Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 407

  • @dalalimwalimufurnitures
    @dalalimwalimufurnitures 5 месяцев назад +38

    Wimbo mzuri, ujumbe mzuri sana, kama umepata ujumbe huu mzuri gonga like tuondoke

  • @Benlee2709
    @Benlee2709 6 месяцев назад +87

    hakuna mwimbaji mwingine wa aina yako wewe ni muimbaji wa kimataifa Mungu anajivunia wewe endelea kunyenyekea kwenye mkono wake salute

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k 6 месяцев назад +1

      Aiii Annoint mapenzi tulio nayo kwako, unatufungia kudownload why, na unatubariki, nasi upande mwingine tuna kubariki

    • @KingBizzo-qr5bh
      @KingBizzo-qr5bh 5 месяцев назад +1

      Jmn jmn

    • @jacintambua7877
      @jacintambua7877 5 месяцев назад

      D f. ​@@KingBizzo-qr5bh

    • @JoashLeheso
      @JoashLeheso 5 месяцев назад +1

      It's true dea😥😥

    • @JosephineAnyanga-i3j
      @JosephineAnyanga-i3j 4 месяца назад

      Kila wimbo iko poa ya annoint aman

  • @EpimackChami-g2f
    @EpimackChami-g2f 5 месяцев назад +55

    Kama unamkubali anoit gonga like

  • @BrendaWanjala-fj4mg
    @BrendaWanjala-fj4mg 6 месяцев назад +9

    Annoint imani amekuwa star kwa sasa nchini kenya nyimbo zake zipo kila mahali haswa western region na nairobi pia mombasa

  • @SALOMESEKIJA
    @SALOMESEKIJA 6 месяцев назад +15

    Nimetoka ticktock kuja kuangalia ❤

  • @VincentNduwimana-m1j
    @VincentNduwimana-m1j 5 месяцев назад +3

    Muimbaji mzuri sana,n'a Sisi wa Rundi tunagupongeza sana

  • @quinterisaji9905
    @quinterisaji9905 6 месяцев назад +2

    Huyu wimbo nimeupenda❤unatufunza tuwe wa bidii ya kufanya bidii na tusipende vya bure

  • @IsraelCharls-u4p
    @IsraelCharls-u4p 2 месяца назад

    Kazi nzur sana baba halima unafanya vizuri San nisubili ya 14 msicheleweshe jaman

  • @VERONICAJOHNNY-g8p
    @VERONICAJOHNNY-g8p Месяц назад

    Wimbo mzur sana mungu akubaliki sana mtumishi wamungu annoint aman ubalikiwe

  • @phaustineokitwi7043
    @phaustineokitwi7043 6 месяцев назад +4

    Kenyans here we are 🇰🇪🇰🇪🇰🇪kenya tuna njaaa saaana mungu atusaidie

  • @Totolakifalme-ge2cd
    @Totolakifalme-ge2cd 5 месяцев назад +6

    Jembe wa marikia rose muhando tumpe like zake asonge mbele zaidiiii nampenda sana

  • @BonifaceMugo-jg4iz
    @BonifaceMugo-jg4iz Месяц назад

    Ujumbe umepashwa vizuri sana by this guy called annoint amani 👏👏👏

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele 6 месяцев назад +10

    Nilisubiri sana KABISA iyi Video
    Jamani Wimbo Muzuri kwakweli

  • @JelemiahDaimon-r7c
    @JelemiahDaimon-r7c 6 месяцев назад +3

    Hongera kwakazi zuli baba mungu azidi kukuinua zaidi

  • @AichielNdowo
    @AichielNdowo 2 месяца назад

    Napenda nyimbo zako acha kabisa, Mungu aendelee kukulinda na kukuinua viwango adi viwango. Amen

  • @eunicemwende5079
    @eunicemwende5079 6 месяцев назад +4

    Pongezi mtumishi video nimeisubiri kwa sana
    Nimependa🎉

  • @shabanmwaisame8510
    @shabanmwaisame8510 5 месяцев назад +1

    Sasa kohoa au piga chafyaaa napenda sana huu mstari barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @SalmaShilla-c1t
    @SalmaShilla-c1t 5 месяцев назад +82

    Waliotoka tiktok kuufata hu wimbo kma mm tujuane kwa like

  • @ZuenaAmukoya
    @ZuenaAmukoya 5 месяцев назад +2

    Any one from tiktok to like back l really like the song keep going

  • @PaslayPascalmbula
    @PaslayPascalmbula 6 месяцев назад +4

    Amina babangu anoint wewe nimuhubiri mzuri kabisa.

  • @YonaTaigo
    @YonaTaigo 6 месяцев назад +2

    Toka nimezaliwa sijawah Kuna mwimbaji wa kuwaya anaee elimisha kama ww nyimbo yako nzur sana baba kazana mungu atakubaliki

  • @MargaretAtieno-xx7ys
    @MargaretAtieno-xx7ys 6 месяцев назад +5

    Daddy wangu uko juu sana nakupenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉🙆🙆

  • @RachealVaati
    @RachealVaati 6 месяцев назад +2

    Yaan Mimi nakupeda Bure.nyimbo zako zuri

  • @IBRAHIM-gp9vk
    @IBRAHIM-gp9vk 4 месяца назад +1

    Kazi nzuri Sana mtumishi nauliza utakuja lini Kenya

  • @LaikaKayoka-ko7mo
    @LaikaKayoka-ko7mo 6 месяцев назад +1

    Nimejifunza ki2..
    Ubarikiwe sana

  • @ElijaBaraka
    @ElijaBaraka 5 месяцев назад +3

    Nyimbo Kali sna brother

  • @VanessaKephas
    @VanessaKephas 6 месяцев назад +3

    Good songs with a good new message be blessings

  • @HerbertFrancis-tr8gh
    @HerbertFrancis-tr8gh 5 месяцев назад +1

    Wimbo mzuri unafundishaa good brother ❤🎉

  • @stephentarus
    @stephentarus 6 месяцев назад +1

    Good educative song annoint amani may God bless u

  • @SandeSandeMure
    @SandeSandeMure 6 месяцев назад +6

    Kutoka kenya hii nyimbo iko na mafundisho

  • @abiudcheno2545
    @abiudcheno2545 6 месяцев назад +1

    nimejifunza mengi hapa,asante.

  • @ElizabethJames-cl1iy
    @ElizabethJames-cl1iy 4 месяца назад

    Mungu akupe kimbari uederee ufikike mbari kiukweli umeimba vizuri sana umefudishs

  • @GiftFrance
    @GiftFrance 6 месяцев назад +2

    Mungu akutie nguvu Zaid Wew ume chaguliwa kweli

  • @nellynyawara
    @nellynyawara 3 месяца назад

    Whueeee aise ANNOINT YOU ARE SPREADING THE REAL GOSPEL MUNGU AKUINUE ZAIDI KWA AJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @magretkavishe8890
    @magretkavishe8890 4 месяца назад

    Mungu mbariki mtumishi huyu endelea kubarikiwa mtumishi kumuimbia bwana

  • @EstherAlly-h1q
    @EstherAlly-h1q 5 месяцев назад +1

    Ubarikiwee sanaaa broo wimboo unamafunzoo mengiii

  • @periasakimba7892
    @periasakimba7892 5 месяцев назад +3

    The creativity on this guy is so high but ni ujumbe gani tunapata haha ndilo swali langu

  • @ViolineKwamboka-n7s
    @ViolineKwamboka-n7s 6 месяцев назад +1

    Wow ww ni zuchaa kwa uimbaji kaka waja mungu akubariki sana ❤

  • @vanishnyabi
    @vanishnyabi 5 месяцев назад +1

    Wonderful even God anakujivunia ww tu continue

  • @CarolineJepkosgei-rb5lh
    @CarolineJepkosgei-rb5lh 5 месяцев назад +2

    Nice song muimbaji Bora

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss 6 месяцев назад +4

    Hii kali jamani ukweli mtupu

  • @NeemaMwangende
    @NeemaMwangende 5 месяцев назад +2

    Yoteee ayo nkwakua niuvivu umetufundisha kaka

  • @FaustinSHUKURU-q1v
    @FaustinSHUKURU-q1v 2 месяца назад

    Nyimbo n'a fundisho vijana tumikeni vema

  • @VeronicahMbalu-tw6sf
    @VeronicahMbalu-tw6sf 6 месяцев назад +61

    Anyone from ticktok gongaa like

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka 6 месяцев назад +3

    Safi kaka kwa ujumbe mzuri

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa 6 месяцев назад +4

    Creativity iko juu. wimbo imejaa mafunzo😊❤❤

  • @AgustineShayo-r5k
    @AgustineShayo-r5k 3 месяца назад

    Yaani huu wimbo umewagusa watu wengi sana mtumishi wa mungu hongera sanaaa😮🙏

  • @minvononyango342
    @minvononyango342 5 месяцев назад +1

    Am emotional 😭😭 nalia kwa ajili ya maisha yangu

  • @BlessingBaraka-i1s
    @BlessingBaraka-i1s 6 месяцев назад +3

    Waaaaaau ni ujumbe mkali sana imenifanya nikakumbuka ile familia nimelelewa, Mungu akutie nguvu na akubariki zaidi ya hapo❤👏🙏

  • @BervalineMhalid
    @BervalineMhalid 4 месяца назад

    Machozi yamenitoka funzo nzuri hiyo mungu akubariki

  • @estermachea3373
    @estermachea3373 6 месяцев назад +1

    Kwa kweli dady sisemii Wacha uende wewe Africa Zima hakuna mwimbaji Bora kama wewe .ufike Kila kona

    • @MargaretAtieno-xx7ys
      @MargaretAtieno-xx7ys 6 месяцев назад

      Nikweli akuna kama wewe umetosha kabisa wakati mwigine niki kuona naisi kuliaa Mimi mwanao jaman daddy wangu wakipeke nakupenda saaaana jaman mungu ni shadi anajwa nakupenda 😢😢😢

  • @ConfianceYeleyele
    @ConfianceYeleyele 6 месяцев назад +1

    Shukran kwa wimbo ,ubarikiwe na Mungu

  • @JosephineAnyanga-i3j
    @JosephineAnyanga-i3j 4 месяца назад +3

    Napenda sana songs zako

  • @mercyebei7935
    @mercyebei7935 6 месяцев назад +4

    Message Iko clear hapo...ukiwa hai akuna mtu anakusaidia ukifaa ndio watachanga nkt!wanadamu

  • @micahmoriah501micah9
    @micahmoriah501micah9 4 месяца назад

    God bless you abundantly man of God more blessings,,,,, the song is educatative and let the lord not to be fake servant but real servants who worship In spirit and truth

  • @lwzmangulu7532
    @lwzmangulu7532 6 месяцев назад +1

    Nyimbo mzuriiiiii Sanaa yenye maadiri kabixa mungu akubaliki Annoint kijana mwenzangu 🙏🙏🙏🇹🇿🙏

  • @JudithNekesa-j2r
    @JudithNekesa-j2r 2 месяца назад

    Huu wimbo umebeba ujumbe mzito sana

  • @Iamjaysimple
    @Iamjaysimple 6 месяцев назад +5

    Família unaupiga mwingi sanaaa ubarikiwe

  • @SilasMukanya-ig2vi
    @SilasMukanya-ig2vi 6 месяцев назад +1

    Shujaa wa mziki Tanzanie Annoit Amani🎉🎉🎉🎉 wendembele baba

  • @RICHARDBENIMANA
    @RICHARDBENIMANA 6 месяцев назад +1

    Hongereni Sana Burundi tunakupenda sana

  • @DadyMaombi
    @DadyMaombi 6 месяцев назад +1

    Hapa congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩nakukubali sana yaani ❤❤❤❤

  • @hellenkhabwanditsa6983
    @hellenkhabwanditsa6983 5 месяцев назад +1

    Mwisho wa hii song imekuwa waaaau ❤❤❤❤❤❤❤❤❤from kenya

  • @OscarWanjala-rx6sv
    @OscarWanjala-rx6sv 5 месяцев назад +1

    Mungu akuhizidishie neema zaidi

  • @YusuphMseti-jy2vs
    @YusuphMseti-jy2vs 6 месяцев назад +2

    Dhaaaahhh nmejkuta nalia sana😢😢😢😢😢😢

    • @carenshanely
      @carenshanely 5 месяцев назад

      😢😢nami pia nimelia sana aky

  • @OtiliaPius-dr1be
    @OtiliaPius-dr1be 4 месяца назад +1

    😅😅😅wimbo mbona unaujumbe mzuri tu jaman

  • @YudithaChatanda
    @YudithaChatanda 5 месяцев назад

    Wimbo mzur sana nimependa salute kwako

  • @johnkwanda632
    @johnkwanda632 3 месяца назад +1

    Wimbo wako unaogusa maisha na vitu wanavyofanya wanadamu

  • @simonkamau3303
    @simonkamau3303 4 месяца назад

    Moto xana....nabii bure...anakula ya maskini

  • @MRIAMUKIRINTONY
    @MRIAMUKIRINTONY 6 месяцев назад +1

    Mngu akubarik sana namm nataman ningekua karib naww nijifunze uimbaj

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 6 месяцев назад +3

    Wow nice song ❤

  • @agrippanashali8441
    @agrippanashali8441 5 месяцев назад

    wow!wow!wow!This song is a bonge la song

  • @SesiliaKihombo
    @SesiliaKihombo 3 месяца назад

    Yani wewe kaka unaimba aisee you❤

  • @ZainabuMathias-x6p
    @ZainabuMathias-x6p 4 месяца назад

    Nimetoka tiktok nimekuja kuutazama good job 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ErfEff-k6w
    @ErfEff-k6w 2 месяца назад

    Unene mpaka upumbavu jaman mungu akupganie

  • @TrizzahWanjala
    @TrizzahWanjala 6 месяцев назад +3

    ❤❤ wimbo mzuri 😊😊

  • @AgustineShayo-r5k
    @AgustineShayo-r5k 3 месяца назад

    Kweli vijana wafanye kazi hali

  • @keenceBoe
    @keenceBoe 4 месяца назад +1

    Naitwa aden natokea. bukoba napenda nyimbo za anoint aman

  • @etienneutamufite1264
    @etienneutamufite1264 6 месяцев назад +1

    Ngoma nzuri kaka😘 Rwanda tunakupenda sana♥️♥️♥️

  • @pendotv5110
    @pendotv5110 6 месяцев назад +3

    kweli hio nyimbo niwujumbe

  • @EmmyYorammy
    @EmmyYorammy 5 месяцев назад

    MUNGU anakusud na ww kaza Buti hakuna wakufanana naww good bless you

  • @TatianaAthanas
    @TatianaAthanas 5 месяцев назад +2

    Annoint umeniliza kwa nyimbo yako

  • @anielytuva9838
    @anielytuva9838 6 месяцев назад +2

    Hili ni funzo kubwa sana linahitaji hekima kuelewa

  • @FlokShiko
    @FlokShiko 3 месяца назад

    Wao wao.....so educative

  • @isaacmwaura6099
    @isaacmwaura6099 6 месяцев назад +1

    Nyimbo zako Huwa zinabariki sana❤❤

  • @kigomamaranathagospelchoir2642
    @kigomamaranathagospelchoir2642 5 месяцев назад +1

    Uko vizuri songa mbele

  • @jeremiahbulenge1856
    @jeremiahbulenge1856 5 месяцев назад +1

    Umetisha mdogo wangu bonge la haidia

  • @pastortitusmuema8440
    @pastortitusmuema8440 6 месяцев назад

    Wimbo Mzuri sana wenye mafunzo
    Jameni ni muhimu kufanya kazi usizoee za bwerere

  • @LydiaWafula-gn5qs
    @LydiaWafula-gn5qs 5 месяцев назад +2

    Wimbo mzuri❤

  • @AliceNzambi-be1wr
    @AliceNzambi-be1wr 6 месяцев назад +3

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @fearful254
    @fearful254 21 день назад

    Huyu mtumishi wa Mungu amekuwa wa baraka kwangu tangu nimjue takribani miaka mitano Sasa

  • @brianmutindaofficial8564
    @brianmutindaofficial8564 6 месяцев назад +4

    Ujumbe kafika kweli hogera bro we ni jembe kweli

  • @SilviaIdaya
    @SilviaIdaya Месяц назад

    Napenda huu wimbo

  • @agnessimeldah1235
    @agnessimeldah1235 6 месяцев назад

    Wimbo mzuri na Una mafunzo yake, bidii muhimu hakuna vya bure

  • @jacquelineboniface1145
    @jacquelineboniface1145 6 месяцев назад

    😢😢😢😢😢 Mungu atusaidiye kweli,haya maisha tunayo pitiya ni magumu sana

  • @AnnahMutua-sd5sk
    @AnnahMutua-sd5sk 6 месяцев назад

    Waaaaaa hata nilikuwa naogopa jamani....nilidhani watamzika

  • @petrojoel7644
    @petrojoel7644 4 месяца назад +2

    akaa! huu noma

  • @MiriamChepkorir-q7t
    @MiriamChepkorir-q7t 6 месяцев назад +1

    This boy I wish watu wangekuwa wanajuwa umuhimu wa nyimbo zako

  • @FlorenceNeema.
    @FlorenceNeema. 6 месяцев назад +4

    Wowwww❤❤❤❤❤ nice one congratulations 👏👏👏

  • @mapendosafi3429
    @mapendosafi3429 6 месяцев назад

    Yoooo diii nyimbo yauruma sana Tena mafundisho makubwa sana ubarikiwe sana 🙏💙

  • @mwendemaveke3022
    @mwendemaveke3022 6 месяцев назад

    Go Amani ....at least I met you for the first time at Mombasa...you are such a blessing daddy....blessings 🙏