Kama umebarikiwa na huu wimbo wa Washira umekubariki weka like kwa hii comment.... Nilikuwa na tatizo la kutokuwa na kazi nikakutana na huu wimbo moyo wangu ukapona 😢😢😢 hii Darasa enyewe Mola ameruhush nipitie kwanza 🙏🙏
Oooh my God😭😭😭😭😭😭😭😭It as been a year since my Father passed away .....Kama Baba Umeruhusu Haya Mimi Ni Nani Nipinge😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Help Me God .....Piga Tu like Kwa ishara ya shukurani kwa Mungu Kwa yote🙏🙏
Mungu unajua yale napitia hila naomba unitie nguvu ni ngumu lakini najua utanishindia 😢 si rahisi but hipo siku mungu utajibu maombi yangu... Mungu wewe ni mwanzo tena mwisho😢😢😢
Manzee now 2yrs since I lost my dadie😢 ...en our firstborn my brother now 8yrs😔😢KAma baba uliruhusu me nani nipinge😢...nmeusikiza nkirudia tuu ......huu unatia moyoo blessed bro..
Yaaaa, 30 years since I lost my father, 7 years since I lost my mother, 13 years since I lost my sister, and 2 years since I lost my uncle, hakika bila neema ya Mungu. duuuu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭, hakika umeniliza na kunitia moyo pia huu wimbo🙏🙏🙏🙏
Ilimpendeza mungu amtwae hamna haja ya kujirudi....Mungu ana ratiba ya kila mmoja wetu na anajua kituo cha kila mmoja wetu katika hii safari ya huku duniani ugenini
I thought it was Martha Mwaipaja at first so I searched this song in her account only to later realize it was yours, it's a song with a very strong encouraging message. God bless you.
It has been 7years since my husband died,nimesikia huu wimbo nikakumbuka mbali sana.mungu nitie nguvu tegemeo langu ni wewe Yesu nipe neema ya kushinda majaribu 😢 😭 😭 😭
I really miss my dad loosing him nikiwa class 4 time never gave us a chance to be together for long 😭😭it pains ppl posting there father's but al is well i still have my mum❤️who stood by us currently in school of medicine 🙏..kama baba umeruhisu haya mimi ni nani nipinge😔
Hata sisemi after kustruggle kusafe maisha ya bro finally alituacha,my bro akazikwa bila mimi kuattend mazishi yake...kama mungu uliruhusu mimi n nani nipinge😭😭😭😭😭💔💔💔hii song imenitia nguvu sana at the same time nkilisten natokwa na machozi🙏🙏😭😭💔
Nimeona video hii, aki Mungu,nipe neema pia na mimi wakati huu mgumu ambao. Nimepoteza dadangu mkubwa😭😭😭😭😭😭😭,magonjwa na madeni yote yaondoke katika jina la Yesu aliyehai
I thought this song ni ya Martha Mwaipaja. Was searching nipe neema by martha mwaipaja but haikuja . The Grace your carrying is on another level. Washira to the world 🌍
A very touching song. Mwanzo nilidhani ni mwaipaja😂😂 Good composition. It mostly a healing song on times of death,heartbreak and disappointments. Actually being satisfied and leaning back to God and telling Him, *I ACCEPT*
Yesterday night i came across this song and it was my time to pray. I listened to it and ended up crying for about one hour instead of praying😢. May God come through for me in this time of Temptation and if he's the reason of my tears i believe He will be the one wiping it😢😢
Ni kweli jaribu kipimo cha imani yangu lakini baba la umiza moyo wangu😢😢😢Mum died last year baba yangu kamfuata mwezi huu my heart is wounded.Cant listen enough of this song,just makes me that im not alone and this is the will of God.Mungu nipe neema kweli.
I literally cried listening to this Song I talked to God and reminded him that it's been 3Years "KAMA BABA UMERUHUSU HAYA MIMI NI NANI NIPINGE" NIPE NEEMA TU YA KUSHINDA MAJARIBU" God bless you Man of God Inachoma Moyo lakini ni Kwa Mda tu
Very powerful young bro,umenikumbusha Neema Mungu alio achilia nilipo ondokewa na mama mzaxi gafla na baadae tena baba alie nilea kama mzazi wangu nakunipa vyote kuondoka pia gafla bila hata neno la kwaheri ila Mungu alinipa Neema yakustahili majari #GodBlessYourMinistry
Yani kila mara naskiliza huu wimbo unanipa hisia kama kuna watu ambao hamuishiwi hamu ya kuusiliza huu wimbo tupia coments apo nakusema mungu atupe neema yakushinda hata tukiwa kwenye magumu pale tunapotaka kushindwa basi baba atupe neema yakushinda ameen mtumishi mungu azidi kukuinua naakufikishe mbali zaidiiii pale ambapo hukupatarajia kufika 🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲
Am now 20 and i lost my mother like 14 yrs ago and i do feel a big trauma in my heart that i think will last forever i don't know why may the grace of God be upon me and my life ,i did find someone to love to me😭😭😭😭
I listened to this song when my dad was very ill,,we had so many debts to pay,,was almost giving up but this song gave me energy to continue fighting,, may God bless you Washira 🙏🙏🙏
Barikiwa sn mtumishi wa Mungu baba mam mdogo wangu Mungu azidi kuwapumzisha huu wimbo umenigusa sana nafikiria hicho kipind lkn namshukuru Mungu amenipigania hata sasa
You made this song more beautiful and added a soul to the music. Lyrics are just words until they get the voice of a singer like you who can turn them into a beautiful song. I really love how you add your twist in the song, only a well-learned can do this. You craft every song into a beautiful masterpiece.
Wimbo huu kila niñapousikiliza nakuta natokwa machozi bila kujua nn shida Mungu tupe neema ya kushinda majaribu washira hakuna kukata tamaa songa mbele
HII NAYO IMENITIA MOYO.
Amen, barikiwa mtumishi 🙏
Natamani sana kukuona
Is this real story 😳
@@elshamahwashira just pray for me am going through a lot please
@@dianalihema7810 MUNGU AKUPE NEEMA YAKUSHINDA KILA JARIBU UNALO PITIA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI...PATA AMANI KUANZIA SASA
Kama umedhani ni mwaipaja ndio Mwimbaji juu ya sauti nipe like😅😅😅😅😢
Weh nilidhani ni mwaipaji pia
weachatu sikunimeona hii videonikajicheka😂
@@MarthaShabani-f7r 😂😂😂
Wacha 😂 Mimi nikiserch niliandika kama baba umeruhusu by mwaipaja 😅😅
I thought ni Martha mwaipaja.. kuona video hata nimeshangaa kupata ni mwanamme,, so talented.
Kama umefika juu ya Kai presenter piga like tukisonga
Pia mm
Same to me
Same to me
Wote mliotoka tiktok kuja hapa tujuane kwa likes. My brother kudos, the entire team wow my amazing people.
🤣🤣🤣🤣🤣 mm kabisa..nikajuaga niwa mwaipaja🤣🤣🤣🖐️
Niko huku kwa mpigo😅😅
Mimi hapa 😂
Hahaha
Mimi hapa
Wenye tumetoka Facebook gonga likes, ooh im blessed
Asanteni nyote mnao zidi kufanyika wa baraka kwa huduma hii,ila nakuomba usisahau ku subscribe like, comment na kushare kwa kadri ya uwezavyo
Mimi every day in the morning lazma niskilize huu wimbo ndio niendee KAZI be blessed
I feel the pity song is , inanikumbusha mbali sana
@@sharonmwaka6406 barikiwa Sharon
Usijali mtumishi wa Mungu
Your songs are so inspiring they strengthen,nazipenda
Tuliyodhani huu wimbo niwa Martha mwaipaja kabra yakuona video tujuwane hapa kwa likes
Kama tiktok imekuleta hapa please kiss my comment nataka nirudi huku tena
😘
Presenter kai ametuleta huku good work😍
Pia mimi😂
Tuko wengi
Mimi pia
Pmoja❤
@@ceciliamsesa179 amen dada💞
Kama umebarikiwa na huu wimbo wa Washira umekubariki weka like kwa hii comment....
Nilikuwa na tatizo la kutokuwa na kazi nikakutana na huu wimbo moyo wangu ukapona 😢😢😢 hii Darasa enyewe Mola ameruhush nipitie kwanza 🙏🙏
Oooh my God😭😭😭😭😭😭😭😭It as been a year since my Father passed away .....Kama Baba Umeruhusu Haya Mimi Ni Nani Nipinge😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Help Me God .....Piga Tu like Kwa ishara ya shukurani kwa Mungu Kwa yote🙏🙏
Inauma 😭😭😭
My dad passed on when l was 8month but today I cry bcoz of what l went through am bless 😢😢😢😢
@@irineotieno3175 Amen
Aa
It's now one month Dad since you left 😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔
Huu wimbo umenifanyia nilie naomba neema Baba sababu nimeachwa na bwanangu kunidharau na miimba
Poleni dadangu...mungu atakushindia na haya yatapita
Hugs dear🥰
October 2024 nan mwingine ako hapa
Niko hapa November
Mungu unajua yale napitia hila naomba unitie nguvu ni ngumu lakini najua utanishindia 😢 si rahisi but hipo siku mungu utajibu maombi yangu... Mungu wewe ni mwanzo tena mwisho😢😢😢
My father died when am in std8.' But am crying now because what am going through....lets cry together if we lack our father 😢😢😢
I didn't even get the chance to see my father,he died while my mother was 4 months pregnant,...sijui ka ntawai heal,nalia Kila siku😢
Take heart God has a reason
Life is never the same again😭😭
Nipe neema Baba 🙏🏻😭😭I know you are great Lord Asante Mungu kwa yote yaliotendekaa maishani
I know one day my test will be a testmony
Amen 🙏
I know one day my testimony will be great😭
😭😭🙏🙏🙏
So touching and tusidi kuomba
Nikisikiza huu wimbo nakumbuka vile brother yangu aliniacha nikingojea mtihani wa kitaifa
From TikTok I had to come here to listen to this song,,,,be blessed,,,,it's very painful but God is on ur side 😭😭😭
Exactly, I had to go direct here
Same here😭
Me too
Same here
@@faustinemutuku7754 very powerfully song😭😭😭😭
who else came to confirm voice 😅😊
Manzee now 2yrs since I lost my dadie😢 ...en our firstborn my brother now 8yrs😔😢KAma baba uliruhusu me nani nipinge😢...nmeusikiza nkirudia tuu ......huu unatia moyoo blessed bro..
Yaaaa, 30 years since I lost my father, 7 years since I lost my mother, 13 years since I lost my sister, and 2 years since I lost my uncle, hakika bila neema ya Mungu. duuuu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭, hakika umeniliza na kunitia moyo pia huu wimbo🙏🙏🙏🙏
Alikam mombasa ilinibamba sana sauti wow ee hiyo wedding ilibamba pia ako mcute sana sauti n kama mwili wake
Wimbo nzuri ndugu
I lost my husband mwaka na miezi Sasa but kusikiza huku wimbo nimeumia sana😢😢
Ilimpendeza mungu amtwae hamna haja ya kujirudi....Mungu ana ratiba ya kila mmoja wetu na anajua kituo cha kila mmoja wetu katika hii safari ya huku duniani ugenini
Hugs 🫂🫂🫂🫂
Mungu yupo brother
I dedicate this song to Kenyatta University comrades. Rest in power comrades 😥😥
25th March 2024 @10.34 p.mIlimpendeza mungu awachukue...Mungu ahimidiwe milele na mapenzi yake yafanyike na si mapenzi yetu
Ukwel huu wimbo umenipa imani kubwa bado Mungu kwetu nimkuu
I thought it was Martha Mwaipaja at first so I searched this song in her account only to later realize it was yours, it's a song with a very strong encouraging message. God bless you.
Kumpoteza umpendae inauma nyie 😭😭😭😭😭 Naona kama ndoto Bosco wangu umeondoka mapema saaana ahadi zote ulizoniahidi mpenzi wangu zimeishia njiani. Jaribu linachoma kama miba😭😭
Waah your voice and that of Martha mwaipaja looks alike❣️❣️am really blessed with this song 🙏🙏🙏ubarikiwe zaidi
I saw a clip on WhatsApp and I just came to see and subscribe
It has been 7years since my husband died,nimesikia huu wimbo nikakumbuka mbali sana.mungu nitie nguvu tegemeo langu ni wewe Yesu nipe neema ya kushinda majaribu 😢 😭 😭 😭
Mungu akutie nguvu
Pole.sana,. dadangu Mungu Akutie Nguvu
Jipe nguvu sister
Pole I feel your pain😭
I really miss my dad loosing him nikiwa class 4 time never gave us a chance to be together for long 😭😭it pains ppl posting there father's but al is well i still have my mum❤️who stood by us currently in school of medicine 🙏..kama baba umeruhisu haya mimi ni nani nipinge😔
I did this challenge in TikTok and it got the most likes hit like kama inakubariki
I feel like crying 😭😭 Huu wimbo umenitia nguvu as un orphan.. thanks washira Mungu akubariki🙏🙏🙏
Be strong ❤
Barikiwa San wimbo huu umenitoa machozi nimekumbuka mbali sana Amin
Hata sisemi after kustruggle kusafe maisha ya bro finally alituacha,my bro akazikwa bila mimi kuattend mazishi yake...kama mungu uliruhusu mimi n nani nipinge😭😭😭😭😭💔💔💔hii song imenitia nguvu sana at the same time nkilisten natokwa na machozi🙏🙏😭😭💔
From Tiktok mpka youtube...Mungu akutie nguvu sana
❤
Good job nice song
Wimbo unatia moyo saan barikiwa saaan kaka Mungu akutumie zaidii.Mungu nipe neema❤❤❤❤❤😢😢😢😢
Hapa nizaidie huyu ni kaka ama ni dada niweke sawa juu ya sauti yake
Nipe neema nami baba yakushinda majaribu ya hii dunia🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩❤️
Kama baba umeruhusu haya❤❤utanipa na mlango wa kuyashinda
Wacha mungu atende
Wenye tumetoka tiktok tujuane
Mh apa 😢
You are a blessed kudos
All the way from tiktok
Waiting Broo.Hongera sana sana
Mimi ni nani nipinge. Ni magumu lakini nipe neema ya kushida majaribu.
Thank you for this song.
Jaribu linaimarisha imani 🙏🙏🙏🙏
Nimeona video hii, aki Mungu,nipe neema pia na mimi wakati huu mgumu ambao. Nimepoteza dadangu mkubwa😭😭😭😭😭😭😭,magonjwa na madeni yote yaondoke katika jina la Yesu aliyehai
Iwe hivyo kwa Jina la Yesu🙏
Yesu Kristo wa Nazareth aliye Hai amekupa sawa na Imani yako Amina.
Pole my dear
I thought this song ni ya Martha Mwaipaja. Was searching nipe neema by martha mwaipaja but haikuja . The Grace your carrying is on another level. Washira to the world 🌍
Me too I thought it was Martha
Same here i thought it was sung by martha
Me too
A very touching song. Mwanzo nilidhani ni mwaipaja😂😂
Good composition. It mostly a healing song on times of death,heartbreak and disappointments. Actually being satisfied and leaning back to God and telling Him, *I ACCEPT*
Mimi ni nani nipinge baba Asante sana washira huu wimbo unanibariki sana....🙏🙏
Titok imenifanya nikujue sikujua kama mwimbaji mzur ivi looooooo mungu akuinue aise uuu wimbo mzur saanaaaa
Yesterday night i came across this song and it was my time to pray. I listened to it and ended up crying for about one hour instead of praying😢. May God come through for me in this time of Temptation and if he's the reason of my tears i believe He will be the one wiping it😢😢
Mungu asaidie yatima wote😢😢😢
Ni kweli jaribu laimarisha Imani yangu lakini baba linautesa mwili wangu😢
Ninabarikiwa san na huo wimbo
Ni kweli jaribu kipimo cha imani yangu lakini baba la umiza moyo wangu😢😢😢Mum died last year baba yangu kamfuata mwezi huu my heart is wounded.Cant listen enough of this song,just makes me that im not alone and this is the will of God.Mungu nipe neema kweli.
Neema ikutoshe
Asante sana
Wenye tumetoka Kwa Kai hadi hapa piga like ❤❤❤
Wow huu wimbo unanibariki sana..na inanikumbusha maisha mbali maisha ambayo nimepitia 😢😢,,, Mungu akubariki sana ndugu Wachira kwa huu wimbo nzuri 🙏🙏
Amen.. Nilifikir martha mwaipaja sauti yake!
I saw this song 🎵 on Presenter Kai and had to search it subscribed as well be blessed 🙌 ❤
I literally cried listening to this Song
I talked to God and reminded him that it's been 3Years
"KAMA BABA UMERUHUSU HAYA MIMI NI NANI NIPINGE"
NIPE NEEMA TU YA KUSHINDA MAJARIBU"
God bless you Man of God
Inachoma Moyo lakini ni Kwa Mda tu
ruclips.net/video/bZnxs0hPyhQ/видео.html
Inauma Sana 😭 poleni sana
Congrats kwa kazi nzuri ya mungu uifanyayo,tumeet Jesus winning soul migadini tuendeleze kazi ya mungu,keep up on your huduma.
Very powerful young bro,umenikumbusha Neema Mungu alio achilia nilipo ondokewa na mama mzaxi gafla na baadae tena baba alie nilea kama mzazi wangu nakunipa vyote kuondoka pia gafla bila hata neno la kwaheri ila Mungu alinipa Neema yakustahili majari #GodBlessYourMinistry
Hallelujah 🙏 mungu ni mwaminifu
Continue being strong God's always with you
Khai🎉
Nimeskiza wimbo wako kwa presenter kaikai for the first time na umenibariki sana . Nitazidi kuwa shabiki wako ili tueneze injili na kutia wengi moyo
Hata mimi
Am back a gain ,ooooh🧎🧎🧎🧎😭😭😭😭 nimeyapitia haya maumivu makali maishani mdogo wangu hongera saana, mbingu zimekukubali mdogo wangu 🙏❤️🧎🧎🧎🧎
Yani kila mara naskiliza huu wimbo unanipa hisia kama kuna watu ambao hamuishiwi hamu ya kuusiliza huu wimbo tupia coments apo nakusema mungu atupe neema yakushinda hata tukiwa kwenye magumu pale tunapotaka kushindwa basi baba atupe neema yakushinda ameen mtumishi mungu azidi kukuinua naakufikishe mbali zaidiiii pale ambapo hukupatarajia kufika 🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲
Ameen keshamuinua mpaka sasa
Marsa mwaipaja naisi ata saut kaiga kwa uyu jamaa anajua nyimbo zake zinaujumbe wanguvu sana.
From tiktok,,rest in peace Baba mona 😭😭😭😭😭😭,, imebidi nitafute hii song
Good song bro....keep moving
Am now 20 and i lost my mother like 14 yrs ago and i do feel a big trauma in my heart that i think will last forever i don't know why may the grace of God be upon me and my life ,i did find someone to love to me😭😭😭😭
God's love is unconditional may you receive the love of God in Jesus name
dear, God is the ultimate lover. Please just allow Him to give you hope. Where are you? I wouldn,t mind a word with you pls
Am so sorry for your lost baby it’s not easy keep being strong 😭😭😭
🫂🫂🫂🫂🫂🫂 all will shall be well
😭😭😭😭
Wimbo huu unanigusa moyo wangu daaaaaaah kuna majaribu duniani ila yote yanasababau
Nipe neema ya kushinda majaribu
Just lack words to describe this art,pure talent...it's a hit...thumbs up for brother washira
ruclips.net/video/bZnxs0hPyhQ/видео.html
He is a dude??
@@Dee_76yah, he is a dude, even though he sounds like Martha Mwaipaja. Crazy, right? 😮 😢
Kumbe mwimbaji ni washira🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu akubariki sana kila nikisikiliza huu wimbo unanitia nguvu. Eeee Mungu nipe Neema ya kushinda majaribu 😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲
Wangapi tumeletwa hapa na kaai💯💯🥰
I listened to this song when my dad was very ill,,we had so many debts to pay,,was almost giving up but this song gave me energy to continue fighting,, may God bless you Washira 🙏🙏🙏
Uko na sauti nzuri tafuta Martha mwimbe na yeye you are really talented 👏 nimekujua kutoka kwa interview ya kai.
i couldnt believe, saw presenter kai doing it there nikadhani ni mwaipaja..... Nice one. Nipe neema
Safi sana mtumishi hongera kwa utunzi mzuri binafsi nimeguswa sana na hii nyimbo barikiwa sana mtumishi
When I lost my sister last month 😭😭😭her daughter used to listen to this song thus making her strong thanks for this song 😭❤️😥❤️😭🙏
Hugs!!
I hope she is okey😢
Barikiwa sana kaka.
The song reminds me of my past difficulties and how God helped me to handle them,thank you so much 🙏🙏🙏
Hii ndo itakua nyimbo yangu ... Nikija nunua gari yangu ... Inshallah🙏
From Tiktok ...had to reach here ....so emotional..I literally cried....✌️🙏🙏
Barikiwa sn mtumishi wa Mungu baba mam mdogo wangu Mungu azidi kuwapumzisha huu wimbo umenigusa sana nafikiria hicho kipind lkn namshukuru Mungu amenipigania hata sasa
Presentor Kai brought me here . Song is super inspiring 😘😘😘
Same to me
From presenter Khai❤
Nipe nehema ya kushida najaribu mungu🙏🙏inanipea nguvu ya kusoga mbele hii wimboo
Its two weeks to a year since my hubby passed akaniacha na mtoto...🥲🥲.this songs is truly a prayer to me
Leo katika kutembea nikakukuta washira nika penda nyimbo zako kweli 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
You made this song more beautiful and added a soul to the music. Lyrics are just words until they get the voice of a singer like you who can turn them into a beautiful song. I really love how you add your twist in the song, only a well-learned can do this. You craft every song into a beautiful masterpiece.
Amen,Golry be to the Most High God 🙏
I found myself crying
Asante yesu🙏🌹🇹🇿🌹
Nipe neema ya kushanda magumu yote,wimbo mzuri unanipa ujasiri wa kusimama kwenye Jaribu.
This made me emotional 😢.am desperate of your miracles everyday Yahweh.This moved me closer to my maker.more grace God's ambassador.
And your comment just brought me closer to Jehova 😢😢thank you so much
Wimbo huu kila niñapousikiliza nakuta natokwa machozi bila kujua nn shida Mungu tupe neema ya kushinda majaribu washira hakuna kukata tamaa songa mbele
Amen 🙏
@@elshamahwashira unaeza kuwa mwalimu wangu
Today I can't get enough of this song after losing my son😭😭😭 I will Never Heal
U will heal dear.akupe neema na kukuponya🙏❤️
🫂
God will give you grace to overcome dear ,,,, his grace is sufficient 🫂
Pole sna
Receive God's strength.
Ni uchungu sana mungu akubariki sana.
Some songs can be your pillars for a life time
Huu wimbo umenifanya nijitambue nakuomba baba nipe neema ya kushinda majaribu