This Year it's been hell to an extent of me taken to rumande 😢if it wasn't for God I don't know how this year could be,if it was the wil of God Mimi kupitia hio darasa then let his wil be done kama c mungu 🙏😭😭,mungu akitaka kukuinuwa lazima upitie kwenye moto ,am now a living testimony God gave me another job after all happened indeed it wasn't a good journey but hear I'm steady strong like never before 🙏🙏🙏🙏all because of God,may my enemies be put into shame and everything that my enemy took whether knowingly or unknowingly let it be returned in Jesus name 🙏🙏🙏
Honger kaka washira mungu azidi kukuinua viwango had viwango❤❤
Wapi likes za washiraa akh watu wanguuu🎉🎉
Sauti kama ya mwanamke
@@FaitnKamanthe kabisaaaa
Aki
@@FaitnKamantheHata kuna wanawake wako na sauti za kiume
@@remmymwanziagospelsongs5896 wachira n Kikuyu?
My brother Martha Mwaipaja junior hongera sana. Kenya ❤❤❤❤
Eeeh Sauti kama yake
kumbe siko pekeangu iyo sauti na ya Martha ni the same
Nipitie 🙏🙏🙏.
Just listing to this song after just got an accident 😢😢...God protect me for the seek of my kids 🙏🙏
Uponyaji wa haraka in Jesus name
Utakua sawa yeye nimponyaji mkuu
Washira your songs guides me kama nmefika mwisho nnaposikiza Huu wimbo napata nguvu tena
Maridadi Sana. Continue to sail deep Washira. Not even the sky should be the limit.......🎉
Kama si Mungu adui zangu wangenimaliza🔥🔥🔥🔥
Mtumishi unanibariki sana na unanitia nguvu Sana Aki barikiwa🎉🙏🙏
I just found myself dropping tears...
Let me say God above everything 😢
Kma si Mungu ukweli adui zangu wangenimaliza
This Year it's been hell to an extent of me taken to rumande 😢if it wasn't for God I don't know how this year could be,if it was the wil of God Mimi kupitia hio darasa then let his wil be done kama c mungu 🙏😭😭,mungu akitaka kukuinuwa lazima upitie kwenye moto ,am now a living testimony God gave me another job after all happened indeed it wasn't a good journey but hear I'm steady strong like never before 🙏🙏🙏🙏all because of God,may my enemies be put into shame and everything that my enemy took whether knowingly or unknowingly let it be returned in Jesus name 🙏🙏🙏
Kama sio mungu adui zangu wangenimalza 🙏🙏🙏🙏barikiwa sana
Ameeen Mungu alinde karama hii asante Yesu watesi wangu wajikwae na kuanguka
God bless you bro,, 🙏,, nyimbo zako Zina utukufu.
Very powerful song washira mungu akuinue zaidi.. unanibariki sana na huduma yako.
Congratulations kama ni sauti yako hiyo
Sidhani kama hiyo sauti yake
Hakika bila Mungu adui zangu wangenimaliza mm,,,,,nice song ❤❤❤❤❤❤❤❤
Kama si mungu aduii zangu wange nimaliza😭😭😭kweli kabisa my brother
Nilidhani wewe ni dem😅😅. His sauti ulitoa wapi. Talent for sure.
Subscribed and from today am your biggest follower...
Washira wanibariki sana na izi nyimbo zako....Mungu akuzidishie sana broo🙏🙏🙏
Watching from Kenya 🇰🇪.. more grace mtumishi 🙏🙏❤️
Amina wimbo wako wapedesa mungu asidi kukubariki❤❤❤
hakika kama si mungu ningekua nimesaulika katika hii dunia 😭lakini kwa upendo wa mungu umenifanya naishi oooh mungu uinuliwe 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🧎🏼
Nice one barikiwa sana washiraa👊🏻👊🏻♥️♥️♥️♥️
More powerful
Kama si wewe mungu singe kuwepo Mm asante yesu ❤🙏🙏🙏
Kweli isingekuwa Mungu ningeshaa sahaulika kwenye hii dunia😭 ila kwauruma zake aliruhusu mimi kusimama tena,🙏🙏🧎
It's a Nice melody from my favorite melodious ❤keep moving washira 0:38
Asante Mungu kwa kunipigania,, washira Mungu azidi kukuinuwa
mumgu aibariki kazi ya mikono yako my day maker
Kama isingekuwa Mungu hakika adui zetu wangetumaliza. thank you Jesus for your salvation
❤❤
Thise song inanitia guvu nikikubuka hapo awali bila mamangu🙏🙏
Kwa hakika kama sio Mungu adui zangu wangenimaliza.Kazi nzuri ya unjilisti kaka.ipo taji kwa nzuri.
Presenter kaai asante umefanya tujue washira🥰💯
Umetubariki saana my brother God bless you❤❤❤
Daah kazi nzuri sana kaka ubarikiwe sanaa kama sio Mungu tungesha kufaga zaman 👏🙌
barikiwa sana
Nashukuru mungu kwa kunipa Ulinzi wake,maama wangenimaliza
Ubarikiwe baba piya kaka yangu
Bro hukugusa mioyo za wengi be blessed all time😢🎉
Kama si mungu basi ni nani,,, you are a living blessing indeed🙏🙏
tunakapenda
Kama si mungu adui zangu wangenimaliza
Kama si mungu 2wks ago ninge perish kwa sababu ya familia maadui
Alafu kumbe ni mwanaume ako na sauti nzuri kama ya mama
Kwa kweli kama sio Mungu maadui wangenimaliza.Mungu akubariki Washira.
Nabarkiwa sana na nyimbo zako mungu akubarki
Adui washindwe kabisaa
Very true kama si mungu Week mbili iliyopita karibu nife kwa magongwa yasiyojulikana.Barikiwa sana
Unazidi kubariki moyo wangu 🙏
Safi kazi nzuri
Uinuliwe zaidi ndugu yangu🎉
Naomba huu wimbo uwe na 1 million likes wakristu wenzangu❤❤
Amen Amen be blessed, kweli kama si mungu singelifika huu umbali
Maua yake jmn na like Kwa wingi
It's such a nice song❤❤,more Grace and be blessed
🎉🎉🎉 exactly 💯💯💯💯💯, continue
Hakika kama si mungu singekua leo
Ubalikiwe sana nakupenda bule na sauti Yako pia unaujumbe mzuri
Amen🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼Ubarikiwesana kaka
Ubarikiwe kaka 🎉🎉🎉
Barikiwa mnoo mtu wa MUNGU na kristo akuinue sana wimbo mzuri sana
Ujumbe mzuri Sana Toka kwa Ellyshammah Washira
Nimebarikiwa keep it up 🎉
Nipe ii kibali Mungu wangu🙏 .
Wimbo mzuri Sana washira, umenibariki.
More grace mtumishi wa mungu
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Hongera sana Mtumishi wa Mungu
May our lord lift you higher and higher washira, I have been blessed with this song
Seee grace i honour you sir
❤❤❤ amen mtumishi keep it up 🇰🇪🇰🇪
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉wooooow what a blessed song keep pressing dearest 💕💕
God bless you bro continue bless us too
Kweli kama si mungu hadui zangu wangenimaliza 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe sana kaka
Kipaji unacho naomba namikujifunza
Waaah kama sauti ya martha
Amen,what a fact!Congratulations bro...
God bless you brother ❤
Ni kweli mungu ndiye amekuwa jemedari vitani vyetu🎉🎉mtetezi wetu
Video❤ audio ❤artst❤ presentation
Congratulations brother ❤❤
Congratulations nice song more grace 🔥
If were not God
My enemies would have finished me off.the song is wow 💪
ELISHAMA WE NI WAKIKE AU WAKIUME🫣
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu kwa hii nyimbo
Amen mtumishi wa Mungu...sauti pia imeweza ubarikiwe sanaa 🎉🎉🎉❤
Asante mungu Kwa ulinzi wako🙏🙏🙏♥️💯
Uweeh hi niyalini nikali sana bana
❤❤have seen God be on my side upto now❤❤Mungu siku zote
Woooow Woooow just smiling Martha mwaipaja mwanao huyu hapa ,,,umeacha mbegu may
God bless you mum...Sauti yako kabisa wow
Ni mungu ndio Kila kitu
Such a blessing song 🥳may the lord continue blessing you
🎉🎉🎉. My role model push on
Waiting sana
Daaah wimbo ni mnzuri sana barikiwa kwa wimbo huu ila jamani hiyo sauti ni Martha mwaipaja 😄😄🙏🙏🙏🙏🙏
yaani nisikiapo huu wimbo nabarikiwa❤❤
@@UpendoPendo-v6m amina na uzidi kubarikiwa
Very encouraging song in time of trouble, let God lift u high
Mbona ukatumia sauti ya martha mwaipaja sasa
....Watoto wa MUNGU awaguzwagi na Adui😊😊😊
Amen amen amen ❤❤like from Lebanon 🇱🇧 I love you songs aki