Natamani nyimbo zote kuanzia Ile albamu ya UTANITAMBUAJE? Hadi ya MAMA NI MAMA uziboreshe Kama ulivyo uboresha wimbo wa KWA NEEMA, brother mm ni moja ya shabiki zako wanaofatilia kazi zako kwa karibu sana endelea kubarikiwa tupo nyuma yako,naripoti kutoka MAGU- MWANZA.
On behalf of your kids from Safina,let me say we are very proud with you, your strength making us to come front as usual,let me say be blessed,stay longer our dad
Sina uende ahsante mdogo mtumishi wa Mungu unanikumbuka pale Baba askofu elect Dr Anaki.napenda wewe na shemeji wiwachu hongera Mungu azidi kukuinua zaidi
QUAND DIEU TE CHOISIT IL T'UTILISE DE LA MANIÈRE DONT IL VEUT POUR FAIRE CARTONNER SA PAROLE DANS LES MONDE ENTIER QUE LE BON DIEU TE PROTÈGE CONTRE TOUTE ARMÉE FORGÉE CONTRE TOI WALTER CHILAMBO QU'IL T'AUGMENTE L'ONCTION,LA FOIE ET DU COURAGE. SUIS BÉNI PAR CETTE CHANSON QUE DIEU SOIT LOUÉ AAA
Nakushukuru sana mtumishi wa Mungu,nazidi kusikiliza nyimbo zako toka nikiwa mdogo.Ninatamani niwe muimbaji wa nyimbo za injili kama wewe toka Kenya,be blessed
Mungu aendelee kuwatendea wema nyote mnaoendelea kushare na kutazama video hii Mungu wa mbinguni akaguse maisha yenu kwa namna ya kipekee
Amina mtumish nakukubali Sana toka nipo kijijini mbeya vijijini mumalila original nipo hapa DAR kanisa liko wap Ninje nisar mtumishi
Amen mtumishi wa Mungu
God bless you and your family
Amen mbarikiwe sana
Amen
Wow ,wa kwanza kuwakilisha wakenya wa ,, wapi likes zetu😂
Wakenya tupo apa bwana
Cool vibe 🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tuko ndani
Am present as usual
Wale tumebebwa na Neema ya Mungu 2023 mpaka 2024 🙏🏿🙏🏿
Asante Nuru.
@@BonyMwaitegeOfficial barikiwa sana kaka yangu Mungu akuinue zaidi ya sana kwenye huduma yako
💃💃💃💃Ni Neema asante Mungu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪fellow Kenyans the house is clean ....karibuni....ni neema tu na hii uchumi, ni God manzee
Tumeingia Asante ni neema tu uchumi wetu ni wa mbinguni hatutengemei Dunia.
Hongera sana brother kazinzuri, pia imekaavizuri sana tumebarikiwa sana.
asante sana ndugu yangu
@@BonyMwaitegeOfficial amina sana mtumishi.
It's by God's grace from Kenya 🇰🇪 likes sikam through 🙏🙏
Mungu akupe haja ya moyo wako baba mchungaji hapa kwetu Rdc congo 🇨🇩🇨🇩 tukukubalisana karibu
Hakika ni Neema yake Kristo Yesu.🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mungu akuzidishie Neema mpendwa
nyimbo kali xana kaka ilo biti limenikumbusha wimbo wako wa nikwaneema ulibuludisha sana halusi ya ndugu angu mungu azidi kukutia nguvu ya uimbaji
Wow wandungu zangu wa nchini Congo DRC nipatiye like
Ndiyo tunaïchi kwa neema ❤
Wa Kwanza Mimi hapa Mungu akubariki sana
Wa Kwanza Ni Mimi kutoka inchi ya Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Huyu jamaa hazeekagi😅 , Nakukubali sana bonny
Natamani nyimbo zote kuanzia Ile albamu ya UTANITAMBUAJE? Hadi ya MAMA NI MAMA uziboreshe Kama ulivyo uboresha wimbo wa KWA NEEMA, brother mm ni moja ya shabiki zako wanaofatilia kazi zako kwa karibu sana endelea kubarikiwa tupo nyuma yako,naripoti kutoka MAGU- MWANZA.
Hakika hawawezi kubadili mipango ya Mungu kwangu mumeimba wimbo mzuri sana Mwenyezi Mungu awabariki sana wa tumishi wa Bwana
Much love from Uganda always my stress Killa ❤❤
thanks Omutwinvi
Wow l love this song❤❤
Much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 ❤❤❤
Kila hatua ilipo ni ushuhuda , ktk neema ili kwangu ktk Mungu ✍✍✍ MUNGU U MTOSHEREVU
Asante sana Mwaipopo
❤❤❤ smart napenda nyimbo zako keep going
This is my song Man of God...if not by His Grace where would I be today? Continue touching souls bony...❤
amen
❤❤❤❤ Amen mtumishi keep it up 🇰🇪🇰🇪🙏
My all time gospel artist...May God bless your ministry
thanks Evander
Ubarikiwe sana ❤❤
On behalf of your kids from Safina,let me say we are very proud with you, your strength making us to come front as usual,let me say be blessed,stay longer our dad
thanks Konga
Much love wakenya twakupenda sanaa mtumishi wa mungu❤❤❤❤
Be blessed son of God much❤❤❤ from🇰🇪🇰🇪
thanks
thanks, Hudson
Amina🙏🙏
Amen 🙏 🙏 🙏
Barikiwa sana mtumishi ❤
Ame Ame mungu akubariki
Nimebarikiwa baba yangu🙏🙏
Neema ya Mungu tu inanibeba. Mungu tu🙏
Neema itoshe🙏🙏
This is very powerful my mentor more grace to me and my entire family Shalom.
Much love from Kenya 🎉🎉
Sina uende ahsante mdogo mtumishi wa Mungu unanikumbuka pale Baba askofu elect Dr Anaki.napenda wewe na shemeji wiwachu hongera Mungu azidi kukuinua zaidi
Nabarikiwa Nikiwa 🇸🇦....ni neema tu kwa Yale tunayopitia huku❤❤❤ 4:12 4:13
Ubarikiwe ndugu 🇧🇮
Kweli ni baraka kutoka kwa mungui neema inatosha muchungaji
True the grace Bonny lifted you bro thanz lord🙏
Mashaalaah tu nakupenda sana kaka tumo pamoj chukua 🎉🎉🎉🎉🎉 maua yako ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂🇹🇿👍👍
🙏💓💖💓💓💞💕
Ni neema ya mungu msininyime likes❤
Amina barikiwa sana mtumishi apa nilipo ni neema ya Mungu imenibeba🙏🙏🙏
QUAND DIEU TE CHOISIT IL T'UTILISE DE LA MANIÈRE DONT IL VEUT POUR FAIRE CARTONNER SA PAROLE DANS LES MONDE ENTIER QUE LE BON DIEU TE PROTÈGE CONTRE TOUTE ARMÉE FORGÉE CONTRE TOI WALTER CHILAMBO QU'IL T'AUGMENTE L'ONCTION,LA FOIE ET DU COURAGE. SUIS BÉNI PAR CETTE CHANSON QUE DIEU SOIT LOUÉ AAA
Mungu akujaze zaidi
Ni kwa Neema ya Mungu
Tunakupenda❤❤❤ sana bonny god akumbuke kazi poa yako
Merveilleux, Mbujimayi RDC .
Asante sana ndugu yangu
Blessed from Kenya 🇰🇪
This is the "kwa Neema"song on another version, good work bro Mwaitege
Noticed the same too
thanks
Tha voice is still fire God bless you abundantly servant of God _ not yet I need a life partner in Jesus Mighty Name by his divine grace 💕🙏🏾💕❤☺️😍
Wowooooo
Bony bony
Ni neema kabisa
I thank you bonny umenisaidia kumshukuru Mungu Kwa neema aliyonipa huu mwaka2024..
asante
Amen Amen Amen 🙏In Yesus Christ name ❤️ God bless you
thanks ,Candida
I appreciate you
❤❤❤much love from 🇰🇪🇰🇪
Kenya Tumeikubali 💯 💯
Amen amen amen🙏🙏ni kwa neema❤
The legendary of gospel from east Africa another one hit song
Neema ya mungu ina nguvu hakika 🎉🎉🎉🎉❤
Amen amen 🙏🙏🙏 more blessings ni kwa neema ya mungu ubarikiwe sana Man of God from Kenya ❤❤
Wueeeeee,,,, this is amazing bro, be blessed,,neema maradufu..❤
Sema napata ladha ya wimbo flan kwa mbali
Neema ya msalabaaaa yooooooo ❤❤❤
I always like you papaa.
Glory to yahweh
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏, hapa nimefika na jinzi nilivyo ni kwa Neema tu ya Yesu kristo
Bony nami ni munyarwanda Tu alakini wimbo zakozote ninazipena endereya tu ubarikiwe mno
God bless 🙏🙌 you so much My Father
Hakika,neema ya Mungu imetuweka hivi! Sio Kwa ukamilifu wowote,bali ni neema tu!❤🎉👏
Nakushukuru sana mtumishi wa Mungu,nazidi kusikiliza nyimbo zako toka nikiwa mdogo.Ninatamani niwe muimbaji wa nyimbo za injili kama wewe toka Kenya,be blessed
amen Bwana akupe haja ya MOYO wako.
Amen bro we lifted with the peace off higher and higher alm in dubai 🙏
thanks ,Yoshi
You're a blessing to us 🙌🙌❤️❤️
Watching you from the United States 🇺🇲🇺🇲🙏🙏🙏. May God keep expanding your territory man of God 🤲🤲🤲
amissng song amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 🙏🙏🙏 hallelujah yesu wangu well done Bonny 💖💕
Wakenya wetu mko wapi..
I like all your lovely songs, I pray for you, God bless you all times, so you can sing more
Much love from Kenya turkana county❤❤❤❤
very powerful song amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥🙏 amen hallelujah 💝💝💝 amen
Blessed man of God hakika n Kwa neema🙏🏿🙏🏿🙏🏿
amen hallelujah 💝💝💝 amen wonderful song well done Bonny 🙏🙏🙏 amen 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah yesu wangu niokowe
❤❤❤ amen hallelujah yesu wangu nice one song amen 💪💪💪👍🏽 may God bless you 🙏🙏🙏 amen
Amina kubwa mtumishi wa BWANA nyimbo zako zinakuaga zinanibariki sana.
Mungu azidi kuinua hicho kipaji chako zaidi milele amina🙏👏❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙌🙌🎓
Asante sana
Asante sana
Much much better than the original one....👍👍👍👍🙏
Nyimbo za boni zimenifanya neema sana ndani yamahisha yangu na mungu awa bariki sana mtumishi wa mungu.
Endelea kuishi babaa, Bony hana choyo kama wengine amekuza wengi kwenye uimbaji , ❤❤❤❤❤
We're here for grace of God 💕💕💕💕 amen fantastic songs amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh hlep has
Waooo Mungu akubariki San
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu hii goma yanikumbusha nyimbo yako ya neema ya Mungu❤❤❤❤
amen
Biakweri ni neema ta mungu 2024 et 2025
ameeeeen 🙏🙏🙏 hallelujah yesu wangu very nice one song amen 💪💪💪 hallelujah
Dad blessed🎉🎉🎉🎉
we live for grace of God 💝💝💝 amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ you are wonderful God amen ❤❤❤
very powerful song amen 💪💪 hallelujah yesu wangu niokowe amazing songs amen 🖐️🖐️🖐️ hallelujah 🙏🙏🙏 amen ❤❤❤
This song it makes my day you are a commander for the kingdom of God 🎉 from Zambia 😂
kweli wonderful song amen may God bless you Bonny 🙏🙏🙏 amen the grace of God amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu wangu
Jamni nabebwa namung hakuna wakunirundisha nyuma??❤️❤️❤️tunakupenda san mchungaji wetu wanyimbo zaijili
asante
indeed its kwa neema!❤🙏
Wooow 🎉🎉❤ kwa neema tuu kabisa
hallelujah yesu wangu very powerful song amen may God bless Bonny❤❤❤ amen 💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️ amen
Chuma imeenda ubalikiwe sana Askof mkuu
Asante sana Mkuu
Much love from French ni kwa neema ya Mungu vraiment ❤
Hongera sana ni kwanema tuu hallelujah hallelujah amen 🙌
ameeeeen very powerful song amen ❤️♥️❤️ hallelujah Jesus Christ you are wonderful God amen 🙏🙏🙏
very powerful song amen 💪💪💪 hallelujah yesu wangu well done
Kazi nzuri babaangu tunabarikiwa kwakweli, Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi 🙏🙏
Asante sana
am much blessed with this song🙌🙌🙌May God continue lift you man of God.
amen
wow Good Servant of Almighty God🙏🙏 Represent Kenya Nys Technical College Mombasa,,,Masinde Bonface
thanks Masinde
Amina na mini kweli dawa yangu ni maombi irizi yangu ni yesu 🙏🙏