Bony Mwaitege - Acha Nizaliwe (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 июл 2023
  • In this video, we take a look at the new official music video for Bony Mwaitege - ''Acha Nizaliwe''. Shot in Mbeya Tanzania , this song tells the story of a young girl who struggles against poverty and dictatorship. Watch the video to see what we think of it!
    Acha nizaliwe Acha nizaliwe hii hapa ...
    Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    acha nizaliwe #achanizaliwe
    MUNGU AKUBARIKI SANA.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,3 тыс.

  • @dennismaina6202
    @dennismaina6202 10 месяцев назад +15

    Nimeishi kucoment huku kwa bony mwaitege ,sijai pata likes nipeeni ,nijiskie niko

  • @jeanmariemuco1132
    @jeanmariemuco1132 10 месяцев назад +25

    Wakwanza kuitazama nikiwa Lusaka zambia nipe like tuone niwangapi wamebarikiwa

  • @bupeisaya9063
    @bupeisaya9063 10 месяцев назад +62

    Wimbo hauchoshi kuusikiliza,,kama nawewe umerudia kuiangalia hii Ngoma zaidi ya mara mbili gonga like hapa twende sawa.
    Heshima Kwa mama🙏,nawewe uliyempoteza Mama, Mungu afanyike faraja kwako.

    • @ElizabethKemmy-yv2ty
      @ElizabethKemmy-yv2ty Месяц назад

      Aki bony nikaa unampenda mamako Sana Sana juu umemimba Sana hyo n song yako yapili nmesikia ukiimba mamako. Kaa mama ako ako hai namuombea Mungu ampe maisha marefu

    • @jean-innocentmuteba4746
      @jean-innocentmuteba4746 Месяц назад

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 10 месяцев назад +63

    Unae soma comments huku unautizama wimbo huu nakua hatujuani ila naomba mwenyezi Mungu akuzidishie maishani ❤❤

  • @lucianachappa1213
    @lucianachappa1213 7 месяцев назад +9

    MUNGU mbariki mama yangu, tuliokataliwa kipindi cha mimba tuko wengi sana😢😢 cha kushangaza waliotukataa Ndiyo tumefanana nao mpaka kucha😢😢

  • @vivinenibitanga8529
    @vivinenibitanga8529 10 месяцев назад +10

    Nalia kwa uchungu mno 😭😭😭nakumbuka mdogo wangu kipindi alipata ujauzito nilikua wakwanza kusisitiza atoe 😢😢😢kwa sababu yamasomo😭😭chakushangazi Sisi tulisoma naona maisha yetu nikama yake😢Eeee Mwenyezi Mungu tusamehe😭😭😭👏🤲

  • @priscilahkuvali1280
    @priscilahkuvali1280 10 месяцев назад +19

    Kaka mungu akutumie zaidi kwa mahubiri ya nyimbo zako wapi likes za wakenya❤❤❤❤

  • @nuruhmangoli1232
    @nuruhmangoli1232 10 месяцев назад +2

    Nautafuta kwa yinga media siupati huu wimbo jameni.
    Kenya nasupport huu wimbo .kama waupenda nipe likes za mtumishi

  • @KilelJazzKillerBoyofficial
    @KilelJazzKillerBoyofficial 10 месяцев назад +11

    Tunakupenda hapa Kenya 🇰🇪

  • @innocentlegos4530
    @innocentlegos4530 10 месяцев назад +46

    Mamaaaaaaaaaa😢 endelea kupumzika kwa Amani,, salute kwa wamama wote mliobakia hai❤

    • @happykoteihappy-vd7ce
      @happykoteihappy-vd7ce 10 месяцев назад +2

      Duh mama yangu aliniacha nikiwa darasa la 6 naumia sana

    • @fredyyohana
      @fredyyohana 9 месяцев назад +2

      Nakukumbuka Sana mama yangu Sina Cha kukulipa zaidi ya Asante🙏🙏🙏

    • @isackqaymo3922
      @isackqaymo3922 9 месяцев назад

      Namkubali sana bon

    • @isackqaymo3922
      @isackqaymo3922 9 месяцев назад

      Kaka bon ubarikiwe na mngiu kwa wimbo huu mm

    • @user-hr7ui9bq9s
      @user-hr7ui9bq9s 2 месяца назад

      Unaskitisha sana

  • @marcyasam4368
    @marcyasam4368 12 часов назад

    Nimefungwa na uja uzito sasa mwizi kumi na saba naomba Mungu anishindie vita 😢

  • @JudyPatience
    @JudyPatience 16 дней назад

    kila nikisiza wimbo huu nalia sana😢😢😢😢,nikikumbuka nimeishi bila mama,inaniumiza my son sahii ako 5yrs am now a single mum just becoz nilibaki hakimu wa mwisho kwa maisha yake,huu wimbo ni historia ya maisha ya mtoto wangu nami mwenyewe,l can't control my tears writing this😢😢😢😢

  • @abasmarco4525
    @abasmarco4525 10 месяцев назад +4

    Ubarikiwe sana kazi ni nzuri sana hakika unatujenga moyo sana.

  • @jackiekingdouta215
    @jackiekingdouta215 3 месяца назад +3

    Mama lala pepo still missing you 😢😢 hii wimbo imenikimbusha last year I lost my mum😢😢

  • @beatricewendo9153
    @beatricewendo9153 10 месяцев назад +1

    A plea against abortion. Asante mtumishi wa Mungu, hali ngumu ila tuwape watoto wasio na hatia nafasi ya kuishi

  • @user-xm2lj5qb8n
    @user-xm2lj5qb8n 8 месяцев назад +8

    My name is bayaga from zambia, to be honest, this song is teaching and healing ..no doubt 😂

  • @quinterawuor6198
    @quinterawuor6198 10 месяцев назад +15

    Huu Wimbo unatia uruma 😢😢 inafanya nimwaze mwanangu tumboni🤰🤰

  • @annmurithi4876
    @annmurithi4876 9 месяцев назад +5

    Have gone through all this,, exactly but encouraged myself to keep the baby,,😭😭😭😭, ,,may our heavenly father bless all mother's .Amen

  • @InviolataJuma-se2gp
    @InviolataJuma-se2gp 10 месяцев назад

    Wimbo huu umenikumbusha2013 nilikuwa 15years nikapata mimba my parents walitaka nitoe mimba ati nisome but nilitoroka nikalea mimba mpka nikajifungua baby boi 2014at the age of 16yrs sai ako 9yrs and am proud kuitwa mam ❤️❤️pongezi kwako mchugaji may God bless you 🙏🙏

  • @blessedfavour1687
    @blessedfavour1687 10 месяцев назад +6

    😭😭😭the revelation is deeper beyond just physical birth, kuna ujumbe zaidi ya mambo yanayopaswa kuzalishwa ndani yetu
    Ewe Mungu acha nizaliwe

  • @arbanuskioko1923
    @arbanuskioko1923 10 месяцев назад +12

    Wow ...go go go mtumishi❤❤❤❤❤ nimebarikiwa Toka nchi jirani Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BeatriceSade
    @BeatriceSade 21 час назад

    namkubari sana kaka yangu huwa hana kazi mbovu.hii nyimbo inatukumbusha kuwa kumbuka wazazi wetu.hakuna kama mama.llove you mama❤❤❤❤🎉🎉🎉😅😅😅

  • @naftalmlelwa9032
    @naftalmlelwa9032 10 месяцев назад +1

    Ivi mama yangu ukowapi😭nduguyangu wamenikataa mama yangu uliondoka mapema baba alifaliki nikiwa sijazaliwa 😭Nimebaki kumwimbiya MUNGU ,japo umeniacha namaumivu makubwa hayaelezezi😭😭

  • @bethmuya9019
    @bethmuya9019 10 месяцев назад +5

    Uuui baba wimbo mzuri wakutuelimiasha sisi wamam na wale wanakusudia kutoavya mimba. Mungu tusaidie kama Wana wako tusiwahi fikiria destiny ya watoto wetu

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  10 месяцев назад

      ASANTE SANA Mwanangu

    • @peninainzera9721
      @peninainzera9721 10 месяцев назад

      Kabisa I wish all ladies can hear this song aki iko n mafunzo sana nice song.special dedication to all mother's

  • @user-ei9oe4vc8c
    @user-ei9oe4vc8c 10 месяцев назад +21

    Wimbo huu unanikumbusha magumu anayopitia mama yangu jaman❤ I love you mama

  • @augustinomashallo8943
    @augustinomashallo8943 10 месяцев назад +1

    Hlw proffesor,
    Both of them,mom and dad
    Inatufundisha nn tunaona picha ya mwanamke na mwanaune born mwaitege then anatuonesha kijusi kikiea ndani ya placenta mtoto anazaliwa na kukua kwa malezi ya baba na mama .
    By heavenlucky

  • @josephlazaro253
    @josephlazaro253 5 месяцев назад +1

    Mungu akutia nguvu mama unayepitia wakati mgumu.Mungu ndiye masaada wako mwanadamu asikufanye uamue maamuzi mabaya ya mtoto kuishi.Kuna kusudi la Mungu

  • @FrankPatrickOfficial
    @FrankPatrickOfficial 10 месяцев назад +4

    Asante kwa ujumbe mzuri sana baba mungu aendelee kuku tunza 🙏🏻🙏🏻

  • @YOUNGBOY123
    @YOUNGBOY123 10 месяцев назад +4

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-xz6zy3rb3s
    @user-xz6zy3rb3s 20 дней назад

    I miss you sana mama yangu pumzika kwa amani.leo Siku ya wamama Duniani nimesikiza huu wimbo ni machozi tuu..forever in my heart❤

  • @BeatriceSade
    @BeatriceSade 21 час назад

    kinamama tunavumilia mengi sana.siri ya mama anaijua mungu.hakuna kama mama🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @tumainlession411
    @tumainlession411 10 месяцев назад +12

    Mama jamni,Mungu atusaidie wamama wote na tuwe strong juu ya huu wimbo wenye kujaa faraja.

  • @ruthkhasoa1916
    @ruthkhasoa1916 10 месяцев назад +29

    Wimbo mtamu na mafunzo, mama waheshimiwe . Mtumishi wa Mungu uinuliwe juu zaidi. Kazi nzuri sana

  • @user-fc9vg3xl6s
    @user-fc9vg3xl6s 2 месяца назад +2

    Akisati kabisa dukuyangu tutakutana binguni mungu hakubari pamoja namimi

  • @malaykingsley4804
    @malaykingsley4804 10 месяцев назад

    Wimbo huu umenifanya nikumbuke 2019 😭😭😭May God protect my son and me, I run away from home to keep my pregnancy 😢 because they wanted me to get rid of my baby when I was pregnant Ni God 🙏🙏

  • @corneilleababa729
    @corneilleababa729 10 месяцев назад +7

    Ongera baba bony. Corneille ababa kutoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nyimbo iyi inani Bariki sana. Tena sana kabisa. Munguatembee nawewe.

  • @yohanaraphaely420
    @yohanaraphaely420 10 месяцев назад +10

    Nyimbo hii imeniliza . Bonny MUNGU akutie Nguvu, ujumbe mzuri saaana. Unatia moyo kwa kizazi hiki .

  • @vibrating8689
    @vibrating8689 10 месяцев назад +2

    Huu wimbo tumeupromote tiktok asaana brother ,zaliwa❤

  • @AlexWiliam-my1xs
    @AlexWiliam-my1xs 10 месяцев назад +1

    Mungu akupe maisha maref mama yangu nakupenda mama hakuitoa mimba yangu nawachukia sana wanao toa mimba wauaji hawana huluma

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 10 месяцев назад +39

    Amen Amen Amen 🙏 😢 wimbo umenitoa chozi wimbo bora wa mwaka wow ! Ubarikiwe kwa kazi nzuri Mtumishi ❤

  • @blackberryservices4586
    @blackberryservices4586 10 месяцев назад +4

    Aki mama yangu ❤❤❤❤❤🙏

  • @jaywi5681
    @jaywi5681 10 месяцев назад

    Hakika Bony umetoa toa ujumbe mzuri sana Kwa jamii hii ya Sasa. Natamani vyombo vya habari vipige wimbo huu Kila saa 1.00 asubuhi na Kila saa 2:00 usiku na iwe lazima Kwa Kila Mtanzania kuusikiliza. Pia wimbo huu uipigwe kabla ya wimbo wa Taifa kwenye shughuli za Viongozi wa Nchi.

  • @enockmbwiloofficialy7865
    @enockmbwiloofficialy7865 10 месяцев назад

    Siku nimeusikia radioni kwa mala ya kwanza sikuuelewaa,,,huuu wimbo kiukweli unatungo la shairi lililotulia sana MUNGU azidi kukufunulia zaidi maarifa kaka etu.

  • @doreenkikuyu7330
    @doreenkikuyu7330 10 месяцев назад +5

    Wimbo huu umesimulia maisha yangu 😢😢😢Barikiwa sana Mutumishi wa Mungu. 🙏🙏🙏🎶

  • @yvonnejoyce
    @yvonnejoyce 10 месяцев назад +45

    Amen Amen and Amen what a nice song 🙏 may God bless our mothers 🙏🙏 much love to you from Kenya 🇰🇪

  • @happykilango5396
    @happykilango5396 10 месяцев назад

    Huu wimbo umenifanya nikumbuke mengi sana ila Mungu anatuzaidia sana wamama kwa yale tunayoyapitia. Nilikataliwa na ndugu wa upande wa baba angu hasa bibi angu lakini mama alivumilia nikazaliwa amenilea ameteseka na mm kwenye barid na jua kwenye hali zote... Leo nimesoma nimemaliza chuo nimekuwa faraja yake

  • @DouglasMayiani
    @DouglasMayiani 2 месяца назад +1

    😢 Bonny Mwaitage i want you to perform during my graduation very soon

  • @joanjay6938
    @joanjay6938 10 месяцев назад +9

    A strong and emotional 😢😢 message Asante sana kwa wimbo wa hekma Mungu akubariki❤,,,,Maana asingekua mama yangu kukataa kunibeba baada ya babangu kunikataa singekua duniani 😢😢😢😢😢 wimbo huu umenigusa

  • @user-xm2lj5qb8n
    @user-xm2lj5qb8n 8 месяцев назад +6

    My name is bayaga from zambia this song makes my eyes get crying coz i remember when i was young very young, many people told me that my father rejected me when i was in my mother's womb and my grand ma adopted me so god blesse her so much❤❤❤❤❤❤

    • @shadialaylon3674
      @shadialaylon3674 8 месяцев назад

      I used to think I'm the only person in this world who goes through this 😢

    • @millicentakinyi5504
      @millicentakinyi5504 6 месяцев назад

      😭😭😭❌❌😴uuuuiiiiii

  • @user-xp6kc1mx2i
    @user-xp6kc1mx2i 8 месяцев назад

    Nami nichukue fursa hii adimu kumshukuru Mungu kwa ajili ya wimbo huu mzuri, umenikumbusha mke wangu kipenzi wakati akiwa mjamzito alivyo kuwa, saruti kwa wamama wote, Mungu awatunze.

  • @GlenisKamau
    @GlenisKamau 2 дня назад

    Wimbo huu uko na mafunzo nzuri sana wanaopanga kutoa wasijaribu hata kidogo

  • @GraceBenedicto-ui9mc
    @GraceBenedicto-ui9mc 10 месяцев назад +6

    Barikiwa sana wimbo unajumbe mzuri mungu atufanyie wepes sisi wakinamama kwamapito tunayoyapitia

  • @carolineouma8660
    @carolineouma8660 10 месяцев назад +9

    Sauti mzuri, ujumbe mzuri kwa vijana wetu mungu aendelee kukupa maarifa zaidi mtumishi.

  • @fredrickochieng6772
    @fredrickochieng6772 10 месяцев назад +1

    R.I.P my mum..ulikataa kunitoa ukanizaa. Ulale kwa amani

  • @preciousndpromisetwins2378
    @preciousndpromisetwins2378 10 месяцев назад +1

    This song have made me cry 😭😭😭 cz I lost my job cz of getting pregnant my boss ask me to do abortion or I leave job
    I decided to keep my pregnancy when I see my twins I give thanks to God even thoh their father Nd his family treat me like trash cz am not their tribe I tell God he will make way for me Nd my twins Nd change story

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 10 месяцев назад +3

    Ndugu Bony nakuaminia hasa yaani wimbo huu unipelekea kumbukumbu mbali🤦🤦🤦💔💔Neema ya mungu imulinde mamangu kwa vile alivyojisatiti kuubeba ujauzito wangu na kunitoa duniani hadi sasa ningali mzima🙏🙏🙏💓

  • @paulinemwaka
    @paulinemwaka 10 месяцев назад +5

    Asante mungu ulinipa nguvu nikamueka mwanangu sikuskiza mtu yoyote ❤

  • @transforminggraceministries
    @transforminggraceministries 10 месяцев назад

    This is just another hit. Kenyans learn from Tanzania. Hii ujinga ya kuimba KUDARA PEJI ZA BIBLE na TWENDI TWENDI THILI muache. By the way I don't listen to Kenyan Gospel artists. They lack content 😢😢😢

  • @user-gl5hc9wl7e
    @user-gl5hc9wl7e 22 дня назад

    Each and everytime i watch this song lazima nitokwe na machozi nikimkumbuka mama yanguu😭😭😭😭😭

  • @victorcheprot5017
    @victorcheprot5017 10 месяцев назад +3

    Bonnie

  • @abrahammochache3558
    @abrahammochache3558 10 месяцев назад +16

    I always enjoy listening to your songs,be blessed mwaitege, Kenya we love you

  • @fedhajoseph7687
    @fedhajoseph7687 7 месяцев назад

    Tunashukuru kwa wimbo kaka yangu mbony umenikumbusha zambi ya utowaji mimba niliyo ifanya mimi nalia ,na sikitika nakosa furaha ya maisha.😢😢

  • @reginabenzi9631
    @reginabenzi9631 10 месяцев назад +1

    Mamaangu alipokua ana uja uzito wangu alikunywa sumu mara tatu hili nife Kwa sababu ya baba yangu 😢lakini Leo namshukuru mola nilizaliwa niko mzima 🙏🙏

  • @salifyanjinakawala1814
    @salifyanjinakawala1814 10 месяцев назад +6

    I always pray to God that for the sake of my mother you have to bless me 🙏🏻🙏🏻 all the way from Zambia ❤ you're the best Bonny

  • @vincentcheruiyot5342
    @vincentcheruiyot5342 3 месяца назад +3

    Once upon a time we were delicate creatures but our mum's accommodated us❤❤.

  • @loyceakuku6019
    @loyceakuku6019 10 месяцев назад +2

    Hivi ndio itendeka kwangu nikipata watoto wangu😢😢😢

  • @KennedyBarasa-mc4mz
    @KennedyBarasa-mc4mz 11 дней назад

    Maisha marefu mamangu MUNGU mlinde na umubariki mamangu siwezi jisuwia upendo nilio nao kwa mamangu MUNGU muepushe na Yule muovu

  • @ministerboaznyabogaunachez8553
    @ministerboaznyabogaunachez8553 10 месяцев назад +2

    Wimbo mzurii sana napenda nyimbo zaako when i grow up i want to be like you

  • @Evarista-xt7gv
    @Evarista-xt7gv 10 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤ Ilove you mom

  • @EdwineWafula-cn3hz
    @EdwineWafula-cn3hz 9 месяцев назад

    Laiti mama angelikuwa hai angesikie husia huu wa bro BONNY MWAITEGE 😭😭

  • @wagrandykez4570
    @wagrandykez4570 8 месяцев назад +2

    BONNY LOVE MOTHERS..BIG UP BRO...MUNGU AKUZIDISHIE...KARIBU NYUMBANI

  • @prayerwarrior1
    @prayerwarrior1 8 месяцев назад +9

    This reminds me of how my baby daddy rejected my pregnancy at two weeks after breaking the news to him...ill always be there for my son and be the very best friend and mommy for him...with God we are making it with my prince...this song strengthens me Bony...much blessings...

  • @fatmaraisha1107
    @fatmaraisha1107 10 месяцев назад +16

    The humble gospel artist i most love ❤may lord bless you more 🙏

  • @GastuceCosmas-mg1wq
    @GastuceCosmas-mg1wq 10 месяцев назад

    Kama mama yako Yuko hai mshukuru Mungu na muombee maisha mema
    Na sisi ambao tumeondokewa na mama zetu Mungu awape mwanga wa milele na pumziko la aman rest in peace my mammy 😢

  • @YOHANANYONI
    @YOHANANYONI 19 дней назад

    Asante kwa ujumbe mzuri kwa mama zetu ubalikiwe mama ndo wabeba roho zetu

  • @user-mn8uc4rl2z
    @user-mn8uc4rl2z 10 месяцев назад +2

    Namimi nakymbuka mama yangu music uyu nimzurisana unajuwa kuwimba mungu akuleteki paji owengine kama nyazamani ❤❤❤

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 10 месяцев назад +3

    Ubarikiwe Sanaa mtumishi wa Mungu hii nyimbo ni best kwa kila anae penda huduma yako mwaka huu itakuwa ya kwanza ubarikiwe Sanaa Bishop mwaitege by Benson Mgaya

  • @sonkidkenyansa
    @sonkidkenyansa 10 месяцев назад

    😢😢😢weka like sina mengii

  • @johnkambere1333
    @johnkambere1333 8 месяцев назад +1

    Asante sanaaa baba
    Mimi na mke wangu tunaupenda sana, toka Kinshasa Drc

  • @teresaonduko4443
    @teresaonduko4443 10 месяцев назад +21

    Beautiful Masterpiece...i dedicate this to my Mama in heaven Continue Resting in peace until that blissful morning ❤❤

    • @charleslinda8320
      @charleslinda8320 10 месяцев назад +1

      For sure it's among sweet songs!
      Keep resting in peace my mumy as today we are celebrating 2 years since you left us!

    • @teresaonduko4443
      @teresaonduko4443 10 месяцев назад

      @@charleslinda8320 hugs bro

    • @charleslinda8320
      @charleslinda8320 10 месяцев назад

      @@teresaonduko4443 thank you Teresa

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele 10 месяцев назад +6

    WIMBO MUKUBWA ƙwakweli MTUMISHI wa MUNGU❤

  • @DavidJoel9ja
    @DavidJoel9ja 10 месяцев назад

    Nampenda mama, na mke wangu ubalikiwe japo ulilazinishwa na mama yako kutoa lakn nilisimama , ndo mtoto anamiaka 4 prince mwanangu ukue kwa kumpendeza mungu

  • @suzanrupeshrupendra
    @suzanrupeshrupendra 3 дня назад

    Ak ur my favourite artist napenda nyimbo zako sana bonny,,go on you always bless our hearts God bless you so much

  • @bienvenuwilondja9030
    @bienvenuwilondja9030 10 месяцев назад +6

    Hiyi Kali sana. Sifa kwa Mungu wetu wa Mbiguni. Hongera sana baba. toka Congo Tunakupenda sana. Congratulations to give us this new song✌

  • @pastorpaulmumo.3485
    @pastorpaulmumo.3485 10 месяцев назад +3

    Bonny mwaitenge my role model in music...

    • @nurually3301
      @nurually3301 10 месяцев назад +1

      Mungu akubariki saana pastor na mwimbaji wetu, nimemkumbuka mama angu ananambiaga aliteseka Sana juu yangu nusu after, daah

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 10 месяцев назад

    Hapa umegusa penyewe mtumishi kiufupi ujumbe umefka na hii ikawe funzo kwa wale wote wanaofany vitendo vya utoaji mimba....👊👊

  • @renatussima5274
    @renatussima5274 10 месяцев назад

    Ni wimbo mzuri sana kwa mktadha huo, lakni kwa Mimi amabae baba na mama wote wanipenda wametimiza jukumu lao kunilea kwa hali ngumu na kawaida hapa wababa walobeba majukumu yao kisawasawa haujatubariki..

  • @esthersamba3290
    @esthersamba3290 10 месяцев назад +16

    Well arranged idea, perfectly presented. ❤. Touchy and educative masterpiece.

  • @natashanelvia729
    @natashanelvia729 10 месяцев назад +8

    I have listened to this song 10x every day ican't stop shading tears when am listening mummy continue rest in peace ,salute to you sir much blessing's for this great music watching from Bahrain

  • @adePrissy-vv8ff
    @adePrissy-vv8ff 3 месяца назад

    Live long mummy asanti kwa kunileta duniani mummy uliambiwa ufanye abortion ukaona n vyema utoroke ili uokoe maisha yangu😊❤

  • @Espoirmukubure-ho5cg
    @Espoirmukubure-ho5cg 7 месяцев назад

    Bonny mungu awe nawewe wimbo huu nimeupokea week 2 Kisha binti mmja kuitoa Mimba yangu (DRC baraka)

  • @user-iy1bq8vm6w
    @user-iy1bq8vm6w 10 месяцев назад +5

    Kwa kweli wimbo mzuri mungu aliye mbingun akubarik Sana mtumishi mungu akuzidishie zaid na zaid❤

  • @blessedhighlyfavored3318
    @blessedhighlyfavored3318 10 месяцев назад +4

    Number 1 viewer from kenya❤❤❤❤I love it

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 10 месяцев назад

    Wakongwe mmeamua kule rose mhando bahati bukuku tulimis San nyimbo zenu

  • @furahiakamwela
    @furahiakamwela 10 месяцев назад

    Najiskia uchungu hasira faraja na kila kitu moyon hakuna natokwa na machoz ila nikimukumbuka mama na Mungu najikuta tu moyo unalia na unafurahia

  • @andwawapani9443
    @andwawapani9443 10 месяцев назад +23

    Ndugu shukurani sana, always listening and enjoying your gospel music from Europe 🇪🇺. This song is a testimony of many people around the world. May God of love and favour grant you blessings and prosperity in your life and your talent!🙏❤

    • @onesmohosea145
      @onesmohosea145 10 месяцев назад

      God blessing your talent

    • @alphoncebaya
      @alphoncebaya 10 месяцев назад

      God blessing your talent bro

    • @user-xm2lj5qb8n
      @user-xm2lj5qb8n 8 месяцев назад

      "bayaga" kazeba's son to be honest this song is my testimony, may almight god blesse every body who treated me well and grant my mum❤❤❤ and kaMunyangura i love so much❤❤❤

  • @sarahnafulanafula5537
    @sarahnafulanafula5537 10 месяцев назад +5

    Huu wimbo umenikubusha Mbali sana 😭🙏, mungu akupariki katika maisha yako yote mtumishi wa mungu ❤❤❤

  • @kenethemeka195
    @kenethemeka195 3 дня назад

    Am from Nigeria pls someone should explain this song for me.i like the song

  • @user-yu1gt9po5i
    @user-yu1gt9po5i 4 месяца назад

    Wimbo huu unanifanya nikumbuke vile nilikuwa napanga kumtoa mtoto but I thank God nilibeba na nikazaa sai ni MTU mkubwa❤

  • @benardsnell6872
    @benardsnell6872 10 месяцев назад +4

    My best male artist in the whole world 💞
    I love Bonny for his good work,and his passion he always shows in every song he sings.
    Your songs are such a blessing to me mtumishi wa Mungu.
    Zidi kutubariki na nyimbo nzuri,nawe pia uzidi kubarikiwa 🙏
    Much 💕 from Kenya😊