahnyabo4713
    @dorcahnyabo4713 Год назад +7

    siri yangu nampa mungu ndiye atakaye tatua siri yangu mungu akubariki kakangu twakupena sana from Kenya 🇰🇪 ❤

  • @AliceNzambi-be1wr
    @AliceNzambi-be1wr Год назад +19

    Nashindwa kusubiri mie harakisheni!!!!

  • @KennedyBarasa-b4v
    @KennedyBarasa-b4v 11 месяцев назад +3

    Kweli moyo ni chumba cha siri,
    Jeremiah 17:9

  • @StephanoBangala-no6su
    @StephanoBangala-no6su 11 месяцев назад +3

    Mungu azidi kukulinda shetani hapendi kabisa hizi jumbe

  • @leemutheu2509
    @leemutheu2509 Год назад +16

    Big up Daddy Q

  • @AmosNguilla-wf5bu
    @AmosNguilla-wf5bu 6 месяцев назад +3

    Nimekukulenda kwa unavyoimba nipo zambia ndo Mala ya kwanza kukusikiliza na nitazidhi kukufuatilia ❤️❤️🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @ibrahimmaroa1894
    @ibrahimmaroa1894 11 месяцев назад +5

    Mimi nakuobea Kila siku Kaka mungu akubaliki uendelee kufaya kazi yako my brother 🙏🙏

  • @hellenkhabwanditsa6983
    @hellenkhabwanditsa6983 6 месяцев назад +9

    Wimbo mzuri sana ❤❤❤❤from kenya

  • @PeteroJet
    @PeteroJet 10 месяцев назад +1

    I love this. Am crying 😭😭 nkt ombea Kenya jameni

  • @ruthkhalayi5097
    @ruthkhalayi5097 Год назад +8

    Waaaa 😢 ukweli wote usha sema, this round sisemi kitu😭😭 ooh God please i need to download this🇰🇪🇰🇪

  • @ElizabethJuma-e4z
    @ElizabethJuma-e4z Год назад +7

    I'm waiting

  • @aboudicell7838
    @aboudicell7838 11 месяцев назад +2

    Nashukuru sana kwa wimbo wenye ujumbe mzito sana🙏🙏🙏

  • @ChanilaKitwima-zc6ko
    @ChanilaKitwima-zc6ko Год назад +7

    Be blessed moreee the Servant of the Messiah let Him give you strength to work more!❤🎉

  • @FikiriRuherekeza
    @FikiriRuherekeza 9 месяцев назад

    Mungu akuongezeye kwa uduma unayo

  • @LovelyDrum-ec3pe
    @LovelyDrum-ec3pe 11 месяцев назад +2

    Safi sana ujumbe mzuri sana wanawake tupone

  • @johariali9512
    @johariali9512 10 месяцев назад +2

    Wimbo mzur kweli

  • @Lifetime9224
    @Lifetime9224 Год назад +4

    Congratulations mtumishi 🎉big song sir..

  • @georginaopati9587
    @georginaopati9587 Год назад +40

    Mwimbaji bora huyu❤❤ He deserves more than (1M) Subscribers ❤

  • @ghettostarkidz
    @ghettostarkidz Год назад +7

    wow I love this song .................... Chumba cha siri

  • @DivineKyalwahi-h3l
    @DivineKyalwahi-h3l 10 месяцев назад +1

    Asante Sana kaka nyimbo no nzuri Sana in mafundisho mengi kabisa mungu akuzidishie huduma❤❤❤❤

  • @DedanOchieng-m9v
    @DedanOchieng-m9v 6 месяцев назад +3

    The song has a big massage my guys ,,,,end that's why I surely say fear the people who are called ladies,,,,, 🙂‍↕️🙂‍↕️🙂‍↕️ ogopa ogopa usije ukafariki mapema Life is shots.

  • @gripmusiqnpictures
    @gripmusiqnpictures Год назад +8

    Kaliiiiiii sanaaaaaaaa

  • @magysamini9106
    @magysamini9106 11 месяцев назад +1

    Napenda nyimbo zako mtumishi wa mungu ❤❤❤❤❤❤🙌🙌🙌🙌

  • @doriswamzy
    @doriswamzy Год назад +9

    Nice I love the song ❤nice work director Steve kipande

  • @SharonAgnes-fg4og
    @SharonAgnes-fg4og Год назад +5

    Waiting

  • @Esther65
    @Esther65 6 месяцев назад +18

    From Facebook wapi likes

  • @RobartMutuma
    @RobartMutuma 11 месяцев назад +1

    Nashukuru kwa huu wimbo Kaka imenifunza jambo❤

  • @AliceNzambi-be1wr
    @AliceNzambi-be1wr Год назад +7

    CHUMBA CHA SIRI!!!! Mungu azidi kukubariki na akutumie zaidi kakangu!!! Congratulations 👏 endelea kuleta makubwa tunakupenda sana

  • @EuniceBosibori-i3s
    @EuniceBosibori-i3s 6 месяцев назад +2

    This is true many fathers don't know whether the kids they have with his wives are his the one who knows is the mother, n kweli moyo n chumba cha siri

  • @samuelkathanzu2689
    @samuelkathanzu2689 Год назад +6

    Shughuli safi steve

  • @shadrackmwalubanda5198
    @shadrackmwalubanda5198 6 месяцев назад +3

    AISEE...Kwanza una una sauti nzuri Sana yenye kubeba utukufu na mafundisho kede WA kede...Leo nimejitunza mengi Zaidi ya Jina la nyimbo...Barikiwa🙏🙏🙏

  • @JosephineBechu-b4c
    @JosephineBechu-b4c 10 месяцев назад +1

    I love anoint amani all his songs very powerful. I can not go a day without listening to his voice. May God continue to be with him. My favor Tanzania gospel musicians.

  • @isaacwangui52109
    @isaacwangui52109 10 месяцев назад +11

    Nyota ya Dunia na ulimwengu mzima Yu hapa Amani .Mungu tulindie hii nyota tukaiskiza humu Kenya Kwa upendo na Kwa muda kweli

  • @mjosetvkeentertainment805
    @mjosetvkeentertainment805 Год назад +8

    Great work director Steve kipande and song is legit🔥🔥🔥

  • @AgnesAgnesdamaris
    @AgnesAgnesdamaris 20 дней назад

    Ubarikiwe saana muimbaji nyimbo zako zinamafundisho Ubarikiwe sana bro

  • @magrete483
    @magrete483 Год назад +5

    Tunangoja sana 🙆

  • @AliceNzambi-be1wr
    @AliceNzambi-be1wr Год назад +16

    Huyu mtumishi ahamie Kenya tafadhali!!! Tunakupenda sana tena zaidi kaka annoint

    • @filomenamsemwa4622
      @filomenamsemwa4622 11 месяцев назад +1

      Kwanini wewe usiamie tanzania 😂

    • @Johnmagambo
      @Johnmagambo 9 месяцев назад +1

      Wewe ndo inatakiwa uje tanzania😂😂😂

    • @emillyanyango9154
      @emillyanyango9154 6 месяцев назад

      ​@@Johnmagambohatutaki kumiss vurugu ya maandamano 😂😂

  • @CharlesKinyumu-ll7cr
    @CharlesKinyumu-ll7cr 5 месяцев назад +1

    kweli nyumba usitiri mengi hayaendani na upendo uliomo humo ndani ya familia,mungu tujalie wanao.

  • @josephinepaul6169
    @josephinepaul6169 4 месяца назад

    Ubarikiwe kwa huduma Yako mwanangu nyimbo zako zote ubariki moyo wangu

  • @MagretMathia-ng3cc
    @MagretMathia-ng3cc Год назад +8

    Big up to the best director ever @steven kipande🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Meryjoseph-vs4dq
    @Meryjoseph-vs4dq 5 месяцев назад +1

    Mimi napenda nyimbo zako zote %100 nakua nafraha gadi nabaki kuduwaaa try sielewu❤❤❤❤❤

  • @JenniferMwikali-f2l
    @JenniferMwikali-f2l Год назад +3

    Like ur song

  • @ABLE.OF.JESUS.20
    @ABLE.OF.JESUS.20 Год назад +7

    Sana daddy mm nimebarikiwa

  • @TumainiKambale
    @TumainiKambale 5 месяцев назад

    Merci sana kwa nyimbo zako kaka uje uimbiye ha congo kaka ilitubarikiwe zaidi

  • @reginabarani4895
    @reginabarani4895 11 месяцев назад +1

    sichoki hata siku Moja kushikiza song zako hata siku moja

  • @RodgerKashwamutaita
    @RodgerKashwamutaita 6 месяцев назад +1

    wimbo mzuri sana nmetoka kule Facebook hadi mafundisho kibao usijiringe ati uko na watoto bila DNA🙏🙏❣️❣️

  • @priscahkiyondi-om1lt
    @priscahkiyondi-om1lt Год назад +10

    Amen this song has a strong message....sometimes faithfulness is Good.....Good work mtumishi we love you🙏

  • @Susannajedich-q8x
    @Susannajedich-q8x Год назад +5

    Jikaze kakagu jamani mngu akulinde siku zote

  • @BonaneIbrahim-be8xt
    @BonaneIbrahim-be8xt Месяц назад

    Very beautiful song I learnt more about this song Amani Anoint is blessed with this talent of singing gospels ❤❤❤❤

  • @InnocentLukwawila
    @InnocentLukwawila 10 месяцев назад +1

    nice nice song mbinguni tutafka tmechoka sana

  • @mosesabwao2673
    @mosesabwao2673 4 месяца назад

    have been listening and watching this Evangelist's songs, this guy is a good story teller, blending the real life with the Biblical teachings

  • @faithfey6886
    @faithfey6886 Год назад +3

    Ladies its good be faithful to our husbands

  • @MiriamMukasa
    @MiriamMukasa 6 месяцев назад

    From kenya Western side ❤❤❤❤❤❤❤ your songs brother ni za kujenga sana

  • @nasahazamaisha28
    @nasahazamaisha28 Год назад +3

    Linda moyo wako kuliko vyote ulindavyo maana umo ndiko kutokako chemichemi za uzima... 😭😭😭

  • @SuleimanKhalfan-x4w
    @SuleimanKhalfan-x4w 5 месяцев назад +1

    Wanawake wana siri kubwa ndani ya nyumba zetu

  • @WASHINGTONEOLELA
    @WASHINGTONEOLELA Год назад +6

    This song is teaching me so nicely God bless you bro

  • @kiribatilulihoshi8565
    @kiribatilulihoshi8565 11 месяцев назад +1

    Kaka kweli kwawimbo Huu inafunza wengi Sana .wababa muleye watoto tu Mambo yakupima damu mutakufa presha tu

  • @DanielmbulangafelicienDmf
    @DanielmbulangafelicienDmf Месяц назад

    Vraiment mon frère tu es un bon chanteur, ici au Congo nous sommes très heureux pour tous ce que fait 🎉que Dieu bénisse

  • @VERONICAJOHNNY-g8p
    @VERONICAJOHNNY-g8p 2 месяца назад

    Balikiwa sana kaka anonoint🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @NgoshawaMwanza
    @NgoshawaMwanza 6 месяцев назад +2

    Wimbo mzuri Sana, Lakini mimi Ningefukuza Hukohuko Hospitali

  • @BonifaceMugo-jg4iz
    @BonifaceMugo-jg4iz 2 месяца назад

    Annoint amani huu wimbo wako uko sawa kabisa 👏👏👏

  • @aliciakokubanza
    @aliciakokubanza 6 месяцев назад

    Noma sana

  • @HelenaAntony-c3n
    @HelenaAntony-c3n 6 месяцев назад +2

    wimbo mzuri sana wenye funzo aseeeee ila sisi wanawake tutafika mbingunk tukiwa hoi jamani, Mungu akusimamie Aman nakupenda sana my love bro endelea kumtumikia Mungu❤❤❤❤❤❤

  • @ZebedayoSanga-i1g
    @ZebedayoSanga-i1g 9 дней назад

    Aah hii nyimbo imenitoa machozi kabisa❤

  • @ruthkhalayi5097
    @ruthkhalayi5097 Год назад +4

    Waiting for this

  • @JeanpierreHabamungu
    @JeanpierreHabamungu 2 месяца назад

    Mungu akubariki Kaka maana nyimbo zako zinajenga kabisa.

  • @agneskavumbi7133
    @agneskavumbi7133 5 месяцев назад

    Mungu anisamehe kuna siri siwezi sema

  • @shanneletsobi7899
    @shanneletsobi7899 Год назад +2

    Even me am waiting come quickly from Kenya

  • @ernestarogo
    @ernestarogo 4 месяца назад

    sipati huu wimbo kwa sportify. nimeitafuta sana

  • @soloprince3484
    @soloprince3484 Год назад +2

    Director steve nice 👍

  • @DAUDIYEREMIA-k5x
    @DAUDIYEREMIA-k5x 3 месяца назад +1

    Jman wa kinamama achen ivy

  • @EresiaMichael
    @EresiaMichael 5 месяцев назад

    Kwel huu wimbo kiboko atar❤❤❤

  • @EdwardLucasiNyagalu
    @EdwardLucasiNyagalu 4 месяца назад

    Mwamba anajua Sana kuimba na anabariki sana

  • @odilsioftdesteriajoaquim
    @odilsioftdesteriajoaquim 10 месяцев назад +1

    Saf sana

  • @MeryNyahur
    @MeryNyahur 6 месяцев назад +1

    Mtumish wa mung unajua kuomba sana mung sktangulie sana

  • @MichaelDonaldnchingaMichaelDon
    @MichaelDonaldnchingaMichaelDon 5 месяцев назад

    MAMA YANGU ALINIULIZA SWALI MWANANGU KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME NANI MUBAYA NIKASEMA MWANAUME,MAMA ALICHEKA AKASEMA MWANANGU USIOE HAKUNA MTU MUBAYA DUNIANI KAMA MWANAMKE

  • @moisenyb417
    @moisenyb417 5 месяцев назад

    Mimi niko congo jimbo ituri ninakushukuru sana na hii nyimbo inayo kuwa na ushauri mzito ndani yake

  • @annytheonlyone
    @annytheonlyone 5 месяцев назад

    A great song Amani🙏🙏
    🇰🇪🇰🇪

  • @MawazoJustin-fw2ws
    @MawazoJustin-fw2ws 7 месяцев назад

    Naupenda sana kweli ❤❤❤